Тёмный
No video :(

WAZIRI SILAA AINGILIA KATI JENGO LA BAKWATA LILILOPORWA, LAGEUZWA KUWA DANGURO, KATIBU MKUU AONGEA 

BABDEO MILADU
Подписаться 249 тыс.
Просмотров 28 тыс.
50% 1

Waziri wa Ardhi Mheshimiwa Jerry Silaa amefanya ziara le Jan 18,2024 ya kukagua jengo linalodaiwa ni mali ya Bakwata
Follow Us On:
INSTAGRAM: / miladu_tv
FACEBOOK: / babdeo miladu/
TIKTOK: www.tiktok.com...
RU-vid: / @babdeomiladu

Опубликовано:

 

17 янв 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 56   
@abuusaid3297
@abuusaid3297 6 месяцев назад
Nyinyi bakwata mnashangaza sana, mnachokifanya hata hakijulikana, poleni sana
@user-tz9nb8tx9j
@user-tz9nb8tx9j 5 месяцев назад
Waziri upo vizuri sana okoa mali za watu
@allymnyenye8109
@allymnyenye8109 4 месяца назад
Kwa ushauri wangu namuomba Mama Ampe ulinzi mkubwa Muheshimiwa manake kwa akili na upeo wa kawaida tu ipo mijitu itatumwa kumdhuru
@bakarishekigenda731
@bakarishekigenda731 4 месяца назад
Hiisasa nzuri hatahukukwetu maeneo mengi ya bakwata yamehodhiwa na viongozi wasio waadilifu
@aminaosman3315
@aminaosman3315 6 месяцев назад
,taasisi zilizo Chini ya bakwata zinadhulumu Sana waislam kuihujumu serikali
@Bashitetako
@Bashitetako 3 месяца назад
Samia sijui alifkiria nini kumteuwa slaa kwenye hii wizara maana anaimudu sana
@ismailabbas4197
@ismailabbas4197 4 месяца назад
Kuna eneo kubwa sana pale Chang'ombe Dar, hata Sheikh Ponda Issa Ponda aliwahi kusema mali nyingi sana za waislam zimehodhiwa na viongozi wa bakwata, na nyumba za WAQFU nyingi tu zimeuzwa ama kutumiwa visivo halali. Tena kama Dar ni maeneo mengi sana hawa viongozi wa bakwata njaa sana
@zariadunia6328
@zariadunia6328 5 месяцев назад
Nimeangalia hili waislam tumshukuru mungu ndiye hakim
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 7 месяцев назад
Hizi ndio harakati sasa za kuleta maendeleo kwa waislam. INSHAALLAH ALLAH awaongoze vyema.
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 6 месяцев назад
Maendeleo ya uislamu hayapatikani kwa kuhozi mali za wakfu, uislam unajengwa kwa IMANI NA MATENDO MEMA. Hayo ndio maendeleo ndani ya uislam. Uislam ni chombo SALAMA . Vinginevyo ni kumuudhi Allah ambaye mjuzi asiye danganyika.
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 6 месяцев назад
@@ismailsoud3634 Soma dini uache kuwa zuzu na mjinga na kukariri mambo, Wewe unajua maana ya wakfu? Au kurejesha kilicho tolewa wakfu haifai? Kwaio Wewe ulitaka waendelee kulifanya jengo hilo dangulo? Kurudisha kilicho ibwa au tapeliwa haifai? Au Wewe ulitakaje kwa mfano yani!?
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 6 месяцев назад
@@ismailsoud3634 Uislam halisia lazima apinge udhalimu ,Wizi, utapeli na kusimamia misingi yake na ndio maana wanarejesha kilicho tapeliwa, Hakuna taasi iliyoanzishwa na binadamu iliyokamilika na wala huwezi wapata watu walio kwenye taasisi hizo wakawa wakamilifu, Kama binadamu tunamapungufu na madhaifu mengi,Na hata taasisi zetu pia zina madhaifu na mapungufu mengi, Taasisi isiyo na mapungufu wala madhaifu ni ile ilio anzishwa na MUNGU mwenyewe sio binadamu. Kama huna mapungufu au madhaifu wakupe uongozi Wa waislam uongoze tuone wema wako.
@banihashim5347
@banihashim5347 7 месяцев назад
Bakwata majizi mitupu, Waporaji za ummah, Eti leo nao wameporwa eneo😅😅😅
@user-re3zo7ie5e
@user-re3zo7ie5e 7 месяцев назад
Bakwata kazi yao nikula mali za wakf na kuuza mali zao
@ibnkhaldoun9694
@ibnkhaldoun9694 5 месяцев назад
NGOMA INOGILE, JE MALI ZOTE ZA WAISLAM TANZANIA ZITARUDI? TUNAOMBA FUPA LA CHAN’GOMBE LIWEKWE WAZI”.
@ismailabbas4197
@ismailabbas4197 4 месяца назад
Pale ndio kimbembe sasa
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l 7 месяцев назад
Wanakudanganya hao malizote wamepena wenyewe kwenyewe
@mayaally2512
@mayaally2512 6 месяцев назад
Ndio walipenaa kindezi sasa imekula kwao litarudi
@cidewashington670
@cidewashington670 5 месяцев назад
Hilo Bakwata lenyewe mtihani mkubwaa kwa waislamu wa Tanzania
@user-cz7bd9tc5k
@user-cz7bd9tc5k 5 месяцев назад
BAkwata Wao ndio wana shirikiana na Matapeli kutapeli Mbona RC Hawana Hayo kwanini? Waotu
@ibrahimsaad617
@ibrahimsaad617 6 месяцев назад
Mimi nita furai mkaenda Na markazi chang'ombe kiwanja chetu
@mohamedmhina6
@mohamedmhina6 4 месяца назад
Ni waziri anaeupiga mwingi Laminitis waziri kuna siri gani na shati nyeupe
@feisalboy6702
@feisalboy6702 6 месяцев назад
Tatizo ht wakirudishiwa wanayauza ht magufuli aliwahi kuwaambia haya bakwata
@banihashim5347
@banihashim5347 7 месяцев назад
Wewe nuhu mruma na mufti wako ni wezi watupu, ushahidi tunao waislam
@yusuflittanda2949
@yusuflittanda2949 6 месяцев назад
Toa ushahidi ili tujue sote ndugu yangu kwa wema na amani tujenge inshaAllah
@zariadunia6328
@zariadunia6328 5 месяцев назад
Mmmh
@Mkonkotolyo
@Mkonkotolyo 4 месяца назад
Jamani hizi simu za kutoka China zipigwe marufuku zina kelele saana
@user-zo4mj5yk6p
@user-zo4mj5yk6p 6 месяцев назад
BAKWATA Mataperi Wameuza Mali Nyingi Za Waislam
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 6 месяцев назад
Hata mbinguni hawatajiki vizuri.
@kaidiSaid-ot9nl
@kaidiSaid-ot9nl 5 месяцев назад
Allah awape afya njooni na singida ilongero waislam tumetapeliwa shule ambae tulijengewa kwa msaada wa mfti wa kwanza wa Tanzania baadaya mufti kufariki aliekua ktb wake akajakuibinafsisha ikawa ya familia yake na habari hizi ofisiya mufti sasa inahabari lakini imenyamza haija chukua hatua yeyote,,
@aminaosman3315
@aminaosman3315 6 месяцев назад
15:55 kama hii ya Ansar NI kitega uchumi cha kikundi kinachojiita baradha wadhamini haiwasaidii waislam na kumdhulumu mjane mayatima na kumfungulia kesi ya uvamizi pamoja kudhulumu watashinda wao kwakuwa mjane ni mnyote hana wansema wazi wao wenye tanga 😊
@alimaulid9543
@alimaulid9543 5 месяцев назад
Ndo maana bakwata watu wengi hawaikubali kutokana mambo yao
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 4 месяца назад
Huhu Waziri kila siku yuko Site sidhani kama ana kaa ofisini. Big up Waziri Sla.
@husseinkarim7663
@husseinkarim7663 5 месяцев назад
Mnaficha nani anaemiliki hiyo nyumba sasa ? Kati ya hao hao, wakfu wa nyumba hiyo hawakupewa Bakwata, ilikuwa kwa taasisi nyingine, serikali ndio iliwapa Bakwata. Hapo kulikuwa na wapangaji na walikuwa wanalipa kodi. Baadae wakaondolewa wakampa mtu mmoja, wanamjua. Wajanja wengi Bakwata.
@thabitngangila8562
@thabitngangila8562 6 месяцев назад
Msimtapeli alie uziwa mmeuza wenye we mnadai wenyewe.
@ismailabbas4197
@ismailabbas4197 4 месяца назад
Alieuziwa nyumba ya WAQFU nae mwehu tu, unanunuaje mali za taasisi vichochoroni? Hiyo imekula kwake
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 5 месяцев назад
Mahakama vipi Tena? Kuna haja ya kuwa na Mahakama kweli? Itabidi tutafute chombo mbadala was hizi Mahakama, Hizi Mahakama ndizo zimetufikisha hapa tulipo sasa! Mawaziri sasa wamekuwa Mahakimuu,
@alisalimo2861
@alisalimo2861 5 месяцев назад
Eti mali yauma wapen wauze hao bakwata
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 5 месяцев назад
hao bakwata ni vibaka wezi watupu shenzi hao
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 6 месяцев назад
Bakwata ni wale wale😢
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l 7 месяцев назад
Acha usanii wewe hao bakawta walopita nanyinyi wa sasa munatofauti gani?
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 7 месяцев назад
Kwa hiyo waziache zizidi kuporwa na zitumike vibaya kwa kufanywa madangulo kama hivi au vipi?!
@swalehemrombo9301
@swalehemrombo9301 7 месяцев назад
...watu wengine hawajiwlewi kakaa​@@rayisadesigns2646
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 7 месяцев назад
Wewe jinga Sana Kabisa
@user-ul7jc8ll4n
@user-ul7jc8ll4n 7 месяцев назад
Kazi inapofanyika ki uwazi kama hv ,na kuonekana ktk vyombo vya habari ni kuwapongeza viongozi wote kwani ni ushahidi na vizazi kwa vizazi vyetu vijavyo,HONGERENI BAKWATA HONGERENI SERIKALI,
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 7 месяцев назад
Upewe wewe uongoze ulie msafi na mtakatifu na usie msanii.
@mussakiligaliga4348
@mussakiligaliga4348 5 месяцев назад
Kwa waziri ww nnaiman utayaweka sawa
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 5 месяцев назад
AIBU NA FEDHEHA KUBWA KWA BAKWATA.
@allymahiyo2464
@allymahiyo2464 5 месяцев назад
Bakwata ndio wakulaumiwa
@mbwanakiting7180
@mbwanakiting7180 6 месяцев назад
Wakfu
@RichardAugustino
@RichardAugustino 5 месяцев назад
Hv huyu waziri ana shati moja tu?? Maana kila siku ni hilo hilo tu
@kutailass6671
@kutailass6671 5 месяцев назад
Mpe msaada
@zubeiramlanzi2480
@zubeiramlanzi2480 4 месяца назад
Anayo mengi na yote yanafanana ata akibadilisha we utaona ni kama lile lile
@kutailass6671
@kutailass6671 4 месяца назад
@@zubeiramlanzi2480 lkn hata hvy yy yamuhusu nini maisha ya mtu Jmn
@user-yy6vy4xu2s
@user-yy6vy4xu2s 5 месяцев назад
Nchi ina mabeberu hii kisha vilemba vikubwa mbele ya kibla.
Далее
Mohammad bin Salman: Prince With Two Faces
54:00
Просмотров 2,7 млн
НАША НАСЫЩЕННАЯ ПОЕЗДКА В КИТАЙ
1:32:55
ROLLING DOWN
00:20
Просмотров 7 млн
НАША НАСЫЩЕННАЯ ПОЕЗДКА В КИТАЙ
1:32:55