Тёмный

ENEWZ - Chid Benz auza mjengo wao wa Ilala 

EastAfricaTV
Подписаться 1,1 млн
Просмотров 304 тыс.
50% 1

Bwana wee al-manusula wazichape na Duwe Santana baada ya Enewz kutimba mtaani anapoishi sasa Chid Benz. Kwani tulipofanikiwa kuingia kwenye nyumba anayoishi sasa tulimuuliza mzee mbona huku uchochoroni sana na tunasikia Flet ile ya ilala umeuza??? Unaambiwa palikua hapatoshi hapo...

Развлечения

Опубликовано:

 

7 мар 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 291   
@hamisidilangale2954
@hamisidilangale2954 5 лет назад
Chidi benzi mwamba wa dare s salaam na Tanzania nzima best arts after Ngweair, ni msanii ambae haujawahi kukosea kwenye mziki unapitia changamoto naamini iko siku utakaa sawa hala LA FAMILIAAAAA🎙🎹🎸🎷🎧📢
@spartachize122
@spartachize122 3 дня назад
Duh yaani miaka sita kama jana wallah.... Naikumbuka hii interview leo tupo 2024
@elizabethyamy2705
@elizabethyamy2705 6 лет назад
yaani chidy nimekuelewa sana majibu yako watu wanapenda sana kudodosa maisha ya watu wapeleke vyovyo hata kama hawataki ngazi zipo hivyo hata ukipanda kimaisha pia ume panda ngazi Alaaaa wanaku lazimisha kupanda gorofa wao wanayo au ndiyo hiyo ya kukodi
@francomwacha2262
@francomwacha2262 6 лет назад
Jamaa wa kuhoj hayuko professional kabisa.. Kawaida sana..
@sashababy1321
@sashababy1321 6 лет назад
nyinyi wahandishi wapumbavu sana chidBenz kajibu vizuri tu japo yupo km katuni
@mosesjnr8436
@mosesjnr8436 6 лет назад
Kuna watu toka Chid benz apate haya matatizo wanamchukulia kama mpuuzi flan hivi hasa watangazaji nyie ,Ila me naona kama Chid ndo anazid kuwa na akili za kikubwa sana ona kwanza jamaa alivokuheshimu kukupeleka kwake af unamchokonoa chokonea ukipigwa hapo chid aonekane Mpuuz mtu kashakwambia anaishi kwa mama yake mzazi af unahoj hoji nini sasa,mnamkosea sana Chid
@kusekwasita1576
@kusekwasita1576 5 лет назад
Saimation Mabula# yes
@primordial10
@primordial10 6 лет назад
Mwandishi kasome tenah,,Chid wee ni MTU unajielewa na unajua kujibu maswali fresh
@iddikogo4987
@iddikogo4987 6 лет назад
Watangazaji ni vibonzo Sana, wallahi hamna kazi mwapenda umbea tu.ila poleni maana media za bongo wengi hawaja soma.
@geoffreyembasa8483
@geoffreyembasa8483 6 лет назад
Kwa taalumu iliyostawi bora anayemhoji chidi awe na utaratibu,haina haja kupepesuwa mic kama kumdonesha samaki chambo kwenye ndoano.Huyu ni mtu mzima aliyebeba hoja zake,anastahili muda wala so kukerwakerwa hadi alipuke.Hipo hekima ya kumchimba mtu hadi kuebua hats vile vinavyobaniwa
@khamiskhamis5323
@khamiskhamis5323 6 лет назад
Yani Tanzania ni Nchi ya kwanza kwa umbeya,,mda si mrefu itachukua Tunzo,,,mana kwa wenzetu Hamna mambo km ayo ya kuchunguzana sasa mtu si kauza chake km anashida aende wp,,kimfaacho mtu chake,,,,acheni mambo ya kufatalia wanaume wenzenu wa Tanzania Nchi ya Aibu
@cholokanji7139
@cholokanji7139 6 лет назад
nyinyi mnaona madawa tu kwan yy anamakosa gani alivyojibu kajibu sahihi tu kama kauza nyubma siyakwake au yakwenu kinachomfaa mtu chake mikundu yenu mnapenda mtu akutwe namatatzo tu chidi ulikua umchenjie kweli
@bigboy8508
@bigboy8508 6 лет назад
Ma mbwa nyinyi. Tangazeni yenu masikini nyinyi kazi kuchekelea watu wengine wakiteleza
@uledimtumwa3045
@uledimtumwa3045 6 лет назад
Hawa watangazaji wakuokotaokota wanawaponza wamiliki wa media zao. Hajui hata kumhoji mtu anayeonyesha ushirikiano.
@maulidmango5575
@maulidmango5575 6 лет назад
Chid alikua sahihi,watangazaji wanapenda kujua maisha binafsi
@emmanuelkivenule875
@emmanuelkivenule875 6 лет назад
Chid is real man mtangazaji utoshi
@johnkisaka9881
@johnkisaka9881 6 лет назад
Dah e newz mnafel bhna kama mtu ataki kuulizwa mnakausha tyu... Mwana mpaka analose temper vtu vdgo kma kauza nyumba c yao wazee baba..!
@eliasgachuna8431
@eliasgachuna8431 6 лет назад
Why should u joke about a guy who is being ruined by drugs.this guy was once a pride of TZ long before u were anything n here in Kenya we loved him.shame on u
@salcle9702
@salcle9702 6 лет назад
Huyo chalii namkubali sana hakuna msanii East Africa anayo sauti yake
@stanilupelele2793
@stanilupelele2793 6 лет назад
makonda asante kwakupinga unga huyu jamaa kwishaa yani teja original
@happinessmwaipopo7426
@happinessmwaipopo7426 6 лет назад
Bangi bange mbaya. Masikini Chidi ushapotea mzee baba
@ebisalum8828
@ebisalum8828 6 лет назад
Wachane washamba hao maana nyumba umeuza lakin hawajajenga wao warudi shule kujifunza utangazaji tena
@jennifergsm8186
@jennifergsm8186 6 лет назад
we suzi unakiuka utangazaji unaleta vituko vyako vya mtaani sasa unamcheka nini hayo maisha tuu hata wewe yatakutokea muda wowote tuu
@samsonkarume7173
@samsonkarume7173 6 лет назад
For many people struggling with addiction, the toughest step toward recovery is the very first one: recognizing that you have a problem and deciding to make a change. It’s normal to feel uncertain about whether you’re ready to make a change, or if you have what it takes to quit. If you’re addicted to a prescription drug, you may be concerned about how you’re going to find an alternate way to treat a medical condition. It’s okay to feel torn. Committing to sobriety involves changing many things, including: the way you deal with stresswho you allow in your lifewhat you do in your free timehow you think about yourselfthe prescription and over-the-counter medications you take It’s also normal to feel conflicted about giving up your drug of choice, even when you know it’s causing problems in your life. Recovery requires time, motivation, and support, but by making a commitment to change, you can overcome your addiction and regain control of your life.
@silverpacino7720
@silverpacino7720 6 лет назад
SAMSON KARUME Kiswahili bhana kaa!!! mambo gani hayo lugha ya kitumwa hiyo@
@flameske293
@flameske293 2 года назад
Thanks
@kennedyedson9097
@kennedyedson9097 6 лет назад
Rashidy kakuvumilia sana wewe boya.
@mayungarichard7443
@mayungarichard7443 6 лет назад
Mi naona mtangazaji ndio bwege kabisaaaa.....utavaaje kilemba mwanaume??? Useeenge
@imamumponda276
@imamumponda276 6 лет назад
Mmemlazimisha kusema mnavyotaka nyinyi sasa natumai alivyowajibu roho zenu zimetulia dah imeniuma sana mmemlazimisha huyo hakujibu kwa khiyari yake
@saidsaid9463
@saidsaid9463 6 лет назад
Mbona anajielewa jamani ila watanagazaji mszoee hayafai ktk kazi mtu usimlazimishe kusema ukweli
@bzo_the_done7350
@bzo_the_done7350 5 месяцев назад
Cheed Ni Mtu Makini Sana .. Unapotaka Kumuhoji Unatakiwa Uwe Na Akili ya Ziada .. Afu Pia Alikuwa Na Kipindi Pale Eatv
@naymah3560
@naymah3560 5 лет назад
Dah bado kidogo mshkaji achezee mkong'oto 🚶🚶
@wizzyochu4679
@wizzyochu4679 5 лет назад
ilala,sura,2,galacha hood om respect brooo
@samwelmussa7382
@samwelmussa7382 6 лет назад
watangazaj kwahili mim naona ninyi ndo machiz kabisaaa,,chid kaongea point,,msilazimishe maneno kwa mtu
@sudishaffi3498
@sudishaffi3498 6 лет назад
Mm ningempiga mangumi huyo mtangazaji..mtu Kama hataki kujibu wamlazimishia nn..
@ezapesambili2902
@ezapesambili2902 6 лет назад
Mzee Chid Benz pole sana kwa maamzi yako! ya kuuza mJengo
@elizabethkinyanjui7831
@elizabethkinyanjui7831 6 лет назад
Mambo kangaja huenda yakaja. Katika maisha haya usimcheke mtu kwani hatujui ya kesho.
@hassankihonde1275
@hassankihonde1275 6 лет назад
Haka katangazaji kakike hakina mpango wowote kinafata upepo tu na mashauzi yasiyo na msingi inshort kibovu Sana hakina ubongo wakuwa presenter
@mwafrikabarz4507
@mwafrikabarz4507 6 лет назад
Jaman! Dua zetu zaitajika, kwa ndg; YETU,, Yaraab mnusuru mja wako, dhidi ya shari za duniyaa!
@abuibra
@abuibra 6 лет назад
AKIUZA NYUMBA AU GHOROFA AU BANDA AU APARTMENT KUNA UBAYA GANI!?SILAKWAKE MWENYEWE,NINI CHA KUCHEKA,KWANI NYIE MNANINI!!HAYA UNESHENI MLIO NAYO NYIE YALIO KUWA BORA KULIKO YAKE ,WAPUUZI NYIE KITU KIMOJA LAZIMA MJUE KUWA UMASIKINI SIO AIBU.
@sharifanzowa8950
@sharifanzowa8950 6 лет назад
mtakuja pigwa pumbavu ww mt hataki kuongelea familia yake huskii nyoko
@akimmbwego797
@akimmbwego797 6 лет назад
Mimi nilikuwa shabiki wake number moja lakini tangu atoboe pua na kuvaa heleni puani nimejivua kuwa shabiki wake........SIWEZI KUWA MSHABIKI WA MVAA HELENI PUANI TENA DUME ZIMA LA KIISLAM OVYOOOOO
@hassankihonde1275
@hassankihonde1275 6 лет назад
Bwana Dullah umechemsha Sana coz hata maadili ya uandishi hayakubaliani na kile ulichokifanya coz huwezi kufanya Mahojiano na source Kama haujaongea nae mantiki ya Mahojiano yenu napia huwezi kumforce source akijibu kile unachotaka ww, kutokana na kutokufahamu maadili ya uandishi wa habari ndio yaliaka kukuta usiotarajia coz chid tayari alikuwa ameshapanik kinyama angalikupa na nakoz zakutosha cjui ungelia na Nani aiseeee funzo kwako na kwa presenters wengine
@nashonnashon689
@nashonnashon689 6 лет назад
hill jamaa chidy halijielewi hovyioooo kabisa imba gospel sasa
@marthawillbert9327
@marthawillbert9327 6 лет назад
Mungu saidia kizazi changu jamani simshangai chid mahana ata kaka yangu yuko ivi
@bahatialex5243
@bahatialex5243 6 лет назад
Dah! Noma sana
@sharifanzowa8950
@sharifanzowa8950 6 лет назад
asa ww Suzy kama anakaa chocho inakuhusu nn unajichekesha kama Malaya kaona poch ilonone mxiuuuuu
@oscartandula8644
@oscartandula8644 5 лет назад
Watangazaji kama mnampania chidi kukwama kwa mwandamu nikawaida so isiwe case bana
@pattersonoscar8823
@pattersonoscar8823 6 лет назад
Mtangazj huyu vipi? Jifunzen kwa wenye fani zao za utangazaji
@fababindawood5842
@fababindawood5842 6 лет назад
Yaan nyie watangazaji mnaforce maji yapande mlima nilitaman chdy akuchape kdgo.
@abdalahmjomba471
@abdalahmjomba471 6 лет назад
tatzo bia manyoya xana watangazaji. xaa ghorofa inakuhuxu nn unataka uxkie chid kaiba? Mzee baba kula vyako mbaba.
@kedmonmaquiz
@kedmonmaquiz 6 лет назад
guwd explanation frm chidy
@emmanueldagharo9462
@emmanueldagharo9462 6 лет назад
personal life are personal life ...he didn't wanted ,leave him alone
@severinemabirika2249
@severinemabirika2249 5 лет назад
He didn't wanted .....ni kiingereza gani ?
@pascarmwatosya5855
@pascarmwatosya5855 6 лет назад
DaaaaAaa,Inauma madawa hayaaaa
@eliamwakalong6160
@eliamwakalong6160 6 лет назад
Daa jamaa kaisha sana mwili amekonda sana
@mwajumamlai8138
@mwajumamlai8138 5 лет назад
Dah mungu akulinde kaka
@josefmorris7632
@josefmorris7632 6 лет назад
Muhimu ni kumsaidia Chiddy awe katika hali nzuri , sio kumdhihaki au kumcheka kufanya hivyo hakuna tijana ni vibaya. Unaweza kuongea nae kwa upendo katika hali ya kumpa ushauri mzuri. Lakini yapo mambo mengine ni private issues kwakweli. Hivi mtu akiuza gari lake mpaka akwambie kwanini ameuza ? Tuache hiyo tuheshimu maamuzi binafsi ya watu.
@babylidyaandrea4568
@babylidyaandrea4568 6 лет назад
Jaman huyu ni chiddy mhh siku nyingi sijamuona jaman mbona hivi
@tabithahenry1057
@tabithahenry1057 6 лет назад
pole kaka mungu atakusaidia
@mohamedisarafi2025
@mohamedisarafi2025 6 лет назад
Mtangazaji mshamba
@davidngayanimo4171
@davidngayanimo4171 6 лет назад
East africa acheni kumgelezea Soud brown
@daudodulu8080
@daudodulu8080 4 года назад
Nyooooo mtakuja mpigweee
@meleckgasper2350
@meleckgasper2350 6 лет назад
Achen umbeya eatv...kama kauza nyumba si ya kwake???
@howardally8330
@howardally8330 6 лет назад
Dah Mungu aninusuru na kula unga hayo sio maisha
@salimdogorasta6808
@salimdogorasta6808 6 лет назад
Chako ndio hukusaidia mm naona ni jasho lake so isiwe issue kubwa
@cecymaleko8692
@cecymaleko8692 5 лет назад
mtangazaji kama shoga yaan unalazimisha akujibu maswali😒😏😏😏😏
@jacksonmwakasege954
@jacksonmwakasege954 6 лет назад
jaman alie nunua nae anakili kwann ananunua kwa nia mbaya
@RomwardWM
@RomwardWM 6 лет назад
Pole Mungu akusaidie
@kaskaziniansgang1288
@kaskaziniansgang1288 6 лет назад
Acheni kumchoresha mfalme
@eromville1670
@eromville1670 6 лет назад
Everyone has a right to do what he wants
@mkaliwenuoriginalpleasesub9297
dah chidi benz nakuelew san na nataman one day urud kweny game bro
@abdulkalimujuma2460
@abdulkalimujuma2460 6 лет назад
pole mtangazaji
@tithomhagama
@tithomhagama 6 лет назад
Amejibu vzur..Hapa pia nitauza
@catherinecharles932
@catherinecharles932 6 лет назад
Naumia sana kila ninapo miona chidi jmn..hakuna maanii tz ambae nilikua nampenda kama huyu kaka jmn....nilitamani siku 1 nikutane nawewe jmn...why chidi.🤣🤣🤣🤣🤣
@faza4023
@faza4023 6 лет назад
Catherine Charles jembe huyu dah
@salehkhamis9560
@salehkhamis9560 6 лет назад
faida ya kula unga hasara yake utauza kila kitu
@tehamarobema9403
@tehamarobema9403 6 лет назад
Daa pole chid
@asmasturamwanza693
@asmasturamwanza693 6 лет назад
Dada unatangaza vizuriii
@husseinabdallah3358
@husseinabdallah3358 6 лет назад
Duuh dizain watangazaji mkienda kumuhoji huyo Chuma muwe na mabodigadi...!!hataree iyo
@aishaelias986
@aishaelias986 6 лет назад
nimempenda chidi benz,anajua ku change gear kubaabake, .mara ya kwanza eti"karibuni kwangu niulizeni chochote mnachotaka, chidi: wee mambo gani ya Ngazi tena??" lol
@jordanclassic1614
@jordanclassic1614 5 лет назад
Mimi niseme CHIDI ajaiba alicho USA nichakwake namtangazaji kaziyake kuoji vinavyomuhusu kamaalimfata msanii chidii angeojimziki sinyuma kwasababu sio yababake boya CHIDI babu jitaidi kuludisha jina tupokamaianyumayakokaka
@petersagala7756
@petersagala7756 6 лет назад
kwann watangazaji mna focus kwenye maisha personal ya mwanamuziki badala ya muziki wake mwenyewe?,mwisho wa siku mnakuta msanii anapata stress kumbe kisa ni nyie mnayatangaza mno mambo yake na makosa yake badala yakuangalia mna push vipi game ya muziki
@japanisyakuza8198
@japanisyakuza8198 6 лет назад
Ila madawa to yana mkosti Dar es Salama Stand up
@husnangapu502
@husnangapu502 6 лет назад
Kiukweli mimi huwa napenda sana kuangalia unachokivaaga Suzy, mshono wako wa leo ni fabulous Tarumbeta zimekaa mahala pake
@ashaselemani7830
@ashaselemani7830 5 лет назад
Sasa hata kama kauza nyinyi inawahus nini
@kusekwasita1576
@kusekwasita1576 5 лет назад
Anauliza maswali yakijinga
@thauratali3656
@thauratali3656 6 лет назад
Kuna watu wanapenda kutukana wallah
@kimally3771
@kimally3771 6 лет назад
duuuuh bangi mbaya bhana
@shamsahassan2586
@shamsahassan2586 6 лет назад
ndio yakaitwa maisha kupanda nakushuka
@olaislukumay571
@olaislukumay571 6 лет назад
Unga sio mzuriiii
@tumainkaaya3006
@tumainkaaya3006 6 лет назад
ah unga nomaaaa
@brendaluvanda3289
@brendaluvanda3289 6 лет назад
Mhhh Mungu okoa kizazi chs sasa
@suleimanali3716
@suleimanali3716 6 лет назад
Mmefurai kusikia kauza kumamamazenu nyinyi watangazaji,mnatombwa na babazenu
@janejames1899
@janejames1899 6 лет назад
Suleiman Ali 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@filbertmapendo4108
@filbertmapendo4108 6 лет назад
Dah!!!! Nimependa anavyojibu
@leslienakara9890
@leslienakara9890 6 лет назад
DAH EBWANAEEEEEE......................
@tabithahenry1057
@tabithahenry1057 6 лет назад
jamani jamani.mungu atasaidia
@alifarah6742
@alifarah6742 6 лет назад
Sekunde mbili zishaisha
@elivtv5444
@elivtv5444 6 лет назад
Ilala stand up
@happyalfred8520
@happyalfred8520 6 лет назад
ila chidi bhna 😂😂😂
@mospeciol
@mospeciol 6 лет назад
Pole sana chumaa
@Hanspuffy1
@Hanspuffy1 6 лет назад
Mnamcheka like serious
@wasafitvniyetusotetumewash6923
acheni umbea wakiboya nyie fatilien maisha yenu,alafu nawewe Sam ushakuwa mdaslaam saiv umekuwa mmbea
@chrismbut5277
@chrismbut5277 5 лет назад
Jamani dawa za kurevya siyo iinshu. Cheki huyu MTU jaaman
@yohanabundala9162
@yohanabundala9162 5 лет назад
Nampenda xana chid benz, by yohana bundala from mwanhuzi meatu,
@westmanmoses541
@westmanmoses541 6 месяцев назад
Amekwisha
@moto_film
@moto_film 6 лет назад
Chuma #GUSAPICHA kwa burudani zaidi
@henryjoseph5703
@henryjoseph5703 6 лет назад
Hahaaaaa chidi maisha yamemvuluga jamani mwachenii
Далее
СДЕЛАЛА БРЕКЕТЫ ДОМА
01:01
Просмотров 887 тыс.
Dakika 10 Za Maangamizi  : Chid Benz | Planet Bongo
11:24
Cpwaa on Chidi Benz show - EATV
7:15
Просмотров 14 тыс.
ВОДА В СОЛО
0:20
Просмотров 12 млн
МЫ ПОХОДУ ЧТО-ТО НАПУТАЛИ
0:20
Просмотров 2,8 млн
Утро в Нью Йорке
0:16
Просмотров 6 млн