Hongera sana ndugu yangu kwa kufikiya ndoto yako, ni wachache watakao kupongeza, naona wengine ni kukuponda pahali ya kukupongeza, nasema tena Hongera kwa kazi nzuri, from Cedar Rapids Iowa state USA 🇺🇸.
Gari nzuri ila kuna makosa makubwa sana mwenye gari hajui kuielezea gari yake ilikuwa njema sana kama mngeenda kwa huyo Bosco mwenyewe mkiwa na hiyo gari ndio aielezee maana huyu mmiliki anaongea sana kujisifia kusifia gari pasipo kugusia features za gari yake na kosa lingine kubwa ni la camera man hajui kushoot alikuwa busy kumshoot mwenye gari badala ya gari yenyewe na vitu anavyovitaja muhusika.
Amejielezea yeye binafsi kuliko kuielezea gari yenyewe.. Kamera man ametupiga maana hata ndani ya gari hatujaona hizo tv . Kama Ni advertisement mngetafta mtu anayejuw magari vzuri akaelezea gari cyo mmiliki wa gari maana cyo professional yake. Content nzuri lkn fanyeni maboresho katika uwasilishaji wa content.. content Ni nzuri sanaa I appreciate but imewasilishaa kwa kiwango Cha chini🇺🇸🇺🇸
Tanzania bado kwa maendeleo. Dubai ni nchi wanapost vitu ambavyo kila duniani akisikia ana vutiwa na Dubai. Hasa, Habari kama hizi ni local sana, Atutakuwa kimataifa. #HonMichaelDeusdedityKessy.