Тёмный

FURSA YA KUSOMA COMMUNITY COLLEGES MAREKANI (Usimpeleke Mtoto China au India kusoma) 

EBM SWAHILI
Подписаться 69 тыс.
Просмотров 3,5 тыс.
50% 1

Elimu kuhusu watu wanaotaka kusoma MAREKANI kwa hatua ya Associate Degree na Degree kwenye vyuo vyenye GHARAMA NAFUU (Studying at Affordable Community Colleges in the USA!)
Webinar hii ni kwa wanafunzi, wafanyakazi, wazazi nk kupata elimu hii. Huna haja ya kumpeleka mtoto wako huko China, India, Malaysia nk kusoma degree yake. Maana huko haruhusiwi kufanya kazi, hivyo mwanafunzi anaendelea kuwa tegemezi kwa mzazi kutuma hela kila mwezi. Na akimaliza shule akisoma huko itamfanya arudi nchini kukimbizana na ajira.
Hii ni tofauti na kama akija kusoma Marekani ambapo mwanafunzi anafanya kazi na kusoma, kutokuwa tegemezi kwa mzazi. Na akimaliza shule kuna njia nyingi za kubakia hapa na kufanya kazi na kuishi.
Ernest B Makulilo
EBM SCHOLARS, LLC
Missouri, USA
www.ebmscholars.com
ebm@ebmscholars.com
Download our New App, EBM SCHOLARS APP play.google.co...
Or Search EBM SCHOLARS on Google Play Store to Download the app
DONATE TO EBM SCHOLARS
1. PayPal www.paypal.com...
2. CASH APP cash.app/$EBMS...

Опубликовано:

 

9 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 83   
@tinaminja5500
@tinaminja5500 9 месяцев назад
Mungu akubariki mno kwa kutujuza❤ from Arusha Tanzania 🇹🇿
@ngoynzoagermain
@ngoynzoagermain 9 месяцев назад
Pamoja sana mkuu 5/5 🇨🇩🇨🇩 mimi ni mkongomani naishi Bujumbura Burundi 🇧🇮
@BlaiseNdayongeje-wk6uj
@BlaiseNdayongeje-wk6uj 9 месяцев назад
Asante
@sukivlog885
@sukivlog885 9 месяцев назад
Niko Doha Qatar lakini natamani kuja USA Nna elimu ya high school ya nchi yangu Tanzania
@BlaiseNdayongeje-wk6uj
@BlaiseNdayongeje-wk6uj 9 месяцев назад
Burundi 🇧🇮🇧🇮
@masaifinancialagent5089
@masaifinancialagent5089 9 месяцев назад
Nakufuatilia sana kaka elimu unayotupatia kubwa mno
@BAMOMEMORIALFOUNDATION254
@BAMOMEMORIALFOUNDATION254 9 месяцев назад
Niko kenya Nakuru County.
@BlaiseNdayongeje-wk6uj
@BlaiseNdayongeje-wk6uj 9 месяцев назад
Sana
@salimabdallah8097
@salimabdallah8097 9 месяцев назад
Mr. Ebm kwa kweli tumenufaika sana na elimu uliyotoa iko vizuri natumai wengi tumenufaika nayo nami nitaendelea kukutumia katika yale tuliyoongea, nashukuru sana.
@mohamedismail2662
@mohamedismail2662 9 месяцев назад
God bless you bro umejikita sana kuakikisha ndugu zako tunasonga mbele kimaisha sisi na vijana wetu piya iz elim watu wengezipataga mapema wasingepeleka watoto kwenda nje kusoma nchi ambazo kila siku wanatuma mapesa h
@vincent3280
@vincent3280 9 месяцев назад
Pamoja kaka
@Summerbtz
@Summerbtz Месяц назад
From Tanzania Dar es Salaam
@user-hy1mt1vb7e
@user-hy1mt1vb7e 3 месяца назад
From kigali (Rwanda)
@NS-ru1yf
@NS-ru1yf 8 месяцев назад
Tz,Arusha
@eddmina
@eddmina 9 месяцев назад
Pamoja sanaa
@tesenimgabo2009
@tesenimgabo2009 9 месяцев назад
Tanzania
@jumamanzi4531
@jumamanzi4531 9 месяцев назад
Ndo nimejiunga sahivi bro nafurahi sana
@user-zw7tb7dx6f
@user-zw7tb7dx6f 9 месяцев назад
Niko burundi buyenzi
@GodandGodAlone1
@GodandGodAlone1 7 месяцев назад
EBM ni mtu Mhimu sana Nko china now nasoma masters China but hakuna kufanya Kazi.
@NdayisabaKarim
@NdayisabaKarim 9 месяцев назад
Mheshimiwa Ernest Makulilo tunakufata Mile na milelele barikiwa saaana
@medadylavas4928
@medadylavas4928 9 месяцев назад
Mimi nipo tanzania 🇹🇿 in nyarugusu refuge camps
@user-tf3vf8rj8n
@user-tf3vf8rj8n 7 месяцев назад
From zanzibar Tanzania
@samuelmbaga1557
@samuelmbaga1557 4 месяца назад
Nipo Dar es salaam, Tanzania
@bonnyuholo7555
@bonnyuholo7555 9 месяцев назад
Mimi ni mkenya lakini niko Doha Qatar
@hushtracktz
@hushtracktz 7 месяцев назад
dar es salaam tanzania🎉
@IsiakaNkya
@IsiakaNkya 5 месяцев назад
From moshi Tanzania
@NdayisabaKarim
@NdayisabaKarim 9 месяцев назад
Kwa kweli big up big up Mheshimiwa
@khamisali-wz8ds
@khamisali-wz8ds 9 месяцев назад
Kaka asante kwakututowa kwenye kiza kizito mungu atakulip
@nadildylan6124
@nadildylan6124 7 месяцев назад
Nadil from dar es salaam tz
@samuelmbaga1557
@samuelmbaga1557 3 месяца назад
Niko dar es salaam
@jumamanzi4531
@jumamanzi4531 9 месяцев назад
Kwanini mtoto asiende china au India??
@Ahmed26171
@Ahmed26171 4 месяца назад
Mr EBM naomba list ya vyuo vya Community college, deadline zao zipoje!?
@saviorJesusChrist
@saviorJesusChrist 9 месяцев назад
From South Africa. Kwa wazazi ambao walimalizia grade11 je wanaweza kusoma ku community College na pesa ngapi naam kwa wenye hawajuwi English sana itakua je
@aoloathumani10
@aoloathumani10 9 месяцев назад
Mimi naitwa Athumani naangalia kutokea Tanzania, Dar es salaam 🙏
@user-yn8bk9hq3e
@user-yn8bk9hq3e 9 месяцев назад
Tanzania, Arusha
@lilianlukumai
@lilianlukumai 8 месяцев назад
nipo Arusha Tanzania
@user-wz7ci3xp1f
@user-wz7ci3xp1f 9 месяцев назад
I'm Kenyan currently in Bahrain
@aashirumargaretchege6527
@aashirumargaretchege6527 9 месяцев назад
You mean kuna mpesa Kenya niliona App hakuna aki niliboeka juu hiyo ndio naweza tumia nikiwa Saudia juu hata pesa huwa wanatumia mobile wallet kunipea salary sasa hata bank ni hard kwenda
@fedrickfred7406
@fedrickfred7406 9 месяцев назад
Zanzibar
@fortunatah
@fortunatah 2 месяца назад
kias gan kinatosha kwa semister moja plz?
@user-hv1zn6lw3p
@user-hv1zn6lw3p 9 месяцев назад
Naitwa Prisila Kiwango..Tanzania Dar es salaam
@amosyedward1546
@amosyedward1546 9 месяцев назад
kwa mtu aliemaliza A level na kupata Dv- I anu II je anaweza kupata scholarship community college
@veronicah2160
@veronicah2160 9 месяцев назад
Veronicah Niko Kenya,mtaa wa pipelini
@christianchristianwella4910
@christianchristianwella4910 9 месяцев назад
Nimeyapenda haya maelezo yako
@usamaiddsu
@usamaiddsu 9 месяцев назад
Je unaweza kuomba kusoma Marekani kwa kutumia uzoefu wa kazi fulani bila ya kua na academic backgrounds.
@NamAtaro_Kenya
@NamAtaro_Kenya 9 месяцев назад
@giselapeter5282
@giselapeter5282 9 месяцев назад
Naitwa Gisela nipo Kilimanjaro Tanzania. Tupo pamoja
@rahelpaul3079
@rahelpaul3079 9 месяцев назад
Kaka pole kwa kutuhangaikia kutupa taarifa njema,mimi nina diploma naweza kujiunga na community college.
@dicksonexavery726
@dicksonexavery726 8 месяцев назад
Yes ur eligible
@GairoTeamOfficesim-sh6lp
@GairoTeamOfficesim-sh6lp 6 месяцев назад
Morogoro ...gairo
@howardbillionaire
@howardbillionaire 5 месяцев назад
Tanzania SIngida hapaaa
@davidmajura6706
@davidmajura6706 9 месяцев назад
Mimi nakufatilia kutokea Dar es salaam Tanzania
@mbokachawe9657
@mbokachawe9657 9 месяцев назад
Naangalia toka Iringa Tanzania
@poohwashington2752
@poohwashington2752 9 месяцев назад
Niko pamoja nawe nakufatilia Niko Tanzania Dar es salaam Mbagala Chamazi
@binabeid3980
@binabeid3980 9 месяцев назад
From Zanzibar!!!
@christianchristianwella4910
@christianchristianwella4910 9 месяцев назад
Nipo Songea mimi
@Ahmed26171
@Ahmed26171 4 месяца назад
Mimi nipo Tanzania nipo Mwanza
@kiizerafrica8134
@kiizerafrica8134 9 месяцев назад
Brother hiyo app kila nikijaribu kulog in inasema kuna tatizo la kimtandao
@user-hh1wq2wf6s
@user-hh1wq2wf6s 9 месяцев назад
Sorry tunaomba msaada WA connection Ili utusaidie tupate chance
@jabibama
@jabibama 9 месяцев назад
Mtanzania: nipo Mwanza
@goodnesshosea303
@goodnesshosea303 9 месяцев назад
Tanzania dar es saaam
@Wesley-AK
@Wesley-AK 9 месяцев назад
Am having a problem with the app
@zabulonhakizimana4386
@zabulonhakizimana4386 9 месяцев назад
Niko Burundi Bujumbura.
@NdayisabaKarim
@NdayisabaKarim 9 месяцев назад
The American my dream
@lucykimani4949
@lucykimani4949 9 месяцев назад
Niko Nakuru City, Kenya
@Dr_pumber
@Dr_pumber 6 месяцев назад
DSM TZ
@emmanuelmsambya5293
@emmanuelmsambya5293 9 месяцев назад
Tanzania kigoma
@user-tc7wd1qj8e
@user-tc7wd1qj8e 9 месяцев назад
Mimi Niko Tanzania mkoa wa Arusha
@christianchristianwella4910
@christianchristianwella4910 9 месяцев назад
Mimi naitwa Christian wella nipo Songea Ruvuma
@user-zo7mw3dc2q
@user-zo7mw3dc2q 8 месяцев назад
Nipo Tanzania mkoa wamorogoro
@NdayisabaKarim
@NdayisabaKarim 9 месяцев назад
Kila kitu unatueweka waaazi
@user-sy9zp3ho6w
@user-sy9zp3ho6w 9 месяцев назад
Kaka Ebm hakika wewe umekuwa ni msaada mkubwa Sana kwetu sisi waafrika endelea kutupa taarifa kwani mafanikio ya waafrika yanatokana na upendo was waafrika wenyewe, U arikiwe Sana kaka
@user-yr2sg6nq1p
@user-yr2sg6nq1p 9 месяцев назад
Kama Nina certificate na diploma naweza kuaply na cheti kipi hapo?
@dicksonexavery726
@dicksonexavery726 8 месяцев назад
Diploma
@user-gs7kh2sl8n
@user-gs7kh2sl8n 9 месяцев назад
Nipo njombe Tanzania
@enemtatuka5863
@enemtatuka5863 9 месяцев назад
Na je wajina kuhusu garama ziko je
@mustafamgomba1713
@mustafamgomba1713 9 месяцев назад
Wakumbuke hiyo usd 1000 wewe upo USA sisi tunaivalue dola elfu moja kibongobongo nafikiri ni sawa kwa hiyo bei tatzo u humi huku bongo
@alfakisaidkilaga7605
@alfakisaidkilaga7605 9 месяцев назад
Naitwa Alfa nipo bongo dar es salam
@GabriellaMakatu-jf2lq
@GabriellaMakatu-jf2lq 9 месяцев назад
Mimi ni Gabriella nipo Dar es salaam
@BlaiseNdayongeje-wk6uj
@BlaiseNdayongeje-wk6uj 9 месяцев назад
Asante
@user-tf3vf8rj8n
@user-tf3vf8rj8n 7 месяцев назад
From zanzibar Tanzania
@user-gs7kh2sl8n
@user-gs7kh2sl8n 9 месяцев назад
Nipo njombe Tanzania
Далее
Unataka Kusoma Chuo Kikuu Marekani?
2:00:39
Просмотров 1,7 тыс.
iPhone 16 - презентация Apple 2024
01:00
Просмотров 55 тыс.
iPhone 16 - презентация Apple 2024
01:00
Просмотров 55 тыс.