Kp Wewe ni kanumba namba mbili Nikiona vile una act sauti yako vile unasound like kanumba,,nafarijika Sana kwenye Sanaa yetu Tz Imeanza upya kazana sanaaa
Movie ni nzur Ila napenda nitoe ushaur likoma na suraji wanaekt Kama walivyoku a kwenye binti nyoka haipendez Suraj anatingisha kichwa nakutoa macho likoma nae anatingisha mikono Kama anawashwa wabadilike bhauna