Тёмный

Ushindi wa Twaha Kiduku Vs Iago Kiziria | VITASA | Mfalme kwenye ufalme wake - 22/04/2023 

Azam TV
Подписаться 2,8 млн
Просмотров 254 тыс.
50% 1

MFALME KWENYE UFALME WAKE: Tazama Bondia Twaha Kiduku alivyomchapa Iago Kiziria kutoka Georgia kwa pointi na kufanikiwa kutetea taji lake la UBO huku akishinda taji jipya la PST hapa katika Ukumbi wa Tanzanite, Morogoro.
Mfalme aendelea kuulinda ufalme wake.

Опубликовано:

 

1 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 310   
@jayclassicke8163
@jayclassicke8163 Год назад
Twaha Leo kapatana n kiboko yake... lakin hapa kuna ufisadi ulifanyika, ilikua sale kabisa, sio poa Bana msilazimishe mtu kushinda pasipo na ushindi
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 Год назад
Hata ingekua sare wangembeba twaha. Inshot kiduku kachapika
@mohamedchenge9440
@mohamedchenge9440 Год назад
Tuache Kusifia ujinga Twaha Abadirike kwahivi navopigana sio professional boxing so kifupi ajaribu kucheza nje ili apate ushindani
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 Год назад
Twaha kapigwa kama ngoma basi tuu😂😂😂😂
@yassiriano
@yassiriano Год назад
Hamn kitu hapo twaha sio professional bado san
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 Год назад
Utofauti wa Twaha ni bondia wa Nchini ila Mwakinyo ni Bondia wa kimataifa Twaha kapigwa mwenye macho haambiwi tazama ukikataa kataa tu ila pambano lipo wazi twaha kapigwa
@gerrylufingo387
@gerrylufingo387 Год назад
I commend a Georgian Boxer Kiziria for his Professionalism attitude as he accepted defeat out of a controversial judgement. When you look the insights of the fight and punches, no doubt even home TV stations commentators conclude that Kiziria had a better fight than Twaha. No wonder even Twaha was surprised by the announcement.
@flova7022
@flova7022 Год назад
This is Tz bro...from my side view...l conclude with a draw. Equal chance fight
@bahatijuma8233
@bahatijuma8233 Год назад
Iko iv!! Mara nuingi unapokuwa na pambano la Ngumi ugenini, ili ushinde unatakiwa upige KO. Ukimaliza raundi zote huwez kushinda labda uwe na uwezo wa kuonesha utofauti usiokuwa wa mashaka juu ya pambano na hii sio Tz pekeake
@mtengwadj9390
@mtengwadj9390 Год назад
Kabisa
@dogomanlema8034
@dogomanlema8034 Год назад
@@mtengwadj9390
@arafatzahor6058
@arafatzahor6058 Год назад
Sahihi maana twaha alikua anakumbatia tu ila lago kapiga ngumi
@allykondo7510
@allykondo7510 Год назад
Kidukwi kapingwa ana bebwatu watu tunahacha usingizi wetu kwa usenge mtupu
@ATHANASLUKEHA-ui7pq
@ATHANASLUKEHA-ui7pq Год назад
Kiduku kabebwa,hamfikii mzng!
@independent9079
@independent9079 Год назад
Watanzania tunaendelea sana maana mnacomment uhalisia na sio kupendelea kama majaji
@pascalnnunduma4633
@pascalnnunduma4633 Год назад
PAMBANO LILIKUWA SALE HILI MZUNGU ALIKUWA VIZURI SIO MNYONGE
@theophilwhiteheart1997
@theophilwhiteheart1997 Год назад
Kitu Kimoja tu nakumbusha kuwa tujaribu kuzingatia haki na ukweli,, tusitazame tu unyumbani🇹🇿🙌🏽
@sabraham5308
@sabraham5308 Год назад
Ni kweli kabisa,na kama akishitaki na kamati ya ndondi ya kimataifa ikaipitia mkanda wote,basi hapo hao waamuZi wote watafungiwa kimataifa,kiukweli Kisusu hakufurukuta,kilichomsaidia ni uvumilivu,lakini alitamani pambano liishe.uhalisia Twaha kazidiwa
@khamisali5978
@khamisali5978 11 месяцев назад
Lkn pia usisahau pia mkienda ht world cup mnalalamika km mnaoenewa ,sasa kuna ubaya gani ukipewa mpini na ww usimsaidie mwenzako?🤣🤣🤣
@enezermwafrica7443
@enezermwafrica7443 Год назад
Kiduku Kadudwa🤣 ila ugenini kushinda kwa Point sio rahisi🙅 ukibahatika Nock Out hapo sawa👍 Kiduku na yeye amfuate America🙇 sio kila mara wao ndio wanamfuata! Tunakata kuona ana intertill kwao ili kulete ushindani, inakuwaje mapambano yake Moro na Dar tuuuuu!!!🤷🤷🤷
@abdul-majidkombo5275
@abdul-majidkombo5275 Год назад
Yeah ni kwel kabisa
@shijamakoye6013
@shijamakoye6013 Год назад
Kwanza wewe nimshamba na hujui ngumi wala mchezo wa ngumi
@jacobjb4515
@jacobjb4515 Год назад
Kachunge ng'ombe wee boya
@evansmtalo8924
@evansmtalo8924 Год назад
Mzunguuuuuuuu jamani !!!JAMANI ndo mshindi.tuweni waaminifu Kwa mambo madogo!!!!!?????
@sergiokipande5264
@sergiokipande5264 Год назад
Ni aibu kubwa sana bondia wetu Twaha Kiduku kapigwa😢😢😢 Wamemnyima ushindi bingwa halali😢😢😢
@abdul-majidkombo5275
@abdul-majidkombo5275 Год назад
Kwel kabisa man twaha mwenyew round za mwisho hoi unamuhs kabisa 😂😂
@shijamakoye6013
@shijamakoye6013 Год назад
Unamavi makalioni
@sergiokipande5264
@sergiokipande5264 Год назад
@@shijamakoye6013 pasuka roho ila ukweli lazima usemwe
@sergiokipande5264
@sergiokipande5264 Год назад
@@shijamakoye6013 Wewe unakunya maandazi? Au ukila chakula kinafanya evaporation? Baba yako na mama yako pia wana mavi makalioni na wewe una roho ya mavi, hapo vipi?
@pallangyojames6870
@pallangyojames6870 Год назад
Kiukweli twaaa kapigwa😢 ila ndio hivo jmn cz sijaipenda hiii ushindi wa mezani ila jamaaa yupo sawa,bless bro unajua ila hongera twaaa kwa kubadirika kimchezo
@shijamakoye6013
@shijamakoye6013 Год назад
Unamavi matakoni wewe tuonyeshe ngumi nagapi twaha kapingwa harafu yeye kapiga ngapi acha ushamba
@ntimimwambelo3173
@ntimimwambelo3173 Год назад
Huyo mzungu kapigwa sana ndg yangu angalia ngumi vizuri
@ikramsalum5655
@ikramsalum5655 Год назад
Umepoteza kaka usiwasikilize majaji wetu wa bongo ...piga tz kwa bidiii ushindi haujifichi ww ni bondia bola tz...
@ZawadiBoi-ul8ie
@ZawadiBoi-ul8ie Год назад
Kashinda Sawa ila kapigwa tuseme ukweli itabidi aende nje apate challenges zaidi kama kwa KO inabidi ashinde Sio hivi Kuna kubebwa kumehusika apo
@michaelmwamanda8418
@michaelmwamanda8418 7 месяцев назад
Awa ndo waliozowea kibebwa alafu utasikia mm sichagui bondia sasa hata usipochagua bondia alafu unabebwabebwa anamaana gani kwetu cc watanzania?? Alafu kuanzia saivi atutaki ujinga muendage nje kama wanavyikuja wenzenu hapa ndio tujue kweli nyinyi ni mabingwa
@zainabmaulid9637
@zainabmaulid9637 Год назад
Twaha mtanzania mwenzangu lakin umepigwa umebwebwa tu kwa ngumi izo bado sana mwakinyo humuezi
@fxfundamentals24
@fxfundamentals24 Год назад
Mbona mie naona Twaha kapigwa apo😀
@shijamakoye6013
@shijamakoye6013 Год назад
Tatizo watu wmekalili twaha kila game anapiga mtu magumi mazito mazito kuna mda unacheza sanaa peke yake eleweni kuwa mchezo wa ngumi ni sanaa
@ShaqueeBlackrapper
@ShaqueeBlackrapper Год назад
TWAHA HAJAKAA KATIKA UBORA WAKE KWENYE HILI PAMBANO
@williamkavuta8066
@williamkavuta8066 Год назад
Mmi shabiki wa Twaha ila nimeshanga kashindaje ...kapigwa
@mustaphahashim7532
@mustaphahashim7532 Год назад
Hamna kitu apo Twaha kwa style.. Mm ni shabiki yako ila kilaa leo nazidi kuona unaporomoka kabisa na hauna ile stamina tenaa.. kwa hili pambano tunasema No na umependelewa kwa kuwa upo Nyumbani.
@gumbozawadi
@gumbozawadi Год назад
Ili kuwafanya mabondia wetu wawe bora wakipigwa acha wapoteze,kiduku ni fundi sana lakin hii alipigwa
@wazirmollel5336
@wazirmollel5336 Год назад
Mbeleko🤣🤣
@thomassalvatory8303
@thomassalvatory8303 Год назад
huyu mzungu anapiga daaaah jamaaa mdogo ila mzungu noma anapiga combination hatar
@SadikiKidevu
@SadikiKidevu Год назад
Kaka twakhaa mzito lakin huo mwili akiutumia vzur anaweza kua kama myko Tyson ajengewepec tu wamikono
@yohanekopilato-wn3lo
@yohanekopilato-wn3lo Год назад
Sijaona zile ngumi za Twaha sielewi kashindaje
@abdul-majidkombo5275
@abdul-majidkombo5275 Год назад
Kweli kabisa fugisu tu ila wacha ni mtanzania mwenzetu 😅
@homesaickofficial7407
@homesaickofficial7407 Год назад
Mnapoteza muda azam kwa uyo twaa amna bondia apo bola ata ya mwakinyo na ili pambano mumempa twa kimakosa tu sijapenda bingwa alikua yago
@shijamakoye6013
@shijamakoye6013 Год назад
Mlete mama yako apigane tumuone
@homesaickofficial7407
@homesaickofficial7407 Год назад
Mama tena jieshimu nsije nkakufila
@ikramsalum5655
@ikramsalum5655 Год назад
@@homesaickofficial7407 🙄🙄🙄
@ikramsalum5655
@ikramsalum5655 Год назад
@@shijamakoye6013 waacheni wazazi wetu wapumzike acheni ujinga ...hamuijui thamani yamama??
@homesaickofficial7407
@homesaickofficial7407 Год назад
@@ikramsalum5655 kakosea kutusi itakua ajielewi vizuli
@obadiamshana2518
@obadiamshana2518 Год назад
Twaha kapigwa kabisa kabebwa
@bongelabwana7366
@bongelabwana7366 Год назад
Kapigwa mzungu acheni unafk akiongea ngumi zikiingizwa zile ndo pointi ngum zinaangaliwa point
@abdalaahnaziru7315
@abdalaahnaziru7315 Год назад
kiduku kapigwa
@mtausi6995
@mtausi6995 Год назад
Mimi mshabiki wa Kiduku ile leo amekutana na kidume, kazi ilikuwepo mwamba ni balaa. Hongera Twaha kwa kuendelea kutuheshimisha Watanzania.
@dayanimwamwembe900
@dayanimwamwembe900 Год назад
Mtu anapigwa mnasema ameshinda mnatuvunja moyo
@eschdondefix2102
@eschdondefix2102 Год назад
Mimi ni shabiki wa twaha na uniambii kitu naelewaga sana anachokifanya ila kwa ili pambano la leo ni droo hakustaili kupata ubingwa.. Kila bondia kapanch ila mxungu kapanchi nying ila zilizogusa uso ni chache na twah kapanch chache lakini zimefika usoni japo siyo kwa uzito harisi.. All in all natamani twaha nae awatembelee mabondia kwenye nchi zao na siyo kila siku kutembelewa yeye tu haileti challenge ya aina yake kwake na hata kwa sisi mashabiki na kiukweli majaji wamefeli
@jayclassicke8163
@jayclassicke8163 Год назад
Hii ilikua sare kabisa mm pia napenda twaha anachokifanya Ila Kwa leo wamefel sana
@jamilamwarabu3890
@jamilamwarabu3890 Год назад
Acheni utapeliiii mmemzulumu mzungu twaha kapigwa
@richardnganya2311
@richardnganya2311 Год назад
Kapigwa ulingoni ila mezani kashinda. Na kanuni ziko hovyo sana
@johnsonbagambi1908
@johnsonbagambi1908 Год назад
😂😂😂😂😂
@marcopolcwaggmaster144
@marcopolcwaggmaster144 Год назад
Apa mmefel
@britonkanumba6828
@britonkanumba6828 Год назад
Twaha kiduku kapigwa
@abubakarbajun3503
@abubakarbajun3503 Год назад
Twaa haa kapigwaa achen zulmaa
@bongelabwana7366
@bongelabwana7366 Год назад
Mzungu mwenyewe amekubali kapigwa kwa pointi ata ikiwa moja pointi ushashindwa mzungu anajua ndoman akulet ubishi kakubal
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 Год назад
Time keeper aache Bangi next time asipewe kazi hiyo..hayuko makini...Mimi ngumi yoyote ambayo mpinzani hadondoki huwa siielewi
@edwardsinkonde9878
@edwardsinkonde9878 Год назад
Hii Ni droo mmependeleA
@MohamedMkilalu-ef2dr
@MohamedMkilalu-ef2dr Год назад
Kwa pambano hili kilichombeba twaa sababu yeye mwenyeji iia kapigwa
@yusufuyusufumongolia382
@yusufuyusufumongolia382 Год назад
Hapa Twaha kapigwa wala tusipindishe ukweli sema ndo hivyo kushinda ugenini kwa point ni ngumu labda know count lakini makengeza kapigwa😭😭
@pallangyojames6870
@pallangyojames6870 Год назад
Kabisa
@shijamakoye6013
@shijamakoye6013 Год назад
Unamavi makalioni wewe
@yusufuyusufumongolia382
@yusufuyusufumongolia382 Год назад
@@shijamakoye6013 😁😁😁😁 siku zote ukitaka kuonekana mbaya Dai chako au sema ukweli 😁😁😁 makengeza wenu mnayependa kachezea sema wahenga wanasema mcheza kwao .........
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 Год назад
@@yusufuyusufumongolia382 wa2 wanaongea kwa mihemko watangazaji mara nyingi walikuwa wakitaja jina la twaha mara leo kafanya mazoezi kuna muda ikabidi waseme tu kwamba kadefence kuliko kushambulia
@MachaggeChacha-c8w
@MachaggeChacha-c8w Год назад
Mzungu kapigwa. Mswahilimkashinda lazima tumshangilie>
@dobidotz3696
@dobidotz3696 Год назад
Hiyo short aliyovaa kiduku sio poa 🤣😂😂😂😂😂
@pharleserasto3114
@pharleserasto3114 Год назад
Hili pambano kiukwel Twaha kabebwa ilikuwa droo wamefany tu mcheza kwao hutuzwa but sio fair kwa ushindi huu
@elibarikilairumbe5462
@elibarikilairumbe5462 Год назад
huyu jamaa kampa twaha gam taff sana ila kongore kwa twaha kwa mabadiliko yake makubwa👏👏👏🤜🤛👊💪🦾
@jeromeshirima2053
@jeromeshirima2053 Год назад
Kiduku Ameshinda kihalali round ya kwanza mpka sita ameongoza twaha
@millitarybattalion7515
@millitarybattalion7515 Год назад
Twaha kapigwa kabisa
@iwishtv7907
@iwishtv7907 Год назад
Hivyo Vigoma vinapiga kelele vinaharibu ladha, Si kila sehemu mnaleta Uswahili
@bahatijuma8233
@bahatijuma8233 Год назад
Kilichonifurahisha kwenye pambano hili ni kwamba, baada ya matokeo kusomwa kuwa Twaha kashinda Mzungu hajalalamika kabxa ameyapokea matokea kiroho safi hii inaonesha Bondia huyu amekuwa kitaaruma na ki mchezo Akshanteni
@jumakaniki5650
@jumakaniki5650 Год назад
Kaxhaona kua tunabebana
@mbarakatv633
@mbarakatv633 Год назад
Titaenda kwao tu😂😂
@jumabalozi
@jumabalozi Год назад
NI KWELI TWAHA AMESHINDA JAPO AKILI YANGU HAIKUBALI😮
@waithiraeliwaithirah
@waithiraeliwaithirah Год назад
Uyu sio Twaha ni Tyson wa TZ❤❤❤,,,
@MusaJuma-jr7wb
@MusaJuma-jr7wb Год назад
Kiduku kapigwa jamani muache upendeleo
@alwatanmatata2301
@alwatanmatata2301 Год назад
Twaha kashiinda kapiga ngumi za pointi ila mjomba kapiga ngumi nyingi za kumfanya apate point
@ulomiofficialkgm5437
@ulomiofficialkgm5437 Год назад
NASEMAJE NASEMAJE TWAHA KABUTURIWA
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 Год назад
Wazi wazi twaha kapigwa 😁🤣🤣 waliangalie hili twaha apokonywe mkanda
@abdallahmulumbaga559
@abdallahmulumbaga559 Год назад
Sawa twaha uko vzr lkn watangazaji mjifunze kuongelea pande zote mbili
@yasluhumilemohammed7461
@yasluhumilemohammed7461 Год назад
Hii mechi ingekuwa sehem tofaut na Tanzania hii ni suruhu t
@gimongesaid4233
@gimongesaid4233 Год назад
Mnambeba sanaa hii ndio Shida ya majaji wa kibongo Kuna bondia wa south Africa alisema ukitaka kushinda Tanzania piga mtu ko
@shubebunyesi542
@shubebunyesi542 Год назад
Sio tz duniani kote
@gimongesaid4233
@gimongesaid4233 Год назад
Unasema Duniani kote sio kweli bongo wamezidi kubebwa
@samwelimadaha767
@samwelimadaha767 Год назад
Score mbona gap kubwa hivyo? Ilitakiwa wasitofautine point 3 hata kama Twaha angeshinda , na hata ingekuwa sare bado fair... naona wakirudiana nchi nyingine pia Pambano litakuwa mostly sare..... Mpinzani na benchi lake wako proffesionals ❤ Twaha kajitahidi kucheza mbinu za juu kama Whites vile, japo mpinzani alikuwa bora😊
@changarawemichael5556
@changarawemichael5556 Год назад
huu mchezo ukiwa ugenini shinda knockout tu full stop
@ShebbyTyme
@ShebbyTyme Год назад
Kabondwa mwanetu" Ila mcheza kwao hutunzwa.
@dicksonKindole
@dicksonKindole Год назад
mmmh hao ma judge hao kiukweli hawaja mtendea haki huyo mzungu😂😂😂😂
@abdul-majidkombo5275
@abdul-majidkombo5275 Год назад
Yeah jamaa kachez uzur mno twaha mwenyew kaelewa kaz .. 😅😅
@shijamakoye6013
@shijamakoye6013 Год назад
Nenda kamtendee wewe
@michaelmwamanda8418
@michaelmwamanda8418 5 месяцев назад
Sikubahatika kuliona live hili pambano lakini Hili ndio pambano pekee ambalo twaha alicheza vizuri sana
@abubakarbajun3503
@abubakarbajun3503 Год назад
Kapigwaaa kama vipiii lirudiwee huko kwao twahaa atarudii hoi
@aboukillo1734
@aboukillo1734 Год назад
Ur always champ#💪 no one can let u 👎 bigup man
@ATHANASLUKEHA-ui7pq
@ATHANASLUKEHA-ui7pq Год назад
Upendeleo was wazi
@hassanmfulu470
@hassanmfulu470 Год назад
Ukiona mzungu rangi ya uso imebadilika ujue lipo jambo
@tungarazalaurent2602
@tungarazalaurent2602 Год назад
Likae jopo la majaji upya mbona twaha hakuna alichofanya apo mzungu kashinda jaman daaah Tz kweli tembele chakula
@richardnganya2311
@richardnganya2311 Год назад
Tatizo kanuni ndizo zinazimpa ushindi Kiduku. Hebu sasa atoke mje ya nchi akapambane huko.
@CALVINHENRICK-uy6ox
@CALVINHENRICK-uy6ox Год назад
mim ni shabiki no moja wa kiduku bt kwa hili pambano twaah ajaonyesha uleubora tuliomzoea yaan sijaona akipelek ngum zamaana as tulivyomzoea kabadirik kiupiganaji ila leo kweli mzungu kampa challenge ya kujifunza kitu bt big up sana homeboe
@salmamohamed1506
@salmamohamed1506 Год назад
Point ya mzungu nyie wakabila
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 Год назад
Kabisa
@godfreymwamaso2424
@godfreymwamaso2424 Год назад
Hapana tuache siasa kwenye ngumi mzungu ameshinda pambano Twaha muda wote alikuwa amezidiwa alikuwa anamkumbatia mpinzani wake ameonyesha udhaifu sana Sasa Kama akitoka nje atamshinda nani?
@belafontesteven5144
@belafontesteven5144 Год назад
Fair kabisa Twaha kashinda hii fight.
@meshackmadema781
@meshackmadema781 Год назад
Nimeona hili pambano ni droo au labda mimi sijui ngumi. 🤔🤔🤔🤔
@mashakajuma3517
@mashakajuma3517 Год назад
Huu uamuzi wa haufai kabisa Twaha alipigwa ngumi kila round na kudondoshwa chini mara moja, halafu eti anaibuka kuwa mshindi. Huo ni ushindi wa mezani tu, lakini kila aliyeshuhudia aliona jinsi Twaha alivyodundwa uringoni.
@TashwillKaroolse
@TashwillKaroolse Год назад
Unachuki za kijinga, jinyonge sasa😂😂
@khamisali5978
@khamisali5978 11 месяцев назад
Ukiona MTU kaandika kiswahili then yupo against na mswahili mwenzake bs kuna kitu kinataka kuangaliwa.
@hassanmsangi1155
@hassanmsangi1155 Год назад
bongo nyoso kwa namna hii ngum kukua tz tutachelewa sana yan mtu hajapigana ushindi majaj wanayo mgen kushida bongo nikwa KO tu sio point
@mckobatz5861
@mckobatz5861 Год назад
Huyo mgeni amepigana Nini Sasa hapo kwa mtazamo wako?
@mariamsaidi9771
@mariamsaidi9771 Год назад
Huyo twaha apigane tyu na hao vilaza wenzake mwakinyo ata muua mpuuz huyo hana huwezo wa kipigna nae
@tembarooney7899
@tembarooney7899 Год назад
Mwakinyo ni bure
@alexalen6799
@alexalen6799 Год назад
Watanzania tubadilike ukisema ukweli eti tunatetea mashoga ukweli usemwe mzungu anajua sana twaha kapigwa time hii alafu si kila mzungu ni shoga wengine wapo wastaarabu kwahiyo mnataka kusema familia ya afande Rama wote maputo sio kweli ...mzungu kashinda ila bongo nyoso.
@shubebunyesi542
@shubebunyesi542 Год назад
Kashinda njaa kila mtu jaji kwani apo unaona twaha kacheza vibaya ngumi point sio kila ukirusha basi ndio ihesabiwe
@ashuraomarshuucollection
@ashuraomarshuucollection Год назад
Hio ngumi hatareee ya kibavu cha juu hatari lazima ukae hio ndio leo pambano la gervotta Davis na rayn Garcia hio ngumi ndio imeamua mshindi jamaa kapigwa hio chembe hajaendelea gervotta Davis kampiga Garcia kwa nock out
@thobiasluanda224
@thobiasluanda224 Год назад
Davis ni mtu hatari sana. Nilijua tu kwamba Ryan angepoteza.
@OmarMohamed-bp9ix
@OmarMohamed-bp9ix Год назад
Tumepigwa kabisa,,,sio utani,,,
@benedictinelusambo069
@benedictinelusambo069 Год назад
Lisemwalo lipo inawezekana kweli Twaha kapigwa😂😂
@salubrown4013
@salubrown4013 Год назад
Ongela sana twaha kidukuuuu
@saidmaziku8999
@saidmaziku8999 Год назад
siku tukiacha dhana ya unyumbani katika hii michezo Basi mabondia wetu watakuwa vizuri,mzungu anakila sababu ya kushinda,ameweza kulicontrol pambano mpaka round ya mwisho,ushauri wangu kwa watanzania tusitoe ushindi kwa sababu ya unyumbani tutakuwa utuwandengenezi mabondia wetu ,viva boxing
@halfaniabdallah2131
@halfaniabdallah2131 Год назад
Ive mnaposema kabebwa nyinyi nimajaji na MTANZANIA angeshindwa mngefurahi
@odhiaodhia9898
@odhiaodhia9898 Год назад
Mabondia wote wakali sana
@yakubsaid22
@yakubsaid22 Год назад
Naona koment. Zote zinafanana sawa .nashukuru wapenz watwaha kwakugundua hayo mloyasema
@renatuschristopher3583
@renatuschristopher3583 Год назад
Twaa kapigwa
@lutenganolukali2122
@lutenganolukali2122 Год назад
Choki. Vs. Mwakyembe tafadhari.
@directorimmah_vfx3043
@directorimmah_vfx3043 Год назад
wallishapigana tayr chokijr alishnda kw point
@abdallahsaid1968
@abdallahsaid1968 Год назад
Zamani ngumi alikua ajui yeye na juma misumali misumali mzuli kuliko twaha ila sasaivi kabadilika
@thobiasluanda224
@thobiasluanda224 Год назад
Twaha aongeze mazoezi ya pumzi anachoka sana akiwa mchezoni
@jamilamwarabu3890
@jamilamwarabu3890 Год назад
Majaji wa mchongo ,twaha hakustahili kushinda kabisa
@ayubudax1444
@ayubudax1444 Год назад
Twaha ame shinda kihalali kabisa , Kwa mtu anae elewa ngumi , atakuwa ame elewa , twaha ana target , ana jua kujilinda , ana nguvu na , twha amecheza ngumi na sio kupigana , shabiki maandaz sio kila ngumi ikifika mwilini , itahesabiwa , no .
@johnrambo9642
@johnrambo9642 Год назад
OYAA TWAHA LIKIZINGUA SANA KUMBATIA NG'ATA MISKIO KISHA ZUBAA PELEKA ZA CHEMBE MLINGOT UKAE MAHAL PAKE 😅😅HALAA
@IddyRashid-b9c
@IddyRashid-b9c Год назад
Tupeperushe bendera yetu kwanza mambo mengine baadae iddy bwinoo mkurungwa kutoka mjohoro pesa pale sahare tanga ausindilee
@abdallahamiri8527
@abdallahamiri8527 Год назад
Kwa ngumi izi twaha ata dhalilishwa na mwakinyo😂😂🤣mzungu wakawaida Sana No heavy punch lakini twaha anatweta😂😂🤣
@khamisali5978
@khamisali5978 Год назад
Wa kawaida kweli kwa sababu ww unaangalia lkn ukitaka kujua sio wa kawaida uingie nae ulingoni.
@villanboss6828
@villanboss6828 Год назад
Umeona kilichomkuta mwakinyo jana!?.
@halfaniabdallah2131
@halfaniabdallah2131 Год назад
@@villanboss6828 kwani kilimkuta nn mbona kacheza vzr tu mwanzo mwisho sema tu wakongo wavumilivu na wabishi
@jafariselemani1368
@jafariselemani1368 Год назад
Hongera sana twaha kiduku simba imeshinda na ww umeshinda woten ushindi wa nchi Tz
@upendosteven6733
@upendosteven6733 Год назад
Pumbavu ujui ngumi wewe Baki ndichi ya mpira tu
@johnsonbagambi1908
@johnsonbagambi1908 Год назад
Tanzania bana!😂😂😂
@ramadhanimohamed4190
@ramadhanimohamed4190 Год назад
Hii sheria boxing ni ngumu sana maana sioni alichofanya twaha
@belafontesteven5144
@belafontesteven5144 Год назад
Pande nae uringoni utaona
@jumabalozi
@jumabalozi Год назад
Ushidi wa mchongo
@johnrambo9642
@johnrambo9642 Год назад
MZUNGU KITU GANI PIGA MBUZ HILO MZUNGU MZUNG 🦆 KWAO HUKO
@mahanjisanga3077
@mahanjisanga3077 Год назад
Kkkk nimeani kweri mchezea kwao hurindwa .eti twaha kashinda.
Далее
KINGWENDU AMFUMANIA MKEWE UTACHEKA SANA HII
17:30
Просмотров 403 тыс.
Teeth gadget every dentist should have 😬
00:20
Просмотров 1,3 млн
Undisputed III: Redemption | Final Fight Scene
13:24
Просмотров 2,3 млн
ONA Kilichotokea MBELE YA Rais SAMIA
8:20
Просмотров 1,1 млн
Fights from film - Sky - (Dir. Igor Kopylov 2020)
29:58
Teeth gadget every dentist should have 😬
00:20
Просмотров 1,3 млн