Тёмный
No video :(

TUNDU LISSU AGOMA KWENDA POLISI, APUUZA KAULI YA WAZIRI NAPE KUHUSU KUMTUKANA RAIS SAMIA, Asema…… 

HABARIMPYA TV
Подписаться 615 тыс.
Просмотров 88 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 июл 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 81   
@stephenndagalla8183
@stephenndagalla8183 Год назад
Hakika wanahabari wetu kama ndio wengi/wote ni WA aina hii (mhojaji), Tz Ina kazi kubwa sana. Lissu na wenzake ATI wanapiga kelele!!
@thomastarimo
@thomastarimo Год назад
kauli ya eshima ni hipi labda wewe unayotaka atoe labda ulitaka atoe kauli kutoka mbinguni
@thomastarimo
@thomastarimo Год назад
asante sana mweshimiwa hii nchi siyo nchi ya kifalume
@thomastarimo
@thomastarimo Год назад
mweshimiwa lisu tuko nyuma yako bega kwa bega
@user-tb1gd4dp9s
@user-tb1gd4dp9s Год назад
Ww unayemuona Lisu ni puuzi mm naona mama yako ndo mpuuzi
@karimkassam571
@karimkassam571 Год назад
Lisu NI mpuuzi tu kama wapuuzi wengine kama wewe
@memoryngambi7570
@memoryngambi7570 Год назад
Jamani wazazi wamekosa Nini tena,haya ni maswala ya kupita tu,kwani mzazi wake ndo ame comment?
@LackeHanti
@LackeHanti 3 месяца назад
G😮vp​@@memoryngambi7570
@Ambwene
@Ambwene Год назад
Mwamba Huyu hapa Lisu 👊 🤜 🤛
@DannMelau
@DannMelau Год назад
Mweshimiwa tundu liss uko sawa kabsa ❤
@JimokuPaul
@JimokuPaul Месяц назад
Lisu watwange wakukome
@MohamedAbdallahSaid
@MohamedAbdallahSaid 11 месяцев назад
Hawa wamekula nidhamu za Wazungu .Ni muhimu kuliko hata Biblia yake. Nidhamu za kusema uongo iliupate Uongozi naona nizakishetani tuu.
@MaxCharles-wj5dg
@MaxCharles-wj5dg Месяц назад
mwamba huyuuu usiwasikie machawa hao
@ofreyking5975
@ofreyking5975 Год назад
Tatizo nchii hii watu wanataka tutawaliwe sio tuongozwe kwa mujibu wa shelia na katiba
@johnkitwima6963
@johnkitwima6963 Год назад
Kwani Rais yeye anakuwaga Ni Mungu , ndugu mwa/habari
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 Год назад
Mungu akulinde Lisu
@shahadaushindi7745
@shahadaushindi7745 Год назад
Tatizo tunakosea sana kumlinganisha raisi na Mungu.
@leokamil6284
@leokamil6284 Год назад
Na inaumiza
@Paka5026
@Paka5026 Год назад
Upo vizr brother wew ni jembe
@AreldFrednand
@AreldFrednand 9 месяцев назад
Aisee
@josephtibu4591
@josephtibu4591 Год назад
mungu ibariki tanzania
@aroneymarjr9676
@aroneymarjr9676 Год назад
Amekuwa akipush jambo la mkataba wa bandari lisitishwe au vifungu vibadilishwe hii nchi hii Yuda wengi xna mtu anachekelea kuingia mikataba mibovu Magufuli alituambia kila kitu sisi wananchi na hao watu wa upinzani wanasema mulemule mm xna Imani kabisa na huu uongozi wa kinafiki.Angalieni watoto wetu wanaokuja lkn ujinga umetujaa hii nchi na siasa za ubabaishaji, hatuwez kufika.🇹🇿
@soudia9084
@soudia9084 Год назад
Magufuli aliyetuma watu wampige risasi na kupelekwa ubelgiji mpaka Samia kumwamvia arudi? Anatakiwa awaambie wafuasi wake ndie huyuraisi aliyenipa ruhusa kurudi.
@joojombi2341
@joojombi2341 Год назад
Fatani mkubwa huyo bhana hana adabu tu halafu anataka urais hana maadili muhuni tu mkubwa
@kiseleomari722
@kiseleomari722 Год назад
Nimkumbushe rais wangu mpendwa alifanya makosa makubwa kumludisha mpuuzi uyo uyu angekufia uko.uko ni mtu asiye na hadabu
@user-gr9wc7bc2m
@user-gr9wc7bc2m Год назад
Una maana gani si wafukuzwe wanaotufanya tuanagaike ktk nchi yetu wanauza kila kitu mkaguzi wa serikali anawataja wazi lkn hawakamatwi
@JosephJeremiah-go1dn
@JosephJeremiah-go1dn Год назад
Rais gan huyo unayemtetea
@leokamil6284
@leokamil6284 Год назад
Wewe hutokufa shenzi wewe
@shahadaushindi7745
@shahadaushindi7745 Год назад
Ukipenda mwenza afe na wakati muumba wetu anasema( mimi sikufurahii kufa kwake mtu yoyote na kwa kwamba amchukia mwenza ni muuaji wewe ni namba moja. Rais sio mungu, na yeye anamshujudia mungu. Kumbuka ni chaguo la.wananchi ili kuwahudumia watu wa mungu. Yesu alitukakanwa sana, na kukataliwa sana lakini hatukuona DCI. Kuna mahali yesu aliitwa mwalimu Mwema akakata akisema yeye sio mwema isipokuwa mmoja tu ,( Muumba wa kila kitu). Kama mtu amezungumza adharqni ajibiwe adharani kwa hoja ndiyo upendo huo na sio chuki bila hoja kujibiwa. Wewe ukijihesabia haki, kuna anyejua hiyo haki yako ni ya kiwango gani. Rumi 19: 21... inasema usilipe baya kwa baya bali lipa wema( kwa maana ya jawabu). Mnapomuwazia mwengine mabaya...ataendelea kuishi. Nakumbuka Lowasa wengi walisema atakufa, lakini bado yupo na wamekufa wangapi wakamuacha? Bro jifunze.
@karimkassam571
@karimkassam571 Год назад
Ni kweli na sio kumrudisha huyu mpuuzi..Bali hata kuruhusu mikutano ya kipuuzi ya hawa wajinga ....MH...rais amekosea...sana...
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 Год назад
Hyu asirud Tena ulaya yn gvt imuonyeshe uwezo
@mr_kajomba_og5719
@mr_kajomba_og5719 Год назад
Lissu bana 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@user-bx3ko9ft5t
@user-bx3ko9ft5t Год назад
Lisu nimsomi unae mpinga lisu nikilaza wa ccm
@yasinimuna3570
@yasinimuna3570 3 месяца назад
3:30 3:30
@gridkibanda2582
@gridkibanda2582 Год назад
Wanasheria wa nchi hii fanyeni kazi moja ya kutafusiri huo mkataba kwa kiswahili sambaza vijijini na mijini ata kwa njia ya simu watu waelewe kilichoandikwa mle kwa kujionea sio kwa kuambiwa
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Год назад
Wameshautafsiri mbona muda mrefu.
@remidusmwanandenje-yy5gs
@remidusmwanandenje-yy5gs Год назад
Ata makofi anakula akizingua😂😂😂😂😂
@ondieckotoyo1143
@ondieckotoyo1143 Год назад
Ni wakati pia ya kuoji muungano wa Tanganyika na zanzibar Kama ni muungano tuwe na rais moja wa Tanzania bendera moja nchi moja katiba moja Zanzibar ilishajitenga, lina katiba yake, rais wake, bendera yake , mipaka yake na majeshi yake, na bado wananufaika na kumiliki ardhi ya bara ambayo siyo sehemu ya muungano huku watanganyika hawaruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar hivyo wazibari wasiongeleh ubaguzi pale watanganyika wanapoibua hoja ya kero ya muungano hoja za watanganyika zisibezwe hata kidogo au kuzikejeli
@YusuphAlly-th2zh
@YusuphAlly-th2zh 11 месяцев назад
Je? unajua mpaka wazanzibar niupi? Inaonesha haujui mambo
@malyondanga4635
@malyondanga4635 10 месяцев назад
Lisu Uko vizuri umeivaa sikamawale
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Год назад
Nape akuita police akiwa km nani mpuuzi huhu sana rais akikosea lazima umwelenze ukweli ili ajue kwani marais hawakoseagi? Mbona kawaida hakuna mwanadamu asiekoaea hapana sisi siyo malaika broo elewa hilo
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 Год назад
Hyu atenguliwe kiuno kabisa
@queenremilyimo419
@queenremilyimo419 Год назад
Wew mavi kweeli
@leokamil6284
@leokamil6284 Год назад
Mungu ageuze kauli yako kivunjike chako
@redmiuser2467
@redmiuser2467 Год назад
Weweniwaziri wamashoga lisu
@user-zx2yd4bl2x
@user-zx2yd4bl2x Год назад
Kwa Ufupi huna Adabu
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 Год назад
Muoga anajiamini kosa aliishaamviwa
@lanezboy7016
@lanezboy7016 Год назад
Huyo anampa mwenzake 5500 ya nn
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Год назад
Hoja hakuna sikuhizi ni Bandari, Ina maana Ulinzi na Usalama wa Wananchi uko poa, kazi nzuri Mheshimiwa Rais SSH
@TwahaSaidiLigoola-kr1rt
@TwahaSaidiLigoola-kr1rt Год назад
Uyo n wakili ambae hana akili
@sasakawagroupone50
@sasakawagroupone50 Год назад
Mwehu
@dominikishilali4645
@dominikishilali4645 Год назад
police wa watanzania au
@cairoshampeny
@cairoshampeny Год назад
KOMANDO ANAONGEA SAF
@devothabahati6548
@devothabahati6548 Год назад
Sema baba Mungu yupo pamoja nasi
@prospermalala6636
@prospermalala6636 3 месяца назад
IQ kubwa inawatesa Sana CCM hawataki kabisa kuzisikiaa hoja zinazo elimisha jamiii iliyopotea hapa nyumbani kwetu Tanzania,
@user-nt4lp9dy6i
@user-nt4lp9dy6i Год назад
Katiba mpya itumike
@karimkassam571
@karimkassam571 Год назад
Wivu tu....na 2025 atachaguliwa kwa kishindo....na mtabaki na aibu....na mikutano ya kipumbavu...
@monicamwita7865
@monicamwita7865 26 дней назад
Kwà wizi kurà kupitia nape
@timboxlee919
@timboxlee919 Год назад
Safi Sana tindu lisu,
@DottoMussa-fx8pn
@DottoMussa-fx8pn Год назад
Mwanasheria msomi sk zot atabak kua msom2
@fortyyellu9971
@fortyyellu9971 5 месяцев назад
Uko sawa kabisa lissu... mtu akikosea lazima asemwe
@jhfgbn87hshswj17
@jhfgbn87hshswj17 Год назад
We mkudu tu baba
@YusuphAlly-th2zh
@YusuphAlly-th2zh 11 месяцев назад
Pigania ukristo wako
@castromemba6311
@castromemba6311 Год назад
Huyu ni Kiongozi, anayethubutu
@EdgarLema-qi9or
@EdgarLema-qi9or Год назад
Wambie ukwel waelewe
@cairoshampeny
@cairoshampeny Год назад
RAIS NIMTU AKIKOSEA AKOSOLEWE
@redmiuser2467
@redmiuser2467 Год назад
lisu wewenimgonjwa Unaakili
@bahiyalumelezy3016
@bahiyalumelezy3016 Год назад
Babu kuishiwa huyu kabaki kupuyanga na kuropoka mchanga alilazimisha hauna thamani wapelekewe tu bwana zake leo anajishauwa nini?sakubimbi mkubwa kibaraka.
@albertmushithobias9628
@albertmushithobias9628 Год назад
Marehemu anaeishi❤😂
@dottomatola5905
@dottomatola5905 Год назад
Huyu na mzee wa kitendawili ya kenya ndugu moja
@Eliasmollel-pb3ef
@Eliasmollel-pb3ef Год назад
ukweli siku zote imauma sema yt mkuu
@samwelhiinyamhangahiileosi1060
Tanzania hii toka magu aondoke kila mbweha hubweka tu Ila angelikuwepo
@hashirali4587
@hashirali4587 Год назад
Jamaa Hana adabu hufai kuwa kiongpzi
@abuuhudhaifa5134
@abuuhudhaifa5134 Год назад
Kukosoa kupo ila si kila mtu utamkosoa tu kivyovyote utakavyo lazima kuna kuchunga maneno ndo mana hata baba na mama huwezi kuzungumza nao pindi wanapo kosea kama unavyo zungumza na wanao wanapo kosea,,,, elimu bila ya adabu ni kazi bure huwezi kuongea hovyo juu ya mtu ambae ni amiri jeshi mkuu je akiamua ukichaa na yeye utabaki salama!?
@user-es9fc4fy9i
@user-es9fc4fy9i 11 месяцев назад
Maombi ni silaha
@almasjuma6872
@almasjuma6872 Год назад
wewe nimwehu
@jacksonmartin8485
@jacksonmartin8485 Год назад
Ujuaji mwingi mpaka unakera siku
@jacksonmartin8485
@jacksonmartin8485 Год назад
Hata ujaambiwa wewe ni mtu mzima sio kila jambo litaandikwa kwenye katiba kuwa na nidhamu hata wewe kuna watu wanakuheshimu achana na ujuaji uliopitiliza brother
@aroneymarjr9676
@aroneymarjr9676 Год назад
Hivi naww unamkosoa lissu so kila kauli wanazotoa vyama vya upinzani ni mbaya au nzur lkn swala la bandari hili limekaa vibaya linaudhi xna.
Далее
до/после Знакомо?
00:16
Просмотров 13 тыс.
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
Просмотров 16 млн
TUNDU LISU
5:39
Просмотров 22 тыс.
до/после Знакомо?
00:16
Просмотров 13 тыс.