Тёмный

WATOTO WAWILI WA MSELE ANAYEDAIWA KUUAWA NA MKE WAKE WALIVYOFIKA MAHAKAMANI KWENYE KESI YA MAMA YAO 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 68 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 235   
@ShemsaKiobya
@ShemsaKiobya 4 месяца назад
Ni huzuni kweli familia iliyokuwa na furaha Leo imekuwa mtihani, mi naumia Kwa ajili ya watoto
@AdmAlhinai
@AdmAlhinai 4 месяца назад
Kabisa
@fifo262
@fifo262 4 месяца назад
Watoto ndio watakaoteseka hapo , mungu awasimamie
@vero57
@vero57 4 месяца назад
Hii ni ngumu mnooo, watoto wanatia huruma sanaa!! Poleni sana watoto, kwa dunia ya sasa ingekua mimi naishi vizuri, nyumba nzuri watoto 6 , pesa ipo wala nisinge angaika kubisha na mwanaume, nafanya shughuli zangu tuu, sana sana ninge mwambia tuu awe carefully asije leta marazi kwishaa, ushauri tuu .
@VeronicaSteven-of1qe
@VeronicaSteven-of1qe 4 месяца назад
Umeona eee yaan namuambia tuu baba usiniletee maradhi Maisha yangu yanaenda
@eveliynejoseph7944
@eveliynejoseph7944 4 месяца назад
Yaan hasira hasara una muua mume na wewe unaozea Jela,kwa. Nini unatesa watoto sawa inaumiza mumeo kuwa na mtu mwingine lakini ungefikiria watoto wako kwanza
@AishFadh
@AishFadh 3 месяца назад
Umeongea kwa uchungu kipenz wanaume wameumbiwa kuto kuridhika
@JosephineMegora
@JosephineMegora 3 месяца назад
Kabsa
@christopherjoseph9981
@christopherjoseph9981 4 месяца назад
Millard ayo hapa umemchemka!sio sahihi kabisaa kuwaonyesha watoto hvi!unajua madhara yatakayowapata hawa watoto kisaikolojia??sio sawa Fuateni maadili ya utangazaji
@mcback4384
@mcback4384 4 месяца назад
Watoto hawahusiki kwa namna yoyote na chochote kwa hiyo hakuna mathara yoyote ya wao kuonekana, mbona hawakufunikwa sura walipokua msibani
@samochristopherroche9953
@samochristopherroche9953 4 месяца назад
Kwani kuna madhara gani???hao sio watoto tyr washakuwa wadada
@chrissg4026
@chrissg4026 4 месяца назад
Hawa siyo watoto tena! Wanaonekana washakuwa watu wazima kabisa! Madhara waliyoyapata kisaikolojia kwa kifo cha baba yao tayari ni makubwa kuliko kuonekana kwenye kamera!
@timotheoyohana3623
@timotheoyohana3623 4 месяца назад
Inaumiza sana aisee wana uchungu wa baba kufa pia wanauchungu wa mama anaishia jela😢😢so sad Tu jifunze kuzuia hasira zetu jamani.
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 4 месяца назад
Masikini daah😭😭😭😭😭
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa 4 месяца назад
Yaan huyoo mama angenieleza vzr baba yangu amempeleka wapi ,
@ruthhamisi2902
@ruthhamisi2902 4 месяца назад
Hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu
@mwitaagness455
@mwitaagness455 4 месяца назад
Nyamazeni, hizi nyumba ndogo ni balaa, omba Mungu akupe hekima yalikukuta
@omanoman2044
@omanoman2044 4 месяца назад
Kabsa wanawake tuache tabia hizi wanaume ndo walivyo ubwa hawawez kubaki na mwanamke mmoja au lbda alikuw nakilele ndan hatujui
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 4 месяца назад
Hasira hasala jmn tujifunze kuzuia hasira zetu ona watoto hawa watabaki na nanani
@fidesbernard4835
@fidesbernard4835 4 месяца назад
Mimi siuwi jamani.Mume wangu amezaa nimejua juzi mtoto yuko kidato cha nne, Inauma sana sana tu.
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 4 месяца назад
@@fidesbernard4835 pole Sana dear
@rose_Winchester86
@rose_Winchester86 4 месяца назад
​@@fidesbernard4835pole kuwa mvumilivu
@fidesbernard4835
@fidesbernard4835 4 месяца назад
@@rose_Winchester86 asante
@GetrudeRashid-be8bs
@GetrudeRashid-be8bs 4 месяца назад
Mume anauma jmn,,hata yy hakujua kama atamuuwa,,hamuwez kujua alikuwa anapitia changamot gan ktk ndoa,,nadhan watu tujifunze ss,kukotroo HSR,😢😢😢
@Dafrosa-ch7yj
@Dafrosa-ch7yj 3 месяца назад
Khaaa kama anauma ndio uache watoto yatima?
@edakilibika5935
@edakilibika5935 4 месяца назад
Huyo mam atakuna kuachiwa tu alee watoto wake
@AishaSalaga-rv7sb
@AishaSalaga-rv7sb 4 месяца назад
Toa picha ya watoto wenzao wakiwaona watawahuzunisha zaid
@BimHamdi
@BimHamdi 4 месяца назад
Hoja yako haina mshiko kwani kuna mtoto anaeruhusiwa kutumia mtandao??
@severamunishi1253
@severamunishi1253 4 месяца назад
Kama hawaruhusiwi mbona wachukuliwe ?
@daudinicodemo
@daudinicodemo 3 месяца назад
Dada angu Beatrice 😢😢😢Nini kimekukuta Sister Daaah nipo mbali cha ajabu nakutana na hii habari Sijaamini walahi 😢😢😢 Shetani mbaya sana
@neemareuben311
@neemareuben311 4 месяца назад
Hii familia ya upande wa Mareham wana upoja sanaaa nimeipendaaaa sanaaaa kwakwel
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 4 месяца назад
Hawa watoto Mungu awaondolee maumivu maana duh wanapitia zaidi ya kupitia
@SuzanPeter-gk5qm
@SuzanPeter-gk5qm 3 месяца назад
Wanawake wenzangu ukishakuwa na watoto wape nafasi ya kwanza kwenye maisha yako kwanza umeshamwona mwenzio kashazaa mpaka nje Mungu amekubariki uzao mwingi watoto sita jamani si ndo wanakufariji sasa ona unawasababishia watoto uyatima usio wa lazima la kwanza hilo la pili mme akishakuwa na mwanamke wa nje mambi yanakuwa mengi wakati mwingine tunaweza kusema kaua huyo mama kimazingaombwe tu kumbe muuaji ndo huyo anayetetewa kuwa alikuwa mke siyo kimada kiulimwengu uleeeeeeee tusimame na Mungu ndugu zangu na tuwafikirie watoto wetu hafu vingene ndo vinafuata dunia tuliyo nayo siyo.
@infodigtechforcommunityemp4103
@infodigtechforcommunityemp4103 4 месяца назад
Hao wanajua maisha halisi ya Wazazi wao wanamtaka mama yao
@MagdalenaLyimo-vw4ns
@MagdalenaLyimo-vw4ns 4 месяца назад
Unaakili sanaa
@suzanalameck4897
@suzanalameck4897 4 месяца назад
Hata mimi nasimama na Beatrice yaani simhukumu...sitaki kushikwa akili na mawazo ya wengine...hatujui alikuwa anapitia maumivu gani ndoani...michepuko mingi ni michawi na mishirikina...inaharibugi amani ya ndoa...Siipendi kama ile dawa ya kutibu KASWENDE
@JUDITHMGAYA
@JUDITHMGAYA 3 месяца назад
​@@suzanalameck4897kabisa
@CatherineHassan-z1p
@CatherineHassan-z1p 3 месяца назад
Ahsanteeeee kwa comment nzuri yenye mtazamo wa ndanii siyo juu juu tu​@@suzanalameck4897
@marymanoni5536
@marymanoni5536 4 месяца назад
Poleni mama. Yenu atatoka ameuwa bila kukusudia
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 4 месяца назад
Kuua bila kukusudia haipo hivyo, yaani uchukue kisu, uingie kwenye gari, usafiri umbali wa mita kadhaa, ushuke kwenye gari na kisu hujakisahau, uende na utende kabisa jambo lako, huko sio kuua bila kukusudia huku kunaitwa kupanga mauaji na kuyatimiza, ingekuwa aliwakuta chumbani kwake na akakimbilia jikoni kuchukua kisu hii ingekuwa bila kukusudia, so huyo lazima aende jela la sivyo awe na pesa za kutosha kuhonga
@barakastephano8889
@barakastephano8889 4 месяца назад
Macameraman muwe mnajiongeza jamani.. kwani ni lazima muwarecord na mnaona wanapata shida na camera yenu. Msijali sana RU-vid channel zenu mkasahau hisia za watu. Sio kwenye kila tukio watu watafurahi camera ziwaelekee
@R10_Rajab
@R10_Rajab 4 месяца назад
Mwamba wacha warecodiwe tu tuwaone twins kisha wapo MashaAllah Nyuma chura Mambo yetu hahha ila wawe pole warembo......
@nicasiasemakafu1382
@nicasiasemakafu1382 4 месяца назад
Kukosa weledi kabisa
@barakastephano8889
@barakastephano8889 4 месяца назад
@@R10_Rajab it's your opinion bro
@saidhassan4288
@saidhassan4288 4 месяца назад
​@@R10_Rajabwe kweli msinzia, akili kiduchu
@R10_Rajab
@R10_Rajab 4 месяца назад
@@barakastephano8889 Yes hivyo hivyo
@LabaniAkyoo
@LabaniAkyoo 3 месяца назад
Hasira hasara ,kabla ya kutenda fikiria kwanza, ona sasa angeomba Mungu mumewe angeweza kubadilika
@MaryHassan-vd9vu
@MaryHassan-vd9vu 4 месяца назад
Manaume aziniye na mwanamke hana akiri kabisaa afanya kosa litakalomwangamiza nafs yake nyie watu tuishini kwenye maandiko ona sasa watoto wanabaki na sintofahamu shetan yupo very ittelligent akivuruga wazaz amevuruga familia na anawinda hatma za watoto azivurugee inahuzunisha raha ya siku moja inakugharimu miaka kendaaa😢
@israelmkaka2807
@israelmkaka2807 4 месяца назад
Sasa Kwanini Mwanamke aliamua Kumuua,,
@venancemwarabu7168
@venancemwarabu7168 4 месяца назад
Mbona hakuna sehen inayoonyesha kuwa mwanaume alichepuka. Sion watu wakimtupia maneno magumu mwanamke lkn ingekuwa mwanaune ndo kaua maneno ambayo yangekuwep ni kutukanwa wanaume wote.
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 4 месяца назад
Yeye hakuwataka watoto wake ndomaana akaamua kuuwa ili aende jela. Kwani angeamua kumuacha na adai taraka abaki nawatoto nini kingeharibika? Yeye pia hakuwa na uchungu juu ya watoto ndomaana aliona bora aende jela.Maana angewaza juu ya watoto basi asingemuuwa Baba yao,kwani kama yeye hakumfaa aelewe angewafaa watoto wake.
@suzanalameck4897
@suzanalameck4897 4 месяца назад
@@israelmkaka2807 Aliamua kumuua kwa kutumia kisu
@AkidaMpinge
@AkidaMpinge 4 месяца назад
Wa young unity makambako tzzzz pamoja
@asteriashios1852
@asteriashios1852 4 месяца назад
Watt Wana uchungu na mama yao mama wa kambo atapewaje watt wa mke mwenzie hivi mnawajuwa wamama wa kambo vinzuri au mnaongea tuu Aidha Moja watt wanawenza wasimpende mm mdogo au mama mdogo asiwapende maana mama mdogo ataolewa na mume mwingine Hana shida mama ni mama tuu asikuambie mtu
@lilyrose7983
@lilyrose7983 4 месяца назад
Mama wa kambo yupi na apewe kivipi wakati mume kishakufa?
@MinskBelarus-il2tl
@MinskBelarus-il2tl 4 месяца назад
Wewe Mpigapicha,unachokifanya kwa hao watoto ni zaidi ya unyanyasaji
@SuzanPeter-gk5qm
@SuzanPeter-gk5qm 3 месяца назад
Nimelia jmn kuwaangalia hawa watoto uchungu wanaopitia Mungu ndo anajua
@AdmAlhinai
@AdmAlhinai 4 месяца назад
Yani naishiwa ata nguvu mama ana raha yake baba ana raha yake hawa wtt wapo kwenye wakati mgumu sn
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 4 месяца назад
Mungu awasaidie,kibinadamu ngumu
@DosianaLulakuze-bv7fg
@DosianaLulakuze-bv7fg 4 месяца назад
Hapo hekima itumike tu ikiwezekanq wamsamehe mama kwa ajili ya watoto waliobaki
@a2core-wn2wk
@a2core-wn2wk 4 месяца назад
Hapo hakuna msamaha yy kamuachisha bb na watoto wake na yy pia awaache wataishi kwa uwezo wa Mngu
@DosianaLulakuze-bv7fg
@DosianaLulakuze-bv7fg 4 месяца назад
@@a2core-wn2wk mshahara wa dhambi ni mauti mauti imeingia kwenye familia kwa sababu ya dhambi sasa unadhani watoto wataishije
@stellahwilfred5762
@stellahwilfred5762 3 месяца назад
Pole kwa watt
@libeberu
@libeberu 3 месяца назад
Ni kosa kiwapiga watoto picha, tena kwenye kesi ambayo haiwahusu, wao sio wanandoa
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 4 месяца назад
Kumbukeni huyu mama hakukusudia kuua ila ilitokea kumpiga na kitu eneo la kichwani au shingoni ikawa bahati mbaya na hii yote ni hasira. Anatakiwa asamehewe maana hajakusudia.
@israelmkaka2807
@israelmkaka2807 4 месяца назад
Alimchoma na Kisu kikubwa,,alikamatwa na hilo Bisu kwenye POCHI YAKE
@MicknesChongolo-lv9nv
@MicknesChongolo-lv9nv 3 месяца назад
Jamani haya mambo wanawake tumlilie mungu maana hasira ni mbaya tusirihusu hasira na visasi vitutawale hata maandiko mmatakatifu yanasema hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 4 месяца назад
Inaelekea baba alikuwa mzinguaji sana,mke akachoka,akafanya liwalo na liwe😢 mwisho wa siku watoto ndio wanaumia😢Mungu atusaidie 🙏
@prothodommy
@prothodommy 4 месяца назад
Ndio mlikofikia wanawake???😢
@salomefaith2410
@salomefaith2410 4 месяца назад
Huzuni sana. Ungewapotezea maana bado watoto. Wataweza ku handle jamii dhidi yao kuwa mama yao katuhumiwa kumuua baba yao? Yaani utawafanya wakose amani maana unawatambulisha kinoma
@jeromejosia-zp7gr
@jeromejosia-zp7gr 3 месяца назад
Inatia hasira sana tena sana ingekuwa wakiume popote kambi sasa hawa wakike duh wanawake hawafikirii 😢😢
@eunicegerminus193
@eunicegerminus193 4 месяца назад
Mungu awatie nguvu na kuwasapoti watoto wangu, kwenye ndoa bila msaada wa MWENYEZI MUNGU huwezi kutoboa pumzika kwa amani msele, Hapa yanaanza mambo ya msuya family
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 4 месяца назад
Kbs wataanza kuwaza Mali tu
@MichaelDaniel-p6x
@MichaelDaniel-p6x 4 месяца назад
Duh Wanamtihani mkubwa sana Mungu awafanyie wepesi
@kalebiestomihi
@kalebiestomihi 4 месяца назад
nae auwawe tuu tena watoto.wasimpende mama yao kabisa mimi ningekuwa ni ndugu.huyo.mama ningemuuwa amfuate mumu.wake
@anenragnesmunis8490
@anenragnesmunis8490 3 месяца назад
Watt wanauchungu jamani shetan hana adabu nahis huyu mama alitaka kumuua mke mwezake labda mume akazuia ikala kwake
@JoyceJoel-y3l
@JoyceJoel-y3l 3 месяца назад
Wamsamehe tu kwa ajili ya watoto vingnevyo huruma tu😭
@LinnaJohn
@LinnaJohn 4 месяца назад
Poleni wanangu mungu yupo atawapa nguvu
@nasramohamedi4095
@nasramohamedi4095 4 месяца назад
Wanaume muache umalaya wasenge nyie😏😏😏mnatuumiza wanawake mno! Ivi angetulia na familia yake yangetokea hayo?? Sometime mnasababisha familia kusambaratika
@ElizabethWamcha
@ElizabethWamcha 4 месяца назад
Tatizo Lao wanatamaa wanataka mboro zao ziingie kila tundu tutawaua sana km unaona mke akufai kaeni chini kubalianeni muachane kwa amani uende kwa uyo unaemuona mzuri awataki tena kwa kukataa wakiulizwa km wanachepuka ss cku nikimkuta na uyu wangu nyundo ya kichwa inamhusu au nikiona vp namuwekeq sumu yakuua kidogo kidogo umbwa awa
@nasramohamedi4095
@nasramohamedi4095 4 месяца назад
@@ElizabethWamcha 😂😂😂😂kabisa ndg umenena
@Neema-qm9kk
@Neema-qm9kk 4 месяца назад
Hasira ya mwanadamu haitendi haki kwa Mungu. Kuna jambo la kujifunza kitu wakati mwingine mtu hata akikukosea namna gani ugonvi hauwezi kuwa sababu ya kutatua na wakati mwingine unaweza kuongeza matatizo zaidi. Huwezi kusuruhisha jambo kwa kufanya ukatili au kulipa kisasi.huyu mwanamke tukio hili litamtesa kwa kipindi kirefu sana.mume amekosa, watoto wamebaki yatima na yeye anashikiliwa na polisi.
@pesaspy_tv
@pesaspy_tv 4 месяца назад
Mama katia doa hawa mabinti tayari cv zitakuwachafu kwamba hata mama yenu alimuua baba yenu
@rosemkama6629
@rosemkama6629 4 месяца назад
Umeona wataolewa na. Nani
@evalineshuma8543
@evalineshuma8543 4 месяца назад
Lakini huo ni uzalilishaji. Mnawaonyesha hao watoto kwa vigezo gani? Acheni ulimbukeni haki za watoto zihifadhiwe tafadhali.
@JonathanNelson-l8h
@JonathanNelson-l8h 4 месяца назад
Wamedhalilishwa nini hapo kwani wao ni wahalifu?
@steveanthon5523
@steveanthon5523 4 месяца назад
Wanawazalilisha kwani hawana nguo? au wamekufa? mbona mama yao alioneshwa hukusema kadhalilishwa? maoni yako siyo maoni ya wengi, kumbuka hiki ni chombo cha habari kinaujuwa utaratibu, ndiyomaana hujawahi kukuta picha ya maiti ikirushwa hapa, wamevaa nakujistri vizuri wala hawajaandika vibaya kuwachafuwa! lengo la habari hii nikuwafanya watu kujifunza kuzuia hasira ili usijikute matatizoni nakuacha familia ikiteseka.
@JonathanNelson-l8h
@JonathanNelson-l8h 4 месяца назад
@@steveanthon5523 kama hajakuelewa hawezi elewa tena
@amranmfuchu7332
@amranmfuchu7332 4 месяца назад
Wamekuja kusikiliza kesi ,sio sahihi kuwapiga picha, mana kama wangekuwa muhimu wangewahoji...
@JonathanNelson-l8h
@JonathanNelson-l8h 4 месяца назад
@@amranmfuchu7332 tutumie vyeti vyako vya uwana habari ili tukuelewe
@rosehillary8742
@rosehillary8742 3 месяца назад
Watoto wanaumia mno Cjui jamani Naashemeji na wawifi cjui kama watawajali
@athumanfuko199
@athumanfuko199 4 месяца назад
sasa itakuwaje aachiwe huru alee watoto au je watoto watamuonaje mama yao.sheria ngumu sana mwenye haki hana haki.
@venancemwarabu7168
@venancemwarabu7168 4 месяца назад
Ingekuwa mwanaume ndo kaua tungekuwa tushatukanwa hadi hatuna pa kupumulia. Ila kwa kuwa mwanamke ndo kaua basi kinachosemwa ni mwanaume kuchepuk kana kwamba kuna ushahidi huo. Hebu mnuyoosheeni kidole huyo mwanamke kama haki ni sawa ili iwe darasa na kwa wanawake wengine ambao wanaubabe wa kuua kama hv
@SuzanPeter-gk5qm
@SuzanPeter-gk5qm 3 месяца назад
Jmn amewapamwakati mgumu watoto wake sababu ya mapenzi du
@AliKhamis-j9z
@AliKhamis-j9z 4 месяца назад
Mtoeni mama yao hao watoto ndio lishatokea tena mama atoke alee watoto wake
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Месяц назад
Kabisa
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we 3 месяца назад
Hii ndio dunia mama jela baba kafa
@LOYCEEMMANUEL-b6z
@LOYCEEMMANUEL-b6z 4 месяца назад
Daah watoto wanatia huruma jaman
@kelvinanselimu1281
@kelvinanselimu1281 4 месяца назад
Mungu fundi watu wanafanana adi pouch manyoyaa😢😢
@modesterchristophermodchri4233
@modesterchristophermodchri4233 4 месяца назад
Uwezi jua alikuwa ana fanyiwa Nini huyo mama
@rashidkatundu9674
@rashidkatundu9674 4 месяца назад
Ela ndyo kila kitu. Uyo mama kujifunika ivyo n dalili tosha ya kuwa anauwakika wakutoka so kuna kaushaid wa sura anaficha ila ingekuwa n kapuku kama mimi asinge funikwa
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 4 месяца назад
Upande watatengwa hasa Kwa baba
@farajiissa560
@farajiissa560 3 месяца назад
Hata watoto siwataman wataniua
@omanoman2044
@omanoman2044 4 месяца назад
Mam khan akili wallah kwan mwanaume ni wakweke kamuzaa am ni uj8nga tuy umemjaa natamaa ya vituy vya dunia
@AnethWambura
@AnethWambura 4 месяца назад
M kama naona mwanaume anazingua bora nimuache kulko kummalzia hasira na kwenda jera mwisho watoto wanateseka
@joshuasamson9618
@joshuasamson9618 4 месяца назад
Millard Ayo Umekuwa Mwanahabari Mkubwa Mitandao Hauna vitendekazi shindani na mitandao mingine camera 📷 unazotumia zimepitwa na wakati kabisa inalezi mbinuko Habari zako ziko ki CCM CCM Nunua camera uwezo abao hata kama amejifunika minguo camera inauwezokumtoa vazi usoni kuleta habari yeye uhalisia unampiga picha kajifunika nguo kama ameshikilia sumu ama amebebe kisu hakuna camera hata Moja yenye uwezo kuvua nguo usoni camera zenu ni vipofu vya Habari kulikuwa na haja gani kuwa record watoto wa mtuhumiwa ungewa wa record ndugu wa mtuhumiwa Millard Ayo nunua camera vinginevyo tutakuharibia kazi yako siku hizi upo ki CCM CCM
@janengowi-lt9gu
@janengowi-lt9gu 4 месяца назад
Shetani yupo kazini kwa kweli
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 4 месяца назад
Huyu mamanaachiwentu atahukumiwq na Mungu
@ConfusedAlien-xk3sh
@ConfusedAlien-xk3sh 4 месяца назад
Bora akae jela kuliko akitoka kifo wachaga wanaroho ngumu sana
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 4 месяца назад
Upelelezinwa nini kakubali nimeua bado eti upelelezi. Wenge.Mlema.alimuuwa.mama yake akaonyesha alipomfukia ajabu aliachiwa .
@Teresia-cr1jn
@Teresia-cr1jn 4 месяца назад
Kwani cameraman kwanini unakazia sana kwenye sura za watoto wanahusikaje hapo
@michaelmwembezi
@michaelmwembezi 4 месяца назад
Vyombo givyo bwana ingawa wanahuzunisha lakin wapo bira sana
@SalmaKhatibu-gl4su
@SalmaKhatibu-gl4su 4 месяца назад
Sijapenda kabisaa kuwa na utu
@reginaedward4883
@reginaedward4883 4 месяца назад
Kwa sisi wachagga hatuna hiyo ujinga ati unauwa mume ile hali na wewe ni mpambanaji. Look at her now who is suffering your kids .
@idinado-wk3lx
@idinado-wk3lx 4 месяца назад
Wanawake wa Moshi Mimi nawaogopa sana maana matukiyo kwenu yamekuwa mengi sana mala kuuwa wazazi Kisa Mali mala muuwe wame zenu namengineyo mengi njiee TU duuuu
@janifajani8875
@janifajani8875 4 месяца назад
Hao wajomba na ndugu wamwanaume tupo hapa mtasikia tu kuusu mali za marehemu wanavo kamia huyo mama afungwe ili wafaidi
@reginaedward4883
@reginaedward4883 4 месяца назад
Haki ni mbaya sana kwa all over suddenly wamekuwa hawana baba juuu ya ujinga ya huyu mama.
@annathomas-wy8yt
@annathomas-wy8yt 4 месяца назад
Mbona kwenye msiba hamjasema picha ziondolewe?
@TheresiaAndrea-hv9dg
@TheresiaAndrea-hv9dg 4 месяца назад
Jamani watoto poleni
@AishFadh
@AishFadh 3 месяца назад
Ni hatar kwel
@samochristopherroche9953
@samochristopherroche9953 4 месяца назад
Upelelezi wa nn akati ngoma iko live,msimcheleweshee hukumu yake,sukumeni haraka afungwe,ingekuwa ni mwanaume ungesikia haki za binadamu sasa kwakuwa kauawa mwanaume aaah wanaume hatunaga wa kutusemea...cku za mwisho mjue Mungu ndie mtetezi wetu
@rizikimtui8992
@rizikimtui8992 4 месяца назад
Sio vizuriii
@florarwegerera8025
@florarwegerera8025 4 месяца назад
Millad Ayo mnamambo ya ujinga sana mnarekodi watoto kwa sababu gani? Ndiyo maana mnapigwa
@illuminathaernest1837
@illuminathaernest1837 4 месяца назад
Sasa hawa wanautoto gani wa kufichwa sura
@amranmfuchu7332
@amranmfuchu7332 4 месяца назад
Angalia athari wanayoweza kuipata baadae au huko wanaposoma au watakapoolewa....usiangalie umri
@salomefaith2410
@salomefaith2410 4 месяца назад
Mimi sioni kama unafanya sawa ku wa expose hao mabinti . Unge cover tu issue na picha za watu wazima. Kama hawana miaka 18 unawakosea hao mabinti. Wao wamejikuta kwenye kizungumkuti tu
@FatmasaidhamesaHamesa
@FatmasaidhamesaHamesa 4 месяца назад
Majonzi kweli
@sandramwangi7231
@sandramwangi7231 4 месяца назад
Watoto wanapitia kipind kigumu sana
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 4 месяца назад
Daah watot wadogo
@samochristopherroche9953
@samochristopherroche9953 4 месяца назад
Majaribu ya shetani yamefanikiwa kupenya,baba amekufa mama kifungo cha maisha,watoto sasa wataishi namna gani???wazazi tuweni na subra
@YunisJerald
@YunisJerald 4 месяца назад
Ooh vpacha hawa jamani
@RuthCharles-u4j
@RuthCharles-u4j 4 месяца назад
Sasa anajificha nn kama alikua amedhamilia na kujiamini kuua?ndo apambane na sheria sasa hasira hasara
@janifajani8875
@janifajani8875 4 месяца назад
Watu mnaongea sana mbona msibani watt wameoneshwa embu waacheni wame fana na baba yao balaaa
@lunangabenjamin3121
@lunangabenjamin3121 4 месяца назад
Mapenzi yanauwa mabachela wanaishi kwanini kupenda.masikilizano ni muhimusana kwenye mausiyano.
@Nadhifasaid-1654
@Nadhifasaid-1654 4 месяца назад
Kosa kafanya mmoja ila mazara yake yameasiri watu zaidi ya mmoja dah mtihan
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 4 месяца назад
Milard Ayo hii clip ya watoto ifute aisee unawadhalilisha wanapitia magumu sana usiwaanike hivi futa kabisa hii
@abdul-azeeznajjar544
@abdul-azeeznajjar544 4 месяца назад
Kutesa watoto tu kwa hasira
@SaumuSaidi-z2v
@SaumuSaidi-z2v 4 месяца назад
Itabidi huyo mm wa nje awaangalie hao watoto
@GraceMarine-vo9hu
@GraceMarine-vo9hu 4 месяца назад
Shindwa, huyo ndo chanzo chahaya yote halafu unasemaje eti? Hatuwezi kujua huyu mama katoka wapi nahuyo mmewe hadi hapo walipokuwa wamefikia, halafu anakuja kumjengea mwanamke jumba lakifahari kwa pesa walizochuma pamoja? aah wee maumivu yake yasikie tu
@ikungetajohnluketa8601
@ikungetajohnluketa8601 4 месяца назад
​@@GraceMarine-vo9hu Huyo hajui hata kidogo, Kumbuka hao watoto ni wakubwa wanajua kuwa kuna mchepuko wa mzee na ndio aliye trigger hayo yote, nina uhakika hawawezi patana kabisa. Tena kwa asilimia 100.
@ikungetajohnluketa8601
@ikungetajohnluketa8601 4 месяца назад
Wewe unavyooona watapata hao watoto wa kike na huyo wa nje ??? Kwanza huyo mama wa hata kwenda kwa ndugu wa mwanaume hatakuja kwenda hata siku moja labda mwanae tuuu.
@ZuwenaNoman
@ZuwenaNoman 4 месяца назад
Mama yao muuwaji maskin
@WansolaLuther-tq8qm
@WansolaLuther-tq8qm 4 месяца назад
Muuwaji wapi wanaume wanakera
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 4 месяца назад
Huzuni sanaaaa mama kamuua baba😢😢😢😢dah. Watoto psychology imeharibiwa na wanaume watakuwa wanawakimbia😢😢dah
@songamberetv2219
@songamberetv2219 4 месяца назад
Sio baba kumuua mama bana soma vizuru mama kamuua baba
@CasmirKiwale
@CasmirKiwale 4 месяца назад
​Kwani kaandikaje hapo ..wewe ndo usome vizuri😅😅😅​@@songamberetv2219
@SharifaOmary-ui8vs
@SharifaOmary-ui8vs 4 месяца назад
itakuwa c waowaji
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 4 месяца назад
@@songamberetv2219 yupp
@ludeelectronics
@ludeelectronics 4 месяца назад
I wish ngekuwa na uwezo ngekuwa karibu na hii familia
@tajilimtoto5009
@tajilimtoto5009 4 месяца назад
Tutagawana majumba ya serikali mmoja mochwali mmoja maakamani ndo hii sasa sitaraka amtaki kugawana mali
@FIDESMARENGE
@FIDESMARENGE 4 месяца назад
Dah
@Rachel02806
@Rachel02806 4 месяца назад
Uyoh diwani nae mbn kavalia njuga mwanamke afungwe mamb mengine y familia bhn
@TatuRajabu-cz6jz
@TatuRajabu-cz6jz 4 месяца назад
Na utashangaa,makosa ya huyo alie kufa,mana kubwa zaidi Kwa wana ndoa ni ufuska ndyo tatizo
@hellenmassawe7284
@hellenmassawe7284 4 месяца назад
Acheni watoto wa watu
@ludeelectronics
@ludeelectronics 4 месяца назад
Kwanza huyu mama wa nje ndo ana makosa. Unaishije na mme wa mtu bila kutambulisha more than one year. An hakuna kitu kimeniuma kama huyu mama na watoto wake wachanga. Naomba serikali ichukue sawa sheria lakini pia ilee hawa watoto mana had sas wana psychological problems hawana chochote wanachoweza kujifanyia
@ludeelectronics
@ludeelectronics 4 месяца назад
Sina hata ham ya ndoa hapo mana haya matatizo ya kisaikolojia ni hatari. Jaman tujitahid kujizuia na hisia pamoja na hasira
@ludeelectronics
@ludeelectronics 4 месяца назад
Lakini pia niwape ushaur wanaume wenzangu. Unavokuwa na mke wako jichunge sana usitoke nje ya ndoa yako mana hakuna kitu kinachoumiza kama kuwekeza hisia kwa mtu. It comes automatically that u can do anything kwa sabab tu ni emotions zinazokuendesha na wala so akili husika.
@ludeelectronics
@ludeelectronics 4 месяца назад
Nadhan kwa wale ambao mpo kwenye ndoa mnajua maumiv ya moendwa wako kukucheat. Inauma lkn tujitahd unapokuw na mtu wako. Stay with her mana anaumia kukuona na mtu mwingne. Please wapendwa nawaomba lets be humble to our partners
@InjiliyaUfalmetv
@InjiliyaUfalmetv 4 месяца назад
​@@ludeelectronicsMungu akubariki mno unajitambua
@DM.2200
@DM.2200 4 месяца назад
Hawa watoto sio sawa unavyowaonyesha sheria mmeisahau?
@njuka3515
@njuka3515 4 месяца назад
Sasa hao watoto wanamtetea baba au mama?
@claudiajames2003
@claudiajames2003 4 месяца назад
Ila nyie Ayo Tv,mlikuwa na haja gani ya kumulika watoto muda mrefu hivyo mpk wanaonwkana hawako comfortable?
@Boniphaceshayo5
@Boniphaceshayo5 4 месяца назад
Wangemuacha tu akalee watoto wake
@missmoona4497
@missmoona4497 4 месяца назад
Maskin wanajificha kamera sio vzr kuwaonyesha hawakupendezwa millard umekosea sana, lkn pia kwa upande wa mama baada yakuwaona watt wanahuzunika kunakitu kimeniijia "fikir kabla ya kutenda" ona sasa watt mnawaweka ktk wakat mgumu mnoo jmn wabb na wamama mnapofikia suala lakuchokana achaneni kiroho saf ili kunusuru maisha ya watt jmn. Huyu mama angemuacha huyo bb akaenda hangaika huko alikokwenda kivyake yy akabak kweny nyumba yake analea watt wake kungekuwa nn? 😢😢😢
@mwitaagness455
@mwitaagness455 4 месяца назад
Ukimtanguliza Mungu ndio utaweza kuzuia haya, peke yako hauwezi, ajapenda.... Huyu mwanaume nae mnatakiwa mhoji nae angejizuia nini kilimfanya mpk aweke mahusiano mpk amjengee nyumba, hata yy ni chanzo cha haya...
@IbrahimMotors-vl9ii
@IbrahimMotors-vl9ii 4 месяца назад
Dah hinauma sana😢😢
@tabiafataki6896
@tabiafataki6896 4 месяца назад
Amekua mvaa juba baada ya kuua mmewe
@IgnasMwinuka-ck1po
@IgnasMwinuka-ck1po 4 месяца назад
Kulikuwa na umuhimu gani kuwaonesha watoto? Hivi mumesoma Law of Child Act na kanuni? Hivi ni maslahi ya watoto hao kuwaonesha katika TV? Nini mnalenga kukipata? Proffessional ethics haijazingatiwa hasa kwa kukuzingatia wanayopitia watoto hawa.
@soberhousetv2245
@soberhousetv2245 4 месяца назад
😢😢😢😢😢😢😢
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 4 месяца назад
Kwa nini mnawaleta watoto mahakamani na kuwaanika kama hivi? Waacheni watoto watulie nyumbani
@R10_Rajab
@R10_Rajab 4 месяца назад
Watoto wazuri wa kuoa hao subiri nije Mwanza kusilimisha na kuoa wote kwa pamoja tena..
@abasgregory3371
@abasgregory3371 4 месяца назад
Wamerithi kw mama yao...Sasa jichanganye
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 4 месяца назад
Fikira zako ni finyu sana!
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 4 месяца назад
Fikira zako ni finyu sana, yafaa ujitafakari!
@R10_Rajab
@R10_Rajab 4 месяца назад
@@abasgregory3371 🤣🤣🤣 unanitisha sio
@R10_Rajab
@R10_Rajab 4 месяца назад
@@sylvestercameo6263 zako ni Pana yafaa uwe Raisi
@hanifamziray277
@hanifamziray277 4 месяца назад
Huruma mama kumuua baba
Далее
А я с первого раза прошла (2024)
01:00
Это было очень близко...
00:10
Просмотров 1,1 млн