Тёмный
No video :(

KWA MILLION 4 TU ZAHIR ANAKUJENGEA HUU MJENGO ITAKAYOBAKI UTALIPA KIDOGO KIDOGO 

Maximum Tv Online
Подписаться 450 тыс.
Просмотров 12 тыс.
50% 1

KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
0625466848 AU 0753393036

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 88   
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 Год назад
MashAllah nyumba nzuri. Allah akujaze kila la kheri na umri mrefu uzidi kutusaidia InshaAllah. Namimi naitaka kama hiyo
@user-yo8np7ce8n
@user-yo8np7ce8n 10 месяцев назад
Zahir hongera kwa kazi nzuri unayoifanya Allah akulinde na maadui
@saidaal1679
@saidaal1679 Год назад
Mashaallah mjengo unavutia sana kila la kheri kaka zahir ktk majukumu yako
@bhemloved-im6or
@bhemloved-im6or 10 месяцев назад
Mashallah Kaka Zahir na cc WA zanzibar tunaomba utusimamiye
@sikitujuma4866
@sikitujuma4866 11 месяцев назад
Kazi nzuri sasa kwa kuwa wewe ndio umesimamia ujenzi mwanzo mwisho twambie garama yaiyo nyumba mpaka iko hivyo ili ututamanishe tujipange ili mtu aone kumbe nikiwa kiwango hiki ntapata nyumba
@aishaz1
@aishaz1 20 часов назад
ARUSHA PIA MNAKUJA
@queen-jejeog8885
@queen-jejeog8885 17 дней назад
Nakupataje
@aishaissa2512
@aishaissa2512 11 месяцев назад
Hongera zahiri kazi nzuri🎉🎉🎉
@HakizimanaSalima-sg7cv
@HakizimanaSalima-sg7cv 11 месяцев назад
Mashaallah Allah akuifadhi Kaka zahiri Allahumma Ameen
@MizeKombeSuleiman-id1rp
@MizeKombeSuleiman-id1rp 11 месяцев назад
Mwenzangu ulie jengewa hongera 🎉
@FauzyaHassan
@FauzyaHassan 2 месяца назад
Bila Shaka Kaka zaid itakuwa nibonge 😂maana Una hema Sana hongera kwa KAZI nitakucheki ngoja nijichange nakianziyo tufanye kazi
@Mpakauseme
@Mpakauseme Год назад
beautiful 😍
@user-sx1xi4yb2z
@user-sx1xi4yb2z Месяц назад
Uwe una fafanua hatua kwa hatua na gharama zote za hatua kwa hatua,,.Sasa unatuambia ukiwa na kiasi kadhaa mara kiasi kadhaa. Sasa tutajuaje bei ya vifaa vya ujenzi Kwa Sasa kama huweki wazi,, Nadhan utakua mpigaji wa chinichini kama mafundi wengine wahuni
@YasmeenKhalifa-zq1zk
@YasmeenKhalifa-zq1zk Месяц назад
Assalam aleykum kaka zahir samahan naomba kukuuliza na mikoan unakwenda pia
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula Месяц назад
Utaibiwa wee uliona wapi mln 4 inajenga hadinjuu
@user-pi6lb6nx3m
@user-pi6lb6nx3m Месяц назад
Kazi nzr
@hawasaid2670
@hawasaid2670 Год назад
Mashaallah kaka zahir
@user-ie1ov7hc7s
@user-ie1ov7hc7s Месяц назад
Million hiyo ni ya fundi au niya nyumba mpaka kuisha
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 10 месяцев назад
Yani mwenye nyumba akiona hivi ana furahaa kupita maelezo. Na akikumbuka alivyo pigwa vitu vizito na ndugu.❤👏
@ramlajeffah9831
@ramlajeffah9831 10 месяцев назад
Ma sha Allah tabaraka Allah lakuwata ila bilah
@Sabratheboss-gd6ie
@Sabratheboss-gd6ie 16 дней назад
Namba ikowapi
@rahamrahma6259
@rahamrahma6259 10 месяцев назад
Mashaallah good job
@halimasaif3061
@halimasaif3061 10 месяцев назад
Mashallah kaka upo vizuri
@nicholasamuyunzu7246
@nicholasamuyunzu7246 5 месяцев назад
Zahir mimi nahitaji shamba ekari moja Kisha unijenge nyumba kama hii ndugu yangu jumla ya fedha zinazohitajika ni kama ngapi hivi.
@cobraff7943
@cobraff7943 4 месяца назад
Zanzibar kujengewa
@mwajoma1373
@mwajoma1373 7 месяцев назад
Mashaa Allah
@samsungoman5626
@samsungoman5626 Год назад
Maashallah
@user-rt8df5ce4s
@user-rt8df5ce4s 9 месяцев назад
Mungu akubariki
@khadijahali4837
@khadijahali4837 11 месяцев назад
Maa shaa Allah
@user-kl6gk9gt9k
@user-kl6gk9gt9k 5 месяцев назад
Kwakweli ngoja tutafute hela kweli kweli duniani kunamambo mazuri
@asiasalim9323
@asiasalim9323 10 месяцев назад
Masha ALLAH
@user-ow5zk5vp1x
@user-ow5zk5vp1x Месяц назад
Zahir Kuna mdada ulixha wahi kumuoji kile kipind Cha mwanzo kabsa akawa anasema ametupiwa jini na alikua anaxhndwa kutembea vzur tunaeza mpata Kwa kweli manake video zake umefuta naitaji kumsaidia
@isunga1964
@isunga1964 7 месяцев назад
Nimeipenda tails kwa jiko jamni uwii
@ashazuber6548
@ashazuber6548 10 месяцев назад
Jaman natafuta nyumba iliyo isha kabisa na bei mnitajie❤
@muhsinali5536
@muhsinali5536 Год назад
Zahir fanya mazoezi
@khadijasayeed3381
@khadijasayeed3381 10 месяцев назад
MashaAllah❤
@ameenaameena422
@ameenaameena422 11 месяцев назад
MashaAllah
@sophsoph4740
@sophsoph4740 7 месяцев назад
Hiv jmn hiv vioo vinabei kubwa sana
@YasmeenKhalifa-zq1zk
@YasmeenKhalifa-zq1zk Месяц назад
Assalam aleykum kaka zahir samahan naomba kukuuliza na mikoan unakwenda pia naomba unijibu
@aitharyallyramadhani
@aitharyallyramadhani Год назад
Mashallah ❤
@tumainimatembo8688
@tumainimatembo8688 Год назад
Msingi mfupi ongeza msingi uwe mlefu akiba kma itatokea mafuliko
@aishaissa2512
@aishaissa2512 11 месяцев назад
Zahiri yuko makini kwenye ujenzi kuhusu msingi usiwe na shaka💯
@twix1404
@twix1404 11 месяцев назад
Kweli msingi mfupi sana angeongeza
@maryammdoe5801
@maryammdoe5801 Год назад
Zahir naomba namba yako tafadhali
@maximumtvonline
@maximumtvonline Год назад
0625466848 hyo hapo
@JanethMadios
@JanethMadios Месяц назад
Mbona unakimbiza kimbiza camera yaani hujatulia ili tuone vzr
@mashamasha-de5xz
@mashamasha-de5xz 7 месяцев назад
Kaka zahir nakupata aje ninahitaj kuwasiliana na ww bro 🙏😮
@HakizimanaSalima-sg7cv
@HakizimanaSalima-sg7cv 11 месяцев назад
Ok
@mmichaeleletricet4554
@mmichaeleletricet4554 2 месяца назад
Eti milioni nne kwann usimwambie mtu ukwelii sawa ni nzuri ila milioni nne hakuna
@barakawanga135
@barakawanga135 8 месяцев назад
Je nyumba kaa hiyo Hadi isimame itakua shilingi ngapi
@Rose-ue2ho
@Rose-ue2ho Год назад
1
@salmaalkindi5735
@salmaalkindi5735 9 месяцев назад
Mjengo huu mpaka nyumba inamalizika kila kitu kiasi gani
@nicholasamuyunzu7246
@nicholasamuyunzu7246 5 месяцев назад
Kazi safi kweli hongera.
@muhammadhussain449
@muhammadhussain449 10 месяцев назад
Sasa mwenzenu sijaelewa milioni nne ndio nyumba imeisha kweli mbna sijaelewa mwenyezenu
@user-mc5zb3ox9c
@user-mc5zb3ox9c 2 месяца назад
Nyumba iko poa
@muhammadhussain449
@muhammadhussain449 10 месяцев назад
Kwaiyo kama ninalimioni 7 nataka munimalizie itakayo baki nalipa deni kila mwezi au
@AminaAbdullah-ws3wy
@AminaAbdullah-ws3wy Год назад
Zahir mm nataka naomba namba yako tuongee
@user-tk2hg6ue9m
@user-tk2hg6ue9m Год назад
Naomba namba mkuu
@GasperGodfrey-bz7it
@GasperGodfrey-bz7it 4 месяца назад
Ngeneza channel special kwaajili ya ujenzi tu kusipostiwe video zingine tofauti na ujenzi
@margaridaagostinhoacaciona3656
@margaridaagostinhoacaciona3656 7 месяцев назад
Mimi naitaka kujenga
@user-eh4rc3cm9d
@user-eh4rc3cm9d 11 месяцев назад
Hii nyumba imegarm kiasi gani
@muhammadhussain449
@muhammadhussain449 10 месяцев назад
Hau ikoje ebu niweke wazi
@ramlajeffah9831
@ramlajeffah9831 10 месяцев назад
Assalamu alaikum warahmatullahi wabarakatu kakazahir hiyo nyumba ina vyumba vingapi
@khamoshmikidadi618
@khamoshmikidadi618 10 месяцев назад
Mbn hujib msj
@leilasaid3623
@leilasaid3623 10 месяцев назад
Kaka zahiri nakutafuta sikupati
@safiyaramadhan373
@safiyaramadhan373 10 месяцев назад
Tatizo kaka zahir hautoi namba yako utapataje maelekezo sasa
@asias8724
@asias8724 Год назад
Mashallah nzuri sana 👌👌😍😍
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 11 месяцев назад
🎉🎉🎉
@marysaulo3243
@marysaulo3243 8 месяцев назад
Zaili siku izi usaidii watu wenye alingumu
@mashamasha-de5xz
@mashamasha-de5xz 7 месяцев назад
Kaka nakupat aje 😢
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 7 месяцев назад
Ss i mi 4 ni yk ya iufanya kz au ndo garama ya nyumba nzima
@Tiffahmkundia-lz3tc
@Tiffahmkundia-lz3tc 6 месяцев назад
Nilidhn np peke Najiuliz ilo swali
@ramlajeffah9831
@ramlajeffah9831 10 месяцев назад
Kaka zahir nitumie ramamani ya hiyo nyumba kaka
@shamzone388
@shamzone388 11 месяцев назад
Zahir hii nyumba ipo wapi na mtaa gani nijibu plz
@user-bt7xp1ev9n
@user-bt7xp1ev9n 10 месяцев назад
Milion 4mpka Na bati
@AsiaSiraji-ud9ju
@AsiaSiraji-ud9ju 10 месяцев назад
Naomba namba yako kaka Zair
@umahmed8273
@umahmed8273 11 месяцев назад
Hiyo nyumba inauzwa?
@OmanOman-vb4uj
@OmanOman-vb4uj 11 месяцев назад
Vyumba futi ngpa kwa ngapi
@cosmasthomas9164
@cosmasthomas9164 7 месяцев назад
Sasa brother unatuchanganya!bei ya kujenga mjengo wote huo ni kiasi gani?
@user-hz6zl1jr8v
@user-hz6zl1jr8v 5 месяцев назад
Naomba namba ya simu niwasiliane na wewe
@daviddouglas8943
@daviddouglas8943 11 месяцев назад
Million 4?
@mhogomchungu7168
@mhogomchungu7168 11 месяцев назад
Million 4 kujenga mpaka kumaliza nyumba hii au ya kuanzia tu?
@maryamudunga1094
@maryamudunga1094 10 месяцев назад
Hata mm nimejiuliza
@billywilliammyovella2202
@billywilliammyovella2202 Год назад
Mil 4 kweli? Kweli?
@OmanOman-vb4uj
@OmanOman-vb4uj 11 месяцев назад
Naona hii yakuanzia ujenzi
@Happy-tx7p
@Happy-tx7p 10 месяцев назад
Number yk pls
@user-yo8np7ce8n
@user-yo8np7ce8n 10 месяцев назад
Zahir hongera kwa kazi nzuri unayoifanya Allah akulinde na maadui
@zainabisa9734
@zainabisa9734 11 месяцев назад
Ok
Далее
MIRADI YA NYUMBA ZA NSSF
15:06
Просмотров 14 тыс.
ЛОВИМ НОВЫХ МОНСТРОВ В LETHAL COMPANY
2:42:22
Hii nyumba haina kasoro
3:34
Просмотров 24 тыс.