Тёмный

Uchambuzi wa Hadithi ya Pupa 

MAWANDA YA LUGHA TV
Подписаться 969
Просмотров 4,4 тыс.
50% 1

Hii ndiyo hadithi ya mwisho katika diwani ya Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine. Anwani Pupa inaakisi yaliyomo hadithini. Mwakiona anakutana na mama mmoja ambaye anamhakikishia kuwa anamtafutia namna ya kwenda ng'ambo ambapo atamsaidia kumtafutia kazi nzuri. Mwakiona anafanya pupa na kukubali pendekezo la mama huyu Bi. Mtego. Mwisho anamalizia kutumikizwa katika dangulo lililopo Chenga ways. Mwakiona anajuta sana.

Опубликовано:

 

12 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 23   
@BoazNyangau-fj2om
@BoazNyangau-fj2om Год назад
Asanti sana shehe,n nyangau
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Fuatulia vipindi, jifaae kifasihi.
@johnoyaro9648
@johnoyaro9648 11 месяцев назад
Kazi nzuri hii
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv 11 месяцев назад
Asante kaka. Pamoja tukijenge Kiswahili.
@BoazNyangau-fj2om
@BoazNyangau-fj2om Год назад
Ni Dickson mwanafunzi wa shehe,asanti sana walimu wetu endelea tu na huyo moyo wa kutusaidia hili tuweze kufaidika katika masomo yetu
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Kwema kijanangu. Endelea kufuatilia uchambuzi wa hadithi zote.
@AdanAli-xw5oz
@AdanAli-xw5oz Год назад
Good job walimu
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Asante kwa kukubali kuwa shabiki wetu. Karibu.
@boaznyangau-tq9ex
@boaznyangau-tq9ex Год назад
Safi shehe n Maxwell
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Hakikisha umesikiliza vipindi vyote.
@aristapedro1002
@aristapedro1002 11 месяцев назад
Ninawaona kaka. Arisa
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv 11 месяцев назад
Asante kaka Arisa.
@yvonaloo5733
@yvonaloo5733 Год назад
That's my teacher! Mr Nyandwaro may God see u through
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Amen. Asante mwalimu Yvon, endelea kuwafaa wanafunzi, tulivyokufaa wewe mwongo mmoja uliopita.
@maurinesally9653
@maurinesally9653 Год назад
Kazi nzuri sana walimu.
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Vyema.
@sheila4139
@sheila4139 Год назад
Asante
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Asante sana Sheila kwa kukubali kuwa shabiki wetu.
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Asante sana Sheila
@sheila4139
@sheila4139 Год назад
@@mawandayalughatv halafu nikuulize mwalimu, serikali inaeza nikubalia nirudie form 4 mwaka ujao ,,juu nilifanya form 4 2020 na ninataka kurudia kuna uwezekano
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
@@sheila4139 : inakubalika ila utajilipia hela za mtihani.
@janetjepkosgei7295
@janetjepkosgei7295 Год назад
Nimeelimika sana. Asante 👏👏
@mawandayalughatv
@mawandayalughatv Год назад
Karibu sana dada.
Далее
Uchambuzi wa hadithi ya Nilitamani
33:24
Просмотров 3,2 тыс.
DAWATI LA LUGHA  -Chimbuko la Kiswahili
31:44
Просмотров 3,5 тыс.
ОНА БЫЛА ПЕВИЦЕЙ🤪
3:13:12
Просмотров 1,1 млн
А я с первого раза прошла (2024)
01:00
GENIUS FOOD HACKS 🍰 #shorts
00:36
Просмотров 13 млн
UCHAMBUZI WA HADITHI YA AHADI NI DENI
47:53
Просмотров 2,8 тыс.
HARUBU YA MAISHA I SEHEMU YA 1 I UCHAMBUZI
55:40
Просмотров 3,1 тыс.
Nipe Nafasi
39:53
Просмотров 3,6 тыс.
Kifo cha Suluhu
47:03
Просмотров 4,6 тыс.
HARUBU YA MAISHA- MAPAMBAZUKO YA MACHWEO (LELWAK BOYS)
19:07
TATIZO LA NDUGAI LILIANZIA HAPA / KILICHOMPONZA
7:46
ОНА БЫЛА ПЕВИЦЕЙ🤪
3:13:12
Просмотров 1,1 млн