Тёмный

DAKIKA 12 ZA BALAA LA MWAMBIGIJA AKIWA KIWILA RUNGWE //AKIWASIMANGA CCM HADHARANI 

Baharia TV
Подписаться 86 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 12   
@daudibukuku6490
@daudibukuku6490 3 месяца назад
Pamojaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
@chescokagali5962
@chescokagali5962 3 месяца назад
Mwambigija unatutania au unatusimanga 😂😂😂😂
@AsifiweMwakabwenda
@AsifiweMwakabwenda 25 дней назад
Uwakomeshe kamanda
@2003hintay
@2003hintay 3 месяца назад
Kwa kuchonga umejaaliwa lakini hutaona Ndani utaisikia hivo hivo na utatunga mashairi
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 3 месяца назад
We mwambigija ni mhuni toka miaka ya mbeya cement ni mhuni wa kutosha
@evelina9621
@evelina9621 3 месяца назад
Watu.wanajaribu.kutisha.chadema.mwaka.1959.walimtisha.nyerere Kuwatawaweza.wazungu.wengine.wakaapa.nyerere.aalienda Mbelle.hadi.akapata Uhuru..msirudi.nyuma Mshimano Dawa.tossha
@AlphaBarageti-ru5xj
@AlphaBarageti-ru5xj 3 месяца назад
Msigwa amekimbia tuhuma zake, ili azitwishe CHADEMA Msukuma amethibitisha hilo. Aligeuza rushwa kuwa mshahara. Msukuma akaahidi kutoa ushahidi hadharani. Je, kuondoka kwake ni hiari au ni mbio za kwenda kupoza hoja ya msukuma? Bila shaka watu kama yeye ndo wanaichafua CDM kwa tamaa zao. Je siku waamini wa Kanisa lake wakiwa maskini wasiotoa SADAKA atalikimbia KANISA ?
@emanuelgavile3503
@emanuelgavile3503 3 месяца назад
Viwatu vifupiii
@SubiranTimo
@SubiranTimo 3 месяца назад
Hongera sana mwabingija
@andrewkissava9184
@andrewkissava9184 3 месяца назад
Hiiiiiiiiiiii, CCM kwa hawa chadema mwaka huu na mwaka kesho kazi mnayo ninacho washauri CCM mjiandae kisaikolojia maana hawa chadema wameshindikana mwaka kesho Raisi anatokea chadema CCM kwaheri,kwaheri,kwaheri mpumzike kwa amani
@halimamasai2234
@halimamasai2234 3 месяца назад
Upuzi mtupu
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 3 месяца назад
Ujinga mtupu fungeni barabara leo uone kitakachotokea mnasifiana ujinga mtupu kwenda zenu hapa
Далее
MWAMBIGIJA AMVAA PETER LIJUALIKALI SUMBAWANGA
20:33
Просмотров 17 тыс.
MWAMBIGIJA KWENYE UBORA WAKE WATU HAWANA MBAVU
10:26
Просмотров 24 тыс.
MASAI APAGAWA NA YANGA | NG'OMBE WANGU NAWAPA YANGA
14:25