No.1 lulu gauni make-up😍 wolper make-up kidogo ndio iko simple sana ila veli zuri mume mzuri wameendana😍😍kipenzi changu nandy nampenda sanaaa ila hilo gauni mamaa liko wazi sana make-up on point alipendeza ila gauni tu😘
Kwer wolper alipendeza ila kama nand isingekua mimba angewafunikaaa ifahamike mtu mjamzito huwa anandilika urembo huwa unapotea kiasi frani kwasasa kula kazipata wolper ila nandi bwan