Тёмный

VIJANA WA KIISLAMU WAKIMBIA NA KUWAACHA WAKRISTO NJIA PANDA 

Straight Path Dawah
Подписаться 70 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Tafadhali subscribe kwenye channel yetu ya STRAIGHT PATH DAWAH ili uendelee kunufaika kupitia video zetu na pia usisahau kuchangia sadaka yako katika uendeshaji wa vipindi vyetu na kueneza Da'wah kupitia MPESA NUMBER +254722600533 na pia unaweza ukapiga simu moja kwa moja au pia utume ujumbe kupitia WhatsApp +254777600777. Bonyeza link hapa chini ili kutazama part 2
• VIJANA WASEMA MAMBO YA...

Опубликовано:

 

30 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 60   
@aishaomarry6996
@aishaomarry6996 Год назад
Tunamuomba Mwenyezi Mungu akujaalie mwisho mwema ndugu yangu Ramadhani Kuriya bin Kaguo
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 4 месяца назад
Aamina
@sophiajuma6798
@sophiajuma6798 Год назад
Kuna waganga wakristo wengi sana
@rizikiali328
@rizikiali328 Год назад
Subhannallah Allah awaongoze hawa vijana sheikh mii naona tatizo ni sisi wazazi l maana mtume s a w ametufundisha ya kwamba. Tuwaamrishe watoto wetu kusali wakiwa na umri wa miaka 7na kuadhibiwa wakiwa na umri wa miaka 10 but wengi wanapenda watoto kuliko Allah
@ggv866
@ggv866 Год назад
Hata wakristo ni Kuna wachawi
@alinuribrahim4216
@alinuribrahim4216 Год назад
MashaAllah shiekh
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv Год назад
Maa shaa ALLAH 💚💚💚💚
@swidiqrajab4519
@swidiqrajab4519 Год назад
Asalamu Aleykum Warahmatullahi Wabarakatuh Ba'rakallahu Lakum, Alhamdulillah am watching from Kuwait
@Noorein-ws8wk
@Noorein-ws8wk Год назад
Wsalaam warahmatullahi ta'ala wabarakaatuh
@faridahalwaily85
@faridahalwaily85 Год назад
Silimuh na uwafundishee walooo kimbiyaaa hawajuwi Halali walaa haramuh
@mamawamoya3344
@mamawamoya3344 Год назад
Ma sha Allah
@zuenazuena5690
@zuenazuena5690 Год назад
Ma sha Allah
@faridahalwaily85
@faridahalwaily85 Год назад
Wewe kuwa muislamuh kwa kumuanudu Allaah ,,,,,mganga mwenyezimngu Atamlipaa kwa madhambi yakeee…mpaka Atubiyeee,,,
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 Год назад
Amalemba kakamega my home town. MashaAllah Sheik Allah akujazie Sana.
@Leo-xc1nh
@Leo-xc1nh 9 месяцев назад
Mashallah mafunzo mazuri Asante
@daru2549
@daru2549 Год назад
MashaAllah Allah akulipe shieikh ila part2 tunangoja leo InshaAllah
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Год назад
Allahuma ameen 🤲, yaja insha'Allah
@BakariKidege
@BakariKidege Год назад
Mwenyez Mungu akujaalie kila la kher kwa kazi kubwa unayoifanya ustadh Ramadhan bin kaguo.
@husseinibrahim5438
@husseinibrahim5438 Год назад
MA SHA ALLAH
@faridahalwaily85
@faridahalwaily85 Год назад
Utapata thawabu
@rizikiali328
@rizikiali328 Год назад
Hayo ya majini nyengine ni propa ganda tuu huko ni kukosa dini nasaha kwa waalimu kujitoa ili kufundisha njia ya Allah
@Noorein-ws8wk
@Noorein-ws8wk Год назад
Go Sheikh Go May Allah with you
@rizikiali328
@rizikiali328 Год назад
Mchawi mpiga ramli hao wote ni washirikina hapa huyu kijana waislamu yafaa kujichunguza
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o Год назад
Why Harut and marut were sent to Babylon?
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 Год назад
​@@NathanielNathan-m4okuwa sehemu ya mtihani kwa wanadamu mfano mwalimu anapokufundisha shuleni halafu akakuletea multiple choices
@saphinalutaha9077
@saphinalutaha9077 Год назад
Mashalla shekhe tunakuomba umtafute mwana dada anaejiita zumard umhoj yupo Tz mwanza
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah Год назад
😂
@MaliganyaWilson-ef3pk
@MaliganyaWilson-ef3pk Год назад
​@@StraightPathDawah😂😂😂😂
@OLUNGAJOSHMAH
@OLUNGAJOSHMAH Год назад
KAJA TU KIMIA KIMIA RAMADHAN....AMALEMBA BT MIMI NITAWATAFUTA ULIO WACHENGA NIWARUDISHE UZIMANI JHN3:36 bt with Q102:3-7 UZIMA HAMNA.
@UMMYYFATMA
@UMMYYFATMA Год назад
MASHA ALLAH... MASHA ALLAH ❣️.. TABAARAKALLAH...🙏🤲🙏❤️☝️☝️
@bentybenty2343
@bentybenty2343 Год назад
SUBHANALLAH ALHAMDULILLAH ALLAHU AKBAR.. MASHA ALLAH TABARAKALLAH ❤❤❤
@secretupdates254
@secretupdates254 Год назад
Hapo ni kwetu Sheikh, Alhamdulillah
@Saumo-lo9kz
@Saumo-lo9kz 10 месяцев назад
❤poa
@mwoso
@mwoso Год назад
Wewe Brian Una upungufu wa elimu ya Imani yako.
@sheemaryam
@sheemaryam Год назад
Tuned in
@abdullazizmohammed7015
@abdullazizmohammed7015 Год назад
Jazaakumu Allahu khaira
@mohamedhozi8110
@mohamedhozi8110 Год назад
😂😂😂huyu mwenye amesema n muislamu na hajui nguzo za uislamu na sura alfatiha pia hajui😅
@kijakaparare2074
@kijakaparare2074 Год назад
Mungu akupe umri mrefu ustadhi wetu
@zohramariga6678
@zohramariga6678 Год назад
Asalamu alekumu warahama tulahi wabarakatu mashala kazinzuri Allah akulidi
@Jingajinga64
@Jingajinga64 Год назад
Allahumma Barik
@SaidMgeni
@SaidMgeni 11 месяцев назад
SubhannaAlla mola awape moyo wakuduma katika dini na kuwa na elimu ya dini in shaa Allah
@salhkasmm558
@salhkasmm558 Год назад
Muongo mapadri wengi wachawi ukiona wanaangusha watu makanisani hutumia magoast kufanyia hayo nawaganga wengi niwakristo kujipa najina yakiislam wapate wateja nakuuchafua uislam.
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 Год назад
Mashalla Allah ❤❤❤
@viques254
@viques254 Год назад
Ramadhan kuria ni mwalimu mzuri sana.. Swali kwa mwalimu,,kuna kanuni kumi kwa Quran?
@yyyyyy7337
@yyyyyy7337 Год назад
Kkkkkkkkk ramadan wewe ni mwisho umeshika jama wakati anataka ku ondoka nimecheka sana Leo Walahi
@mwoso
@mwoso Год назад
Kuna wengi hata kama wamezaliwa katika uisilamu, inatakikana wabatizwe na wawe wakristo.
@azzahrau
@azzahrau Год назад
@rizikiali328
@rizikiali328 Год назад
Sheikh Ramadhan Allah awalipe Jannatul Firdausi mtihani na msiba huu muislam hajui maana ya uislamu maimamu wa misikiti mtihani kwenu wakati umefika kutoka kuzunguka Na kufanya daawa na kuhimiza wazazi kufundisha watoto wetu wajue dini
@bonifacemyango
@bonifacemyango Год назад
Masha Allah
@mohammedopetumusa
@mohammedopetumusa Год назад
MashaAllah
@aburaasmedia3682
@aburaasmedia3682 Год назад
Masha Allah
@mwanamtotosaid702
@mwanamtotosaid702 Год назад
Masha Allah 🥰
@zumrantorez8570
@zumrantorez8570 Год назад
Mashallah ❤❤❤❤❤
@marvelousofzanzibar9556
@marvelousofzanzibar9556 Год назад
MashaAllah Allah akupe umri mrefu kaka Ramadhani ufundishe dini ya haki
@aminaoman8418
@aminaoman8418 Год назад
inshallah
@TomAyodi
@TomAyodi Месяц назад
Zii😂😂😂
@salmanassor8732
@salmanassor8732 Год назад
Mashallah
@azizashiundu5778
@azizashiundu5778 Год назад
Mashallah mashallah 💞
@morallyify
@morallyify Год назад
Maa shaa ALLAH
@maryammdoe5801
@maryammdoe5801 Год назад
MashaAllah ❤sheikh letu wallahi nakupenda kwa ajili ya ALLAH na Allah akuhifadhi , malipo yako yawe ni jannat firdaws in shaa Allah ❤
Далее
MAMA WA KWAYA AKIRI KUWA WAKRISTO WAMEPOTEA
38:39
Просмотров 16 тыс.
▼ КАПИТАН НАШЁЛ НЕФТЬ В 🍑
33:40
Просмотров 431 тыс.
WAKRISTO WAZIDI KUSILIMU BAADA YA KUGUNDUA UKWELI
1:01:22
Professor Mazinge at Ukunda, South Coast Kenya
1:12:38
Просмотров 33 тыс.
KITENDAWILI CHA UTATU MTAKATIFU (PART 3)
1:02:04
Просмотров 13 тыс.
PASTOR PHILIP AJIITA MUNGU
1:13:19
Просмотров 5 тыс.