Тёмный

VIDEO: MAMA ALIYETEKWA NA KUTESWA AONESHA MAKOVU YA MWILI WAKE MBELE YA WAANDISHI 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 26 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 393   
@MuniraGambere
@MuniraGambere 5 часов назад
Tuishini kwa kupendana kwa Mungu hakuna uongozi...tajiri wala vyeeo vya aina yoyote......ila amali zetu pekee.... Kama vitenge vina thamani kubwa juu y binaadamu yeyote basi Mungu angeumba nguo kwanza kabla y binaadamu.... Acheni siasa zakijinga Dunia tunapita... Pole sana mama kwa maumivu.... Waliofanya hili wajue nao wana ndugu zao n nafsi zao pia zaeza pata haya ama zaidi ya haya... Ukiambiwa akhera hesabu tu..tuelewe tunavyofanyia wengine basi vitalipwa hapa hapa kabla tufe...na tukifa hutujalipwa basi twende kwa Mungu tukijuua kizazi ama ndugu tuliowaacha duniani watalipia..
@alexmwizarubi6655
@alexmwizarubi6655 20 часов назад
Mimi sijawai sikia MEMBER wa CCM akiteswa bali ni CHADEMA tu, pole san MAMA, napopata hiz habari bas napata nguv ya kugombea URAIS ili yaishe
@RashidLupatu-bg8dr
@RashidLupatu-bg8dr День назад
Tuliambiwa tuamie Burundi na Mh. Sana mmoja kifupi tupo MASHAKANI
@jofreystewart9482
@jofreystewart9482 23 часа назад
Piganieni dini zenu acheni mambo ya siasa haitokusaidia kesho yako kiama mama zaidi zaidi unaukaribisha moto wa Mungu kwako Mungu haijui siasa anajua ibada zake tu
@chakupewaonlinetv7045
@chakupewaonlinetv7045 22 часа назад
Siwezi pigania dini hata siķumoja maana dini zimejaa wanafiki kwani uhislam au ukristo unafaida gani kwangu ikiwa dini hizi mbili hazi wezi ishi kwakupendana?😂😂😂😂
@richardbegga6679
@richardbegga6679 22 часа назад
Apiganie Mungu Ambae hamuoni?😂😂 Hii Brain Wash muliopewa na Dini inawapotosha sana
@RahmaOmar-k3c
@RahmaOmar-k3c 22 часа назад
Kbc. Siasa haiwezi kukupeleka popote
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 22 часа назад
Maneno sahihi kabisa maana Uislaam unakataza kabisa kutoheshimu Mamalaka ni lazma kila mwanadamu aheshimu Mamalaka sasa yeye kama anaona jihadi ataeleza jihadi gani
@adamkulwa7194
@adamkulwa7194 21 час назад
Nisahihi na uislamu ndio unaosema upiganie haki yako​@@abuumuhammad7133
@barakamwantolwa4336
@barakamwantolwa4336 19 часов назад
Daaa Nchi yangu...Nyerere huko uliko
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 20 часов назад
😢😢😢😢😢😢😢😢😢acha tu Hawa watu mungu atawaadhibu😢😢😢😢😢😢pole mama mwaya ukipata mda wasomewe albadili tu
@Lameck-f5i
@Lameck-f5i 17 часов назад
Asante Boda kwa msaada wenu, mengne tumuachie MUNGU
@personalitiesan9806
@personalitiesan9806 День назад
The female version of Trump..... though she's in pain she still says fight fight fight. hongera mnooo mama yangu
@wahidabakar
@wahidabakar День назад
Allah atakufanyia wepesi
@moreenmbatha1147
@moreenmbatha1147 21 час назад
Mwanamke shunjaa Mungu amjalie apate chenye anapingania
@AnnaLameck-q3i
@AnnaLameck-q3i День назад
duuh! pole xana mama
@lameckbuya7569
@lameckbuya7569 21 час назад
Pole super woman hakika damu na machungu yenu yatakuja kulipa Ipo siku nitasimama kama raisi na kutetea haki zenu
@EmmanuelSimion-d3e
@EmmanuelSimion-d3e 21 час назад
Pole sana mama MUNGU akutete tu ipo siku haya yote yatakuisha!
@KhadijaKhamisi-t1f
@KhadijaKhamisi-t1f 9 часов назад
Mmh😢😢😢 pole Sana mama wee jamn Atari Sana Sasa sikumojatu umefanyiwa ivyo walio zuiriwa Muda wanahaligan? Saizi mungu wanusuru na,azabuhii inayo anzia hapa,Dunia😢😢
@TimotheoSimtowe
@TimotheoSimtowe День назад
Huyu mama jasiri sana
@joycehaule9717
@joycehaule9717 День назад
Vita vinatokea wapi kwanini tusiishi maisha ya kumpendeza Mungu
@TheAlman
@TheAlman День назад
Exactly ❤
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 5 часов назад
Mungu akulinde mama.Ila siasa za hivi jamani hapana. Hii haikubaliki.She is somebody's mother, somebody's wife. Tuwe na utu.
@ClayMwamba
@ClayMwamba 20 часов назад
Mmmmmh pole mama ila siasa bora nikamatwe na bange
@annageorge129
@annageorge129 6 часов назад
😂😂😂😂😂 kweli kabisa
@PauloPakasi
@PauloPakasi Час назад
Watu Kama Hawa washukuliwe hatuwa Kali
@jacktonkonde7856
@jacktonkonde7856 18 часов назад
Kutokana na kuongea kwake mama bado ana hofu sana kando na maumivu..pokea pole yangu kutoka Kenya
@C.Ltv1
@C.Ltv1 8 часов назад
Mmh, kwa wenye D mbili hapa wameshaelewa kua Hamna ki2 hapa
@zenaycechanzinho6702
@zenaycechanzinho6702 9 часов назад
😢😢nchi ngumu hii wanaofanyiwa ukatili wengi ni wanyonge na vyama vya siasa😢 na ajabu wanao fnya unyama hv hawawajibishwi.😢
@josephlorri431
@josephlorri431 День назад
Hatari sana, hakuna aliye salama
@SuzanMoshi-m1s
@SuzanMoshi-m1s 19 часов назад
Hii nchi jmn imekuaje iv jeshi la police ni nini wanafanya ichi.Mungu tusaidie aseh
@EricUbalijoro-x1l
@EricUbalijoro-x1l 20 часов назад
Mungu ni wetu sote hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho ni swala la muda tu
@JihaadIsmail
@JihaadIsmail 5 часов назад
Mungu atakulipia
@mwajumakweli
@mwajumakweli День назад
Siasa Mmh 🙌🙌🙌
@RashidRamadhani-b5o
@RashidRamadhani-b5o 7 часов назад
Siku mukithubutu kumfanyia hivi Mama Yangu sitoweza kuwafikia ninyi wasenge mulio juu ila hizi UMBWA zenu nilizonazo mtaani nahakikisha nimechinja MBWA kadhaa 😡😡😡
@AdamOman-n2s
@AdamOman-n2s 10 часов назад
Pole mama inauma kweli😭😭😭😭😭
@ReginaErnest-cf6ji
@ReginaErnest-cf6ji 9 часов назад
😢😢😢😢😢😢Da mbon CCM hawakamatwi
@MohammedAwadh-gq9si
@MohammedAwadh-gq9si День назад
Mama ungejielekeza ktk mambo ya kumtumikia Mungu ukawa unafagia hata msikiti si ungefanya jambo jema? Kwanza kwa nini ulichoma nguo moto kama sio wehu ,? Pole sana yaliyokusibu
@JoellJoel-h9q
@JoellJoel-h9q День назад
kwahiyo unafurahia alichofanyiwa kwa sababu siyo mama Yako ALLAH tupo
@MohammedAwadh-gq9si
@MohammedAwadh-gq9si День назад
@@JoellJoel-h9q sina mama anayechoma mpaka nguo ili hali kuna maskini hawajui hata kesho yao ! Angewagawia wajane si angepata hata thawabu ! Acha apate hata ngeu na kwa Allah atajibu matendo yake
@halimagomez
@halimagomez День назад
Rudii umtumikeee Allhaaaa achaaana vyamaa chama biraa nikutangazaaa Allhaaaa
@8pistons194
@8pistons194 День назад
Kwan hao masheh kazi yao nn wasifagie msikiti? Nyie mkale bia na kunyanduana ye akae msikitin akifagia
@zuhuramuhanga5400
@zuhuramuhanga5400 День назад
zile nguo mlizo zichoma bora mnge wapa masikini na yatima wakavaa kuliko kuchoma moto
@DaudIddy
@DaudIddy 3 часа назад
Huu siyo ubinadamu jaman tumwogopeni mungu😢😢
@johngerald4677
@johngerald4677 20 часов назад
Aisee pole sana mama yangu
@joshuameshack3902
@joshuameshack3902 20 часов назад
Duh ukiskia siasa ni ya moto bendi hii ndo ya moto yenyewe sasa bora nikae zangu mbali sana saaaaana ya sana zaid ya sana mungu niepushe
@diligentstanslaus8650
@diligentstanslaus8650 20 часов назад
Wewe ni mfano wa matahira wengi wanaosababisha nchi hii iwe hapa ilipo
@joshuameshack3902
@joshuameshack3902 19 часов назад
@@diligentstanslaus8650 kivip Sasa kama ndo vipigo hivi
@hildagabriel1003
@hildagabriel1003 19 часов назад
😂😂😂
@hildagabriel1003
@hildagabriel1003 19 часов назад
Napita mie
@joshuameshack3902
@joshuameshack3902 19 часов назад
@@diligentstanslaus8650 kwahyo me ndo mtekaji
@rockzenamtui6296
@rockzenamtui6296 2 часа назад
Pole sana siasa za chuki ni mbaya sana mnamtesa mtu hivi jamani
@StarGwanta
@StarGwanta 4 часа назад
Me nwakiume ila nmejikuta machoz yananitoka kwa uchungu😢😢😢😢
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 11 часов назад
Yani walikuwa wanamuacha afe,badae aje aokotwe😢
@GraceMarine-vo9hu
@GraceMarine-vo9hu 5 часов назад
Japokuwa utekaji haukubaliki, lakini hawa wamama walifanya makosa sana, zile nguo wangezikataa au wangezipeleka kwa wahitaji hasa wajane nawatoto yatima, kuna watu wanatamani kupata kile mlichokichoma moto, Mimi wazazi wangu walitangulia mbele za haki nikiwa mdogo sana najua mateso namasononeko wanayopitia
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 3 часа назад
Kwani walifnya nn
@nurungailo6349
@nurungailo6349 8 часов назад
Aisee pole sana Mama
@HellenaMky
@HellenaMky 22 часа назад
Kumbuka hata huyo arie watuma. Nimwanamke nani muislamu. Inakuaje picha imuume. Picha namtu kip Cha thamani. Akumbuke pia naye atakufatu nae nibinadamutu
@AsiaKhamis-e6y
@AsiaKhamis-e6y 3 часа назад
Uko wapi usalama wa raia siasa safi sifa ya nchi yetu
@damasmassawe3601
@damasmassawe3601 23 часа назад
mama shujaaaa
@zainabzanzibar1518
@zainabzanzibar1518 22 часа назад
Hana cha ushukajaa ni upuuzi tu aachane na siasa
@jbkfilmsglobal
@jbkfilmsglobal 17 часов назад
God help Us 🇹🇿🙆‍♂️
@sizorstartv6168
@sizorstartv6168 19 часов назад
Nyerere eeeeeeeee amka ulipooo
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 22 часа назад
Mmmmm tumrudie Mungu pekee ndo jibu tosha
@johnsonsamson7378
@johnsonsamson7378 День назад
polee sana. kila jambo lina mwisho
@aediaygo8546
@aediaygo8546 3 часа назад
Chadema oyee😂😂
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 22 часа назад
Pole sana mama
@eliapendakileo
@eliapendakileo День назад
Viongizi wa dini mko wapi jeshi la wanchi achaneni na mipaka huku ndani mnacholinda ni maumivi tupu. Mimi naamini sasa turudishe kilio kwa wakuu wa vyombo vya ulinzi waliostafu kuanzia kwa mkapa walio hai kwa kuwa Hawa waliopo inaonesha lao Moja hakuna Ata mmoja anamkemea waziri wa mambo ya ndani ni kimya tuu
@JacklineMmari-y1y
@JacklineMmari-y1y 23 часа назад
Ila wataupizwa siku moja hao viongozi wadini
@chakupewaonlinetv7045
@chakupewaonlinetv7045 22 часа назад
Dini ni za kishamba usitegemee msaàda
@taylorkasitu3819
@taylorkasitu3819 7 часов назад
Wakula ubwabwa ikulu wengine wamegeuka machawa na wala kondoo
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 19 часов назад
ITIKADI za KUPINGA MAENDELEO NA KUCHAFUA NCHI,
@KhuzeyrKhuZeyf
@KhuzeyrKhuZeyf 7 часов назад
kesho kwa mungu kuna mengi
@mohamedsaidalhabsi7862
@mohamedsaidalhabsi7862 11 часов назад
Ila tu kama nikweli mwenyezi Mungu atafanyia wepesi ikiwa nimipango ya kupanga mwenyezi Mungu aona tusisahau kama mwenyezi Mungu hakuna asichokijua
@fatmasaid4426
@fatmasaid4426 День назад
Pole sana mma angu allah atakuponya In Shaa Allah
@denisipaulo7785
@denisipaulo7785 7 часов назад
Mungu yupo
@mrsmussa115
@mrsmussa115 23 часа назад
mche Allah mama siasa sio dini ukifa utajiteteaje mbele ya mola wako
@PaullyPuyetrov
@PaullyPuyetrov 21 час назад
Sio siasa bro, hivi kwani hii democracy imeletwa kwa niaba ya nani. Kwann chama kisiwe kimoja, bro hii nchi ni yetu sote, kila mtu anahaki sawa. Ukimuazibu mwezio na wew yatakufika siku moja. Dhulma ni dhulma haiegemei siasa, wazungu wanaakili, wanajua lazima mtazongana kuuwana, mwisho wa siku, hampati maendeleo lolote, Tanzania haiendelei chochote nipo pale,😂😂😂😂
@raiszongo4136
@raiszongo4136 21 час назад
Choko ww
@johngerald4677
@johngerald4677 20 часов назад
Maisha ni siasa
@calvin6445
@calvin6445 5 часов назад
Umauti hautakupata endapo utatulia na familia yako nyumbani ukaacha mdomo mwingi kwenye mambo ya siasa. Chaguzi ni lako uamue kufa au kuishi Mama.Mnauwana wenyewe Kwa wenyewe chadema hiyo ndo siasa
@consomatogaudence136
@consomatogaudence136 20 часов назад
Vitu kama hiv anajua Mungu pekee ndie hakimu wa kweli maana wanadam kila mtu ataongea chake 2muachie Mungu.
@TryphonRabson
@TryphonRabson 9 часов назад
we mambo ya kijinga unamuweka mungu? Achen ujinga hakimu wa kweli ni mungu wakati mtu katekwa kaumizwa unaona kabisa halafu et unamwachia mungu ujinga lazima tuchukue hatua tujue nan anafanya matendo haya? Unaposema unamwachia mungu ni ujinga mkubwa kesho watakuchukua ww je tutaendelea kumwachia mungu mpk ln?
@AngelMazola
@AngelMazola 20 часов назад
Aki nyie roho zabinahadqmu cku izi zinazidi kuwa mbaya tena mbaya sana twatu tunaishi kama wanyqma sasa jamani khee!! Inaskitisha sana sana😢😢
@aediaygo8546
@aediaygo8546 4 часа назад
Mama kulitatafuta Huyu mama anataka umaarufu 😅 muongo
@KassimHanga-xr7rb
@KassimHanga-xr7rb День назад
Haki haipotei tutalipwa hapa hapa duniani tumuogope Mungu na Mungu yupo na halali
@CharlesWanyeche-er6rw
@CharlesWanyeche-er6rw 20 часов назад
Mambo kam haya yanafanyik alaf wanakaa kmy tu hkn hatua uonevu kila siku,,nawaapia wote wanaohusika Mwenyezi Mungu awalaani na kuwapatieni adhab kali hakika choz la mweny haki halitapita wataadhibiwa tu
@sophinasoro6130
@sophinasoro6130 19 часов назад
Duuh hii ishakuwa atali sasa Kama awataki vyama pinzan si waachane na ayo mambo kibaki chama kimoja tu mbona akuna haja ya democracia sasa 😢😭🙏🏻🙏🏻
@fredykiluka6606
@fredykiluka6606 19 часов назад
Zambi mamasamia sjui atakua na wakati Gani mungu ampe nguvu na hekima maana mambo ayo ausiki nayo kabisa ...............tumia akili iv mama amteke uyu Kwa Nini...😢😢😢😢
@storytownTv
@storytownTv 22 часа назад
Ila sijui kunawatu wanaroho gan ,naona wanafurah tu eti wakisema kwanini achome nguo, sasa watu wanachoma pesa wanachoma magari na hawawapi hao maskini na mnawaona wajanja afu kuchoma tu nguo kisa ina picha ya mtu asiemkubari yeye watu mnaona kafanyiwa kitu anachostahili..😢 jamani ,,awamu ya sita..apana haijawah kutokea..😢😢
@JoyceMichael-bm9yw
@JoyceMichael-bm9yw 21 час назад
Mungu aingilie kati tu mwenyewe jmn inatia huzuni😤😤
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 18 часов назад
Asa ndo siasa gn c wafute ivyo vyama vingine wabaki peke yao ,viongozi wa kiafrica wana matatizo sana utazani wataishi milele
@JacobYosia
@JacobYosia 3 часа назад
Ccm mbele kwa mbele😢😢
@FatmaJumawazir
@FatmaJumawazir День назад
Pole sana mama😢😢
@johndavid_video6506
@johndavid_video6506 10 часов назад
Kuna watu watakuwa wanafurahia mkeka who umetiki😮😮
@samorasilayo1268
@samorasilayo1268 День назад
Polisi unatumwa Kama mbwaa kuumisa watu watoto wenu watalipa damu ya watanzania
@felistamashinga123
@felistamashinga123 7 часов назад
Mlikuwa mkilaumu magufuli na kumkebehi sasa hivi nani anawateka??? Mzee alishapumzika
@twinkledestar4277
@twinkledestar4277 12 часов назад
Unaongelea wanawke hivi Samia ni jinsia gan jmn 😂😂😂😂
@FaridaOngala
@FaridaOngala 19 часов назад
Pole mama angu
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar День назад
Ee MUNGU wangu'. Pole sana Mama angu
@Noor2024-l8s
@Noor2024-l8s 8 часов назад
Pole mama
@dr.sendeuonlinetv2916
@dr.sendeuonlinetv2916 11 часов назад
Pole sana dada 😭😭
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 11 часов назад
💔💔💔😭pole mama God is always faithful 🙏♥️🫂
@AdeniKasalile
@AdeniKasalile 9 часов назад
Wote wanao tekwa n😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🥳
@djamedeustz8258
@djamedeustz8258 18 часов назад
Mungu ana waona sio poa walivyo fanya
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 3 часа назад
😢😢
@jumatajiri585
@jumatajiri585 19 часов назад
Kwani tz Kuna Nini jamani mbona mnatuogopesha
@salimhassan6514
@salimhassan6514 16 часов назад
Dah Hata sijui niseme Nini Hakika inauma
@Fatima-v9k6f
@Fatima-v9k6f День назад
From 🇧🇮 muje burundi kwanza majirani zetu tanzanian watawamaliza
@abelmirwatu544
@abelmirwatu544 19 часов назад
Tanzania tunakwenda wapi? Mnampiga mwanamke kiasi hiki dah! Jeshi la polisi ebu msichafuliwe katika hili tuakikishieni amani haya matukio ni mengi sanaa chukueni hatua katika hili hii ni aibu kwa taifa letu.
@danielndam5997
@danielndam5997 17 часов назад
Mrs comforter in chief wa Tanzania huyu ni mama wa mtu ni mtanzania mwenzetu mwenye mawazo tofaut na wew namna ya kuongoza nchi Huyu mama sio fisadi nimsafi Mrs President ongoza taifa hili kwa haki
@AbubakariKisuju
@AbubakariKisuju 22 часа назад
Hawajakubaka?
@VERONICAGASTO-t6d
@VERONICAGASTO-t6d 6 часов назад
Nacheka kama mazuri😅
@neemareuben311
@neemareuben311 19 часов назад
Yesu Christo😢😢😢😢😢😢
@LilianiMeena
@LilianiMeena 6 часов назад
😢
@ChainesBoufee
@ChainesBoufee 21 час назад
Rais ana jukum kubw kwa mungu 😢😢 tunalia na hatujui tukalie wapi ..
@GideonLenard
@GideonLenard 18 часов назад
Tanzania ni nchi ya chama kimoja ndio maana sisi wengine tumeamua kuacha kupiga kura kabisa
@dominickjohn1128
@dominickjohn1128 18 часов назад
Achana na siasa mamaangu utakufa uache watoto wako!!
@jumamsechu
@jumamsechu 19 часов назад
Natamani kina mm wange kuwa upande wako ila wengi ni wanafiki akiwemo samia
@AllyHamran
@AllyHamran 9 часов назад
Alitaka promo kaipata Samia must go Samia must go.
@lucia20240
@lucia20240 20 часов назад
Jasiri❤
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 21 час назад
Jamaani khaa hii nchi inaenda wapi jamaani mbona ubinadamu hamna
@AllanLyombile
@AllanLyombile 18 часов назад
Ivi ni kweli Watanzania hutujuwi ni akina nani wanaowatuma hawa wasiojulikana? MUNGU TULIPIE KISASI ILI NCHI IWE SALAMA.
@peterfania1005
@peterfania1005 9 часов назад
Ccm sio watanzani 😢
@FlorenceMlemi
@FlorenceMlemi 8 часов назад
Mimi Sio mwanachama wa chama chochote lakin ungekuwa wewe ni mama yangu Mimi kama mtoto wako nicnge ruhusu ......
@AminahassanSaidi
@AminahassanSaidi 10 часов назад
Na wao watakufa pia
@Mrmohadi.OFFICIAL
@Mrmohadi.OFFICIAL 20 часов назад
Leo ayo TV ana hoji chadema kweli na yeye kayachoka
@kingwandeinvestment8002
@kingwandeinvestment8002 9 часов назад
Daaaa
Далее
Тестирую гаджет для роллов! 🙈
00:42
Мечты, которые сбылись♥️
00:17
Просмотров 557 тыс.
Ferooz ft. Juma Nature - Bosi  (Official Video)
5:26
Просмотров 2,8 тыс.
Bibi’s Big Decision: Another Victory Coming?
6:39
Просмотров 218 тыс.
Inside ADHD: The struggle to find care
7:23
Просмотров 15 тыс.
Тестирую гаджет для роллов! 🙈
00:42