Тёмный
No video :(

"TUMEWAUA MAJAMBAZI 12, WALIRUSHA BOMU TUTAWATANDIKA IWE FUNZO'' - RPC KIGOMA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 919 тыс.
50% 1

Jeshi la polisi mkoani Kigoma limefanikiwa kuwauwa majambazi 12 katika tukio la majibizano ya Risasi baina ya majambazi hao na polisi usiku wa kuamkia leo katika eneo la mashamba ya kilemba kijiji cha kalemba wilayani Kibondo Mkoani Kigoma.

Опубликовано:

 

6 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 433   
@ability0777
@ability0777 6 месяцев назад
Mtu una muacha mkeo na watoto unakwenda kufanya ujambazi unakufa kifo cha aibu mbona hata kilimo kinalipa vizuri tu hongereni sana jeshi la polisi kwa kazi nzuri 🫡
@shijalugiko4053
@shijalugiko4053 5 лет назад
Hongera kubwa sana kwa kamanda mkoa wa kigoma. Kamanda Otieno bigup
@elimhokawiche5596
@elimhokawiche5596 4 года назад
OK
@trophywilson7211
@trophywilson7211 6 месяцев назад
mmmh
@kimsamir965
@kimsamir965 5 лет назад
Nyinyi ni askari wazuri sana nakupongezeni sana mungu awabariki sana.
@ambroseinfochannel8773
@ambroseinfochannel8773 5 лет назад
Kama ndy Mara yako ya kwanza kuona askari wenye Rasta gonga like hapa
@alexkizee849
@alexkizee849 5 лет назад
Huyo n CID babu anaruhusiwa kua nazo
@nadystyle339
@nadystyle339 5 лет назад
Hata mie nimesgangaa
@simbascfans
@simbascfans 5 лет назад
Like a boss 🇹🇿 noma sn
@hansjose1898
@hansjose1898 5 лет назад
Ukishamalza mafunzo unaruhusiwa kunyoa nakufuga chochote unachotaka
@hansjose1898
@hansjose1898 5 лет назад
Hujaona mwngne anakiduku hapo
@boyhamimboy5384
@boyhamimboy5384 5 лет назад
Mungu akuzidishie afya otieno rpc kgm
@j.m.illulah4070
@j.m.illulah4070 5 лет назад
Kazi nzuri kwa jeshi letu
@eliatoshaluka4874
@eliatoshaluka4874 5 лет назад
Kama umemuona askari mwenye rasta gonga like
@deogratiasalphonce1607
@deogratiasalphonce1607 5 лет назад
Yap askari rasta yupo mkoani kigoma huyo. anazunguka wilaya zotee
@chrisscharles6322
@chrisscharles6322 5 лет назад
Atariii
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 5 лет назад
Wee na yule anayeonekana KWAMBALI kaweka miwani juu yamacho tishert nyekundu vipi hapo
@zullaicamatola3431
@zullaicamatola3431 5 лет назад
Wapo wengi tu hao
@arafatalshabani1372
@arafatalshabani1372 5 лет назад
@@jenyyusuph4973 😂😂😂😂🏃🏃🏃nimemuona
@mussandolosy4851
@mussandolosy4851 4 года назад
Hongela sana jeshi letu Mungu awape nguvu n.a. ujasili
@johnmakao7024
@johnmakao7024 5 лет назад
Kazi nzuli kwa jeshi la polisi mkoani kigoma
@jumamalima2513
@jumamalima2513 4 года назад
Hongeren jesh letu hasa mkoa wa kigoma maan mnapambana sana na wakimbizi majambazi
@gastonlucas6454
@gastonlucas6454 3 года назад
Asante sana jeshi la poloce mnafanya kazi nzuri sana
@yusuphpaulwaryoba8316
@yusuphpaulwaryoba8316 5 лет назад
Hongera sana Jeshi letu la Polisi
@zachaamasta3298
@zachaamasta3298 4 года назад
#nakubali jexhi
@raphaelmwamakimbula9642
@raphaelmwamakimbula9642 Год назад
Safi sana makamanda kwa uzalendo na uchapakazi huo! Mungu awasaidie zaidi♥️👏
@safinkeyemba2174
@safinkeyemba2174 2 года назад
Hongereni sana jeshi Hilo hao watu washuhulikiwe kabisa hawataki kufanya kazi
@agathaagustino2820
@agathaagustino2820 5 лет назад
Kazi nzuri sana asikar wetu pigeni kazi
@muniraahmed624
@muniraahmed624 5 лет назад
Polisi mwenye raster ameni in spare sana👏👏
@babuken5837
@babuken5837 5 лет назад
Tufanye kazi tujenge Tanzânia
@enocksilungwepondajr9707
@enocksilungwepondajr9707 2 года назад
Ni CID....
@faustinejohn9033
@faustinejohn9033 4 года назад
Jeshi la porice hongeleni Sana jaman kipindi chanyuma wametutesa Sana jaman by ELISHA Wangwe
@oparetionmaalum9030
@oparetionmaalum9030 5 лет назад
Nakukubali kamanda mungu atakuongozeni katika juhudi ya kuwalinda watanzania
@cardinal0016
@cardinal0016 4 года назад
Kumbe Police pia Kuna marasterman🤣🤣kazi nzuri Sana jeshi letu
@coxmakolokocho310
@coxmakolokocho310 5 лет назад
Hongeleni xna jeshila police kwakaz nzur mm nimkaz wakasulu wana tesa ao majmbaz nishida wakikubahatisha namibundukiyao inamikutu yakutunzwa makabulin nomaaaaaaa!!
@avituspascharates6484
@avituspascharates6484 5 лет назад
hongera sana jeshi la police kwa kazi nzuri mnayoifanya.
@johnmwambungu7434
@johnmwambungu7434 5 лет назад
Safi sana jeshi la polisi endeleeni kuchapa kazi mpaka kieleweke.
@rajabumjatta273
@rajabumjatta273 5 лет назад
Hao wanakuwa Askari wapelelezi ili usimgundue.
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 5 лет назад
Safi sana jeshi LA polisi mnafanya Nazi nzuri sana nashangaa sana wapinzini hawaoni
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 4 года назад
Kamanda Otieno upo vzr Sana Kwanza upo kiaskari haswa Una umbo la kiaskari
@ashurakapinga9148
@ashurakapinga9148 4 года назад
Hongereni kwakazi mlo fanya kiongozi wenu awaongeze hata mshaara umejitaidi pongezi sana
@jafarimsaghaa95
@jafarimsaghaa95 5 лет назад
Jambaz Hana Rafik hongera Sana kwa Jeshi letu.
@felixmagulu6142
@felixmagulu6142 5 лет назад
Hongereni sana makamanda kwa kutetea maisha ya Watanzania na Mali zao, Hizo silaha zinavushwa kutoka nchi jirani,Watanzania tutoe ushirikiano kwa majeshi yetu pindi tunapokuwa na mashaka na watu mitaani kwetu.
@ngasadere7465
@ngasadere7465 5 лет назад
kwa mara yangu ya kwanza ndiyo nimeona askari akiwa na rasta.
@felixmauk4487
@felixmauk4487 5 лет назад
Huyo ni under cover
@hhonest9553
@hhonest9553 5 лет назад
Felix Mauk cover is blown.hamna cover apo
@joshuakiwovele8664
@joshuakiwovele8664 5 лет назад
NmpeleleZi
@wamburajoseph7433
@wamburajoseph7433 5 лет назад
Wapo Wengi Tu na hao Mala Nyingi Huwa Ni wapelelezi
@fadhilimwackipesile8126
@fadhilimwackipesile8126 5 лет назад
Hao hawavai jezi mara nyingi uko nao mtaani
@captainnyotatv001
@captainnyotatv001 5 лет назад
Mi ni Mkenya..sijaiona polisi ana rasta..Bongo mko fayaaaa
@annapeter4994
@annapeter4994 4 года назад
Very good askari wetu Tz wako juuu... Idd amini aliiipata joto ya jiwe wao ndo wanajaribu....
@katidasologuitarlist1946
@katidasologuitarlist1946 2 года назад
Am a Ugandan bt have loved dis man how wish e was a ugandan
@justinbieber8668
@justinbieber8668 5 лет назад
Mungu libaliki jeshi letu
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 5 лет назад
Mungu wa haki na kweli bariki polis wetu wapendwa
@hundamaniamania872
@hundamaniamania872 5 лет назад
Safi sana Hao warundi shuwain sana Wamalizeni mkiwashika hakuna msalie
@hassanmkwama9900
@hassanmkwama9900 5 лет назад
Good job, lazima wanyang'anywe Silaha kwa haraka, na wapotee kabisa!
@dn.n4983
@dn.n4983 5 лет назад
Safi sana yaani muwauwe wote yaani hongera sana tena fanya nchi nzima wanatesa watu sana rais moe cheo huyo kafanya kazi kweli kweli mbarikiwe wote
@janethsamwel1766
@janethsamwel1766 5 лет назад
Alie muona askar ana rasta tujuane
@goodluckmasige5276
@goodluckmasige5276 5 лет назад
kazi nzuri hongereni sana kwa kulinda amani
@maryoswad7022
@maryoswad7022 2 года назад
Kazi njema Mungu awabariki sana pia awarinde maana kazi ngumu sana hiyo
@upendohalisi80
@upendohalisi80 4 года назад
MUNGU BABA awatetee kwa kwa viwango vya tofauti sana na afanye yeye maana hajawahi kushindwa vilevile muwe mnaanza na maombi kila mfikapo maofisini mwenu kama kauli ya Rais anavyosema msiidharau hiyo kauli. Msiende kwa akili zenu wenyewe mnapomtanguliza aliyewaumba mnatetewa hadi na sisimizi na hakuna askari amabye ayakufa kwa kuwa aliyewaumba amekuwa wa kwanza kwenye kazi zenu. Hongereni kwa kazi nzuri sifa ni kwa aliyeziumba mbingu mpya na nchi mpya anastahili yeye tu.
@kahemachowdry7346
@kahemachowdry7346 5 лет назад
HONGERA SANA RPC KIGOMA UMEFANYA KAZI NZURI SANA
@idduyusuph9408
@idduyusuph9408 5 лет назад
Tusio wapenda police Sasa ndo tuone umuimu wao kwetu Aya mengine Ni ya kawaida tu ila bira police sijui ingekuaje tuwaombee tu kasaro ndogo ndogo Ni kawaida tu kwa binadamu
@barakamfugale1049
@barakamfugale1049 4 года назад
Iddu Yusuph ahaa peleka upuuz wako huko
@stephanosostenes4534
@stephanosostenes4534 4 года назад
Naqbalii
@amaninaupendo.3539
@amaninaupendo.3539 5 лет назад
Amen amen. Siku zote nasema ualifu siyo dili .baki na shida zako na wanao wazidi kukuona na kumuomba Mungu akakupe njia sahii ya maisha. Kuliko kufanya ualifu ukafa au kufugwa ukawacha wakiteseka. ( acha ualifu , acha dawa za kulevya , acha wake za watu ili ndoa ziwe na amani. ) ( Vijana wetu Mungu azidi kuwapa macho ya Rohoni na ulinzi wa Malaika)nilisha tekwa na majambazi .ilikua siku mbaya sana ni Mungu tu alisimama. Amen amen.
@shayopaterini8678
@shayopaterini8678 5 лет назад
Duuuu hongeren saana polisi
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 5 лет назад
Hongeren kwa kaz nzur
@mumbatv4167
@mumbatv4167 5 лет назад
Kama na ww ni moja ya mtu ambae hujawahi kuona askari ana rasta gonga like hapaaa
@goodluckminja9101
@goodluckminja9101 5 лет назад
Good job
@mussaabissallamy994
@mussaabissallamy994 4 года назад
Hongera jesh la police kwa kzi nzur
@wilbertmmole4412
@wilbertmmole4412 5 лет назад
Safi kiongozi nakukumbuka sana ukiwa mtwara.
@agustinorichadi1253
@agustinorichadi1253 2 года назад
Duuuu aiseee Mungu mwema
@festotmwacha9855
@festotmwacha9855 5 лет назад
Duniani bana duh.. Mi kwa Mara ya kwanza kuliona boom la kurusha kwa mkono😎 huwa nayaonaga kwenye muvi tuh. Kumbe ndio yako hivyo... #Mungu_awabariki_sana_Makamanda_Na_kuwalinda_zaidi.... Pia wito kwa RAIA wote tuwe tunatoa ushirikiano Na MJESHI YETU... 👏😎👏👏👏👏👏👏
@happykimaya2762
@happykimaya2762 5 лет назад
Kazi nzuri Sana kamanda OTIENO!
@papayatnzania1005
@papayatnzania1005 5 лет назад
Huyu aliepiga hii picha mpaka polisi mwenye Rasta ashugulikiwe ipasavyo ametoa siri ya wapelelezi wetu tena ukome kabisaa siku nyingine don't
@elizabethkisogole34
@elizabethkisogole34 5 лет назад
Nikweli kabisaaa
@salmaomary2100
@salmaomary2100 5 лет назад
Mshenzi kweli huyu muhandish wa habar ndio maana wakat mwengine wananyimwa habar
@kiatu
@kiatu 5 лет назад
Ts & Cs zizingatiwe na pande zote, sio mpiga picha tu. Sehemu nyeti zingeweza kuwa covered up na A-roll wakati wa editing bila kupoteza original footage
@emmanuelbenedicto589
@emmanuelbenedicto589 5 лет назад
Hakukua na haja ya wao kukaa hapo so long kamanda wao ndiye aliyekuwa anatoa taarifa halafu hizi nyingine ambazo zimefanyika kimya kimya haina haja ya kuita waandishi wa habari.
@sir.josephmbeya7017
@sir.josephmbeya7017 5 лет назад
Papaya Tnzania .Kabisaaa
@khalidali1130
@khalidali1130 3 года назад
Hongeren sana jesh la askar la Tanzania nawakubalin mnapiga kaz Tanzania sio nchi ya kuchzewa sio
@AlphonceTIBA
@AlphonceTIBA 5 лет назад
Hongera ACP Otieno, twakuombea kazi ikukubali zaidi na zaidi.
@kapelalugiko9739
@kapelalugiko9739 5 лет назад
Hongereni polisi Kwa kzi muliyofanya
@workfiretvonline
@workfiretvonline 5 лет назад
Saf sana kamanda wauawe wote c hawataki kujishugulisha!
@salimnuhu2369
@salimnuhu2369 5 лет назад
Ahsante jeshi letu kazi nzuri
@glorysimon775
@glorysimon775 5 лет назад
Police wanatakiwa walipwe mishahara mikubwaa sana maana wanauza roho zao jamani kwa ajili ya raia dah
@nasryjafary7542
@nasryjafary7542 5 лет назад
Glory Simon roho gn sasa mshahara ule ule kila kaz ngumu
@hamisimatondo4411
@hamisimatondo4411 5 лет назад
Ndio kazi yao hakuna kazi nyepesi maishani sema waongezewe tu coz maisha magumu
@deograciakashaigili5973
@deograciakashaigili5973 5 лет назад
Yaani umeongea pointi.
@hansjose1898
@hansjose1898 5 лет назад
Roho gan wanauza glory bhna we nyamaza tu,,, matukio yenyew yanatokea maramoja kwa miaka kumi
@hansjose1898
@hansjose1898 5 лет назад
Jeshi kama uko Iran,palestna, somalia ndy wanatakiwa wale mishahara minono bwana, vta kila dakka
@gloriamichael3698
@gloriamichael3698 5 лет назад
Asante lkn ficha sura za hao makachero wetu pls
@oscarkasalile8146
@oscarkasalile8146 4 года назад
Hiyo Ni kazi nzuri ya polisi ongera sana
@gib3888
@gib3888 Год назад
Kazi nzuri snaa mbarikiwe
@fjtvofficialtz5260
@fjtvofficialtz5260 5 лет назад
Hongereni sana makamanda wetu.
@mussaabdalla285
@mussaabdalla285 4 года назад
Hogereni jeshiletu 👍👍👍
@homayajiji9017
@homayajiji9017 5 лет назад
Kazi nzuri jeshi letu la polisi
@lushotosdachoir2915
@lushotosdachoir2915 5 лет назад
Dah usiombe ukakutana na warundi wana roho mbaya bora jambazi la kibongo
@adelinaneema619
@adelinaneema619 5 лет назад
Kawani hakuna watanzania wenye roho mbaya
@shariffsheikhan2165
@shariffsheikhan2165 5 лет назад
@@adelinaneema619 Wapo wengi tu,kwa mfano watu wasiojulikana
@linkreuben5804
@linkreuben5804 5 лет назад
Roho mbaya anayo shetani tu, ila ashukuliwe Mungu kamshinda shetani!
@linkreuben5804
@linkreuben5804 5 лет назад
@@shariffsheikhan2165 haujitambui, Unahuruka za kipofu! Achana na maneno ya wanasiasa hayakusaidii!
@shariffsheikhan2165
@shariffsheikhan2165 5 лет назад
@@linkreuben5804 Wewe ndio hujitambui roho mbaya has nothing to do with utaifa wa mtu.Uwe Mrundi,Mtz,Mkenya au Mnyarwanda
@shazirirashidi5794
@shazirirashidi5794 5 лет назад
JESH LA TZ LINAFANYA KAZI MZUR SANA MUNGU AWALINDE 😚😚😘
@micamathew6433
@micamathew6433 5 лет назад
Lkn, jambo la kushukuru sana ni hilo bomu haikulipuka, ingeleta madhara kwa askari wetu, Mungu yuko upande wetu. Amen.
@hawamoyo4174
@hawamoyo4174 4 года назад
Big up sanaa
@medsonulendo4221
@medsonulendo4221 5 лет назад
Nakuona kiongoz kasoro upo na kamanda wako hongoren kwa kaz nzuri
@bonytito9380
@bonytito9380 5 лет назад
Safi makamanda
@abishaibahemu3345
@abishaibahemu3345 4 года назад
Safi sana makamanda wetu Mung u azidi kuwatia nguvu
@frashconnect.1
@frashconnect.1 5 лет назад
Good job Police Team.
@dazuuhmd819
@dazuuhmd819 5 лет назад
Safi sana tzn yangu mnanipa raha kukabiliana na hawa watu nihatari sana
@tanzaniamycountry9308
@tanzaniamycountry9308 5 лет назад
Hongeren xana jesh la police
@salmaomary7793
@salmaomary7793 4 года назад
Duh Yaani hawa warundi wanatutesa jamn
@christinadaniel3274
@christinadaniel3274 4 года назад
Hatari sana
@vince_vinson.2083
@vince_vinson.2083 5 лет назад
Hivi huyo aliyeka dole chini kwenye hii video. Hivi ni mzima kweli ! Hongereni jeshi letu la polisi.
@hhonest9553
@hhonest9553 5 лет назад
Iyo ndio JAMBAZI Dislike.chama cha majambazi kimemind🤪
@happysindani6708
@happysindani6708 5 лет назад
Ni jambaz hilo
@mstzchannel2000
@mstzchannel2000 5 лет назад
hongera jeshi la polisi
@BilalNassoro
@BilalNassoro 11 месяцев назад
Mungu ibaliki tanzania
@isaacmbuna8898
@isaacmbuna8898 2 года назад
Big up sana Kamanda Otieno kgm bado tunakumbuka mchango wako
@jelasnkoma4240
@jelasnkoma4240 5 лет назад
"Haya Mapanga Shaaaa dakika 4:20" mmeshikia hiyo
@frereprincemasalagospel2341
@frereprincemasalagospel2341 3 года назад
Musishangae omba mungu
@goodluckkagoma5903
@goodluckkagoma5903 5 лет назад
Jalibuni kuwa mnaficha baadhi ya picha kwenye matukio
@rachellaizer941
@rachellaizer941 5 лет назад
Jeshi la polisi wana umuhimu mkubwa saana Mungu awaimarishe kama sio wao hata sisi tungeuana na kutishiana maisha sana lakini tukikumbuka polisi mm heshma debe huthubutu hata kumnyamnyapaa mwenzako
@dct4lif
@dct4lif 5 лет назад
Wamekimbia helikopta za polisi ziko wapi ? Polisi wetu wazuri lakini vitendea kazi bado ni changamoto sana
@nyerere1259
@nyerere1259 5 лет назад
Ukiona askari wanafanya kazi nzuri Kama hivi Ujue Kuna uongozi mzuri.... Hongera Afande MARTIN OTIENO..... Upcoming IGP.
@cytkl
@cytkl 3 года назад
Waafrika tupendane tuache kuuana wenyewe adui zetu ni wengine...
@stopearnoma3517
@stopearnoma3517 5 лет назад
Big up jeshi la polisi
@dd-yc1mw
@dd-yc1mw 5 лет назад
Safi sana jeshi la polisi
@johnsonjosephat1701
@johnsonjosephat1701 5 лет назад
Kazi nzuri comrades
@dianandarichako1560
@dianandarichako1560 5 лет назад
Daaaaah kati ya hao wawili walio fariki mmoja alikua ndugu yetu daaa roho iliniuma sana
@tinagorges3741
@tinagorges3741 5 лет назад
Hongerasana .jeshi lapolice kigoma nikwelikabisa kaka ikiwahivoo inabidi umuwahi umtangulizeyeye kwanza alipotaka kukupeleka hawanawema hawa majizii
@ameenaabdood2974
@ameenaabdood2974 3 года назад
Ongela afandr
@mussamkalawa2101
@mussamkalawa2101 5 лет назад
Safi Sana uwawote haoooooo
@teddyhenry2579
@teddyhenry2579 4 года назад
Kamanda umetisha mapanga shaaa mpaka nimecheka
@ronaldsariah8760
@ronaldsariah8760 5 лет назад
Safi sana. Ila sio sahihi kuwaonesha baadhi ya askari kama hivi. Usalama wao unauweka rehani
@rebekamsukwa4770
@rebekamsukwa4770 5 лет назад
Hakika jombaa uko sahihi kuna wengne hatukutakiw kabisa kuwaona .....Ingekuw vizur hiyo video wangeifuta
@ronaldsariah8760
@ronaldsariah8760 5 лет назад
@@rebekamsukwa4770 nadhani hilo wataliona vinginevyo nitampigia mhusika wa juu yao. Ni mbaya hii. Nadhani wamewahi sana kuitoa hii taarifa maana haina hata 18hours. Na wanaonesha mpaka bettle ground. Ni mapungufu
@mrvibe1289
@mrvibe1289 5 лет назад
Kigoma mungu awalinde
@d.m.t4932
@d.m.t4932 5 лет назад
gonga chuma mpaka waokoke
@hassanmugire1497
@hassanmugire1497 4 года назад
Hao marasta wanfuga kwa lazima au natamn niwe rasta police
@nyandwiclaude5172
@nyandwiclaude5172 3 года назад
Hata kure Saranda na Sukamahela mkoa singida karibuna manyoni huko kwenye mteremko wa sukamahera na saranda majambazi niwengi usiku
@mohdsalum3832
@mohdsalum3832 5 лет назад
Safi sana afande mnajitahidi
@oscarkasalile9367
@oscarkasalile9367 5 лет назад
Safi sana
@masumbukoclement4582
@masumbukoclement4582 2 года назад
Kamanda Kazi Nzuli
@ezekielsabiyumva7949
@ezekielsabiyumva7949 5 лет назад
Mshahara wa dhambi Ni mauti wamekinywea kikombo walichotaka kuwapimia wengine
@mangenyanyondo7357
@mangenyanyondo7357 5 лет назад
Hongera sanaa
Далее
TAJIRI WA MABUS  SUPER FEO ATOA SIRI YA KUWA BILIONEA
10:36
Ong Bak | Fight Club Scene
15:05
Просмотров 72 млн