Allah azidi kukupa afya sheikh wetu Othman Maiko na akujaalie kila lenye kheri nawe uzidi kutufundisha misingi bora ya maisha ya hapa duniani na baada ya hapa. Kupitia dini yetu ya Uislam.
Subhanallah...tutakuwa ni watovu wa fadhila na wenye hasara kama tukiipuzia ukumbusho huh adhwim...Oh Allah tupe sisi Tawfiiq tuweze kuyatumia maneno haya kwa vitendo ya Rabb... Jazaakumullah khair our beloved sheikh Othman...
Masha Allah... nakupenda kwa ajili ya Allah Sheikh... kusema kweli nimefurahia na kuipenda hotuba... Allah akulinde dhidi ya kila shari na akuzidishie elimu zaidi....
Mashaallah x2. Mwenyezi Mungu hakika anauwezo kwa kila kitu.Hii ndio ibada bora ya swala za ucku Mwenyezi Mungu atujalie kudumu katika hili innshaAllah .
Alhamdulillah...wakati naendelea kutazama hii biidhinllah ombi langu kwa sheikh.. Atuletee mawaidha ya Neema za jannah kwa mara nyingine au part 2😊 Hakika inaongeza hamasa ya kufanya ibada Ili kuifikia Pepo yake Allah..
@@ashalaurent2465 mashaallah Mimi napenda zaidi yako..hakika Kuna neema kubwa sana kwa pande zote mbili kwa waumini wa kike na kiume..Allah atujaliye Mimi na wewe na waumini wote atuingize jannah yake ya kudumu.amiyn
Jazakumllahu khayra 🙏 shekh wangu Othman... alhamndulillah 🙏 IN SHAA LLAH...... shukran Sana kwa naswaha nzuri za kutupeleka peponi Alhamndulillah 🙏 mola azidi kukubariki akupe umri mrefu katika kulingania dini ya Allah AMIIN 🤲 THUUMA AMIIN 🤲
Hakika nimetokea kumpenda huyu sheikh kwa namna anavyokumbusha waumin juu ya kutenda mema na kufikia mafanikio.... Allah amlipe pepo pamoja na siisi tunaomsikiliza na kutendea kazi nasaha zake inshallah
Allah akuhifadhi akupe umri mrefu wenye afya nakheyr na mwisho mwema ❤❤❤❤ izid kutupa ilmu shekh wetu ya Allah tujaze imaan ya Allah 🤲🤲🤲🤲. Tafadhal dua za utulivu katika salaa in sha allah
mashallah mashallah ! Ishaallah Allah atujalie tuzifanye hizi ibada ipasavyo na tufate nyendo zake Mtume (s.a.w) ili tupate dunia ilokuwa nzuri na akhera pia
Mashalah walahi nina ushuhuda kw hili namshukuru MUNGU kump uzima.na moyo mzur shehe othman michael anatufundsh bila kinyongo ALLAH amuandalie PEPO ya daraja kubwa
A.Allaykum.jazakallah kher. Mbona ni kama kuna sehem video inakatwa maneno alafu inaungwa,, yani ukisikiliza unaona hapa kuna maneno yanaendelea ila imekatwa ikaungwa mbele