Тёмный

USIDHARAU MTU KWA KILE ANACHOKIPITIA - JOEL NANAUKA 

Joel Nanauka
Подписаться 294 тыс.
Просмотров 19 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 65   
@frankbujiku9496
@frankbujiku9496 Год назад
Napenda sana mafunzo yako kaka joel nanauka ipo cku tutakutana live nanitakuambia kiasi gani umebadilisha maisha yangu kifupi tu mm na familia yangu tunakuombea kwa mungu azidi kukupa uzima
@evahcricens7355
@evahcricens7355 Год назад
Mimi iyo namba 2 nimeiona kwa baba angu alivo shuka kiuchumi watu walimzarau Sana hata ndugu wakalibu lakini mungu nimwema saiv ameinuka
@protamwenyegzaketv7408
@protamwenyegzaketv7408 Год назад
Pole ndugu yangu
@DottoNtemi-kt5jc
@DottoNtemi-kt5jc 22 дня назад
Wewe ni mwalimu mkubwa sana yaaaaaaaaani Kaka ✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
@EliasGwaya
@EliasGwaya 22 часа назад
Nimeshadharaulika sana wazwaz, nashukuru neno hili limenitia nguvu sana
@davidmarik4633
@davidmarik4633 Год назад
Namba 5 imenitokea kuna Brother alinipatia kazi yake lakin changamoto nikwenye malipo alinipiga tarehe basi sikuendelea kumdai ikapita kama Mwaka sjaonana naye siku nimekutna naye sikuwa na mchongo daah yule Brother MUNGU amuweke salama alinionganishia kazi mpka sahvi naendelea nayo je ningegombana naye kisa akunilipa (Joel unacho fundisha ni kweli MUNGU akubariki)
@ErickEvarist-m3y
@ErickEvarist-m3y Год назад
Joel nanauka We Jamaa unajua sana asee,,,,Kila nikikusikiliza Huwa sikuchoki.....
@BukelebeTv
@BukelebeTv Год назад
Kesho ya Mtu ni fumbo!
@macksemuyango6108
@macksemuyango6108 Год назад
Haya maneno ninayopitia mimi wakati huu,kiukweli kama vile unanisema mimi kwa ninayopitia wakati juu ya watu wanavyonisema,,,,japo siyajali naendelea kupambania future yangu!!!! MUNGU AKUBARIKI SANA KAKA JOEL NANAUKA
@lucianambalamwezi1864
@lucianambalamwezi1864 Год назад
Heheee kaka watu wanajua kuhukumuuu yaaani pitia changamoto uone uhalisi wa mioyo ya wanadamu wanajua kumdharau mtu mpaka unaweza jishtukia kwamba umekuwa sio binadam nini!! So painful
@stanleyandrea5153
@stanleyandrea5153 Год назад
Kaka Joel napenda mafundisho Yako coz unafundisha mikakati ya hera pia ndani yake unafundisha neno la mungu. Mungu akubariki sana
@kuruthumukondo7149
@kuruthumukondo7149 Год назад
Kaka uko sahihi kabisa kwa kweli mm nashukuru sana, ila nimejifunza sana hili somo zuri na nimelielewa sana ❤
@doricemphuru6599
@doricemphuru6599 Год назад
Dah, Mungu akubariki sana kaka, 7:18 haya unayoyaongea mm nimeyaishi na kama si huyu Mungu sijui leo ninggekuwa wapi ila namshukuru kwa kuwa alinipa uwezo wa kunyanyuka tena na sasa nipo napambana maana najua kesho yangu ni fumbo.
@ephraimniyrenda
@ephraimniyrenda Месяц назад
Mimi niko na lafiki yangu akanikopa hela bada akashidwa kunipa na mimi nikahaza mdomo kama unavo Sema kwaio nimedyifuza sana kwakweli
@vicomslenses8109
@vicomslenses8109 Год назад
Mafumdisho haya yameniguza sana
@bonifacewanyonyi3555
@bonifacewanyonyi3555 Год назад
Nashukuru sana pro kwa hio elimu Niko nakudwatilia sana kutoka kenya mungu akupe maisha marefu umetusaitia sana hatukujua kuishi na watu lakini sasa tumejua❤❤❤❤❤
@AugustineNyambega
@AugustineNyambega 6 месяцев назад
Kesho ya mtu ni kubwa.
@JoyceMathias-st5xp
@JoyceMathias-st5xp 5 месяцев назад
Dah Mungu akubariki joel
@barakanyamafu5937
@barakanyamafu5937 9 месяцев назад
MUNGU akubariki sana
@rollahngimbwa6978
@rollahngimbwa6978 Год назад
Shkran sn kk Joel🙏🙏🙏 Somo lako nimelielewa Sana na kanuni yako pia💯💯 Kila siku najifunza mambo mapya kutoka kwako💯🙏
@geoffreyluvanda7801
@geoffreyluvanda7801 Год назад
Somo zuri saaana my Brother
@JoyceHaule-v7t
@JoyceHaule-v7t Год назад
Somo zuri sana
@194summer
@194summer 4 месяца назад
🎉❤🎉❤That' gteat
@YunusMgunga
@YunusMgunga 3 месяца назад
Asante sana Joel nanauka
@SwahiliTunu
@SwahiliTunu Год назад
I see Watu wengi WApo hivo ..Mimi ninapitia changamoto hiyo Sasa .umeeleza kama uliniona Mimi ninayopitia. Ashukuriwe Mungu jibu la maisha Yetu analo yéyé pekee.
@saidilembris9253
@saidilembris9253 Год назад
Hoja nzuri
@jimymp2569
@jimymp2569 Год назад
Broe Joel my mirrow tusaidie kupata DVD zako kama flash za mafunzo yako.
@costantinmwambeso2955
@costantinmwambeso2955 Год назад
Habar Mwalimu Joel, mimi kuna mtu namdai na nilikuwa tayari namuona hafai Lakn kumbe nakosea sana, nimejifunza na nitaendelea kushirikiana nae. Ubarikiwe sana
@MuhidinMangu
@MuhidinMangu Год назад
Mungu amejitosheleza kila idara ,tazama tazama na tafakari watu wa aina ya Joel wapo wanatema madini tyu ...Mungu atupe nn sie
@JohnMayuki-kh8qp
@JohnMayuki-kh8qp Год назад
Mimi nimemdai mtu laki moja kakaa nayo mwaka mzima nimeongea maneno yote mix kumtangaza kwa watu kua sio mlipaji na ni mbaya sana!!!!! Bwanae nashangaa kumbe kuna sehemu kawekeza akapiga ela kanipa laki 6 na msamaha hd naona aibu //// ningejua
@HabibuSwai-b6n
@HabibuSwai-b6n Год назад
Joel mungu akuongezee maarifa
@emmynyambo8359
@emmynyambo8359 Год назад
Naweza pata soft copy ya money formula gharama zikoje
@sebastiansappy5327
@sebastiansappy5327 Год назад
Mimi nakuonaga kama nabii, mana kila napokarbia kujikwaa nakutana na videos zako znanionya
@stevenobunde9345
@stevenobunde9345 Год назад
Jo you are King Solomon of nowadays !!!!
@felixrobert9734
@felixrobert9734 Год назад
Ila we jamaa nakuelewa san I wish siku moja takuona tu
@mussakaparatus4230
@mussakaparatus4230 Год назад
Leo Niko kuendesha kampun yangu kwa sabab ya vitabu vyako na spech zako umenifanya jijafute na nimejipata imebak kukua t
@AbbasAbdul-hamid-em3lv
@AbbasAbdul-hamid-em3lv Год назад
My great teacher ❤❤
@nassoromussa2423
@nassoromussa2423 Год назад
Hii ya kudharauliwa kwasababu ya kutokuwa na kipato (ulofa) ni maarufu sana. Binafsi ilinikuta.
@johngibson3089
@johngibson3089 Год назад
Asante sana JN
@deokkweka6999
@deokkweka6999 Год назад
Nakupata kaka Joel
@dafrosamsonge2007
@dafrosamsonge2007 Год назад
real this is true,Bro Joel
@StanslausKitandala-el4np
@StanslausKitandala-el4np Год назад
First view
@HeriethSylvester-dm3nb
@HeriethSylvester-dm3nb Год назад
Ahsante kaka
@abeidmbarouk6280
@abeidmbarouk6280 Год назад
Mada nzur sana
@sadathboutique6253
@sadathboutique6253 5 месяцев назад
Uyu jamaa ana akili nyingi sana cjawai ona
@Haleem_07
@Haleem_07 Год назад
Ngulii 🔥 🙌
@austineouma4270
@austineouma4270 Год назад
Hi brother, Asante kwa kunipa tumaini bro
@fundamengo7970
@fundamengo7970 Год назад
Vizuri sana
@jumananamwa3104
@jumananamwa3104 Год назад
Bro unaweza unagusa maisha ya Kila mmoja
@mr_pork2523
@mr_pork2523 Год назад
Asante sana Kwa ujumbe mzur
@emilyjoshua8093
@emilyjoshua8093 Год назад
I have learned something new
@KiparaOriginal-nt1zi
@KiparaOriginal-nt1zi Год назад
Mimi kipara nishamwomba jamaa yangu nimeishiwa mtaji akaninyima leo anaishi kwangu na mwenyewe anahadhia aliyonitendea
@robbyman6213
@robbyman6213 Год назад
Amen
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj Год назад
Asante sana
@ZephaniahSekwa-fl2go
@ZephaniahSekwa-fl2go Год назад
Brother mafunzo yako yatabadilisha maisha ya yoyote yule endapo atayaishiii haya mafunzo. Maneno yako yanauzito sana ndani yake
@LudoMutalemwa
@LudoMutalemwa 11 месяцев назад
Je kama ni kiburi wkt wa changamoto zake kwanini unamwelekeza haelekezeki na anaharibu vitu kw jicho la husuda kisa changamoto zake, utafikiri mimi sina zangu, unamsaidiaje sasa mbishi na muharibifu
@JanethIbrah
@JanethIbrah 7 месяцев назад
Mmh😢😢😢😢
@FredrickMdendemi-eh7zn
@FredrickMdendemi-eh7zn Год назад
Ya mwisho imenigusa aisee Kuna rafk yang nilimkopesha pesa nilidai San ila hakunilpa ,,,ila mwak mmoja baadae alinisaidia San msaada mkubwa Zaid ya Ile pesa
@mabulamasunga7378
@mabulamasunga7378 Год назад
Hii ni hali halisi ya maisha tunayoishi nayo. Na daima tunapaswa kujikita katika misingi ya kusaidiana. Siku mojanimekutana na mtu amelewa nyang'anyang'a halafu ananiomba nimtoa buku. Hii imekaeje?
@EsterJames-sk4te
@EsterJames-sk4te Год назад
Kesho ni fumbo
@abeidmbarouk6280
@abeidmbarouk6280 Год назад
See u at the top
@sissionenekiroway3301
@sissionenekiroway3301 3 месяца назад
What is fumbo in English?
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Год назад
See you At the top 🙌🏿🥰
@abrahammwambije2769
@abrahammwambije2769 Год назад
Joeli yote haya Huwa unayapta wapi?ninaomba unisaidie video zako zote tangu ulipo Anza hii kazi ya mafundisho nijue na ghalama zako tafadhali ili nipate nafasi ya kuwafundindisha na familia yangu Elimu kubwa kama hii .
@mahambagislain9618
@mahambagislain9618 5 месяцев назад
🎉🎉🎉✍️🇨🇩
Далее
Three NEW MAPS in Update 0.31.0 Nightmare | Standoff 2
01:48
Siri 4 Za Kuvutia Watu Muhimu Kwenye Maisha Yako.
9:48
AMUA UNACHOTAKA LEO - JOEL NANAUKA
17:14
Просмотров 105 тыс.
TENGENEZA MAISHA UNAYOYATAKA - JOEL NANAUKA
16:51
Просмотров 128 тыс.
Wajue Maadui 4 Kwenye Maisha Yako
7:49
Просмотров 144 тыс.
EPUKA MAMBO HAYA - JOEL NANAUKA
9:19
Просмотров 105 тыс.
Namna gani unaweza kuongeza kasi ya kutimiza maono yako
26:17
EPUKA MAFANIKIO YA HARAKA - JOEL NANAUKA
7:02
Просмотров 39 тыс.
UBONGO WA MWANADAMU - JOEL NANAUKA
13:23
Просмотров 72 тыс.
Three NEW MAPS in Update 0.31.0 Nightmare | Standoff 2
01:48