Тёмный

UKIFANYA haya utafungua milango ya MAFANIKIO, BARAKA zitakufuata MWAKA mazima,USIPUUZE 

NGUVU ZA UNIVERSE
Подписаться 144 тыс.
Просмотров 33 тыс.
50% 1

#nguvuzaulimwengu #mwakampya #nguvuzauniverse Fanya haya kabla mwaka haujaisha,nguvu za ulimwengu zitakutii utapata chochote unachotaka maishani.
nguvu za ulimwengu
nguvu za universe
mwaka mpya
2024
This is original content created by the owner of this channel ‪@NGUVUZAUNIVERSE‬

Опубликовано:

 

24 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 765   
@cyprianmgogo7625
@cyprianmgogo7625 9 месяцев назад
Asante sana nguvu za ulimwengu kwa kunipa utajiri wa bilioni 5 za Dola za kimarekani ,kwa baraka hizi nitawasaidia watu wengi wanahitaji huduma mbalimbali katika maisha yao.
@NGUVUZAUNIVERSE
@NGUVUZAUNIVERSE 9 месяцев назад
😲 wow hongera sana,,wingi wa pesa uzidi kuja kwako
@pascofp145
@pascofp145 9 месяцев назад
Hongora sana
@witnesrobson
@witnesrobson 8 месяцев назад
Jamni nyie mnafanyaje
@AbdulrazackMohamed-n1t
@AbdulrazackMohamed-n1t 8 месяцев назад
Nisaidie mwanangu ana saratani sina pesa ya dawa na kila ninachofanya bd sijafanikiwa
@ArseneLeblanc-c6x
@ArseneLeblanc-c6x 8 месяцев назад
Amen amen amen!!
@EmmaculateMboya
@EmmaculateMboya Месяц назад
Asantee ee Mungu wa Ulimwengu kwa kunipa million 50, nitawasaidia na wenzangu wenye uhitaji
@ppemperweringpeople7183
@ppemperweringpeople7183 3 месяца назад
Ahsante Dada Yangu Kwa Somo Hili., Lakini Katika Swala Hili La Himani Uoni Umuhimu Kuweka Imani Katika Nguvu Za Mungu.,Nguna Imani Katika Muumbaji Wa Mbingu Na Ulimwengu Pia
@maliammaliamchali4633
@maliammaliamchali4633 8 месяцев назад
Napesa nyingi sana huu mwaka 2024 lazima nizipokee kwauwezo wamng amen
@mamuugrace2770
@mamuugrace2770 6 месяцев назад
Asante sana nguvu za ulimwengu kwa kunipatia milioni 700,000,000
@remenkwayu2563
@remenkwayu2563 6 месяцев назад
Asante Sana nguvu ya ulimwrngu kunipa utajiri
@yustokapella5442
@yustokapella5442 29 дней назад
Nashukuru sana watoro wangu wote wana akili nyingi maana wanafanya vizuri sana katika biriani yao
@denisaugudtino5095
@denisaugudtino5095 2 месяца назад
Asante Mungu akupe nguvu zaidi namaisha malefu❤
@rogathmuro
@rogathmuro 18 дней назад
Asante sana nguvu ya yuni verser kwa utajiri mkubwa nilio nao asante kwakunipa pesa nyingiiii❤ asante sana nguvu ya ulimwengu mimi nitajiri mkumbwa sanaa nna miliki makampuni makubwa afrika❤
@HamisoShafi
@HamisoShafi 2 месяца назад
Asante nguvu za ulimwengu kwa kuniwezesha kwenda Ulaya sasa namiliki gari la kifahari na nimeanza kujenga nyumba na kuwasaidia masikini pia nimechangia kubotesha msikiti
@LilianMosha-hd6mj
@LilianMosha-hd6mj 4 месяца назад
Mimi ni tajiri siyo maskini napokea pesa napokea maisha mazuri napokea mahusiano mazuri napokea biashara Amen 🙏
@scolaebenezer4538
@scolaebenezer4538 8 месяцев назад
Ninapokea Rush yangu mwaka huu ktkt jina la Yesu
@WinifridaKapinga-gb3rh
@WinifridaKapinga-gb3rh 8 месяцев назад
Mimi nitajiri nanipesa nyingi sana naninaamini katka nguvu zaulimwengu nanimepokea pesa taslimu milioni tatu leo hii AMENI
@RehemaKatundu
@RehemaKatundu 4 месяца назад
Asante kwa kunipa some Zurich katika Marshall yangu Mungu akubariki.
@NataliaMillo-t9l
@NataliaMillo-t9l 6 месяцев назад
Mimi ni tajiri mkubwa napokea pesa zaidii🙏🙏
@HaruniNari
@HaruniNari 6 месяцев назад
Asante nguvu za ulimwengu mimi ni tajiri mkubwa
@KamaraBizimana
@KamaraBizimana Месяц назад
Mimi nitajiri hapa duniyani ninamiriki pesanyingi kwajina Layesu Amen❤❤❤
@IssaKimanu-ii9cg
@IssaKimanu-ii9cg 6 месяцев назад
Nipo tayari kubadilisha maisha yangu nipo tayari kufungua maisha
@mtwamlilapelu5610
@mtwamlilapelu5610 5 месяцев назад
Mimi ni tajiri napokea matrilioni ya pesa kutoka nguvu za ulimwengu
@AngelJimmySangweni-y9h
@AngelJimmySangweni-y9h 3 месяца назад
Napokea utajiri Napokea pesa nyingi Napokea mahusiano mazuri kwa ndugu,jamaa na rafiki zangu Napokea upundo zaidi Napokea mapenzi ya kweli na dhati kwa mume wangu Napokea faraja ya watoto wangu Naamini ndani ya nguvu za universe 🙏🏿
@Chief_ALPHONSDecor-ee7kb
@Chief_ALPHONSDecor-ee7kb 9 месяцев назад
Nashukuru kabisa dada nimepata pia mbinu nyingine kabisa nashukuru sana
@predgandaTarimo
@predgandaTarimo 2 месяца назад
Mimi napokea kuwa mtu mkuu sn Mungu nisaidie namshukuru umetenda na kuzidi Amen
@johnmalale3860
@johnmalale3860 3 месяца назад
Asante;! Nguvu za ulimwengu universe mimi ni tiririonea mkubwa nashukuru nguvu za ulimwengu ', nimeuaga umasikini:' ni mfanya biashara mkubwa, najulikana dunia yote!; nzima MUNGU nisaidie AAAAMEN
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 6 месяцев назад
Napokea maisha bora na yenye Furaha tele.
@graciousmgimba492
@graciousmgimba492 Месяц назад
Mimi ni mwanamke tajiri kiongozi mkubwa sana watoto wangu watafika mbali sana mamilionea watakiwa na familia Bora sab
@keyaowino8064
@keyaowino8064 6 месяцев назад
Nimeamini Kwa mafundisho nanimegundua mambo mengi sana kwangu Mimi ni mtu special saana katika hii Dunia sifa nyingi ninazo
@NGUVUZAUNIVERSE
@NGUVUZAUNIVERSE 6 месяцев назад
🤝❤️
@wahidakisingo3588
@wahidakisingo3588 2 месяца назад
Napokea baraka za Mungu ,,,napokea mazurii na Mema kwenye Maisha yangu
@Nsobi-lt2ek
@Nsobi-lt2ek 9 месяцев назад
Nakubaliana na maneno yako nashukuru kunifungua masikio yangu.
@damouramerica5973
@damouramerica5973 4 месяца назад
nashukuru dana nguvu za ulimwengu , universe imenifurahisha mno mimi nitajiri kabisa
@yasiningabu468
@yasiningabu468 2 месяца назад
Ansante Mungu kwa kupokea safari yangu ya kuelekea ungereza na familia yangu . Ansante Mungu kwa kupokea uyo muujiza .
@RaheemMujib
@RaheemMujib 8 месяцев назад
Asante nguvu za ulimwengu kwa kunipa billion 10 nimenunua nyumba za kifahari nimenunuwa magali ya kifahali nimefungua biashala kubwa nimekuwa mtu maarufu ❤sn nimesafir nchi nyingi mimi na mtoto wangu mtoto wangu kwenye masomo yake ameàpata A kwenye maisha ya kawida amekuwa mtoto nywele ofu ya mungu mwenye upendo Aya yote nimeyafanya kwa nguvu ya ulimwengu imekuwa ikiwa karibu na mm kila saa kila simu eeeh mungu naomba nisaidie umwaka umekua mwaka wa miujiza kwangu nikekuwa wa thaman na Tajiri nguvu za ulimwengu zimenipa muongozo
@NGUVUZAUNIVERSE
@NGUVUZAUNIVERSE 8 месяцев назад
🤝❤️
@MwajumaMohamed-i8k
@MwajumaMohamed-i8k Месяц назад
Asante universe kwa baraka mnazonipa kila siku napata kila kitu nachokitaka
@FRANCISGIDO-d5n
@FRANCISGIDO-d5n 2 месяца назад
Asante Mungu,Mimi ni trionea mkubwa hapa duniani, Nina miradi mikubwa,majumba ya kifahari,magari ya kisasa,watoto wenye akili sana ktk NGUVU ya UNIVERSE.
@semenijohn7455
@semenijohn7455 Месяц назад
Ahsante sana nashukuru sana kwa elimu hii mimi ni mwenye mafanikio makubwa hapa duniani
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 6 месяцев назад
Ndio ata mchungaji alisema ukimbariki mtu baraka zinaludi kwako halafu mimi nilikuwa napendaga sana kuwabariki watu
@AgnessMbawala
@AgnessMbawala 10 дней назад
Amina dada mungu akupe maisha mema hapa duniani na ufahamu mkubwa zaidi ili uendelee kutufundi
@giftedhand773
@giftedhand773 6 месяцев назад
Nampokea mwanangu na mke wangu salama na furaha
@GodfreyMukhwana
@GodfreyMukhwana 4 месяца назад
Amina. Asante Dada, nakuombea nawe pia uwe na mafanikio makubwa sana mwaka huu.
@RehemaGhamachana-oy1ez
@RehemaGhamachana-oy1ez Месяц назад
Asante sana nguvu za ulimwengu kwa kunipa utajiri.
@petermwacha9909
@petermwacha9909 9 месяцев назад
Mimi nahitaji utajiri,magari ya kifahari,majumba ya kifahari,Mashamba na pesa nyingi, Amen
@restmbaga7447
@restmbaga7447 3 месяца назад
Mimi ni tajiri mkubwa nashukuru nguvu za universe kwa kunipatia pesa nyingi na Baraka tele. Nimefanikisha kila Jambo kwa urahisi na tutimiza yote ninayohitaji kwa urahisi.
@HaruniNari
@HaruniNari 6 месяцев назад
Asante sana nguvu za ulimwengu mimi ni tajiri ninahela nyingi Sana nina manyumba mengi sana pia ninamagari mengi makubwa
@shikopaschal2329
@shikopaschal2329 5 месяцев назад
Ahsante san dada kwa elimu hii nzur
@yasminmduda1616
@yasminmduda1616 8 месяцев назад
Mimi ni tajiri.
@mariethahangu
@mariethahangu 5 месяцев назад
Mimi ni tajiri mkubwa na mwenye familia njema yenye upendo na mafanikio makubwa sana, wanangu wanaakili sana na kazi nzuri
@abdulmajidmageja6562
@abdulmajidmageja6562 4 месяца назад
Mm ni tajiri namiliki pesa nyumba gari na mapenzi Nice nguvu za ulimwengu
@aminamsangi-fj3fm
@aminamsangi-fj3fm 9 месяцев назад
Namba mungu anijalie niwe tajiri katika mwa 2024 uwe mwaka wangu wamafanikio
@BatuliAlly-x7s
@BatuliAlly-x7s 8 месяцев назад
Naamin nguvu zaulimwengu Kuna ving nimefaid hususan kwenye ishara zamijus nahaya yanayoendelea mungu awatie nguvu nawengine wafatilie Mimi nitajiri,
@ruthntimwa5578
@ruthntimwa5578 7 месяцев назад
Asante nguvu za ulimwengu kwa kunipa pesa nyingi sasa nimekua tajiri kwa wa ma milioni.mujiza huu umekuja kwangu sasa
@RahmaYusufu-d2o
@RahmaYusufu-d2o Месяц назад
Napokea utajiri kwa kwa uwezo wa Allah na nguvu za ulimwengu Ahxante sana
@Elvisga173
@Elvisga173 24 дня назад
Asante Mungu kwa kunipa milon tatu nitalipa kodi na kuanza ujenzikatika jina la Yesu
@christineawonda
@christineawonda 4 месяца назад
Napokea pesa nyingi na maisha mazuri 🎉🎉❤❤
@MarySangiwa-fz1jc
@MarySangiwa-fz1jc 8 месяцев назад
Ahsante ulimwengu kwa kunipa Tshs Billioni moja kwa ajili ya kuendesha maisha yangu na kusaidia wengine kwa mwaka 2024.
@pius-mu5dc
@pius-mu5dc 8 месяцев назад
Asante kwa mafundisho mazuri naamini kwamba nitapokea pesa nyingi kabla ya mwaka mpya kuanza
@PlayancEnock
@PlayancEnock 8 месяцев назад
Mimi ni tajiri sana napokea kwa nguvu ya universe
@ProsperAmnaay-z2q
@ProsperAmnaay-z2q 8 месяцев назад
Mafundisho haya yamenipa nguvu mpya na asante sana.
@NGUVUZAUNIVERSE
@NGUVUZAUNIVERSE 8 месяцев назад
🤝❤️
@ManMacheta
@ManMacheta 6 месяцев назад
Mimi ni tajili mkubwa sana hapa dunian inshaallah
@billylundu457
@billylundu457 8 месяцев назад
Mimi ni tajiri mkubwa,namiliki pesa nyingi,majumba makubwa pamoja na magari mengi katika ulimwengu huu.
@florangido202
@florangido202 2 месяца назад
Najitamkiakuwa kuwa Pesa, Magari, Nyumba. Na mtoto wangu Anijali, Asante Mungu.
@SamsonMadyaga
@SamsonMadyaga 8 месяцев назад
Nakushukuru Sana nguvu za ulimwengu maana nimepata utajiri na mafanikio makubwa Sana katika MWAKA huu 2024
@SharifushabaniMsangi
@SharifushabaniMsangi 3 месяца назад
Mimi ni mashindi hapa dunian mim nitajiri mkubwa hapa dunian mim Nina pesa nyingi nakaribisha nguvu za ulimwengu ndani yangu mm ni sumaku ya pesa Mimi ni mtoaji kwa wanaohitaji kutoka kwangu Mimi nitajiri mkubwa hapa dunian ❤❤
@AgnessMbawala
@AgnessMbawala 10 дней назад
Mimi nitajiri sana katika ulimwengu huu pamoja na watoto wangu
@KhadijaKaoneka
@KhadijaKaoneka 6 месяцев назад
Mimi ni Tajiri napokea pesa nyingi kutoka ktk nguvu za ulimwengu ❤
@BernardMbao-ym3bg
@BernardMbao-ym3bg 9 месяцев назад
Mimi ninazo pesa nyingi zaidi kaka maisha yangu amen
@ppemperweringpeople7183
@ppemperweringpeople7183 3 месяца назад
Amen Na Iwe Hivyo Kwangu
@MwajumaMkonge
@MwajumaMkonge 5 месяцев назад
Napokea mafanikio makubwa katika nguvu za ulimwengu
@mumbimary-n9y
@mumbimary-n9y 9 месяцев назад
Mimi ni tajiri namiliki pesa,magari,plots,vyakula,vinywaji
@KundaeliJacobo
@KundaeliJacobo 6 месяцев назад
Asante sana Nguvu za ulimwengu kunipa maisha Bora
@EmmanuelPeter-p1l
@EmmanuelPeter-p1l 6 месяцев назад
Mm ni tajiri
@CedrickKambale-pf1rv
@CedrickKambale-pf1rv 3 месяца назад
Nina nyumba nzuri Nina gari nzuri
@JanetNalianya
@JanetNalianya 7 месяцев назад
Napokea ndoa ya furaha napokea maisha ya furaha napokea pesa katika maisha yangu napokea nyumba nsuri napokea nyota ya ya baraka katika maisha yangu napokea utajiri kwa maisha yangu in the name of Jesus christ 🙏 Amen
@NGUVUZAUNIVERSE
@NGUVUZAUNIVERSE 7 месяцев назад
🤝❤️
@polinatusmwemezi-pc2pl
@polinatusmwemezi-pc2pl 9 месяцев назад
Asante universe kwa maelekezo mazuri ya hekima 25:05 na na busara na MUNGU atupokeze.
@NeemaMngongo-fw3ku
@NeemaMngongo-fw3ku 8 месяцев назад
Mimi ni mtu tajiri sana napokea fesa na maisha mazuri zaidi mwaka 2024
@ZedhariDirone-ie3bc
@ZedhariDirone-ie3bc 7 месяцев назад
Amina ! Mimi siyule wakulialia napokea nguvu mpya kwa jina la Yesu Kristo. mimi napokea utajiri usiyo wakawaida🙏
@NGUVUZAUNIVERSE
@NGUVUZAUNIVERSE 7 месяцев назад
🤝❤️
@ndeshukurwamoses2077
@ndeshukurwamoses2077 4 месяца назад
Mimi ni tajiri saaaaana!!
@luluyusuph1350
@luluyusuph1350 8 месяцев назад
Mimi ni mshindi ,mimi nitajili nina afya njema ,nimebarikiwa na Mungu
@jescandikuriyo
@jescandikuriyo 5 месяцев назад
Mimi nitajiri sana ntatowa ajira kwa watu 1000 natakuwa na vituwo vya kusaidia watoto yatima nawajane nawamasikini
@ClaudeIbisi
@ClaudeIbisi 8 месяцев назад
Napokea pesa nyingi katika biashara yangu mimi ni tajiri ntanunua gari zuri sana
@ProsperAmnaay-z2q
@ProsperAmnaay-z2q 8 месяцев назад
Mimi ni napokea pesa za kutosha mwaka mpya wa 2024.
@MzeeForoza
@MzeeForoza 8 месяцев назад
Mimi ninapokuwa pesa nyingi kwenye maisha yangu ishallah
@cesiliamaneno9566
@cesiliamaneno9566 9 месяцев назад
Naamini Mimi sio masikini Mimi nitajiri nitapokea pesa nyingi Asante mungu,
@BaptistaAndré-f4m
@BaptistaAndré-f4m 4 месяца назад
Mimi nina pesa nyingi zaidi maishani mwangu kwa nguvu za universe
@pius-mu5dc
@pius-mu5dc 8 месяцев назад
Kupitia nguvu za Ulimwengu nitapokea pesa nyingi 2024
@shabanizuberirashidi485
@shabanizuberirashidi485 3 месяца назад
samahan dada masomo yako nimazuri sana na yanatusaidia huwa umesomea wapi ??🎉🎉hongera sna
@AfiaKondo
@AfiaKondo 4 месяца назад
Amin nimepokea asante sana kwa mafundisho
@bernadinebwemas
@bernadinebwemas 28 дней назад
Kweli nimeamini kwa universe kilakitu kinawezekana mungu atufungulie milango kupitia kwenu asanteni
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib 6 месяцев назад
Ulivyosema nguvu za asili nikakumbuka wazungu wanaenda mbugani bichi mimi napenda
@NGUVUZAUNIVERSE
@NGUVUZAUNIVERSE 6 месяцев назад
Ndiyo 😃
@FatumaZuberi-g6s
@FatumaZuberi-g6s 4 месяца назад
Napokea.pesa.nyingi.zaidi.amina
@RamlaJk-z1t
@RamlaJk-z1t 20 дней назад
Mimi ni mshindi mimi tajiri biashaara yangu inanipatia faida kubwa
@millicentjonyo4555
@millicentjonyo4555 8 месяцев назад
Mimi ni tajiri mkubwa na watoto wangu wote ni matajiri asante sana nguvu za ulimwengu kuakunipa utajiri
@merymahu4500
@merymahu4500 9 месяцев назад
Napokea utajiri kwaupitia njia ya nguvu za ulimwengu katika jina la Yesu
@NGUVUZAUNIVERSE
@NGUVUZAUNIVERSE 9 месяцев назад
❤️🤝
@merymahu4500
@merymahu4500 9 месяцев назад
@@NGUVUZAUNIVERSE Amen
@kalulumango-ql5sg
@kalulumango-ql5sg 9 месяцев назад
Aksanti dada kwa shauri Mungu akubariki
@rushirushishikala7778
@rushirushishikala7778 13 часов назад
Mimi ni tajiri sana napokea wingi wa mali zaidi
@GodfreyMukhwana
@GodfreyMukhwana 4 месяца назад
Mimi napokea mafanikio makubwa sana mwaka huu
@ElizaPretoria
@ElizaPretoria 24 дня назад
Amina katika jina la yesu
@sumaiyyarashid3042
@sumaiyyarashid3042 7 месяцев назад
Mungu atupe baraka Amiin
@witnesrobson
@witnesrobson 8 месяцев назад
Mm ni tajiri mwaka 2024 Napokea pesa nyingi pesa zinifate zisinipungukie 2024naenda kuwa Tajiri
@HyleneGesare
@HyleneGesare 5 месяцев назад
Napokea utajiri zaidi n zaidi🙏
@salimalaquimane3077
@salimalaquimane3077 9 месяцев назад
Asante sana kipenz nme pata kitu kikubwa sana
@ExcitedJackrabbit-bg3iu
@ExcitedJackrabbit-bg3iu 21 день назад
Amina kukwa napokea utajili mkubwa
@HarriethNgombale
@HarriethNgombale 4 месяца назад
Mimi ni tajiri na siwezi kufa masikini Mimi ni WA kimataifa na kitaifa
Далее
UKOMAVU WA KIAKILI (MENTAL TOUGHNESS) - JOEL NANAUKA
1:11:22
NGUVU ILIOKO KATOKA MAONO (JOEL NANAUKA)
1:07:09
Просмотров 91 тыс.
Jinsi ya Kufungua Jicho la tatu. (Meditation)
56:27
Просмотров 75 тыс.