Тёмный

Warembo MAPACHA wauza BIRIANI watakufurahisha, Tofauti ya Umri wao ni DAKIKA 20, Wapeana MAKAVU LIVE 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 49 тыс.
50% 1

#twins

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 145   
@missmoona4497
@missmoona4497 3 года назад
Maaashallah jmn nina mapacha wangu wakiume na wakike, wakike anaitwa shariffa na wakiume ni shariffu, namkubwa ni wakiume shariffu mdogo shariffa nawapenda sana mapacha wangu wallah😘😘😘😘😘😘😘😘😘
@asiakinia9344
@asiakinia9344 3 года назад
Mashallah nimewapenda Sana Allah anijaalie nmm mapacha nawapenda Sanaa, 😍😍😂😂😂😂
@rukiaali2768
@rukiaali2768 3 года назад
Mashallah .mungu anijaalie na mm .mapach wa mfuko .mmoja. amiin
@RynlizzyTheBoss
@RynlizzyTheBoss 3 года назад
Wow tumesoma nao Filbert...ni wanajua kudance Sanaa. Sijui kwanini wamekiacha icho kipaji Chao. Coz walikuwa wanajulikana kwa kudance kwao. Wangefika Sana mbali endapo wangeendelea. Love you
@davidkasala5727
@davidkasala5727 3 года назад
They are so pretty
@everlineeverline105
@everlineeverline105 3 года назад
Nimewapenda hao mapacha.intelligence na honesty.
@abdul-rahmanahmed2791
@abdul-rahmanahmed2791 3 года назад
Jaman eh Leo liwalo na liwe nimewahi mwanzo bas naomb japo hzo like zenu😲
@eliasjuma4353
@eliasjuma4353 3 года назад
Sijawai kula biriani ntakapokuja dar ntafika apo mikocheni insha allah I’m fro 🇺🇸
@zaituniomar3361
@zaituniomar3361 3 года назад
Ila kulwa ni muongeaji sana mashaallah
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 3 года назад
Mash'a'ALLAH.. Safia 😍 Ahhhhh Shareefah 😍 Daah Kwakweli Nimechanganyikiwa 😣 Ila utofouti niliouona Shareefah yuko na sura flani ya hasira hivi kwa mbaalii.. Safia yuko na tabasam wakati wote.. I noticed that thing..
@fedricklubigisa139
@fedricklubigisa139 3 года назад
🤔🤔 mm hata sioni tofauti naona kama wanasmile the same
@Mariah_1293
@Mariah_1293 3 года назад
Safia kapole sharifa kidogo muongeaji sema ni warembo sana
@aishaibrahim5138
@aishaibrahim5138 3 года назад
So lovely,...nimewapenda❣️
@zuriathkajwangya1724
@zuriathkajwangya1724 3 года назад
They are beautiful MashaAllah
@fatumasaidi7220
@fatumasaidi7220 3 года назад
MashAllah ❤️ Na mm tumezaliwa pacha mm ni doto Ila kulwa amefariki😭nafurah Sana nikiona mapacha Allah anijaalie nipate pacha na mm InshaaAllah
@scolardavidabubakar6069
@scolardavidabubakar6069 3 года назад
Warembo sanaaaaaaa 💕👌
@fatmakhalid584
@fatmakhalid584 3 года назад
Mashallah wangu wamepishana na dakika kumi
@fatumahamad6543
@fatumahamad6543 3 года назад
Masha Allah safia anaonekana mpoleee
@shrefa123moosa7
@shrefa123moosa7 2 года назад
Mashaallah wajina😍
@dbsoley9733
@dbsoley9733 3 года назад
Wanapendeza wakiwa pamoja Mashallah
@emmiesulee4620
@emmiesulee4620 3 года назад
Kulwa anajiongeza rangi Nmempenda doto often smiling
@latifagiliad7785
@latifagiliad7785 3 года назад
Pengine uliwazaa dia
@rgouz2056
@rgouz2056 3 года назад
Nimempenda she seems to be very intelligent.
@yusrasalum
@yusrasalum Год назад
Mungu awajalie kwenye biashara yenu
@geeva99
@geeva99 3 года назад
Kumbe kulwa hapendi kutoka toka out, safi sana
@davidngonyani4923
@davidngonyani4923 3 года назад
Ok nimewapata vizuri wandugu zangu nikupambana tu Mungu nimwema
@khimfarawaytz6910
@khimfarawaytz6910 3 года назад
Mashaallah niwacheshii mpaka raha
@damasabinalis7471
@damasabinalis7471 3 года назад
Wazur sana,,,nimewapenda
@salhamrishoaish9292
@salhamrishoaish9292 3 года назад
Wangoni kama wangoni😘😘😘
@zainabchatta6046
@zainabchatta6046 3 года назад
Kama wewe Tim songea gonga like hapa🤞🤞🤞
@estherhaule8660
@estherhaule8660 3 года назад
Yes!!yaaa!!!!yeesyyy...yessyy hahaaaa...hongereni....
@ayoubsuleiman3675
@ayoubsuleiman3675 3 года назад
Hahahaaaa kweli yanafanana bwn mungu wng nijaalie name siku moja nikiwa na mke nipate mapacha wa kufanana inshallah
@leylaiddy5815
@leylaiddy5815 3 года назад
Njoo nkugawie mapachawangu
@marymfugwa847
@marymfugwa847 3 года назад
Siyo kila kitu wanafanana bhana kuna vingine ni siri huwezi kuvijua.
@Felix-sc8ku
@Felix-sc8ku 3 года назад
Safia bana , 😍.
@zuleajuma7297
@zuleajuma7297 3 года назад
wanatofauti bana dotto ni muweusi kulwa mweup
@aishaaisha1495
@aishaaisha1495 3 года назад
Umeonaee watofautiana
@habibasallah8139
@habibasallah8139 3 года назад
Mashaallah
@fedricklubigisa139
@fedricklubigisa139 3 года назад
Utamu wa Biriani ni Chuzi lake,, nimeinote hiyo💪💪
@hawa4968
@hawa4968 3 года назад
Ndio tena upate na nyama iliyokuwa haijalala aaaaaa
@fedricklubigisa139
@fedricklubigisa139 3 года назад
@@hawa4968 Ahaaa sawasawa kabisa
@hannansdeliciousfood4261
@hannansdeliciousfood4261 3 года назад
Wallah ni kweli...ukiunguza kitunguu umekwenda na maji ....
@maryamhaji6804
@maryamhaji6804 3 года назад
Hongereni
@d.m453
@d.m453 3 года назад
Doto si muongeaji sana,kulwa mmh! cherehani
@shedy_marie
@shedy_marie 3 года назад
Mungu nipatie namimi mapacha
@Papi.Al.Pacino
@Papi.Al.Pacino 3 года назад
Hiyo BIRIANI ndo imenileta hapa ,,,,,😂😂😂😂
@sophiakasim5153
@sophiakasim5153 3 года назад
Kwa kweli hata mimi ila kilichoongelewa cheusiiiiii
@fatwimabintathmanbinthawa8155
@fatwimabintathmanbinthawa8155 3 года назад
🤣🤣🤣🤣
@rosenalucas1906
@rosenalucas1906 3 года назад
sijui kwanini kurwa huwa hawavutiwi na kusoma kabisa lakni ni wabunifu kwny kutafuta hela hata mm ni pacha wa kike tena kwetu tumezaliwa mara mbili wa kiume na wakike alafu kurwa wenzetu shule hawavutiwi kabisaa ila ni wabunifu kwenye kutafuta so sishangai hilo ni kawaidaa tu
@shadyashaaban6757
@shadyashaaban6757 3 года назад
Co wote mm pia ni pacha lakini kulwa wangu kasoma mpaka chuka kamalza mm doi niliona madaftar mazto hahahahahahaa
@FatimaFatima-wk1jk
@FatimaFatima-wk1jk 3 года назад
Tofauti nirangi mmoja anang'aa Sana mmoja kidogo amefifia
@angelazizi4831
@angelazizi4831 3 года назад
Mambo ya lotion hayoooo
@chainbre275
@chainbre275 3 года назад
Hawafanani snaaaaaaaaa kivile Hawa Ni rahisi kuwatofautisha
@shadyashaaban6757
@shadyashaaban6757 3 года назад
Ndio mmoja huwa anasura pana mwngne nyembamba halaf ndefuuu
@mrambadiana9678
@mrambadiana9678 3 года назад
They are cutes adi rahaaa
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 3 года назад
V. Money njoo uwaone wadogo zako huku.😍😍😍
@angelazizi4831
@angelazizi4831 3 года назад
Umeonaaeeeeeeeeeeee 😘😘😘😘😘
@emilianaemmanuel1949
@emilianaemmanuel1949 3 года назад
Yaaaniiiiiii wanamfanania hadi kuongea
@KidotiTwiga
@KidotiTwiga 3 года назад
Wazuri mashallaah
@fatmamaulidi5862
@fatmamaulidi5862 3 года назад
Doto mwezangu punga
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 3 года назад
Nmemtaman mmoja wacha nitafute hela bebez jiandaeni ntawatafuna mmoja baada ya mwingine
@ingabireshakira9631
@ingabireshakira9631 3 года назад
😂😂😂😂
@dashuusaalim1943
@dashuusaalim1943 3 года назад
Barkiwa
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 3 года назад
Dashuu Saalim asante
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 3 года назад
Saut km Vanessa mdey kiasi km zinafanana 💕💕😂👌
@peninahwambui3867
@peninahwambui3867 3 года назад
Yeah yeah
@frankngoloka2589
@frankngoloka2589 3 года назад
Kulwa anaongea sana kuliko mwenzio
@dodofabian3756
@dodofabian3756 3 года назад
Tulikuwa pamoja nahao mapacha ila la nibasitu,,please ningeomba unitumie namba zao ao dada zangu ili nikija uko tz nipate chakula nao,,naongeya ukweli naomba namba, naitwa juma Omar nipo apa USA
@hopechidera
@hopechidera 3 года назад
Wanafanana Vanessa Mdee saana👁👁
@linahsemindu9575
@linahsemindu9575 3 года назад
Sanq
@loner_wolf
@loner_wolf 3 года назад
Dotto huwaga kihelehele na anaongea sana kuliko kulwa..... Sasa hawa sjui walikosea kujua yupi wakwanza na wapili.....
@lukundolucas8403
@lukundolucas8403 3 года назад
Kabisa m nanona hawa waliwachanganya safia atakuwa ndo kulwa halafu sharifa ni doto
@seifking7581
@seifking7581 3 года назад
Wanakipajikikubwasanaa hao utangazaji na muziki
@Richesfam
@Richesfam 3 года назад
What are their Instagram names
@eziadaniel8269
@eziadaniel8269 3 года назад
Naomba no yenu ya simu
@RAUNATION
@RAUNATION 3 года назад
Moja mweupe sana afu mbona kulwa jamani anaongea kama chelehani yani wakina kulwa bwana ukubwa kachukia yeye kuongea aneongea yeye hampo nafasi dogo aonge😂😂
@angelazizi4831
@angelazizi4831 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣ndo tulivyo makurwa
@RAUNATION
@RAUNATION 3 года назад
@@angelazizi4831 anaongea sana jmm 😂😂😂
@afyananurath9645
@afyananurath9645 3 года назад
TIBA BORA KWA MWANAMKE MKOMBOZI KWA MWANAMKE: HII ni Tiba bora iliyo tengenezwa kwa teknolojia bora ulimwenguni kwa ajiri ya afya ya mwanamke. Afya ya wanawake daima inaingiliana na maisha ya kisasa wanawake wanakutana na aina nyingi za matatizo kwa kipindi kizima cha maisha yao, kwa mfano mzunguko wa hedhi usio was kawaida,maumivu wakati wa hedhi, kutokwa na uchafu mweupe,harufu mbaya,miwasho, maumivu wakati wa kukojoa, kutoka damu wakati wa tendo la ndoa. Ikiwa hizi dalili hazikutibiwa vyema na kwa muda maalumu, itasababisha matatizo makubwa sana ya kiafia. Kila mwaka takribani visa 490,000 vya saratani ya shingo ya kizazi vinaripotiwa.. watu 240,000 hufa kutokana na saratani ya kizazi. Hii ndio chaguo sahihi kwa magonjwa ya uke bidhaa yenye kuleta ulinzi kwa afya ya mwanamke na kumweka salama kabisa.Tiba inamchanganyiko wa aina nyingi ya madini na Vitamin kama (amino acid, trace element, multiple vitamin) Inasaidia kuweka afya bora ya uke na kuondoa matatizo yatakayo pelekea kuzorota kwa afya yao kwa ujumla.Nibidhaa ambayo hukinga na kutibu afya ya mfumo wa uzazi wa mwanamke na pia kukupa faraja ahueni. 0657960657 KAZI NA FAIDA ZA KUTUMIA TIBA HII: √ huweka maeneo ya siri safi na salama. √ hutibu na kukinga maradhi ya maeneo ya sili. √ inaondoa maji maji machafu harufu na miwasho. √ Husaidia kutibu na kukinga dhidi ya maradhi ya njia ya mkojo UTI sugu. √ Hutengeneza sisima / lubricant asilia. √ huzuia kusinyaa kwa misuli ya uke. √ hurudisha uke katika ujana na kumfanya mume afurahie tendon la ndoa. √ Ni nzuri kwa matibabu ya PID √ inakinga vijidudu vinavyo sababisha upele kwenye nywele hasa sehemu za siri. √ husaidia kusafisha na kuzibua mirija ya uzazi. √ kuua bacteria wanao sababisha STDs. √ huondoa kuwaka moto ukeni na inasaidia kutuliza joto kali pamoja na kuzuia bacteria,fungus na matatizo mengineyo. Tumia Siku 7 hadi 10 kwa matibabu. Viambata; Rejuvenating Minerals Natural essential oil from plant Multiple Vitamins Amino Acid Vegetable anti-oxidant Kwa mahitaji ya bidhaa hii naomba tuwasiliane kwa namba hizi; WhatsApp, Email karibu sana kwa wateja wa Daresalaam tuta kusogezea ulipo, mikoa mingine utasafirishiwa kwa busi utachangia usafiri Piga au WhatsApp 0657960657
@aminaabdallah3644
@aminaabdallah3644 3 года назад
Wamefanana mashallah ♥ ila sisi wala hatujafana
@latiphasadick49
@latiphasadick49 3 года назад
mungu awabark
@mehdibaby1621
@mehdibaby1621 3 года назад
mashaallah wanafanana Sana🥰🇧🇮
@sniper93999
@sniper93999 2 года назад
Madaftari mazito hahahahahahahahhaha
@pachapachizo9985
@pachapachizo9985 3 года назад
Big up
@salamayusuph1238
@salamayusuph1238 3 года назад
Jaman walinisumbua Hawa warembo walivyokuwa wanavaa kulikuwa na kiugomvi kidogo nikawambia nyie midoli tulieni
@annastaziajakobokwaslema2001
@annastaziajakobokwaslema2001 3 года назад
Ahahhahhahaha
@happysurvivor5980
@happysurvivor5980 3 года назад
Wangoni andeeee
@gonggongo2140
@gonggongo2140 3 года назад
Ai wangoni hapana
@massoudmassoud
@massoudmassoud 3 года назад
SnS = Sharifa na Safia 😂😂😂
@fedricklubigisa139
@fedricklubigisa139 3 года назад
😃😃
@florencembithe2244
@florencembithe2244 3 года назад
😅😅😅🤣🤣
@jojoskitchen1210
@jojoskitchen1210 3 года назад
😅😅
@hassanhancha1413
@hassanhancha1413 3 года назад
big thinking😂😂😂😂
@ingabireshakira9631
@ingabireshakira9631 3 года назад
Aki we chizi nimecheka kwa sauti😂😂
@hellenrichard6528
@hellenrichard6528 3 года назад
Mapacha warembo
@noreengasper813
@noreengasper813 3 года назад
Warembooooo
@gracekaniki789
@gracekaniki789 3 года назад
Kulwa anaongea sana
@timboxlee919
@timboxlee919 3 года назад
Hongereni kwa kupika biriani, nitakuja kula
@neemazephania2991
@neemazephania2991 3 года назад
Oooh 😍 kurwaaa mipia saba lunch time
@rosearivitsa6187
@rosearivitsa6187 3 года назад
Wanafuraisha sana
@meshackkiyabo704
@meshackkiyabo704 3 года назад
Kulwa ni mcharuko kinoma
@zakyahya4645
@zakyahya4645 3 года назад
Tofauti ni sharifa mcheshi sana safia mtu wa ngum sana 😂😂😂
@rahmahassan7510
@rahmahassan7510 3 года назад
Zak Yahya nakuona
@zakyahya4645
@zakyahya4645 3 года назад
@@rahmahassan7510 😂😂😂😂tunavo kutana sasa
@josephinepatrick6026
@josephinepatrick6026 3 года назад
Wakunyumba wenzang....
@janatahmad7048
@janatahmad7048 3 года назад
😁😁raha san
@meshackkiyabo704
@meshackkiyabo704 3 года назад
SNS maana yake sharifa na safia
@khairathussein7562
@khairathussein7562 3 года назад
Jmn nimewapenda c pia mapacha tunafanana km nyie
@nunuuali5316
@nunuuali5316 3 года назад
Safia uso wake mpana kidogo alafu hajachangamka kama Sharifa. Yaani ukitulia unaona hio tofuati
@officialsophy6622
@officialsophy6622 3 года назад
Kweli kulwa anaongea
@shadyashaaban6757
@shadyashaaban6757 3 года назад
Sasa mm kulwa wangu mpore halfu msomi haahhaa
@linahsemindu9575
@linahsemindu9575 3 года назад
Kina kulwa hawanaga mwili🙄😄😝
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 3 года назад
😘🥰🇨🇭
@thisisuchi
@thisisuchi 3 года назад
Amina unakaa wapy Swiss mm niko Bern
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 3 года назад
@@thisisuchi St.gallen
@thisisuchi
@thisisuchi 3 года назад
@@aminanamoyo83 vizuri
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 3 года назад
@@thisisuchi 👍
@rehemamasoud3687
@rehemamasoud3687 3 года назад
Ila sharifa ni mpole huyu doto mjuaji
@faridaabdallah7424
@faridaabdallah7424 3 года назад
Ndo inavyokuaga madoto mapepe
@ingabireshakira9631
@ingabireshakira9631 3 года назад
We mwenyew wamekuchanganya😂😂
@husnatgamaah1335
@husnatgamaah1335 3 года назад
Hadi hapo wameshakuchanganya tayari, sharifa ndo huyo muongeaji sana😁😁😁
@neemazephania2991
@neemazephania2991 3 года назад
Jamaniii mimi pia ni kurwa .Nawapenda sanaa. Nipo dar Bunju nitawatafuta .ninaudada sanaa pia ilo ni tatizooo.ila pia hata mie sipendi esabu we unaigaa
@ilumohamed246
@ilumohamed246 3 года назад
I like sofia soo intelligent na mpole a na hekma
@assoum_N
@assoum_N 3 года назад
Eti lile chuzi zito😂😂😂
@loner_wolf
@loner_wolf 3 года назад
Hawa huku wengne ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-zPODzVb-Myg.html
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 3 года назад
kwa zanzibar anaejua kupika biriani ni mdogo wng asmourmakullat yaani huyu biriani akikupikia utakula dishi lote yaani anajua mn upishi ni mkono wako na asmourmakullat mkono kaajaliwa mn wa2 wengine wengi wana mikono wanapika lkn vyakula havina ladha
@ayshakayeko2043
@ayshakayeko2043 3 года назад
Matangazo ya biashara
@zaytunhijja6771
@zaytunhijja6771 3 года назад
Itakuwa hawajuw kupika ila chakula ukikiunga kinaungika na ladha tamu
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 3 года назад
@@ayshakayeko2043 hahahaha
@mariamkasembe8559
@mariamkasembe8559 3 года назад
Karibini mtwara kuna mapacha wamefanana sana hadi mama yao hawezi kiwatofautisha wanaitwa asia na arafa
@nassirsuleiman7156
@nassirsuleiman7156 3 года назад
@@mariamkasembe8559 mmm mbn wap wngi t sema t kil mt anamsifia MTU wak jarb kutmbea utaon
@clevermngao7565
@clevermngao7565 3 года назад
Tofauti Doto ni muongeaji Sana kuliko kulwa!
@aminamohamedy8466
@aminamohamedy8466 3 года назад
Clever Mngao kulwa ndo anaongea sana ni huy mwenye bluu
@clevermngao7565
@clevermngao7565 3 года назад
@@aminamohamedy8466 Kweli!
@monalisalebasoto2538
@monalisalebasoto2538 3 года назад
Live n kulwa
@esperancakombat7797
@esperancakombat7797 3 года назад
Kulwa ndo muongeaji hapa
Далее
MAPACHA WENYE DREAD WAWACHANGANYA JUDGES
5:51
Просмотров 525 тыс.
Kutana na Mama Mariam Nabatanzi  mwenye watoto 44
5:40
YAFAHAMU MENO BANDIA
4:11
Просмотров 4,9 тыс.