Тёмный

VIUMBE wa AJABU wanaopatikana MARIANA TRENCH, sehemu ya BAHARI yenye kina KIREFU zaidi, Wanatisha! 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 49 тыс.
50% 1

Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 100   
@chamyfx9377
@chamyfx9377 Год назад
Nikisikia HABARINI ZA SAIZI WANA SNS huwa natabasamuu ❤sns❤
@missnamwambemomentstv7753
@missnamwambemomentstv7753 Год назад
Jmn😊❤
@isayafrank7636
@isayafrank7636 Год назад
Nilijua ni mm tu nina aka kaugonjwa kumbe tupo wengi
@chamyfx9377
@chamyfx9377 Год назад
@@isayafrank7636 😅😅 kumbe tupo kbao
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
Me too kipenzi
@isayafrank7636
@isayafrank7636 Год назад
@@saumusalimuhassan2499 😍
@lucianoluciano6795
@lucianoluciano6795 Год назад
...ukiambiwa chukua kalamu na karatasi chora kiumbe chochote ambacho unakifikilia na hujawahi kukiona hakika nakuthibitishia huo mchoro wako kiumbe chake halisi kipo ktk uumbaji wa Mungu..
@lovvy854
@lovvy854 Год назад
Mwenyezimngu aliiumba dunia na maajabu yake Subhhanallah
@Cadabrizzo
@Cadabrizzo Год назад
Makala yanayo husiana na bahari pamoja na anga yanavutia sana lau watu wangeijua hii channel sns mngkuwa na kazi ya ziada kukata kiu ya wafwatiliaji wenu MPO VIZURI SANAAA
@kulwanzobe7657
@kulwanzobe7657 Год назад
Mungu ni mungu tu kaumba vitu vingi ambavyo Mimi na wew hatujawahi kuviona na kuvisikia kabisa pengine.
@mohammedmfamau43
@mohammedmfamau43 Год назад
Allah akbar.hongera ndugu viumbe bahari vinatisha lkn pia hivo walivojaliwa kuviona naamini bado kabisa hata theluthi hawajaikaribia kujua siri iliomo ndani ya ulimwengu wa kwanza wenye ukubwa wa asilimia zaidi ya 70 ukilinganisha ulimwengu tunaoishi binadam na wanyama wenye asilimia 25 pia hatujaufikia hata theluthi seuze bahari.tumuogope muumba jamani.
@barakaamani8657
@barakaamani8657 Год назад
Umenikumbusha kauli ya hayati Nyerere,,tupeleke shule wameru ili tujue thamani halisi ya madini,,,,,daaaaah the way u can exprole and express my dear ur the role model of real resechers ,,,🎉🎉🎉🎉🎉CHUKUA MAUA YAKO,,,,ITS ME Baraka Amani(CHAMWINO IKULU-DODOMA-TZ)
@barakaamani8657
@barakaamani8657 Год назад
WANETU SIO WAMERU
@allyseba172
@allyseba172 Год назад
God bless you my brother..... Mungu akujaalie na akuzdishie
@SamirBSam
@SamirBSam Год назад
bro sky ongeara sana, unajua sana , you are the best more than all. napenda sauti yako na utulivu
@trendz_2548
@trendz_2548 Год назад
Huwa nafurahia simulizi yako Skywalker
@dinosmack
@dinosmack Год назад
🎉🎉maua yaki hayo bwana sky...saut itasikilizika milele hii
@MashakaMkama-gr9hi
@MashakaMkama-gr9hi Год назад
Hatareeeeeee
@rdanmohd8003
@rdanmohd8003 Год назад
GOD is Great
@rdanmohd8003
@rdanmohd8003 Год назад
@@bosslady6706 thanx
@andrewmallya1704
@andrewmallya1704 Год назад
Upewe maua yako tu..frdk bundala👍 👍
@sleifikhajjir262
@sleifikhajjir262 Год назад
allah anamaajabu mengi sana
@winfridamwigilwa2107
@winfridamwigilwa2107 Год назад
Mungu ni mkubwa kwa kweli. Sky una sauti ya dhahabu kwa kweli. Inavutia kusikiliza makala kama hizi.
@lovvy854
@lovvy854 Год назад
Kweli kabisa umepatia
@micheleminem2032
@micheleminem2032 Год назад
Haho samaki wanatisha sana Kuna hainangapi ya samaki dunian Emi from burundi 🇧🇮
@bishweko
@bishweko 7 месяцев назад
Mwenyezi Mungu kasema kuwa kaumba viumbe 400 Nchi kavu. Na viumbe 600 kaviweka Baharini. So kwa dalili hiyo sishangai kusikia viumbe vipya mashikioni mwangu. Alhamdulillah.
@stellah3844
@stellah3844 Год назад
Mm ndyo maana naogopa baharin hata kuogelea, Baada ya hii makala yaan hata mikadi siwez ogelea🙌🏼🙌🏼
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 Год назад
I love the article 100% Keep up the good work sky
@HamisAkida-bz9sg
@HamisAkida-bz9sg Год назад
Asante sana mwana sns tupe makala zaidi kuhusu ulimwengu🙏
@titokyando4222
@titokyando4222 Год назад
Sns nawakubali Sana 🤘🤘🤘
@idysco
@idysco Год назад
Dunia bado inasiri kubwa sanaa😮
@onekisstv8412
@onekisstv8412 Год назад
Umeambiwa tunavyovijua kwenye bahari ni asilimia tano tu mzee 😂😂😂😂
@khaalidcheo5383
@khaalidcheo5383 Год назад
​@@onekisstv8412duh
@idysco
@idysco Год назад
@@onekisstv8412 oyaah!! siyo poa mzee
@ramaccr7525
@ramaccr7525 Год назад
Nakukubali sana bro
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
Yani katika channel zote, Naipenda sana *SNS* Allah haidumishe SNS ❤
@faizaahamd2052
@faizaahamd2052 Год назад
SNS YOUR THE BEST ❤RECEIVE LOVE FROM OMAN
@SheikhNassorMuhammad
@SheikhNassorMuhammad Год назад
هَٰذَا خَلْقُ اللَّهِ فَأَرُونِي مَاذَا خَلَقَ الَّذِينَ مِن دُونِهِ ۚ بَلِ الظَّالِمُونَ فِي ضَلَالٍ مُّبِينٍ Huu ni uumbaji wa Mwenyezi Mungu. Basi nionyesheni wameumba nini hao wasio kuwa Yeye! Lakini madhaalimu wamo katika upotovu uliyo dhaahiri.
@showejikinjekitile5942
@showejikinjekitile5942 Год назад
Mambo vipi kaka AMANI KWAKO.uko sawa sana tulete hutuba ya mwisho ya gadafi KWA kutuchambulia kama itawezekana
@classicwaisala6677
@classicwaisala6677 Год назад
Sisi waislamu tunasema AllahuAkbar 🥰 Na bado kuna viumbe zaidi ya ivyo tunavo viona na kusikiya Itoshe kusema ya kwamba kwamara nyingine tena Mungu ni Mkubwa 😊
@gfvh7282
@gfvh7282 Год назад
ALLAH ni mjuzi 💯 💯 💯 💯 💯
@gfvh7282
@gfvh7282 Год назад
ALLAH mjuzi zaidi na bado kunaviumbe wengi sisi hatuwajui yeye pekee ndo anajua ALLAH huakbar
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 Год назад
ALLAAH AKBAR
@Eliaommytz-
@Eliaommytz- Год назад
Very nice
@theprince5253
@theprince5253 8 месяцев назад
Sky please pitia bermuda triangle
@Dummy_photographer
@Dummy_photographer Год назад
Fredrick bundara unafanya Kaz nzur san na SNS kwa ujumla hasa kwenye upende makala nashauri pia kufanya review za movies na trailers kama Wana sns tuendelee ku enjoy 😉
@joshuamuro9494
@joshuamuro9494 Год назад
Aje na stroy za movie za kizaman Kama kuzungumzia wa uhusika wake wakuu Striker Commando, War Bus, Easter condonad nk
@budodiun6269
@budodiun6269 Год назад
Well done sns
@kennedyprime3630
@kennedyprime3630 Год назад
SKYWALKER!!🧐
@barakaamani8657
@barakaamani8657 Год назад
WANETU SIO WAMERU
@mgalulamatongo4079
@mgalulamatongo4079 Год назад
Napenda sana story km hizi
@lovvy854
@lovvy854 Год назад
Mambo ya ajabu Yana furahisha kusikiliza kwa makini
@simulizi2632
@simulizi2632 Год назад
Ebana tembea uone duh 🙋🏾‍♂️
@hamzambasha6647
@hamzambasha6647 Год назад
Hata hizi habari za watu samaki mm naamini baharini kuna mambo mengi sana
@saidmwasemu-do5tp
@saidmwasemu-do5tp Год назад
Maajabu ya Mungu
@rehemathoya8754
@rehemathoya8754 Год назад
Wanatisha sana, Monsters
@MashakaMkama-gr9hi
@MashakaMkama-gr9hi Год назад
Huyo samaki hatari
@Megadreamzfx1
@Megadreamzfx1 Год назад
Mimi na bahari ndo basi tena staki hiz mambo😂
@gfvh7282
@gfvh7282 Год назад
Khaa
@evemurugi3399
@evemurugi3399 Год назад
Swali ni wana kula nini huko kwa hiyo kina ,juu i dont think kuna kitu kinaweza ingia huko
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 Год назад
Ila bahari inatisha nyie.🙌
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Год назад
Saana aisee
@yusuphmashallah3732
@yusuphmashallah3732 Год назад
Mwenyez mung ni mkubwa sana yan tuombe mung kila siku
@abuubaya7614
@abuubaya7614 Год назад
Tunamtaka dj Sma atuletee habari za wanetu wa ukrein bhana
@ZeraGeofrey
@ZeraGeofrey Год назад
Nenda youtube yuhoma tv
@koscienly6341
@koscienly6341 Год назад
No 1
@chibudangote0126
@chibudangote0126 Год назад
STORI KAMA HIZI NA MTIGA ABDALLAH ATATISHA SANA
@IshimweDangote-ib4lc
@IshimweDangote-ib4lc Год назад
Sauti imetulia hadi unaelewa makala😊😊😊
@severinaseverinanyoni707
@severinaseverinanyoni707 Год назад
Mm wote nawaogopa 😂samaki gan hao wanatisha kam shetani Ila Mwacheni. Mungu aitwe Mungu
@zainabmaulid9637
@zainabmaulid9637 Год назад
Wavuvi tujuane hapa %%
@mbwanangudede7973
@mbwanangudede7973 Год назад
Gud
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Год назад
Barery ndiyo anatisha jmn samaki wa ajabu🙄🙄kwa ujumla kunatisha sn baharini
@FistonDaniel-ps3cq
@FistonDaniel-ps3cq Год назад
niwatari sana
@26_DRAGON
@26_DRAGON Год назад
😀
@shoshifataki5825
@shoshifataki5825 Год назад
❤❤❤❤❤❤
@RajabuJean-z6f
@RajabuJean-z6f 26 дней назад
🎉🎉🎉
@jujujujuuu-zu7ez
@jujujujuuu-zu7ez Год назад
Dunia kuna vingi vya ajabu kweli Kama huyu black see davil
@user-dr8un4ng1v
@user-dr8un4ng1v Год назад
Ni maajab kwel
@AndrewPaul-wy6qq
@AndrewPaul-wy6qq Год назад
bundala✊
@abdallahmabula4612
@abdallahmabula4612 Год назад
Karibia wote wana macho makubwa
@fabianmdachi3560
@fabianmdachi3560 Год назад
Alafu bado darasani tunajifunza , mkia wa samaki😅😅
@ernesto801
@ernesto801 Год назад
Na ukuaji wa panzi😁🙄
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Год назад
👊✌👍.
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 2 месяца назад
Nilipitiwa nai
@mohdswahili7219
@mohdswahili7219 Год назад
samaki
@maxiellmillians9pl278
@maxiellmillians9pl278 Год назад
The first to comment is me
@brownie_dee8655
@brownie_dee8655 Год назад
Usikute hadi mermaids🧜 wapogo kweli huko baharini
@BMFURAHAKWANZA
@BMFURAHAKWANZA Год назад
Mh sasa hapa najiuliza kitu, hawa bionea wa nne na mtoto wao, INAMAANA hiki chombo kinacho shuka kilomita kumi na moja, awakukiona kweli? Hadi waparamie sabufa la mchina? Ama kweli nyani haoni kundule, wengine wanasema nyani kifo kikimfikia miti yote huteleza.
@ZeraGeofrey
@ZeraGeofrey Год назад
😂😂😂
@IshimweDangote-ib4lc
@IshimweDangote-ib4lc Год назад
Uyo wa tatu Zombie anatisha😢😢😢😢
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Год назад
Mariana Trench🙄🙄🙄
@onekisstv8412
@onekisstv8412 Год назад
Apo ndo alipoangukia shetani alipotupwa duniani
@user-ps7ej3ep4e
@user-ps7ej3ep4e Год назад
Tupe andiko
@humphreywamburatv
@humphreywamburatv Год назад
😮
@abdilahmohamed148
@abdilahmohamed148 Год назад
Nawakubali xn xn sns
@trendz_2548
@trendz_2548 Год назад
Ila satan anatisha sana
@Manyara-Jr
@Manyara-Jr Год назад
HUYO WAKWANZA NI PIRANHA
@ABEDMDOGO
@ABEDMDOGO Год назад
Huo ndiyo uwezo wa muumba
@Eliaommytz-
@Eliaommytz- Год назад
Sans❤️‍🩹❤️‍🩹❤️‍🩹
@dinosmack
@dinosmack Год назад
🎉🎉maua yaki hayo bwana sky...saut itasikilizika milele hii
Далее
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Просмотров 41 млн
НЕВОЗМОЖНЫЙ ЭКСПЕРИМЕНТ
00:39
Просмотров 63 тыс.
The Story Book : Usiyoyajua Kuhusu Jua
26:54
Просмотров 944 тыс.