Тёмный

Vijana wa CHADEMA Wafunguka Baada ya Kupigwa STOP na Polisi Iringa Wakielekea Mbeya 

Focus Digito TV
Подписаться 33 тыс.
Просмотров 5 тыс.
50% 1

Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limezuia kuendelea kwa Safari ya kuelekea Mbeya ya Vijana ambao ni wanachama wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (BAVICHA).
Subscribe (Focus Digito TV) ili usipitwe na Video mpya zinazotoka kila siku.
Focus Digito TV inakupa Maudhui Mazuri yanayohusu Habari, Elimu, Mitindo ya maisha, Michezo na Burudani.
Focus Digito TV is here to provide you with contents about News, Education, Lifestyles, Sports and Entertainments.
#FocusDigitoTV
..................
Tufuatilie Zaidi kupitia:
INSTAGRAM, TIKTOK, FACEBOOK, TWITTER (X), THREADS NA GOOGLE WEBSITE YETU YA FOCUS DIGITO TV
Focus Digito TV is one of the best info-edu-tainment Online Media conveying contents for the Public Interest.
Asante kwa kuchagua kutufuatilia | Thanks for Subscribing
We Love You | Tunakupenda
Regards
Team FocusDigitoTV

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 11   
@user-il5pk2dr5n
@user-il5pk2dr5n Месяц назад
Na ayo magari yafungiwe.
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 26 дней назад
Vyama hivi viko kisheria na baba wa taifa aliruhusu hata mtoto wake alikuwa mbunge wa Arusha kupitia demokrasia hii
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 26 дней назад
Mwisho wa UDIKTETA wa ccm na mapolisi wake.
@BikoStedi
@BikoStedi Месяц назад
Good bravo
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv Месяц назад
Uongozi wa SAMIA unatia AIBU TAIFA
@djfaraji
@djfaraji Месяц назад
Jamani daaaaa.mimi mwanachama wa ccm naamini raisi wangu mama yangu jembe langu awezi kuwashikilia wananchi hivi.mama ao chadema aina haja ya kuafanya ivyo awatuwezi ss chama kubwa
@user-ig7tb1cf8z
@user-ig7tb1cf8z Месяц назад
Tulia anahofu Bavicha pambana
@SamweliZaburi-fk3qj
@SamweliZaburi-fk3qj Месяц назад
Akipotea kijana mmoja tunaanza na balozi tunaomba tusifikie huko vijana wawe salama
@saumaryhusseyin
@saumaryhusseyin Месяц назад
Tanzania imebadilika saana Aisee wasomi wamekua wengi saana wanajua haki zao ila kunawachache bado awajaamini katika ili bado
Далее
Самый БОЛЬШОЙ iPhone в МИРЕ!
00:52
Просмотров 905 тыс.
Новый уровень твоей сосиски
00:33
Tundu Lissu Amjibu Fatma Karume Sakata la "Ubaguzi"
16:37
Самый БОЛЬШОЙ iPhone в МИРЕ!
00:52
Просмотров 905 тыс.