Тёмный

Msukuma ALIPUKA tena, atishia KUMLOGA Waziri "Mnatengeneza JESHI la kwenda kubaka dada zetu kweli?" 

Mwananchi Digital
Подписаться 986 тыс.
Просмотров 93 тыс.
50% 1

Mbunge wa Geita Vijijini (CCM) Joseph Musukuma akizungumza bungeni alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024, jijini Dodoma leo.
“Embu jifikilie mheshimiwa umenikamatia ng’ombe wangu 100, yani naona zinaenda sina uwezo wa kwenda polisi kuna bunduki, haya nina kosa unazichukuwa ng’ombe zangu unaziuza mimi ninarudi masikini halafu baada ya miezi sita unaanza kuniudumia na fedha za Tasaf, hiyo ni akili gani jamani.”
“Na mheshimiwa waziri makosa mengine tengenezeni utaratibu wa kutuonya…unazoa ng’ombe zangu zote nirudi tu nyumbani nianze kusema maliasili, mtakufa vibaya lazima niwaloge, lazima tuambizane ukweli maana nikienda polisi utanishinda mahakamani sina ela ya kwenda mtalogwa mtakufa vibaya" aliongeza Musukuma

Опубликовано:

 

1 июн 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 53   
@JemsiOrposei-q7w
@JemsiOrposei-q7w 18 дней назад
Safi sana. Kamanda. Ningekuwa. Na. Namba. Yako ingekuwa. Very sanaaaa
@charleselijah-vq3hq
@charleselijah-vq3hq 8 месяцев назад
Nakuwlewa sana Mweheshimiwa King Msukuma. Na Mungu akubariki sana.
@SaruniChristophersabaya
@SaruniChristophersabaya 20 дней назад
Mungu akubariki Sana msukuma
@PillikilumbiKilumbi-b3r
@PillikilumbiKilumbi-b3r Месяц назад
Uko vizuri Muheshimiwa msukuma
@geraldisaka57
@geraldisaka57 Год назад
Akili nyingi sana
@ngombegeorge3577
@ngombegeorge3577 Год назад
Mungu ni mkarimu sana tuombe sana, yan kuhama sehemu kwenda kwingne tena mtihan na watu wenye kipato kidogo maana anajua leo nazunguka hapa nitapata hela, yA unga na bahat mbaya wanapewa hela na wengne hata laki tano hawajaw shika . Itatetea yote kwenye pombe na kamar Tunaweza kua tunaanda umaskini mkubwa kuliko waliokua nao. Na mungu atusaidie kwa jina la mungu wa pekee nakataa kuwamisha tena wananchi. . Ni kosa mbele ya mungu
@user-lt3br3fl3g
@user-lt3br3fl3g 2 месяца назад
Nakuombea mungu Sana msukuma karibu chuga baba
@stevendevid
@stevendevid 2 месяца назад
nakubar Sana msukuma karibu tanga
@frerdmgirima6
@frerdmgirima6 Месяц назад
Mm nakukubali sana baba
@pasikarinyakire8215
@pasikarinyakire8215 Год назад
Kweli kabisa mbunge wetu musukuma tunakuombea sana kwa mungu
@josephmarwa5626
@josephmarwa5626 Год назад
Hiking kichwa kinazid wenye maelim na mavyet feki
@user-kz9ct2vw4u
@user-kz9ct2vw4u 4 месяца назад
Napenda sana huyu jamaa MSUKUMA siku moja awe rais naamini nchi nitaenda vzr sana
@user-yr5nx2nw8r
@user-yr5nx2nw8r 7 месяцев назад
hata cc huku konko manyon singida watu wanapigwa hatar halaf tembo wanaharb makaz yetu paspo kupata chcht kutka kwa serikal hkika tunaomb msaada wenu serikal yetu mtuteteee ss maskin hata hivy hatupend kuish polin jamn
@WilliamPaul-nx3xm
@WilliamPaul-nx3xm 2 месяца назад
Uwiiiii msukuma penda wewe sana❤❤❤❤
@user-vn3qo3uw3z
@user-vn3qo3uw3z 2 месяца назад
Haifadhi ya tarangire wanakamata watu wanachi wanapita wanakamata na kupotea wanapenda wapi hilo swala liangaliwe wanachi wapo karib na hifadhi
@Rukiamussa-xe3ib
@Rukiamussa-xe3ib 9 месяцев назад
Saaafi Sana mh musukuma
@filimonifilimonirafaeli7498
@filimonifilimonirafaeli7498 2 месяца назад
King musukuma namkubali san angalau awelaisi
@ruhubikamtaki7257
@ruhubikamtaki7257 Месяц назад
Wambie king, Musukuma
@naphtalleyakoyi1336
@naphtalleyakoyi1336 6 месяцев назад
Kenya tunakupenda msukuma❤
@chaomadedo
@chaomadedo Месяц назад
Nyie Kenya ni watu wema sijawai ona baya toka kwenu. Watu wamaana kabisa nyie
@rithaurassa
@rithaurassa 2 месяца назад
MSUKUMA WEW UNAFAA KUWA MTETEZI WAWA TANZANIA
@MaryGoshashy
@MaryGoshashy 3 месяца назад
Hongera
@NeemaErnest-lz9my
@NeemaErnest-lz9my 3 месяца назад
Very nice 1:48
@JacobAbraham-qk9jx
@JacobAbraham-qk9jx 2 месяца назад
Vizuri sana msukuma.
@MercianaMkumbo
@MercianaMkumbo Месяц назад
Wow
@MercianaMkumbo
@MercianaMkumbo Месяц назад
Yuk vizur san
@othinielkamyola3697
@othinielkamyola3697 Год назад
Hii mashine
@stephanokaaya1881
@stephanokaaya1881 Год назад
Kiukweli hili sio jeshi la kulinda hifadhi ila ni M23
@kenjoseph3337
@kenjoseph3337 10 месяцев назад
Pure intelligence
@guyasidotto1198
@guyasidotto1198 Год назад
Mbunge wa Taifa
@chagunghabi3261
@chagunghabi3261 7 месяцев назад
Waliotuuzia niwakina mpina et asaiv ameanza kukumbuka waAmbie haoo
@rithaurassa
@rithaurassa 2 месяца назад
Msukuma unafaa kuwa Raisi
@MaliseliniMgedzi
@MaliseliniMgedzi Месяц назад
Mheshimiwa uishi miaka mingi
@stevendevid
@stevendevid 2 месяца назад
huyu jamaa msukuma Kama magufuli wapil hatari sana
@kassimmuktarymurji4242
@kassimmuktarymurji4242 5 месяцев назад
Tutawaroga mali inauma kuitafuta tutawaroga wote wapate tezi dume na wanawake wapate festula
@user-cx1lu6go5m
@user-cx1lu6go5m Месяц назад
Nakukubal xn
@user-iz2gy6ib6y
@user-iz2gy6ib6y 6 месяцев назад
Maisha marefu kwako
@WamburaJomu-xy2is
@WamburaJomu-xy2is Год назад
Msuma samutaimu unahakili Sana
@sofiaantonioantonio7265
@sofiaantonioantonio7265 5 месяцев назад
Msukuma ni mbunge waTaifa anatetea watu wa chini sana na Anaongea kwa uchungu sana!
@AliShaib-io2gr
@AliShaib-io2gr 3 месяца назад
ana nikosha mie msukuma
@DamianTanisa
@DamianTanisa Месяц назад
💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽
@kambamazig02024
@kambamazig02024 Год назад
Hii mambo ya kuitana uheshimiwa myanaleta matabaka Tanzania na ndiyo chanzo cha wengi walioko madarakani kujiona wao ni tofauti na wanaowawakilisha. Baba wa taifa hakuwa mjinga kwa kutuambia tuitane Ndugu na ndiyo iliyotusaidia kuleta umoja wa nchi yetu. Leo hii baadhi wanadai kuitwa waheshimiwa!
@user-yr5nx2nw8r
@user-yr5nx2nw8r 7 месяцев назад
acha wivu weeee
@RajabuMalick
@RajabuMalick 6 дней назад
Wakupe urais
@SteveSimsa-ho8pc
@SteveSimsa-ho8pc Месяц назад
Naaaam
@bahatiangle4424
@bahatiangle4424 3 месяца назад
Kaza buti msukuma nakuaminia
@SteveSimsa-ho8pc
@SteveSimsa-ho8pc Месяц назад
Naaam
@user-nq9is9me7z
@user-nq9is9me7z 11 месяцев назад
Mbunge.
@bahatiangle4424
@bahatiangle4424 3 месяца назад
Jembe wewe
@user-lz7fy4od4s
@user-lz7fy4od4s Год назад
Kagombee jimbo la bukoba mjini mzee kazikazi
@AyubuNtomoka
@AyubuNtomoka 3 месяца назад
Ww n mwamba aseee
@JosephatBaraka
@JosephatBaraka 3 месяца назад
Ongela sana mbunge wa geita
@MasumbukoZacharia
@MasumbukoZacharia Месяц назад
😂
Далее
would you eat this? #shorts
00:23
Просмотров 1,2 млн