Тёмный
No video :(

WAHAMIA CHADEMA WAKITOKEA CCM AFUNGUKA,VILIO VYATAWALA MWENYEKITI CHADEMA MKOA MBEYA AWAPOKEA 

IPINDA ONLINE TV
Подписаться 13 тыс.
Просмотров 12 тыс.
50% 1

IPINDA ONLINE TV.......Asante kwa kuchagua Ipinda online Tv.........Usisahau Kusubscribe Channel yetu

Опубликовано:

 

26 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 23   
@LassonDominick
@LassonDominick Месяц назад
CCM mubadilike tutawapoteza ohoooo😢
@user-vq3zu8ne9b
@user-vq3zu8ne9b Месяц назад
Pipooooziiii 🔥🔥🔥🔥
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 Месяц назад
HAKI HUINUA NCHI ❤❤❤
@IdrisaTuppa
@IdrisaTuppa Месяц назад
Jino Kwa Jino 2025✌️
@MussaSuleiman-ui9fy
@MussaSuleiman-ui9fy Месяц назад
Hao walioondoka ccm acha waondoke sisi hatuna shida nawananachama
@ElishaOisso
@ElishaOisso Месяц назад
Power🎉🎉🎉
@stevenkatani3047
@stevenkatani3047 Месяц назад
Kazi mnayo kila tawi kuno chuma ya mama kwa ajiri ya uxhindi ssh5 tena
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 Месяц назад
Chadema asante kwa kupokea hao wageni kutoka ccm ila tahadhali kuwa makini msijekupokea mamluki wakaja kurudisha juhudi za mapambano nyuma na kutoa siri za chama kwa hao majambazi wa ccm! Kuweni makini muwachunguze kwa umakini sana! Tunataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi! Ccm inatakiwa ianguke uchaguzi huu wananchi msirudie dhambi kuichagua ccm!
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Месяц назад
Chadema makamanda.❤
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 Месяц назад
WOKOVU NDO MMEUJUA SASA, INABIDI MBATIZWE LEO
@petermogha7025
@petermogha7025 Месяц назад
Hama hama baba ukapate maisha manzuri CDM mbeya hiyo
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 Месяц назад
💯👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk Месяц назад
Wanambeya mnajitambua mmekataa kufanywa watoto wadogo na hiki kikundi kidogo kinataka kututawala kama yatima
@JohnMalengua-jh6ps
@JohnMalengua-jh6ps Месяц назад
Jaribuni kuwachunguza wasiwe ni mamluki
@johakhimu.mgembe.3297
@johakhimu.mgembe.3297 Месяц назад
Tuwe tahadhari.,na mamluki.Japo wajeNguvu yaUmma. yawahitaji.
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza Месяц назад
Watambuweni wageni wanaweza wakapewa pesa wakatuvuruga bc wakati wa uchaguzi.kuweni macho
@valenakomba7686
@valenakomba7686 Месяц назад
Unapoteza muda hiyo ni kama kutwanga maji kwenye kinu. Labda waleteni wasimamixi wa kura kutoka nnje. La sivyo ccm itaendelea kuiba kura .
@monicamwita7865
@monicamwita7865 8 дней назад
Uko sàhihi. CCM wajanja sana
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo Месяц назад
Wezi wa kura na wabadhilifu wa rasili mali za umma kutawala nchi hii inawezeka bongo tu
@OdiloMagungu-uf5is
@OdiloMagungu-uf5is Месяц назад
Ccm ni majizi tu hakuna haki kule
@user-ig3bu6lb5i
@user-ig3bu6lb5i Месяц назад
Je awa nao wamenunuliwa na chadema?
@Maximillianchacha-fm9yi
@Maximillianchacha-fm9yi Месяц назад
😂😂😂😂😂😂
@user-vl4rz6lf6d
@user-vl4rz6lf6d Месяц назад
Ujinga mtupu nauona hapo
Далее