@@noelpeter2130 anaskika?😂 Anaskika wapi Mzee Ebu acha zako bana😅 huyu tunamjua tu sisi tunaofatilia zaidi hip hop lakini wengi hawajui, hao marapa wanaojua kuandika Sana wengi bongo hawajui kutengeneza mziki mzuri wengi wanaegemea kuandika tu. Kuna tofauti kubwa Sana kati ya kujua kuandika na kutengeneza ngoma Kali chidi Benz juzi tu hapo katika kuongea ukweli kwenye interview
@@noelpeter2130 baadhi yenu wabongo Bado mpo zama za kina Nas na Jay Z mbaka leo ndo shida, hao wenyewe marekani game ya rap ilishawatema muda Sana lakini walikubali kwamba sio wakati wao Tena lakini huku watu wanafosi Dizasta vina aonekane Bora wakati muziki wake unasikilizwa na watu wachache Sana impact yake Wala sio kubwa kwenye game, angalia Lunya ambae anapigwa vita Kila siku ndo rapa wa kwanza kupata madili makubwa bongo madili ambayo wakina Fid Q walishindwa kuyapata zama zao, kaangalie trending Saivi ngoma yake ndo ngoma pekee ya hip hop inayoshindana na wasanii wa kuimba kwenye chart Iko namba Tano. Hao mnaowasifia wanajua kuandika Sana wapo wapi Saivi? Kubalini tu uwezo wa jamaa kwa Sasa
Afazali umeongea wew mimi nilisemaga yule mashavu hajui hiphop kazi kujisifia watu wakanibishia muziki gani mwanzo mwisho anajisifia kama anaimba taarabu amna rapa pale yele ni aisha tuu
Toxic ebu wa sameeh🙏🙏🙏 😅😅😅 🔥🔥🔥🙌🙌Me nlisema wanao mshabikia young kunya n mashabiki mandaz hawaijui HIP HOP me mwenyew haniwez atanishinda kwa mashabiki mandaz wanashabikia mavaz anayo vaa eny mashabiki wa young kunya mmeisikia HIP HOP HOP ilivyo na Radha
Lunya is next level, mnao mdisi young lunya ukweli ni kwamba rap zenu hazina nguvu kushindana nayeye, lunya ni star kwa maana iyo mnatafta kiki kupitia yeye ili tujue kua na ninyi mpo, huo ni ushamba, mziki wake ni watofauti na nyie ndomana yupo top level, VIEWS, SUBSCRIBERS hata mauzo toxic huwezi kua kama lunya, japo kakukuta kwenye game! Funga bakuri hujui ku rap, unaongea kwenye beat tu!
Daah Bro Sikutegemea Kama Ichi Kitu ulicho Kifanya Kama Kwako Itakuwa Ni Simple Like That Alafu Ngoma Kali Kinoma Na Umenyoosha bro Hii Ndio Maana Halisi Ya Hip Hop Na Wewe Ndio Rapper So Big Up Sana My G
Real hiphop huyu toxic n noma ubunifu🔥 punchline🔥 Kibwagizo🔥 mashahiri yamepangwa yakapangika,, na anatembea na beat,, Af kwa nnavyomjua toxic ukute hata hajaandika 🔥🔥🔥 Lunya hajib hii akijib nmekaa paleee