Ila huyu mtoto atakuwa aliliwa na cheedbenz alaf sasaiv anazugaa na demu mwenyw mremboo kichiz na nidhamu ya hali ya juu..Baraka nafurahia sana kukuona ukiwa katka harakati za muziki ndugu nakukubali sana!!
Benzino unajua sana jembe langu mzee china baba kchwa yako inafanya kaz mala mbili ila hyo mtnangazaji nimpuuz kicha yake imelala sasa hana swaga kabisa sjui nani alimbeba mpk wakamwajili ila mzee benzino respckt saana bro
Et mashabiki wanaongelea maneno ya gym kama nipo gym 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂yani ana majibu ya hapo hapo fast ushajibiwa yani uyu jamaa ukifanya nae interview na chid jipange sana
Kuna umuhimu wa kuangalia layout ikae vizuri na full of furnitures...hao wageni wataja anguka kwenye kipindi..naona wanatamani kuegemea kwa confidence lakini ubao unawatupa mkono. Pokeeni ushauri