Katika Video Hii #MohammedDewji anatoa ushauri kwa wasio na #Mtaji. Je, unafikiri hatua hizi zinaweza kuwa msaada kwako? Tuandikie mawazo yako.
Kwa Video nyingine nyingi kama hizi endelea kufuatilia channel hii #Pesa360 . Kila wiki tunakuletea Video mpya juu ya mafunzo ya jinsi ya kupata, kutumia na kukuza pesa.
Karibu sana
28 янв 2020