Тёмный

TWENDE TUKAPANDE TRENI YETU, TUITUNZE, TUITHAMINI 

TRC RELI TV
Подписаться 79 тыс.
Просмотров 2,7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

15 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 7   
@yesesalambwe9420
@yesesalambwe9420 Месяц назад
Tengenezeni programu ya kuwapa watu taarifa kuhusu vituo ambavyo vinatarajiwa kuwa vinashusha watu kuanzia Dar mpaka Dodoma, Makutopora. Hii itasaidia watu wafahamu namna ya kujipanga wakijua wapi pa kuanzia safari na wapi pa kushukia ili kuelekea makwao. Mfano mtu anaeshukia Jijini Dodoma afahamu kwamba kuna kushukia Ihumwa au Image kwa hiyo atachagua kutokana na yeye anaelekea/anakaa wapi jijini Dodoma. Kila la heri!
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 Месяц назад
Waliopinga mradi huu watafuna aibu. Waliopinga mradi wa umeme wanavuna aibu. Aibu yao.
@vt-kn6qf
@vt-kn6qf Месяц назад
Ona kama vurugu, please wekeni foleni ziheshimiwe from 🇺🇸
@kisutabora5914
@kisutabora5914 Месяц назад
Vipi kwa watalii nchi za nje wanashindwa kufanya booking online. Mmekwama wapi?
@richardbegga6679
@richardbegga6679 Месяц назад
Wekeni Watu wa Usafi kwenye Vyoo vyote ndani ya Station na ndani ya Train kila Saa wahakikishe viko safi na Mtu anapotumia waingie kukagua kama hakuna Maji Chini ya floor na kukausha
@BonaventureBazira
@BonaventureBazira Месяц назад
Vipi walemavu, how are they treated?
@mohamededdi7527
@mohamededdi7527 Месяц назад
Very good question, lazima itakuwa ipo njia ya huduma zao.
Далее
"RELI YA SGR KUUNGANISHA NCHI ZA AFRIKA"
8:33
Просмотров 12 тыс.
Наташа Кампуш. 3096 дней в плену.
00:58
Mapping the Trump Shooting
6:12
Просмотров 15 млн
Наташа Кампуш. 3096 дней в плену.
00:58