Hapo hapendwi mtu anapendwa huyo mtoto huko tumboni. Hiv WANAUME mnawajua au mnawasikia ni vigeugeu Sana. Tutaish kwa NEEMA za Mungu tuu. Nina miaka 11 ndani ya ndoa na nina Watoto wengi NAELEWA NINACHOSEMA.
Kila m2 anabahati yake dada...tuwaombee2 kwa mungu hawa wanaume wetu..ila sio kama wako hakupend n wawengine wako hvyo...mwanaume mwngne anachepuka lakn anajal sana familia yake mama
Kila mtu ana mume aliendikiwa na Mungu labda kwako ndo upendo ulikwisha sababu ya kuzaa watoto wengi maana kuzaa kuna chosha na kuzeesha mwaya, upendo wa kila mume kwa mkewe unatofautiana
hiyo 40 jmn irusheni live ma funs huku tunataka kuona maana hutuezi kuja wote kwako ila ikiwa live basi nasisi tutakuwa tumeshiriki kwa namna moja au nyingine .. pongezi sana
Kitu kinachotia aibu kwenye uja uzito ni kujamba hovyo namjua dada mmoja alikuwa mjamzito alikuwa anajamba sana mpaka akisikia kitu kinakuja alikuwa anaenda sehemu kujificha
Duniya imeisha badilika, watu wa njanja watumiya social media ku tafuta pesa ao kujifunza kazi ya mikono kwa bure ambayo ita kusaidiya maishani. Mimi na fundisha kwa bure kazi ya decorations. Kama una pendeleya kuji funza kazi fata iyi link. DIY: BACKDROP TUTORIAL! WEDDING BACKDROP! PARTY BACKDROP. ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-DZf96HZhQY8.html