Тёмный

Ust faki mbarouk-tumeandaa nini waja official vedio(2011) 

Juma Faki
Подписаться 54 тыс.
Просмотров 52 тыс.
50% 1

baada ya kuangalia usisahau kusubscribe

Опубликовано:

 

23 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 54   
@Jayna528
@Jayna528 7 месяцев назад
Mashaallah kiitikio cha hii kasida na mahadhi yake jamaniiyy ❤❤❤❤❤❤❤❤
@mr.athumani6317
@mr.athumani6317 4 года назад
Kusema kweli qaswisa hii pamoja na zile andamizi katika albam hii hazitoacha kuwa qaswisa bora za Ramadhan na hadi hivi kila mara nazisikiliza na kama ni mwezi huu ndio kwanza nazisikiliza kutwa nzima ilikia nimekaa na kutembea pale nivutap pumzi baada ya qiraa yangu ya gur an
@saidomar6806
@saidomar6806 4 года назад
Naam mashaallaah Masheikh wetu AQaz, Tunachotakiwa sote Tuyaandae mema anayoyaridhi Mola jaalia.. Juma Fakky huu ujumbe milele hatakuwa wazaman mbele ya Allah sw🕌🕋wenu Asmu Sai
@allysaharifsaidi7563
@allysaharifsaidi7563 4 года назад
Sheikh juma umetumbusha mbali kweli yani sisi wengine ila ekuwa naomba utuekea na ile Qaswida ramadhan mwezi mwema
@massoudmohd7268
@massoudmohd7268 4 года назад
dah aisee nikisklza hii natman ata niwe mdhamin cous inasomeka sana mashallwah
@amirjuma7983
@amirjuma7983 4 года назад
Enhee vya zaman vizurii... Tuwekee zingne zile za Mwalim Hamad zazaman
@saidomar6806
@saidomar6806 4 года назад
Naam ujumbe mzito hii nichakula cha moyo🕌🕋🕌
@thierryt7689
@thierryt7689 4 года назад
Ma Shaa Allah..Hii qaswida nimeitafuta sana
@mahershadhil2493
@mahershadhil2493 4 года назад
Kabisaaa albaum hii ndo tunayoihitaji ustadh shukran kwa kuanza kulifanyia kaz wazo langu
@maulidhamad740
@maulidhamad740 4 года назад
Dah zaman kweli nakumbuka hizi qaswidah
@issaramadhan4015
@issaramadhan4015 2 года назад
Mashallah swadacta rabbitupe mwisho mwema✍✍✍
@abdullahyusuf2311
@abdullahyusuf2311 4 года назад
Enzi hizoooo ndo mulikuwa munaimba qaswida lkn sikuhiz hatuwaelewi kbsa
@alyjumafaki2997
@alyjumafaki2997 4 года назад
AQAZ MASHA ALLAH TANGU ZAMN MNATISHA MAALIM JUMA MBONA WW SIKUON
@aqazstudio6918
@aqazstudio6918 4 года назад
Enzi zileeeee
@jumafaki1697
@jumafaki1697 4 года назад
Zamani sana
@brother_asam7323
@brother_asam7323 4 года назад
Nakumbukia na mm👏👏👏👏
@ebrahimabdi2924
@ebrahimabdi2924 4 года назад
Tuma na ile Sisi aghiri ya umma mtume alosawiyaa
@saidomar6806
@saidomar6806 4 года назад
Allahamdullillah 🌙🕌🕋Hii ipo njema sn hapo Aqaz imechangamka
@saidomar6806
@saidomar6806 4 года назад
@@jumafaki1697 sheikh Juma zamani Ila kwa Allah nikama leo uzito wa ujumbe huo ni mzito sn
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 4 года назад
Old is gold tutumie album nzima na zile za ramadhaan
@suleymtumwa6374
@suleymtumwa6374 4 года назад
Wajibu wetu kuandaa mema anoyaridhi mola karima
@zakomone7672
@zakomone7672 4 года назад
Mashallah long time good
@Jomba-lao
@Jomba-lao 4 года назад
Masha Allah nzuri sana
@saidomar6806
@saidomar6806 4 года назад
Hakika mbele ya Mola ni ujumbe mzito kw waja wake🕌🕋
@maumpemba1088
@maumpemba1088 4 года назад
Kwenye qasida hii maalimu faki ekua hajaota ndevu
@khamisubamboubambo4096
@khamisubamboubambo4096 2 года назад
maalim juma ww ulikua wapi kipindi hichi
@jumafaki1697
@jumafaki1697 2 года назад
Nilikuepo hapohapo chuon
@shuhaidaomar3347
@shuhaidaomar3347 4 года назад
plz kuna ile qaswid ya ramadhan molo imba pamoja na hi
@stablehech
@stablehech 4 года назад
MashaAllah..Qaswida tamu saana
@khadijaabdallah9314
@khadijaabdallah9314 4 года назад
Mashallah kazi yenu nzuri mno
@SheikhIssaAbnau
@SheikhIssaAbnau 4 года назад
Sheikh Leo umenikumbusha mbali
@hemednassour4763
@hemednassour4763 4 года назад
MASHALLAH ila tunaomba albamu lote ilo km lipo
@neemaissa5090
@neemaissa5090 4 года назад
Mashaallah Mabrouk
@yussufmakame6396
@yussufmakame6396 4 года назад
Masha Allah faki
@saidomar6806
@saidomar6806 4 года назад
Fakky Mbarouk na Juma fakky na Ust Hafidh hawa ni zawad kutoka kw mola🕋🕋🕌🕌
@saidmtb3013
@saidmtb3013 4 года назад
Umetisha kaka
@khamisijuma732
@khamisijuma732 2 года назад
Kasida
@naimasaid8393
@naimasaid8393 4 года назад
Enzi zileee mashallah
@sheabdiabdullahi2707
@sheabdiabdullahi2707 4 года назад
Mashallah hongra suna
@manjutinoh5572
@manjutinoh5572 4 года назад
Wow MashaAllah ..2011? (Before Everything Else,Getting Ready Is The Secret Of Success💯) May Allah Bless you#Aqaz with Bright future ahead 🙏.
@naimasaid8393
@naimasaid8393 4 года назад
Maneno mazuri wallah
@hamzakombo2347
@hamzakombo2347 4 года назад
Nice sana
@mwarabumzee8262
@mwarabumzee8262 4 года назад
Za kale ni dhahabu
@omaraliy6144
@omaraliy6144 4 года назад
Mola mswifika twaomba
@jasminismail7851
@jasminismail7851 4 года назад
Mashallah
@othmanshaib9089
@othmanshaib9089 4 года назад
Mashaallah
@maumpemba1088
@maumpemba1088 4 года назад
Exlent
@shuhaidaomar3347
@shuhaidaomar3347 4 года назад
masha Allh
@shafiikamote541
@shafiikamote541 4 года назад
Mashallah
Далее
Ummi maabadi-Ust,Salum Rashid ft Fakih mbarouk( 2005)
12:58
Swala. Fakky M'barouk & Juma Fakky
15:42
Просмотров 53 тыс.
Aqaz
16:16
Просмотров 192 тыс.
Ust Juma Faki ft Rashid zungu- Maarusi wema (2012)
8:51