Тёмный
No video :(

IMEVUJA! CHANZO CHA MGOGORO WA MAZRUI NA ACT-WAZALENDO HIKI HAPA 

CUF ONLINE TV TZ
Подписаться 750
Просмотров 13 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 48   
@mohamedsheikh6618
@mohamedsheikh6618 Месяц назад
Mazungumzo ya chama ni tofauti na serikali, acheni kujitafutia hoja za fitna, ukiongelea maendeleo usisahau pia kuongelea maendeleo ya deni na mkopo isoolipika
@Pemba680
@Pemba680 Месяц назад
Wazanzibari siasa za porojo tumechoka nazo ss tunachotaka kwasasa ni MAENDELEO tu Na kusema LA ukweli Dr.MWINYI amefanya kazi nzuri.
@aliabdalla9297
@aliabdalla9297 Месяц назад
Hayo majendeleo ndio maendeleo yenyewe unayoyasema?
@kassim1262
@kassim1262 Месяц назад
Sw tumekuelew kabla znzb haijapata maendeleo ilikua una hali gani ykimaisha nasaiv znzb imeendelea umepiga htua gani na umepata nini hasa kwenye hayo maendeleo yliopo znzbr 😂😂😂😂
@Rukaiya-lt3hm
@Rukaiya-lt3hm 8 дней назад
Samahani ndugu huenda ikawa kazi nzuri labda kaifanya kwako ila kwetu wengine njaa kali
@hajiharoub8125
@hajiharoub8125 Месяц назад
Sisi wananchi tumechoshwa na ccm yaan hata ifanye nn kwetu nisawa na mtu anaejamba mtoni tu Kwakwel tunahitaji chama chengine chochote kiongoze nchi ili tuone na wao watafanya nini
@msabahaali758
@msabahaali758 Месяц назад
sasa unatakaje viongozi wa Act wamsifu mwinyi wakati aliahid hajatekeleza ata moja nchi ameifanya mlango wa duka lao na familia zao
@SalimAhmedAbdullaSalimAbdulla
@SalimAhmedAbdullaSalimAbdulla Месяц назад
Wacha unafiki Act ihaiyumbi hayo si matusi mwizi anaitwa mwizi ukweli so matusi.wacha kupotosha.
@abdallahmsham-eb7jz
@abdallahmsham-eb7jz 6 дней назад
tumeyaona mengi uyoo mazurui mshampiga acheni unafiki
@Mazrui22
@Mazrui22 Месяц назад
Huyu peku tu ccm wameishiwa hiyo ndio imekuwa sera yao hawana jambo la kusema watu wanataka mafanikio ya maisha yatokane na juhudi za serikali sio kwa kugaiwa pesa na mkopo
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 Месяц назад
Anafanya vizuri lakini wakati wake ukifika na hajapata voti basi awaachiye chama chengine. Bila ya kuiba au kuuwa Wananchi.
@KhadijaHussein-qn2ge
@KhadijaHussein-qn2ge Месяц назад
Mika 60 mnatudanganya na barabar maji tumechoka
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 Месяц назад
Mawaziri wote wangekuwa Kama Mh. Mazroui basi Zanzibar ingekuwa ina Baraka zake. Lakini Mazroui peke yake ndio wa kupigiwa mfano.
@mchagagaspar6649
@mchagagaspar6649 Месяц назад
HUYO MSEMAJI NI KIPOVU CHAMKOJO ,MUHISHMIA Mazruwi HADONDIKI (M+J+O+J D+SH+....)WANAZO RADI ZA MARHUMU M SEIF. ...
@HassanMohd-cx5rv
@HassanMohd-cx5rv Месяц назад
Uchawa unawasumbua hajui wazanzibari wanataka nini pimbi atabaki kuwa pimbi
@MohammedBwanga
@MohammedBwanga Месяц назад
Watu wanataka nchi yao mstuletee mambo ya kizamani zama izo zimeisha msibabaishe watu mazrui sio zanzibar kazaliwa kaikuta na ataiwacha zanzibar na wazanzibari ndio muhimu na kauli yao wanataka nchi yao nyie zungukeni lkn hio ndio habari
@Saidykj
@Saidykj Месяц назад
Huyu mshenzi anaezungumza anatokea wapi? Kasahau alofanya Othman Masoud kwenye bunge? Fitna mkubwq huyu.
@feiz3180
@feiz3180 Месяц назад
HAMNA MPYA. ccm MUTALALA TU HAMNA MPANGO.
@shekhkombomasjidhawwaa4387
@shekhkombomasjidhawwaa4387 Месяц назад
Hapana mpasuko wowote hapo
@user-ki4sg8yz9j
@user-ki4sg8yz9j Месяц назад
ACT hatudanganyiki tunataka mamlaka kamili ya nchi yetu. Dhiki ya maisha imezidi sisi hatuli barabara wala majumba.
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Месяц назад
Kafanye Kazi njaa itaondoka, hakuna serikali itakayokuwa inakuwekea fedha mfukoni
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Месяц назад
Kafanye Kazi njaa itaondoka, hakuna serikali itakayokuwa inakuwekea fedha mfukoni
@RashidAbbas-zy6xx
@RashidAbbas-zy6xx Месяц назад
Ameshashiba huyondio maana akasifia ccm
@mustafaismail5622
@mustafaismail5622 Месяц назад
Kweli hiyo nafasi ilikuwa ya mzee juma duni
@karimdaud3993
@karimdaud3993 Месяц назад
Huyu mwenye kuzunguza . Haipendi zanzibar . Ni ftna wala hana haya .hana imani .hajui vibaya. (Mla kuku wa mwenziwe miguu humuelekea)
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf Месяц назад
WENYEWE WANASEMA PAPA HAVULIWI KWA DEMA. KESHO TAREHE 13 WANACHAMA WA ACT WAZALENDO WANATARAJIA KUSIKIA NENO KUTOKA KWA MAZRUI JE NA YEYE KAMSALIT ALMATHUM MAALIM SEIF SHARIF?.. HAMAD
@HamadaZubeirTahir
@HamadaZubeirTahir Месяц назад
Si tusubirie kwanza afanye maamuzi!! Naona munaanza kujihashua tena wanaume wazimaaa
@user-gy5ii3ig1d
@user-gy5ii3ig1d Месяц назад
Wacheni propaganda nyinyi saiv watu wapo macho hawadanganywi hvo
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 Месяц назад
Rais Samia kila siku anatukanwa vibaya yeye na alipo toka lakini ni Muungwana anawaachiya wenyewe matusi Yao.
@Hilali-ff5ul
@Hilali-ff5ul Месяц назад
Kauli ya masrui hatoki act kamwe ,ila nyny muna potesha W2 😂😂
@HusnaKhamis-bf9sm
@HusnaKhamis-bf9sm Месяц назад
Mm simuamini tena hata asemevip kwenye siasa
@MwigaAdam
@MwigaAdam Месяц назад
Mazurui Leo mwema kwasababu kawagusa ndio tunasubir siku yakukabidhiwa kadi na magwanda ya kijani
@MussaMussa-tq9vv
@MussaMussa-tq9vv Месяц назад
Upumbavu huo hiyo kafu inatafutwa huruma
@HusnaKhamis-bf9sm
@HusnaKhamis-bf9sm Месяц назад
Wasiulishe watu badae wakajitia muafaka wakanemeka na femilia zao huku watu washakufa wengi
@ZANAMBER
@ZANAMBER Месяц назад
Wee Ali karume hunajipya mumechiwa cuf imewashinda sasa muna babaika
@mustafaismail5622
@mustafaismail5622 Месяц назад
Kweli kaka yangu ali makame nakusapoti sana nafasi hiyo ilikuwa ya mzee duni
@user-st9me2jn7o
@user-st9me2jn7o Месяц назад
Mazrui sio naibu katibu mkuuuu
@HusnaKhamis-bf9sm
@HusnaKhamis-bf9sm Месяц назад
Kamanimuukwana naerejeshe kadi yawatu
@kitosio
@kitosio Месяц назад
Kasaidia nini
@user-js9lz8nc1w
@user-js9lz8nc1w Месяц назад
Hoja za kitoto hizo
@lusakaone7782
@lusakaone7782 Месяц назад
Hamna akili
@ramzsule7678
@ramzsule7678 Месяц назад
Wewe mpumbavu
@NoufelSalim
@NoufelSalim Месяц назад
Porojo za kifitna
@stonetown578
@stonetown578 Месяц назад
Pumbavu mmeishiwa nyie.
@nassorseif7907
@nassorseif7907 Месяц назад
Wacha ubaradhuli wewe fitna unayo wewe na familia yako
@amanmohd9435
@amanmohd9435 Месяц назад
Stupid kabisa
@SaidIssa-tq3yv
@SaidIssa-tq3yv Месяц назад
Mpasuko mkubwa ni ubaguzi, wapemba ndio wanaoongoza Act. Na Hawa watu wa unguja hawana chao wamekuwa hawana say yoyote , kuanzia kwenye shina mpaka juu wote wapemba. Mtakasirika lakini ukweli ndio huo.
Далее
MWANANCHI WA CHAANI AMPONGEZA WAZIRI MAZRUI
10:04
Просмотров 3,6 тыс.