Тёмный
No video :(

NI SUGU AU MSIGWA? NANI AMEKUSHAWISHI? 

SK Media Online TV
Подписаться 55 тыс.
Просмотров 16 тыс.
50% 1

Fuatilia uchambuzi wa mdahalo kati ya Joseph Mbilinyi (Sugu) na Peter Msigwa wanaowania nafasi ya Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa katika CHADEMA.

Опубликовано:

 

25 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 185   
@IddiBakari-uj4te
@IddiBakari-uj4te 2 месяца назад
Chilwa naipenda chadema kuliko maishayangu. Shida tukipata viongozi wanasahau walikotoka inaumasana naonavunja moyo tunapoteza wanachama. Kaka Sugu lifanyiye kazihilo.
@mussanyarubamba5848
@mussanyarubamba5848 2 месяца назад
Uwezo wa sugu ni mdogo sana ktk mjadala, anarukia rukia issues ambazo zinakitia dosari chama kama office nk na kuacha maswali ya msingi, pia ana jazba na anasahau huo ni mdahalo ndani ya chama sio dhidi ya ccm , kuhusu utendaji sijui sana lkn ikiwa tutaamua kwa kufuata mdahalo basi sugu bado sana!
@FranksonMkumbwa-mb3pp
@FranksonMkumbwa-mb3pp 2 месяца назад
Msigwa hajui nn amefanya unaongeza nn ww
@Byondorujulika17
@Byondorujulika17 2 месяца назад
Nawapenda wote , Sugu 50% , Musigwa 50%. From Cedar Rapids Iowa state USA
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 2 месяца назад
Hii midahalo ikiwa inafanyika hivi kwa uwazi ni nzuri sana bigup msigwa
@MaruzzoTz
@MaruzzoTz 2 месяца назад
Kwa mtazamo wangu , msigwa Hana hoja na ajajibu maswali aliyoulizwa na maswali yalikuwa yakawaida sana haitaji ata kufikiria mara mbili kwa mtu mwenye uzoefu hajaonyesha ukomavu ni ubabaishaji na maneno ya ngonjera na bwana fisi. Sugu ametulia na ana reason kwa anachokijibu . Msigwa anakurupuka ni aibu kwa mtu mwenye experience kujibu kwa kukurupuka au kutokuwa na critical thinking katika kujibu maswali kwa usahihi . Naona sugu ana asilimia kubwa ya kuchukua nafasi hii na anastahili kupatiwa hiyo nafasi kuonyesha uwezo wake wakuleta mabadiriko katika Kanda ya nyanza .
@jacobmwankenja5466
@jacobmwankenja5466 2 месяца назад
Kwa kweli mdhahalo ulikuwa moto na mzuri sana, big up chama langu Chadema, mmekomaa
@user-fw6dp9iy4i
@user-fw6dp9iy4i 2 месяца назад
Bila ushabikimdahalo umemuongezea sugu credit,,,,, Utulivu ,ujibujimaswali Kwa mantiki Mahalo unauonyesha msigwa tofauti, anahamanika,,,, Kwa mdahalo huuu Kura yangu Sugu Sugu Sugu
@johnkayolo4640
@johnkayolo4640 2 месяца назад
Msigwa amemzidi sugu Kwa kila jambo, shida ya Sugu akuelewa kuwa hapo kwenye mdahalo alitakiwa akijengee heshima chama na huku akishawishi apewe kura, lakini huku mwisho ameonekana akimkosea adabu mwenzake Kwa kusema alikuwa ahaminiki ktk chama, Sugu ameonyesha uwezi mdogo sana wa stahimili hoja chungu. Hivi anawezaje kusema Msigwa alikosea kutokwenda ikulu Kwa wakati ule. Sugu ametumia kila aina ya lugha chafu ili apate uongozi. Hii ni hatari Kwa Chama.
@NNONGWA
@NNONGWA 2 месяца назад
Nimewashangaaa ssna, huyu Bint Mayemba wa Njombe ni mtupu na namna nilivoona Wametoka vipande hawajakubaliana lakini itoshe kwa Sugu kuelewa Mbeya anakaboliana na nani ? Lakini pia namuona Mungai aki influence kuondoka kwa Msigwa ni wazi Iringa haitapoteza jimbo hata moja mbeya pia , ila Songwe ndiko kuna kazi ya kweli....Chadema wamepoteza sanaaaa....Once a Legendary ktk Medani wanapaswa wajue Sugu ni compromised fellow.
@NNONGWA
@NNONGWA 2 месяца назад
CCM iringa itapita majimbo yoteee....Mbeya piaaaa....
@MuhojaMalicho
@MuhojaMalicho 2 месяца назад
Musigwa yuko vizur kanda ya nyasa imeimalika sana
@adenmwakalobo760
@adenmwakalobo760 2 месяца назад
Wawili hawa ni wazuri na walijaribiwa na JPM wakastahimili. Ingawa hivyo wanapaswa kuongeza uelewa, kila mmoja ktk eneo au maeneo fulani. Sugu alibughudhiwa zaidi pale alipofungwa na nadhani ndipo alipompoteza mzazi wake-jambo zito kuliko yote hilo! Hata hivyo, kwake kudai Msigwa angekubali mwaliko wa ikulu ya JPM ilhali ilijulikana ni kutaka kumnunua (hongo) ni kuyumba! Huwezi kuitikia wito wa Rais wa nchi anayetaka kukurubuni halafu utuambie ukifika ikulu utamgomea, HUWEZI na nadhani haishauriwi!!! Hivyo Msigwa anastahili pongezi ktk lile. Nahisi Sugu ana PR nzuri na watu, lakini nahisi ni mtu wa nadharia kuliko kutenda. Msigwa alipaswa kudai ushahidi kutoka kwa aliyemtuhumu kudai pesa, badala ya kulijibu kijuujuu suala nyeti kama rushwa. Mwisho, nadhani waboreshe uhusiano kati Yao itawasaidia ktk majimbo yao dhidi ya ccm tunayotaka iondoke madarakani
@kashiririrkaasongwisye9487
@kashiririrkaasongwisye9487 2 месяца назад
Huu ni mtihani mgumu sana hapo wote wako bora sana lakn itabidi ashinde mmoja tu mwingine awe makamu wanajitahidi kujenga hoja na kujibu hoja
@kashiririrkaasongwisye9487
@kashiririrkaasongwisye9487 2 месяца назад
Mch. Msigwa bado anao uwezo mkubwa wa kuongoza na pia sugu mbilinyi ana vision kubwa sisi wengine tunatakiwa kupata SoMo kutoka kwenye mlengo ya mdahalo huu hasa kuona uchaguzi ni ligi nzuri yenye irafiki sio vita!
@manfredkibona3126
@manfredkibona3126 2 месяца назад
Msigwa ni public speaker mzuri laki kama anaamini chadema ni kubwa kuliko MTU ni muda muafaka akae pembeni miaka kumi ni mingi aache vipawa vingine vitoe mchango
@Flaviosafari
@Flaviosafari 2 месяца назад
Chadema kimekomaa. Wote wako vizuri! Tunajifunza. Tunahitaji vyama kama hivi.
@wilsonsikahanga1761
@wilsonsikahanga1761 2 месяца назад
sijaridhika na majibu mchungaji, hasa katika kutengeneza miongozo ya maendeleo ya chama hasa ujenzi wa ofisi
@sammykateregga6238
@sammykateregga6238 2 месяца назад
Mimi nadhani Kuna haha ya kubadilisha uongozi ili tupate vision mpya ambazo nimeziona kwa Mhe Sugu. Mch tumpe nafasi nyingine kwa Sasa.
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 2 месяца назад
Wameanza vozuri lakin MWISHONI nimeshangaa maneno ya Sugu kuropoka siri za ndani ndani kuwa Msigwa haaminiki ktk chama... Hili ni tatizo. Nasema tena hilo ni tatizo
@malinzirutta3391
@malinzirutta3391 2 месяца назад
Msigwa ni philosopher, kiongozi. Sugu ni mtendaji anafaa sana kuhanasisha matukio My take ni kuwa, A Nation is governed by philosopher. Msigwa anafaa zaidi kuongoza kanda, kuwajenga watu kisaikolojia. Sugu anafaa sana kuhamasisha matukio ili yafanikiwe.
@user-te1uk3ku8b
@user-te1uk3ku8b 2 месяца назад
Msingwa nikiongozi mnzuri ira nigependa tumuone na sungu .masns wote wako vinzuri
@ogweyoranga8110
@ogweyoranga8110 2 месяца назад
Mimi nitashangaa sana kama wanachama watamwacha Msigwa wamchague Sugu.
@FranksonMkumbwa-mb3pp
@FranksonMkumbwa-mb3pp 2 месяца назад
Muongo ww, amejibu nn haswa
@HappyKitindi
@HappyKitindi 25 дней назад
Ndo maana amewakimbia 😂😂😂😂😂
@jonathanakhabuhaya1693
@jonathanakhabuhaya1693 2 месяца назад
Mjadala huu unaonesha kuwa CHADEMA kimekomaa sana. Hii ndo tunataka CCM ifanye. Wagombea wa CCM wafanye midahalo ya aina hii ili tuwaone na kuwauliza maswali. Na vilevile vyama vikubwa (hususan CCM, CHADEMA na ACT WAZALENDO) vikutanike na kufanya midahalo ya ya aina hii ili wananchi tuweze kuchagua viongozi wanaofaa. Hii ndo kazi ya luninga yetu ya TBC. Chacha Ryoba aachane na "cheap" programs na interviews ambazo zinaelekea kusaidia chama kimoja. Ryoba asisahau kuwa kesho chama anachokisukumasukuma huenda kisiwepo madarakani. Big Up CHADEMA,
@drsumatz7539
@drsumatz7539 2 месяца назад
Msigwa kimemuua kile cha wamasai na yy kujikita kweny kuunga ccm mkono
@karamarwamugema3700
@karamarwamugema3700 2 месяца назад
Msigwa nafikiri hata yeye anajua kuwa sugu anamzidi kitu fulani katika kadamnasi. Msigwa anafaa zaidi kufanya kazi makao makuu ya chama kama political officer (commissioner) kama nafasi hiyo ipo katika katiba ya CHADEMA.
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 2 месяца назад
Msigwa IKULU ungekwenda kukisemea chadema,ungeuliza WATU WASIOJULIKANA NA KESI ZA KUBAMBIKIWA.WEWE UMETUMIKA SANA SANA.
@safaribuganga
@safaribuganga 2 месяца назад
CHADEMA ina majembe wote wazuri
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 2 месяца назад
Uzuri wa sura au!
@carolsangawe2024
@carolsangawe2024 2 месяца назад
Kuna ushabiki unaandikwa humu lakini msigwa amemzidi sugu kwa mbali sana
@FranksonMkumbwa-mb3pp
@FranksonMkumbwa-mb3pp 2 месяца назад
😅😅😅 amemzd nn haswa, sugu anajibu vzr
@HappyKitindi
@HappyKitindi 25 дней назад
Msigwa Yuko critical sana
@musamagulu2023
@musamagulu2023 Месяц назад
Nimeiona democracy kwa Mr Sugu,anafaa na ni kiongozi makin mwenye vision,huyo msigwa mmmhhh mazoea mengi let him go home
@user-od3fv4zb8u
@user-od3fv4zb8u 2 месяца назад
Joseph mbilinyi also known as sugu
@HappyKitindi
@HappyKitindi 25 дней назад
Ukiangalia kwa makini unagundua kuwa kabla msigwa hajahama comment nyingi zinambeba kuwa bora na alistahili ila baada ya kuhama unaona comment zinambeba Sugu. Mwenye akili haambiwi tazama
@sylvanuskavindi2756
@sylvanuskavindi2756 2 месяца назад
Wana mihemko, kupewa nchi hawa hapana. Hawatakuwa na tofauti yoyote na CCM
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo 2 месяца назад
Kuna siasa bila mihemko? Kwa hiyo unaridhika na mihemko ya CCM kwa miaka 63? Au una chama kingine? Tujulishe.
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 2 месяца назад
msigwA is the head lnto. Chadema political party let be frank has to be avoided such debeghty on one political party Your analysis vary brave as the professional tanzania janalist
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 2 месяца назад
NIMEPENDA SANA LIVE PARTICIPATIVE
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 2 месяца назад
msigwA is the brain hide political cicret vary lptantAnt this is what msigwA do into midia
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 2 месяца назад
Mbilinyi even late julias kambarege Nyerere during his life time in politics he was asking help to odinary people why you can be a leader but you don't hame money into opposition we need sacrifice both sides leader and odinary people together we building one thing
@gastonmbilinyi382
@gastonmbilinyi382 2 месяца назад
Wote ni wazuri. Ila kiongozi hapo ni Msigwa. Sugu aendelee kumshauri Msigwa kwa usitawi wa chama chetu.
@carolsangawe2024
@carolsangawe2024 2 месяца назад
Msigwa his very bright man. Anajua uongozi. Sugu bado.
@fridolinusboniface3574
@fridolinusboniface3574 2 месяца назад
Msigwa anafaa , ameiva.
@julianamichael1848
@julianamichael1848 2 месяца назад
Wote wako vizuri
@IddiBakari-uj4te
@IddiBakari-uj4te 2 месяца назад
Chilwa songea town nisawa hanaf 33:48 aa poent kafanya nn? Tumpe sugu tuone karamazake. Viongozi wachini wanatengwa sana ndikowanakotenngenezwa wanachama!
@GSengo
@GSengo 2 месяца назад
SUGU IS THE BEST
@evelina9621
@evelina9621 Месяц назад
Sugu.alijibu. vizuri.a,namalengo.ewena.moyo.wajitoa
@evelina9621
@evelina9621 2 месяца назад
Wananuliwa Wi.ngi
@user-xe8xv6so6s
@user-xe8xv6so6s 2 месяца назад
Sugu hongera Sana. Umetulia kwenye maswali.
@richardnyarugenda9769
@richardnyarugenda9769 2 месяца назад
Sigu anafaa, hana mbwembwe na mambo mengi
@Sheba4651
@Sheba4651 2 месяца назад
Hata mimi naona ni vyema alivyokataa kuenda, muda huu angekua akhera tu, japo na magu naye yupo huko huko, na mimi nitaenda huko huko, ila kuna kutangulia, ama kutangulizwa.
@francisjohanes3027
@francisjohanes3027 2 месяца назад
Hawa wote wameiva wako vizuri
@amanmwamluku9772
@amanmwamluku9772 Месяц назад
sugu nampa kura yangu
@LissaJonas
@LissaJonas 2 месяца назад
Kulala nyumbani sio tija,kula Wali na migebuka sio case, tunahitaji awe specific, maendeleo gani? Ana generelise sana.
@falakangesa5886
@falakangesa5886 2 месяца назад
Coment za mapez ya chama wote bàdo
@user-tu8tl2lg4b
@user-tu8tl2lg4b 2 месяца назад
Hakuna kuchukua Dora makonda anaijenga nchi
@allyshaban406
@allyshaban406 2 месяца назад
Msigwa!! Ana maono
@FranksonMkumbwa-mb3pp
@FranksonMkumbwa-mb3pp 2 месяца назад
😅😅😅😅 Maono yao? Maana hajasema hata moja
@rastheunique
@rastheunique 2 месяца назад
Mchungaji yupo vizuri! Sugu ego yake inampelekea kupeleka personal attack tu Kwa mwenzake 😅
@user-es4tq5qe7v
@user-es4tq5qe7v Месяц назад
Sugu brow
@evelina9621
@evelina9621 Месяц назад
Wewe.dada.unaye.sema.nakupenda.unase.ma.kweli.uwezo.mkubwa.akili.ysko.juu
@SaidShemkieti
@SaidShemkieti 2 месяца назад
Tatizo sugu amefungwa mdomo sanaa haswa kwenye huu uongozi wa mama na hii ni baada ya kufanyiwa tamasha kubwa kule mbeya na mama akiwa mgeni rasmi sijawahi sikia sugu akihoji au kuchallange chchte kile kinachoendelea kwenye uongozi huu wa mama mimi kula yangu nampa msingwa
@alanlugano3322
@alanlugano3322 Месяц назад
Sugu
@oss6689
@oss6689 2 месяца назад
Msigwa
@Wamisangi
@Wamisangi 2 месяца назад
Kama ni kuchagua kiongozi wa watu wote basi ni ..... Lakini kama kiongozi wa hooligans ni......
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 2 месяца назад
Siungi mkono kwa wakati ule Msigwa kwenda Ikulu hapo Sugu umeongea kisanii
@user-rt8lv3jj8l
@user-rt8lv3jj8l 2 месяца назад
sugu
@IddiBakari-uj4te
@IddiBakari-uj4te 2 месяца назад
Chilwa naipenda chadema mkongwe anajikanyaga kisukali kingi.
@Nyanda506
@Nyanda506 2 месяца назад
Dada anauliza ama anafoka???😅😅mbona mkali sana
@NNONGWA
@NNONGWA 2 месяца назад
Am sorry CHADEMA Nyasa wamekwisha huyu jamaa si Sign of Change bali ni Alama ya Fursa . Sugu harudi Bungeni na Nyassa itapoteza viti vingi sana
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo 2 месяца назад
Kwani viti Nyasa vilikuwa vinaletwa na nani? Toa mifano
@almachiusjeremiah
@almachiusjeremiah 2 месяца назад
Msigwa anafaa,SEMA tu kumuelewa waga panatakiwa ufkri sana
@tonyaron1194
@tonyaron1194 2 месяца назад
Chadema ni chama kinachoeendesha chama chama chake kwa uwazi sana kuliko fisiem
@evelina9621
@evelina9621 Месяц назад
Ulibari.sugu..
@MaxCharles-wj5dg
@MaxCharles-wj5dg 2 месяца назад
duh nimependa mudahalo huu
@saidbakar-qo6ri
@saidbakar-qo6ri Месяц назад
VIONGOZI WENU AIBU WANAGOMBEA UGALI
@eraseras7007
@eraseras7007 2 месяца назад
33:48 ni vile lazima kuwe na kiongozi.
@LusajoAmbakisye-uq8ym
@LusajoAmbakisye-uq8ym 2 месяца назад
Msigwa anajibu sawa sawa
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 2 месяца назад
Kama hutaki rushwa ungeenda ikulu kufanya nini? Sugu acha hizo! Ukifika huko huwezi kukataa kupokea kitita!
@theonestruta216
@theonestruta216 2 месяца назад
Sugu ameongea vizuri. Naona mchungaji ana jaziba.
@evelina9621
@evelina9621 2 месяца назад
Unasema.kweli.sugu Hutauza.chama.kama.unauchungu.msingombeni.leteni.watu.wikomboe.tanganyika.mengine.acheni.malombano.chedema.juu
@denisshimela169
@denisshimela169 2 месяца назад
Sugu anaweza
@orestsanga6294
@orestsanga6294 2 месяца назад
Sugu ni sugu mtoto wa mjini huwezi kumshinda kwa hoja lazima ukae
@ottomtitu4336
@ottomtitu4336 2 месяца назад
Sugu yuko sawa sana
@LissaJonas
@LissaJonas 2 месяца назад
Huyu Mhe, msigwa anakosea sana analinganisha binadamu na wine? 😂😂
@sjdbxjdhsudjxjhd615
@sjdbxjdhsudjxjhd615 2 месяца назад
Msigwakonk yanyasa
@martinloibooki1844
@martinloibooki1844 2 месяца назад
Suguuuu
@IddiBakari-uj4te
@IddiBakari-uj4te 2 месяца назад
Chilwa toka songea nampa sugu.
@evelina9621
@evelina9621 2 месяца назад
Pita.msg.ametulia Anafaa
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 2 месяца назад
Walinshidwa Nini Kusema 2020 Ilikiwa Ni Uporaji... Huyu Moderator Anajifanya Kama Majimbo yaKanda ya Kusini yalideal na Uchaguzi huru na haki 2020.
@danieltewa
@danieltewa 2 месяца назад
Mzigwa Anastahili kurudishwa
@JosephShayo-rl2cg
@JosephShayo-rl2cg 2 месяца назад
Ni MSIGWA.
@victoreleonardmdee9158
@victoreleonardmdee9158 2 месяца назад
Mdahalo Umekuwa Mzuri ila Moderator mwisho alishindwa kuongoza mjadala
@PaulLukumbi-en3qd
@PaulLukumbi-en3qd 2 месяца назад
Msigwa anajibu hoja/maswari
@linacedon8492
@linacedon8492 2 месяца назад
Hapo kwenye koti la wachungaji hapo😂😂😂
@JohnKamugunga-ee3rt
@JohnKamugunga-ee3rt 2 месяца назад
Msigwa anajua anachokifanya.
@jumanassib3634
@jumanassib3634 2 месяца назад
A RIGGED MDAHALO! ... AM I MISTAKEN?
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u 2 месяца назад
Tangulini msanii awemwanasiasa. ?? Munachanganya mandazi maharage.
@evelina9621
@evelina9621 2 месяца назад
Huyu.ewe.mpanishi.dada.anayesema.maswali.wote.wako Sawa. Kufanya.kazi. pamoja
@gm003
@gm003 2 месяца назад
Mbilinyi
@alinanusweedward2952
@alinanusweedward2952 2 месяца назад
Kabla ya yote nipongeze ATCL
@hadijasufiani6167
@hadijasufiani6167 2 месяца назад
Hongera sungu
@SaidiMkome-qq7hy
@SaidiMkome-qq7hy 2 месяца назад
Sugu boss
@BarakaBashiru-nf3sb
@BarakaBashiru-nf3sb 2 месяца назад
Kwa ufupi msingwa
@solomoneglesias9752
@solomoneglesias9752 2 месяца назад
Hapa Sugu atafaa sana so ni mtu wa kufosi pale pasipo na njia,,, Sguuuu👍👍👍
@joyceharris2093
@joyceharris2093 2 месяца назад
Msigwa anafaa kuwa kiongozi. Nitashangaa wapiga kura wasipomchagua msigwa
@godfreychaula3969
@godfreychaula3969 2 месяца назад
sugu anasoma sana hoja alizoandika,inaonekana kajipanga kimaelezo,msigwa anaetoa kichwani anafaa zaid maana ananyumbulika na anajiongeza
@MajiiIfande
@MajiiIfande 2 месяца назад
Huyo hafai kwa sababu atasema ya kichwani kisha ayasahau
@user-xe8xv6so6s
@user-xe8xv6so6s 2 месяца назад
Wote ninyi ni majemb
@komuhsengo9796
@komuhsengo9796 2 месяца назад
😂msigwa is more experienced
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 месяца назад
Wote
@briankatani6770
@briankatani6770 2 месяца назад
Mdahalo mzuri na sugu ameonekana kutulia sana,ila muongozaji ulikuwa unaacha linakuwa zogo
Далее
MBEYA IMEANIKA HOFU YA RAIS
13:55
Просмотров 44 тыс.
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Просмотров 8 млн
НАША НАСЫЩЕННАЯ ПОЕЗДКА В КИТАЙ
1:32:55
Mwanzo Mwisho Lissu Afunguka Kilichotokea Mbeya
23:21
ASANTE SERIKALI KWA 'UBAYA HUU'
11:58
Просмотров 26 тыс.
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Просмотров 8 млн