Тёмный

Treni Ya Kisasa Ya Umeme SGR: Mambo Muhimu Unayopaswa Kujua Kwa Undani 

Mdose TV
Подписаться 4,2 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliadhimia kutengeneza reli ya kisasa yaani Standard gauge railway (SGR) na mkataba wa utiaji saini mradi huu ulianza Mwaka 2017.
Katika video hii nimekuonesha hatua ilipofika reli hii pamoja na treni ya kisasa ya umeme ambayo tayari imeanza kufanya kazi kwa majaribio kutoka Dar es salaam kwenda Dodoma
Treni ya umeme Tanzania inatarajia kuanza rasmi safari zake mnamo mwezi wa july Mwaka huu

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
Most Useless Megaprojects in the World
16:31
Просмотров 49 млн
"RELI YA SGR KUUNGANISHA NCHI ZA AFRIKA"
8:33
Просмотров 13 тыс.