Safi sana Dotto huyu aadabishhwe maana ataendelea kuwatoa watu machozi . Mwijaku anajisahau sana anaona dunia yakwake anatesa mioyo ya watu sana.inatakiwa apewe nokos moja ashike adabu sio wanawake sio wanaume anawadhalilisha sana .mnafiki sana anajificha nyuma ya kivuli cha dini
Yaan sijui Kwa nn Diamond asimchukulie hatua na yeye Kwa kua anamdhalilisha,jamaa linajiona kuwa lenyewe ndio kuliko mtu mwingine,achukuliwe hatua za kinidhamu,
KAYAKANYAGA KWA KIPANYA,MTU KAWACHORA KINA MKAPA,SUMAYE,MREMA,DITOPILE MZUZURI, HALAFU HUYU WA KUJA KUTOKA BUKAVU" ANAJIFANYA ANAMJUA...KIPANYA WA KIMJI TOKA ENZI ZA KINA CISCO MTIRO"...Uchaguzi WA TMK 96.
Mwijaku ana zarau sana . Nadhani hilo lililomkuta ni moja kati ya mafunzo ambayo anatakiwa ayapate. Jambo lililonikera zaidi kwenye upuuzi wake ni pale aliposema kwamba chakula cha mbwa wake ndo maisha yetu cc wengine. Aisee ameniudhi sana . Alafu nataka niulize kwani mwijaku ni muislamu au ni nani simuelewi mm. Eti expensive life mkewake anatembea uchi mwisilamu gan huyo.
😂😂😂😂😂 ukicheka na nyani lazina uingie nae msikitini mlimchekea sana huyo mmbea wa maisha ya watu kwa sisi tukio soma cuba hajamsema masud peke yake ameikashifu tasnia yote ya clouds na mmiliki wake😂
Kesi iende tu mahakaman amezoea huyo kila wakat anawatusi watu alafu anaomba radhi ikawa akageuzwe mfano tu uko mahakan, wanatumia kujuana na mama Samia ndo sababu ya kuwadhalilisha watu, akatoe tu iyo B5