Download our New App, EBM SCHOLARS APP play.google.com/store/apps/de... Or Search EBM SCHOLARS on Google Play Store to Download the app DONATE TO EBM SCHOLARS 1. PayPal www.paypal.com/paypalme/EBMSC... 2. CASH APP cash.app/$EBMSCHOLARS
Nakubali Kaka ebm... Tangu 2016,wewe n mentor wangu mpk kufungua akaunti ya RU-vid.... One day yes!! nitawin green card lottery.... Hakuna kukata tamaa...👊
Kaka EBM, ahsante sana Kwa elimu unayoitoa Kwa moyo,,,, naomba siku Moja utusadie kupata ufafanuzi wa currency za mareken, coins and notes kuanzia ndogo adi kubwa
wnegine wanataka uwishi kama wao waliyopitia sio roho nzuri ya kuelewesha kama ulivyo(kamati ya roho mbaya) wanakupoteza na kelele nyingi bila muelekeo,asante kwa ujumbe huu
Nijibu Kk ebm naomba unijibu😢 nimekuandikia sana lakini haunijibu pls nataka uniasaidie kutengeneza werk experience nipatie maongezi 😢 i need it #werkexperience
@@nathanontegi3222asilimia 95% ni waathirika wa ulevi na madawa za kulevya, wengi wao walisha pelekwa rehab mara kibao wanatoroka, wakisha toroka kila mara kulingana na haki za binadamu hauwezi wachukuwa na nguvu kama waalifu changa moto ni nyingi