TID NA Q CHIEF WATANGAZA COLLABO NA ABBY CHAMS | WAMTOA NISHAI MWIJAKU MTOTO MDOGO HATUWEZI | SISI NI MASHABIKI WAKUBWA WA HAJI MANARA BILA YEYE WADADA WASINGEPENDA MPIRA. #manaratv #hajimanara #tid #abigail #qchief #topbrand
Wako vizuri acheni chuki watazamaji..roho mbaya hazijengi na hawa lazima wapige hela nyingi sana kwenye umri huo,kikubwa wasisikilize wanaoongea negative wapige tu kazi...
Mnamtafura kaka yangu msechu sasa hapa kaka yangu amekujaje jamn kisha anapiga sana za mafanikio toa nyimbo zako kaka msechu kiongoz yeyote akifa wewe achia muda uwo uwo coz usanii ni ubunifu KILA MTU APAMBANE NA HALI YAKE
Hebu wacheni kuwasema hawa watu .as long as bado wako hai maisha yao yataendelea tu.wengine nyie mnaocoment vibaya kuwahusu ma roho zenu zinawauma tu kwasababu hajui English kama TID na Q chief .mawivu tu mko mfyuuu
Hahaaaaaa wana waninikumbusha mbali mno kipindi nikiishi na kaka zangu wavuta bangi yaan wao kila wanacho kifanya wanahisi wako sahihi na wanajionaga wanaakili kuliko mtu yeyote et
Yaani ma babu ambao hawakuwekeza ujanani uzeeni wao wasumbufu, kulaumiana, vichaa, ....hawa saa hizi walipaswa kuwa ma producer's ma directors walipaswa kuwa na ma lebel makubwa kusimamia wasanii na ku fundisha music ila ona bangi ilivyo wafanya wehu 😢😢😢
@@raimajimoto1122 hawa kwa ulegenda wao wangepaswa kusimamia wasanii wa siku hizi na kuwafundisha mziki, kuimba wangeimba tu kwa haba sababu mziki uko ndani yao ila kuchezea ujanani kuwekeza madawa mbele uzeeeni wamekuwa wazee ovyo lawama, na kulalamika bure vijana wekezeni ujanani msiwe watu ovyo uzeeni
Huoni aibu eti waita wenzio takataka .there better than you mavi wewe .kwani walikuambia wanataka issue from the serikali .wee mshamba tu the way nakuona