😮 SADAQTA SADAQTA SADAQTA . MWENYEZI MUNGU HAKUGHAFILIKA NA WATU WAOVU MADHALIM WAONGO WANAFIKI TAMAA HAKI KAILETA NA ATAILETA IN SHAA ALLAH AMEEN YA RABI ALLAMEEN IN SHAA ALLAH.
Jamani umoja umoja umoja umoja wa kitaifa na kijamiii viongozi waishi na viapo vyao kwa kutenda haki bila upendeleo Unguja na Pemba yote ni moja Allah atujaalie tuwe kitu kimoja na viongozi wetu wafanye uadilifu kwa watu wote
Dada yangu nimesha waambia viongoz wa Act wasipigishane kelele na majitu mabwege yanatamaa na dunia hayana tamaa na Akhera ni kusabiliwa kwa Allah Subhanahu Wataalah waarabu walisema Dun yaa masaalih ukitaka maslah ya duniani ukitukanwa utacheka kama hufahamu yanayosemwa hio ndio laana ya Mwenyezi Mungu
Hayo Nikawaida Sio Geni Hata Waliopita Maraisi Tena Wamesoma Hata Dini Na Waliwaita Wapemba Vijibwa Vya Santori Leo Wapo Mbele Yaki...Walifikiri Wataishi Maisha Katika Uwongozi Hawatatoka Na Hawatakufa Leo Wapo Chini Ya Ardhi..
Ni kweli kabisa brother ayo sio mambo ya Kuonesha km ume panic ni Sawa na kuoneshea weakness tu Kinachohitajika ni kumuomba Mungu tu kila kitu kiende kimpangilio na salama na Amani ipatikane kwa nusra ya Allah SubhannalLah WataalLah!
Kaka yangu nchi yetu ikiwa hukua muuwaji huwezi kua kiongozi kwa hio ni sawa na mchawi huwezi kuchaguliwa kua mchawi ila utoe muhanga usishangae hilo ndio imeshakua ada kwao
Kweli wapemba tunabaguliwa, mpaka ajira hatupewi wanatuletea watu wengine mbali , Sasa hawa viongoz wakuu wa Nchi wanatufanyia ubanguzi eti kwa sababu ya Upemba na Unguja. Mimi nawashauri wapemba wenzangu wote tuhamasishane ili tudai Kisiwa chetu. 😩😩😩!
Hivi mnabaguliwa vipi jamani Makamo wote 2 ni Wapemba, Mawaziri kadhaa ni Wapemba, Makatibu Wakuu kadhaa ni Wapemba, Wakurugenzi kadhaa ni Wapemba, Ma DC, Ma RC ni Wapemba. 55% ya Wafanyakazi wa SMZ wapo Wizara ya Elimu, viongozi wote wa ngazi za juu za Wizara hiyo ni Wapemba, Walimu walioko Pemba 99% ni Wapemba lakini waliopo Unguja 30% ni Wapemba. Kinachoendelea kinahitaji kupuuzwa ni kwa sababu ni siasa, hivi hamjamuona wala kuwasikia Jussa na Othman Masoud wakimbagua na kumtukana Rais matusi sio tu ya kisiasa bali ni ya nguoni. Suluhisho ni kugawana visiwa miafaka yote tumeshaimaliza. Tukumbuke Mapinduzi 1964 ndio yaliyoifanya Wapemba na Waunguja kuwa wamoja, kabla ya hapo Wapemba walikuwa Pemba na Waunguja Unguja hata vyama vya siasa havikutambua kuwa Pemba ni Zanzibar mfano ZPPP, Zanzibar and Pemba People's Party. Hakuna Mpemba mwenye miaka 45 ambae Wazee wake ni Unguja na Pemba. Tugawane visiwa! Tuacheni siasa.
maoni yako ni mazuri sana, ila kama huujui ubaguzi ulofanywa hapo nikua; huyu nadir kazungumza akiwa ni wazir na tena yumo ndani ya baraza la wawakilishi hii ina maana alikua anaisemea serikali,jussa na mh makamo wanapozungumza wapo kwenye chama wao hawaiwakilishi serikali bali ni chama,na mh othman anapokua serikalini hazungumzi maneno kama anayoyazungumza kwenye chama.si unamuona mazurui na omar said shaban wanapompongeza rais wakiwa ni mawazir.
@@hajihassan5433Wapeni kisiwa chao tu, wapumzike kupigwa nyakati za uchaguzi. Huo uchambuzi wa viongozi unaowataja hauna manufaa na wao ikiwa kuna siku watauawa ama kupata vilema wakati wa chaguzi, si faida. Hata Nelson Mandela aliwaambia makaburu, minyororo ya utumwa si mizuri hata kama imetengezwa kwa dhahabu. Mimi ni mtu wa Unguja, babu yangu wa 6 amezikwa Unguja, nafurahia wapemba wakipewa kisiwa chao wapumzike madhila ya watanganyika na kupigwa na kuuwa, kisa madaraka. Mtaenda kuchomwa nyie siku ikifika.
Nadir nakuonea huruma, inaonekana huwajui wapemba, sasa Nadir kumbuka waliwatukana na kuwadhalilisha wapemba sasa wapo wapi, Nadir kama hajui uliza waliopita waliotukana wapemba sasa wanadhalilika
Idrissa ni mcha mungu ameacha urais kwa sababu kaona siasa haiendani na ucha mungu kwaiyo chagueni mnataka act au mnataka mungu kama mnataka mungu achaneni na act hakuna mungu huko
Kwa ubaguz kma huu ilitupelekea wapemba tudai kisiwa Chetu tujitenge mbona hamukutupa mulitupiga vibaya mno sasa kma hamuwez kutukosa wachen ubaguz sisi hatuna shida kwenu ila nyinyi munajipendekeza ,
Wala haina haja ku panic ndugu yangu iko Siku na usimuoneshee adui yako km alikupiga jiwe likakupata kisawasawa na ukaumia kisawa sawa ukiwepo ktk uwanja wa Vita kua makini Sana nnalolisema ndugu yangu 🙏😊
Kunawatu sio fani yao siasa mnawachukua watu kutukanana ndani ya baraza mnaona nchiyenyewe inatoka katika migogoro ilifika wakati watu walikua hawazikani leo imetokea salama mnaanza tena chokochoko zanu tena komesheni fitina
Matusi na maneno ya kebehi ya Huyo Hamza Husaan na Nadir mkae mjuwe na kila anaowatetea hao wajuwa MMungu anawaona udhalim wenu na viburi vyenu Alysa Llah biahkamulihakimin
Tutakwenda kuziuza kenya karafuuu. Na wenye kuziuza karafuu (ZSTC) tusikubali hata gunia moja la karafuu kusafirishwa Unguja, njia pekee ni kuchoma motooo (🔥🔥🔥) maghala yote ya kuhifadhia karafuuu yote Pemba .
TATIZO KUBWA ACT NI KUTOWAJUWA WATU WA UNGUJA.WOTE WANOTUKANA WANATOKANA NA KILE KIZAZI CHA WAZEE WAO WALIOKUJA HAPA UNGUJA KUJA KUUA WATU KIPINDI CHA MAPINDUZI .KWAHIYO ILE CHUKI BADO INAENDELEYA WAKO WENGI HAO.WATU WENYE ASILI YA UNGUJA HAWAWEZI KUWATUKANA WAPEMBA KATU.KUWENI MAKINI HAO NI WAGENI TU HAPA.
Wafanyao hvy c waunguja hao ni wabara. Shirika ni njia c nchi Allah mwenyewe katuweka tofauti ila tupendane tusaidiane na tuheshimiane. Wanaliwa na chuki za kuona wapemba wapo kila mahali nacfa ni njema kabisa. CHOYO JUU YETU. IPO CKU TUTASHINDA!
Poleni Sana wapemba kwa kutokujua wapi msimame,mlikuwa cuf,Leo mko act kesho hatutoshangaa mkiwa ccm, wapemba mumepoteza msimamo na hii kujiunga na suk ilikuwa hakuna budi Maalimu ilibidi ameze matapishi yake na ilikuwa ajabu na uwendawazinu wa marehemu Maalimu useful kuingia katika suk huku akijua hakukua na uchaguzi alifanya vile kuibeba act nani asiyejua Maalimu alikataa suk akiwa nawabunge wa kutosha na wawakilishi wakutosha kwa hiyo hayo yanayowafika nimakosa yenu
munajidanganya 2 kwan ata awo viongz wenu pia ni ccm mtafte m1 2 kma upo nae alokua c o ccm ikiwa ata uyo malim seif alikua ccm tena awo wengne wanao zid kuwadanganya kwan nyinyi muna chama au muna kikundi cha kulma mua kma morogoro mtibwa
Kwani alichokiongoa uongo hamkai kwenu kweli mmejaa miji ya watu hata mkasema kwenye vyombo vya habari lkn ukweli umeshasemwa hamkai kwenu Pemba rudini Pemba mkajenge Pemba yenu ukweli unauma
Inategemea huyo muombaji msamaha kama ana tabia za wema. Kama alilelewa ktk khulka zile msipoteze Muda hatatibika. Anayoyaficha ktk nafsi yake ni makubwa zaidi. Tumshukuru sana Raisi Mwinyi pamoja na kuwa watu aina hiyo bila shaka wanamsumbua ama watamsumbua sana. Raisi kadri anavyopambana na chuki bado uchafu wa Mahasidi haumalizi. Ndio watu wanasema Kiongozi wa juu hana tatizo lolote, shida walio chini ni majanga matupu. Solution kwa vile zanzibar ni Nchi Ndogo basi ni afadhali mambo muhimu yote ayafanyie kazi yeye mwanzo_mwisho, Hapo maendeleo hayatarudishwa nyuma.
Kwa kuongea Sasa matabaka mkubwa yapo Zanzibar kwa jumla. Na hayasemeki lkn KUNA MATABAKA MAKUBWA TENA YA WAZI WAZI KABISA. UBAGUZI UPO NDANI KWA NDANI YA VISIWA KTK JAMII. HII NI HATARI KILA TUKISONGA MBELR
Yupo mchangiaji mmoja amefananisha wananchi na rais kwamba viongozì wa ACT wanamtumkana rais na kwa nini wapemba wasitukanwe. Kwanza akumbuke kwamba wananchi hawawezi kupanda majukwaani na kujibizana na kiongozi yoyote, lakini viongozi wanapowatukana wananchi wanawakosea sana. Hivyo tuwaache viongozi watukanane wenyewe kwa wenyewe, lakini si vyema kuwatukana wananchi kwani mwisho wa siku wanarudi kwetu kuja kuomba kura. Aidha kiongozi anapowatukana wananchi anamaanisha nini wakati hapo walipo kama si wananchi kuwapigia kura asingeweza kufika hapo alipo. Kwa maana nyengine wakumbuke katika suala la biashara mteja anakuwa mfalme na kwa hapa mwananchi anafananishwa mteja ambae ndie anaeitwa mfalme. Cha msingi hapa viongozi wetu waache dhana ya ubaguzi wa aina yoyote ile kwani hausaidii isipokuwa unaikandamiza nchi husika. Usishangae wale wote wanaowatukana wapemba wakawa wamekuja hapa zanzibar kwa mshindo wa beni na sio wazanzibari halisi wa baba na mama, sasa wanapata wapi nguvu ya kuwabagua wazanzibari tena walio kindakindaki
Kuna watu c wa kujibiwa coz hawana hoja Za kujjibiwa ni kuwapuuza tu sehhem km baraza la wawakilishi sio sehem ya kuongea mipasho ni pahhala kuongea. Massala ya wananchi na nchi
Haha Binadam asojuwa tafauti na matusi na kukosolewa basi hana haja ya kuishi ila MMungu hamuondowi mja muovu haraka anakuwekeni hai labda mtatanabahi mutake maghfira lakini wapi madahli wanaongwa na Christian church movement CCM huwa ukweli wenye ucha MMungu hawautaki Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah Waniimal Wakiil Hasbunallah inatosha
Lakini ninauhakika sikuhile mh SULEIMAN wa jimbo la ziwani hakuepo pale kama anglikuepo pamoja na kua yeye ni CCM lakini upuuzi hule aisngali ikubali hata siku moja
Hapa mumefanya la maana na tunawaunga mkono kwa asilimia mia moja. Lakini waulizeni je!! Wapemba tukiomba kujitenga kutokana na wanayotufanyia tutakuwa na kosa gani? Laiti hatuheshimu ndugu zetu wa Unguja ambao wanatuunga mkono basi maamuzi yetu yangalikuwa mwengine. Tafadhali waliopewa madaraka wakijuwa kuwa wao ni sehemu ya wageni Zanzibar waheshimu ugeni wao.
nyie wapemba ccm hawaingii mawaidha msijihangaishe bure subirini 2025 tuwang,oe kwa kura wakileta janja tutawaondoa wanavyotaka kuondoka lkn mara hii ni final ujingaujinga wa malalamiko sasa bass
Msituletee nyinyi kwenye mikutano yenu ya ACT muda wote mnamsema Rais Mwinyi leo amesema mtu mmoja wa CCM mikutano na Waandishi wa Habari kwa hiyo kumbe nyinyi mkiambiwa ukweli mnanuna basi nuneni na mtazidi kununa wala bado
Jibuni hoja, Mh. Nadir hajawatukana wapemba ila kaeleza ukweli kua musiseme uongo kama pemba hapafanywi maendeleo, mm mwenyewe mpemba na maendeleo nayaona, pemba ya leo sio ya jana, jibuni hoja msilete midahalo, pia unguja watu ni wengi na magari ni mengi mara 50 zaid ya pemba, hivyo miundombinu haiwez kua sawa!.
Yule ni mwanaharamu wa Kihindi!na la kushangaza ni kwamba ndani majumba yao wanao ndani ya majumba yao!kwa mfano huyo mwanaharamu Nadir ni hivi karibuni tu alimtafutia mke(Mpemba)na tujiulize mbona hakumtafutia mke Makunduchi au Matemwe?na shahidi ni huyo Spika kwani na yeye alihudhuria ktk tokeo hilo lililofanyika Mskiti wa Kiembesamaki!
Kuna watu hupenda kujitia hamnazo CCM hawatukanwi CCM ila wanatolewa makosa yao khasa katika ubadhirifu wa fedha na hilo linjulikana tusichanganye maji na tope
Allah Atawalipatu Hao mathwalimu wakubwa wameshazoea kula Mali za umma hususan Hao wanao tubaguwa wa pemba besa zetu zinawatia kiburi ila Maisha mafupi punzi zisiwahadae
Sasa jamani sisi tumesema kua wao wanakauli mbaya kwetu, mbona tena na sisi tunaasema kua yeye ni mbwa vp teeenaa sisi tueke hoja t wananchi watatuelewa
Nadir kajisahau kama yy ni chotara aliepinduliwa na kizazi chake kusambaratishwa anakunya Kwa mdomoni na kuongea Kwa mkunduni Kila anaposimama majukwaani
Asie kua na damu ya Africa hawezi kuacha tabia yake Muhindi ametok kwao akapata tonge ya bure si lazima atawatukana wapemba hana maumivu nao ingekua wapemba ni mabohora asingeli toa mneno machafu kama hayo na wapemba baadhi yao wakafurahia hilo jee hao ni wazima kiafia?
@@jumaseifjuma4185 Kwa hivyo pale majukwaani Kina Jusa wakimtukana matusi Raisi Yale hayaitwi matusi au ,mnaachiwa tu msije mkaleta fyokofyoko maana hamkawii nyinyi ndio kama hapo kidogo tu mshaanza kuleta maneno maneno hahahha tukutane 2025 InshaAllah
@@R10_Rajab Raisi ni mtu anayeongoza nchi na pia anapofanya kosa ni wajinu wa wananchi kumkosowa lakini hakuna mtu yoyote aliyesema waunguja au wamkulanga. Bahati mbaya Nadir kataja wapemba na nadhani hakuwa na nia mbaya lakini ulimi hauna mfupa na bora kujikwaa dole kuliko ulimi. Mbona Nadir ana marafiki wengi wapemba
Namkumbuka maalim seif alikua akituambia kua kuchokozwa, tutachokozwa laaakini laakini tusichokozekeee wakatutoa kwenyw mstari maana safari yetu ya MAMLAKA KAMILI inatia nanga hivi karibuni, Aliyasema hayo akiwa katika kongamano lake maalim nakufungua koongamano lake