Тёмный
No video :(

"TULIA HAWEZI KUTOBOA HATA NISIPOFANYA KAMPENI ZA UBUNGE" SUGU ALIVYOMCHAKAZA SPIKA TULIA KIWIRA 

Baharia TV
Подписаться 80 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

24 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 19   
@kibonaamenye6878
@kibonaamenye6878 Месяц назад
hatari sanaa,, sera ya chadema na kujenga chama ni kutekanatekana na kuponda watu .. usera mwingi mpaka anashindwa kutambua nyakati
@charlesphilipo3533
@charlesphilipo3533 Месяц назад
Hivi ajenda za kuteka watu kumbe ni za kwenu ,,,kwa nini kila chaguzi wanaanza kutekana iili ccm waonekane wabaya,,,wamefeli asubuhi mapema
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 Месяц назад
Sugu jarubu kusema sera nzuri si kuzungumzia watu kusudi wavutike na sera zako.
@emmanuelymganga5737
@emmanuelymganga5737 Месяц назад
Wewe Kama huvutiwi ni wewe funga Domo hapo dawa inawaingia ndo maana inauma io
@evelina9621
@evelina9621 Месяц назад
Sugu.utamweza.tulia.spika..najua.wwe.nijembe.umesshika.mpini. nguvu.unayo.uwezo.tumia.talanda.yako.mungu Yupo.simama.imara.tuko.pamoja
@evelina9621
@evelina9621 Месяц назад
Huyo.sio.kweli.pesa.sio.talanta.mtu Anapewa.kipaji.toka.kuzaliwa.sio.mapesa.yanawapeteza.wengi.tumia.hekima.sugu Anaweza.msitishe Pesa.inamwisho
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 Месяц назад
Sugu hizo siyo Sera huwezi kumshinda Tulia na huwezi kuishinda CCM .
@mustafaalli4698
@mustafaalli4698 Месяц назад
Chawa ktk ubora wako Yan ww ni zuzu sana .
@markoshem-ij6cf
@markoshem-ij6cf Месяц назад
Hivi unaikataa chadema kwa ripi huwa nakuona​@@mustafaalli4698
@emmanuelymganga5737
@emmanuelymganga5737 Месяц назад
Ndo amesha shinda Ivo xaxa naona sera za ukwel Zina wauma ndomaana mnaleta Domo Domo hapo bado yaan round hii mtasema
@mballaJR25
@mballaJR25 Месяц назад
Sugu anqshinda nq hakuna wakupinga😮
@emanuelgavile3503
@emanuelgavile3503 Месяц назад
Apo tu ndo mnaponichoshaga chadema hakuna sera zavitu tofauti mpka mumwongelee mwenda zake??
@BernadethaCharles-sv3oy
@BernadethaCharles-sv3oy Месяц назад
Utapigwa asubuhi kipigo cha mbwa Koko wewe jiandae kujiuzuru siasa na rafiki yako mwenyekiti wa SACCOSS. Huna ubavu wa kupambana na Mh.Spika.Umeiba kura za Msigwa kanda ya Nyasa huna aibu hata kusema wewe mtoa rushwa!
@markoshem-ij6cf
@markoshem-ij6cf Месяц назад
Turia atapgwa kama ngoma rabuda tuamuke tunakutaa maboxi ya kura yamejaa, ira kura harari hatoboi
@emmanuelymganga5737
@emmanuelymganga5737 Месяц назад
Wewe tulia dawa iwaingie japo inauma
@mballaJR25
@mballaJR25 Месяц назад
Tulia hawez kupita matako ww😮
@BernadethaCharles-sv3oy
@BernadethaCharles-sv3oy Месяц назад
@@mballaJR25 mtaugua kihoro bure. Mh.Tulia ndo mbunge wa Mbeya hadi achoke mwenyewe.Aliyofanya yanaonekana.Sugu aliwahi kufanya lipi kama siyo kelele tu.Siasa za kelele zilishapitwa na wakati watu wanataka utulivu na maendeleo.
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 Месяц назад
Sugu ni mmoja wa wanao pokea hela za mama Samia.
@BernadethaCharles-sv3oy
@BernadethaCharles-sv3oy Месяц назад
Kwa kashfa kwa walimu umeondoka. Hakuna aliyewahi kuwasema walimu hovyo akabaki SALAMA.Sugu kwisha
Далее