Тёмный

''WANASEMA NAJENGA KWETU NI WIVU TU, NA BADO ETI SABABU MIMI NI MAKAMU WA RAIS'' 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

3 июл 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 27   
@zombazezu
@zombazezu Год назад
Kigoma ni mji wa kimkakati kuna Bandari inaunganisha nchi za Congo, Zambia na Burundi ni lazima Kigoma iendelee .
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 Год назад
Mimi Si Mwenyeji Wa Kigoma ila Nakupenda sana Kigoma Ardhi yake ni Nzuri na wenyeji wake ni wakarimu
@bellam.vyampi5528
@bellam.vyampi5528 11 месяцев назад
Hataa wakisema hakuna shidaa,,kwanii wao kwao sipalijengwa na sisi situlisubili,,cha msingii wakandalasii waachee mwendo wa kobe kwenye miradi ya selikarii kwanii wanatukwamishaa raia.🙏🙏🙏
@bellam.vyampi5528
@bellam.vyampi5528 11 месяцев назад
Kwenyee uwanja wa ndege,,selikarii ongezenii juhudii maanaa imekuwa ni gharama kubwa kutumia huu usafirii ambapo hata uwanja kuwa mdogo ni chanzo cha naauli kuwa juu sanaa.
@abdallahomary515
@abdallahomary515 Год назад
Piga kazi baba jenga kwenu baba huu ni wakati wenu kigoma pia ni Tanzania, pambana mkuu uking'okatu apo hawata kukumbuka tena uko
@GSELgodoni
@GSELgodoni Год назад
Kazi iendelee.
@ATHANASLUKEHA-ui7pq
@ATHANASLUKEHA-ui7pq 10 месяцев назад
Tunaishukuru Sana serikali pia uchapakazi wako.Lakini tumieni pia sekta binafsi kwenye mega projects zingine(miradi mikubwa).Maana Kigoma tuna changamoto nyingi,tupo nyuma Sana.
@khalfanmlala5093
@khalfanmlala5093 Год назад
Asante mzee wetu
@fadhilisulugutu
@fadhilisulugutu 10 месяцев назад
Kweli Mzee wa kazi
@audaxbizimana8084
@audaxbizimana8084 Год назад
Kigoma kwetu
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 11 месяцев назад
Hata mwendazake alijenga kwao,,,,
@francismadoshi8529
@francismadoshi8529 Год назад
Waha ni wengi kuliko wachagha,laikini mama wa sensa sababu ni mchagga ametangaza kuwa wachgga ni wengi kuliko waha! Kwa nini?
@zahakiosward1575
@zahakiosward1575 Год назад
Jenga kabisa hata mwenda wazimu hupeleka makopo kwake wee Acha waseme.
@ummya3996
@ummya3996 Год назад
Mbona marais wote wanajenga makwao walipozaliwa.ijenge kigoma kwani ilisahaulika
@francismadoshi8529
@francismadoshi8529 Год назад
Waha ni wengi kupita wachagga bwana!
@greaterjustin2231
@greaterjustin2231 Год назад
Hata hivyo kigoma iko nyuma sana kwa maendeleo mfano chato ni wilaya tu lkn barabara za mtaan zina rami kuliko kigoma ten kabla hata hawajapata Rais wakiwa na waziri, kwenye kipindi chake ajitaidi afanye mengi ikiwemo vyuo viwepo vingi mkoani kigoma
@FilbertKalembe-fy4oq
@FilbertKalembe-fy4oq 10 месяцев назад
Mkuu kandamiza kiha mgabho
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 10 месяцев назад
Chapa kazi makamu wetu wa raisi.hao wanaosema hivyo mbona kwao barabara nzuri za lami zipo.?mtandao wa barabara ni mpango wa nchi nzima.waache wapige kelele tu.
@SebastianVicent-pl7yx
@SebastianVicent-pl7yx Год назад
Mbona hii Barabara ya kasulu manyovu wakandalasi wameacha mlima mharulo vibaya magari yanashidwa kupanda tunawaomba towniload waje walekebishe
@edwardgwaspika4943
@edwardgwaspika4943 Год назад
Napita Tu.
@rovisonmashaija3198
@rovisonmashaija3198 Год назад
Hakuna anaye kuonea wivu ww Jenga ty ukipata chance itumie vzr cio unaondoka unakosa la kukumbukwa
@kalolinadaudi4038
@kalolinadaudi4038 Год назад
Jenga Kaka tunajivunia uwepo wako ,tulisahaulika Sana, Tena hakikisha mpaka vichochoro vina lami
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 6 месяцев назад
😂😂😂
@nuhuremezo-gl1lu
@nuhuremezo-gl1lu Год назад
wakwache mheshimia watu wenyeloombaa
@shefujosee617
@shefujosee617 Год назад
Nyumbani kwanza,kigoma sio kwetu ila wewe jenga tu ukitaka ata bahari ihamishie ukouko
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl Год назад
Jenga mbna makufuli alijenga chato na mwanza akuna mtu aliyopiga kelele
Далее
KIBU DENNIS ATOROKA NCHINI, ATIMKIA ULAYA JIONI HII
2:38