Тёмный

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKASIRIKA - AMTUMBUA INJINIA PAPOHAPO - AAGIZA MKURUGENZI ALIYESTAAFU AITWE... 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 26 тыс.
50% 1

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKASIRIKA - AMTUMBUA INJINIA PAPOHAPO - AAGIZA MKURUGENZI ALIYESTAAFU AITWE...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambana Mhandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo kushindwa kusimamia matumizi ya Fedha ujenzi wa Bwalo shule ya Sekondari ya Wasichana Lugalo ambayo ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa shule hiyo
Ashangazwa kutumika kwa fedha yote ya ujenzi wa Bwalo lakini mpaka sasa halijakamilika.
Bwalo hilo lilipangiwa sh. milioni 774 na wamekwishatumia sh. milioni 341 hadi kufikia hatua ya linta ambayo ni sawa na asilimia 40 ya ujenzi wake.
Aagiza asimamishwe kazi kupisha uchunguzi, yumo pia Mkurugenzi Mstaafu wa Halmashauri aliyestaafu mwezi Aprili mwaka huu, ambapo Mheshimiwa Majaliwa aagiza aitwe na ahojiwe.
Mheshimiwa Majaliwa yupo mkoani Iringa kwa ziara ya kikazi.
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 51   
@globaltv_online
@globaltv_online 2 месяца назад
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@BakariMapua-t9u
@BakariMapua-t9u 2 месяца назад
One❤ mkuu nakuombea uchukue nchi❤❤❤❤❤❤
@francismadirisha3511
@francismadirisha3511 2 месяца назад
Majariwa waziri wetu mkuu nakukubari Sana Mimi tuombe uzima iko siku utakuwa laisi wetu
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 2 месяца назад
Majaliwa hakuna kitu ubabaishqji mtupu sio kazi ya waziri mkuu kukagua viti!! atakagua viti vingapi nchi nzima!! serikali nzima imejaa wazembe
@AllexAnthony
@AllexAnthony 2 месяца назад
Safi sana baba majaliwa kwa kazi nzuri wakileta mchezo nikutumbua tuu hao ndio wanaotuharibia ladha ya taifa letu la Tanzania naipenda nchi yangu....tumbua haooooooooooo
@EmmanueliZani-ur9bi
@EmmanueliZani-ur9bi 2 месяца назад
Wawajibishwe na wakuu wa hiyo mikoa, kwa sababu hayo yanapotokea wao wanabweteka tu. Wajifunze kwa mwenzao Makonda Arusha. Asante.
@roggoyacny
@roggoyacny 2 месяца назад
HAO NDOWANAO KWAMISHA NA KUCHAFUA MFUMO MZIMA WA RAIS WETU 🙏,,NAOMBA WAZIR MKUU HAO WACHUKULIWE HATUA KALI SANA 🙏
@abrahammwamlomba8922
@abrahammwamlomba8922 2 месяца назад
Mungu akupe nguvu w mkuu
@user-gr9px4pi2w
@user-gr9px4pi2w Месяц назад
Mh. Waziri mkuu hawa watendaji ndio wanapopiga sana fedha za serikali .pesa nyingi zinatumwa miradi inakwamishwa na hawa waliopewa dhamana. Endelea kuwa mkali mh...vingine hawa mchwa watu wataifirisi inchi
@richkaja3317
@richkaja3317 Месяц назад
Samahai wakuu naomba kujua wanafukuzwa waondoka kabisa shamba au mnawatafutia kazi nyingine mie naona bora muwafirisi kabisa kasimu unaakili sanaa ndo maana magufuri alikuamini sanaa
@bilid4128
@bilid4128 2 месяца назад
"Bati hakuna stoo usidanganye "😊😊
@hassanngomela-tu6lw
@hassanngomela-tu6lw 2 месяца назад
Hapo serikali yatu inapokesea wekeni sheria kila mtu ajue kwamba nikiwa ktk nafasi flani nikikosea tu au pesa imeibuwa wale wauska wote wafilisiwe mali zao lakini hapo kila siku tutaishia kusema ili watu watuone kwenye mitandao ukiondoka tu moto uleule
@user-ry8xf1no2s
@user-ry8xf1no2s 2 месяца назад
Ongela laisi wangu mpendwa Samia suluhuhasani Kwa kutupa wazili mkuuu bomba ongela sana mueshimiwa wazili
@7675kio
@7675kio 2 месяца назад
Namuona JPM, na Raisi ajaye. Sijui mnanielewa?
@user-ch2xi5zm8y
@user-ch2xi5zm8y Месяц назад
Kwahiyo mnasubiriaga mpaka wakishakula ndio nnajitokeza
@EnikoSanga
@EnikoSanga 2 месяца назад
Safi mheshimiwa
@hemedmwipopo780
@hemedmwipopo780 2 месяца назад
Acheni kuingiza habari tofauti na kichwa Cha habari husika.😊
@joshuanyaulingo4109
@joshuanyaulingo4109 2 месяца назад
😂😂😂
@MahmoudMahdMahmadoueMombaMomba
@MahmoudMahdMahmadoueMombaMomba 2 месяца назад
viongozi wote wa serikali waki-chukua hii staili ya Magufuli wananchi tutakua na imani sana na ninyi viongozi wetu, lakini mkikaa tu ofisini bila ya ufuatiliaji mtawapa akina Mbowe na Lissu nafasi ya kuwachafueni jambo ambalo sio zuri kiviiile
@user-ty9yg8fg9g
@user-ty9yg8fg9g 2 месяца назад
Wasomi wetu mnakwama wapi mkiaminiwa na serikali kusimamia miradi???????? Wakipewa wachina wazawa kelele nyingiiiiiiiii
@user-zk9ox3di4b
@user-zk9ox3di4b 2 месяца назад
asante sana kasim majaliwa kwa kutembelea ujenzi jengo lakini tutaona wakati huu mnatudanyanya wezi awapelekwi mahakamani inaishia apo apo kujifanya wakali kutufunga macho ninyi amtutetei atakidogo wewe Samia unataka ETI kuongoza Tanganyika tutafanya utafiti kubaini ata mmoja wenu ata baki mamlakani tunasema tutawatoa mamlakani tunataka katiba mpya nilazima watanganyika waishi kwa kuheshimana kikabila mbona wamasai wa ngorongoro ngombe zao kuuzwa na mahakama ubaguzi mkubwa sana wakidini na viongozi walioko mamlalakani wanatutisha na wasio julikana wako ndani ya nchi yetu msilale Tanzania walio wengi vijana wapewe mashamba wajiajiri kuliko kuajiriwa na waarabu tumekataa kuporwa na wezi wachache mwsho wao umefika wenu ni simba sauti ya wanyonge tupewe haki zetu
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 2 месяца назад
❤❤❤❤❤
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 2 месяца назад
Hao wazee wenye vitambi wawe wanakaa mbali na matukio😢
@joshuanyaulingo4109
@joshuanyaulingo4109 2 месяца назад
😂😂😂
@jonijoogabriel3728
@jonijoogabriel3728 2 месяца назад
Waziri mkuu nyie ndio mnaongoza hii nchi miaka yote toka uhuru na watendaji wanaiba hela za Umma miaka yote naona ni wakati wa kuweka serikali nyingine ya Chama kingine
@jamalnaheka1131
@jamalnaheka1131 2 месяца назад
😂😂😂 maisha bna wakibanwa wanakuwa wapoleeee kama wali,...ila ukiwakuta kweny 18 zao za upigaji wanajifany wababe atariiii maisha hy nimecheka.
@husseinkarim7663
@husseinkarim7663 2 месяца назад
Bilioni 3 majengo 44%
@husseinkarim7663
@husseinkarim7663 2 месяца назад
Amelipwa pesa zote wamegawana😢
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 2 месяца назад
CCM kwa hali hii mmeshindwa maana siye hatujui kinachoendelea tunapiga makofi tu kwa CCM. Leo mnatutoa imani nanyie kitakachoendelea msitulaumu, msitilaumu.
@kambamazig02024
@kambamazig02024 2 месяца назад
Hao wa kuvaa kijani na matumbo makubwa wamekaa kimya tu na hao hao ndio wako kwenye mfumo wa kuzichana pesa za maendeleo. Hawa si wazalendo.
@sidachomela7871
@sidachomela7871 2 месяца назад
Mnamuonea Injinia
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 2 месяца назад
Inasikitisha sana. Wataalamu tuliowaamini wanatuangusha. Watu hawana uzalendo kabisa. Wao hawajali kwani watoto wao wanasoma shule za kulipia.
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 2 месяца назад
Wewe umeona hao nawalio iba pesa zetu c a g
@blessingntuli3796
@blessingntuli3796 2 месяца назад
Wahujumu uchumi ndo ao Tia ndani wote miaka kumikumi
@bockerNyarusahi
@bockerNyarusahi 2 месяца назад
Wapambe watakunyoosha
@user-vp1zu3fb5w
@user-vp1zu3fb5w 2 месяца назад
MAJAALI NAKUOMBEA MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU SIKU ZI JAZO UJE UWE RAIS MAKAMU WAKO AWE MAKONDA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI AWE CHALAMILA ILI MAFISADI WAJE WAJUTE KUZALIWA😂
@gwakisamkese6178
@gwakisamkese6178 2 месяца назад
Waziri kasim majaliwa ikipendeza ugombee urais
@husseinkarim7663
@husseinkarim7663 2 месяца назад
Hilo ni tatizo la makandarasi wa ndani wezi tu.
@Kabwela776
@Kabwela776 2 месяца назад
Wangekuwa wananyonga mbwa hawa piga risasi tu wezi hawa sio wa kuwachekea wanaitia Tanzania umasikini sana
@methodiutou7278
@methodiutou7278 2 месяца назад
Hawa ndo wanatumia fedha zetu kuharibu mabinti wa vyuo
@user-kv8sq6qz7g
@user-kv8sq6qz7g 2 месяца назад
Viongozi wa serekali hususan kwemye miradi hawana mzalendo wezi alafu wanaenda kanisani na msikitini aibu sana
@GastoJohn-s1p
@GastoJohn-s1p 2 месяца назад
Tunaomba mama ukiisha muda wake, huyu waziri mkuu Majaliwa awe raisi wa Tanzania, maana anastahili kabisa!!
@elisantenyange8751
@elisantenyange8751 2 месяца назад
Wamekula na fundi
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 2 месяца назад
Ubaya wanaapa kwakutumia bibilia na Quran. Wazee wetu walikua wanaapa kwakutumia damu, udongo,... Ukiiba unakufa. Wazungu na warabu wametudanganya baada ya kutukanya. Rudi kwenye mifumo muone kama mtakua mnakimbizana na hao
@edisonpeter3894
@edisonpeter3894 2 месяца назад
Hizi ndizo degree za TZ
@LameckZakaria-qg9vv
@LameckZakaria-qg9vv 2 месяца назад
Jembe la magufuri
@halifajuma545
@halifajuma545 2 месяца назад
Piga iboko hao ujinga tu tuna pembelezana sana
@user-vp1zu3fb5w
@user-vp1zu3fb5w 2 месяца назад
HAYA MAJIZI IKIWAPENDEZA YANYONGWE SISI WANYONGE TUNAKAMULIWA KODI HALAFU NYINYI HAMNA HURUMA NAPESA ZA WAVUJA JASHO WANCHI HII KWANZA KABLA HAWAJANYONGWA WATOBOLEWE MACHO😂
@AlphaxardMRusweka-jr1wi
@AlphaxardMRusweka-jr1wi 2 месяца назад
Na wewe unayechukua wake za watu,tukutoe nini
Далее