Тёмный
No video :(

WEDNESDAY NIGHT LIVE | Jeuri ya Hassan Mwakinyo akijiandaa kumkabili Mkenya Septemba 29, 2023 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 23 тыс.
50% 1

THE RETURN OF THE CHAMPION: Bondia Hassan Mwakinyo anarejea ulingoni Septemba 29 mwaka huu kumkabili Rayton Okwiri kutika Kenya.
Kuelekea pambano hilo, Hassan Mwikinyo yuko hapa kuzungumzia maandalizi yake huku akieleza kinachompa jeuri hadi kutokuwa tayari kupambana na mabondia wa ndani ya nchi....

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 63   
@saeedmassoud256
@saeedmassoud256 11 месяцев назад
Allah akusimamie kaka mwakinyo
@SARAHKATAGIRA
@SARAHKATAGIRA 11 месяцев назад
Allah sw akujalie update ushindi na inshaallah utashinda makinyo kwa uwezo wa Allah sw
@greenpoint5887
@greenpoint5887 11 месяцев назад
Tunaham na ko raund 3 HV, usimpige mapena mana wengine itakuwa hawaingia uwanjani. Allah akusimamie
@josephvenus3259
@josephvenus3259 11 месяцев назад
Tanga moja hiyo.Hii imeenda 🔥🔥🔥💯💯💯🌏🌎🌍🚀
@brucevelasharukhan8439
@brucevelasharukhan8439 11 месяцев назад
Icon tz champez 1 time🥊
@nasraabdallah
@nasraabdallah 11 месяцев назад
Jamaa yuko humble sana katika kujieleza
@user-wl9bg9fb8b
@user-wl9bg9fb8b 11 месяцев назад
Champion nakubari kazi ya mikono Yako mollah akujalie kwenye pambano laki kaka mashabiki zako tupo nyumayako
@mkanulamajid500
@mkanulamajid500 11 месяцев назад
Bondia anaefahamika namba moja afrika ni mwakinyo Kama yupo mwingine tutajie
@naimabdul1231
@naimabdul1231 11 месяцев назад
mtoto wa kidigo huyu fedhuli sana histori ya mfalme nimecheka sana haya ba mtanga kila la kher hapo ubungo plaza 29.09.2023 the return of king mwakinyo❤
@AlhajiIssa-jb9hr
@AlhajiIssa-jb9hr 11 месяцев назад
Mwakinyo anaielewa dira anayokwenda nayo safi sana.
@dastopadady2402
@dastopadady2402 11 месяцев назад
Kabisa metixeko ni WA babe kinoma hongela kaka🎉 mwakinyo kimetixeko
@Mshuzacharles
@Mshuzacharles 11 месяцев назад
Mwakinyo ni bondia namba moja TZ
@mc_rasbeib834
@mc_rasbeib834 11 месяцев назад
Bondia wa vipi wa kilo 69😂😂😂😂, mcheza mbaikoko huyo
@abbysule2390
@abbysule2390 11 месяцев назад
@@mc_rasbeib834 nawe kacheze ngoma ya kwenu
@saidbakari2408
@saidbakari2408 11 месяцев назад
​@@mc_rasbeib834baikoko ni ngoma maarufu na asili yake ni Tanga kama ilivyo ngoma ya Mdumange ina kwao kuna Sengenge ya sijui kuna sebene kuna mdundiko kwahiyo nawe ijue ngoma ya kwenu kisha jivunie nayo ili asili yako isipotee ndugu,
@davidcurtis175
@davidcurtis175 11 месяцев назад
@@abbysule2390hahahaaa dah! Mtu kama ndugu yangu haina hata ya kumjibu maana hawakosekani wakosoaji hata maamabii hawakukubalika kwao, wakati akimuita mcheza baikoko mwenzie anamaisha mazuri kwa umri mdogo amejenga anaendesha biashara zake ndogo ndogo, sasa yeye mshinda mitandaoni na kuponda tu unaachana nae.
@JeremiahMyrosse-qb1yj
@JeremiahMyrosse-qb1yj 11 месяцев назад
Champez ana ongea vema sana!!✅
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 11 месяцев назад
Nakukubali saaana kaka
@sadunabdallah7303
@sadunabdallah7303 11 месяцев назад
Mwakinyoooo is good fight world 🌎 waide na kuku bali sana tanga boy una bayaaaaa❤❤❤❤❤
@user-up1fx4vt4r
@user-up1fx4vt4r 11 месяцев назад
Tanga boy kizazi san mwamba acha kubishan nawatoto wasiokua kifkra man huwa wanatazm maisha yasasa nasio yabadae
@omaryamiri3175
@omaryamiri3175 11 месяцев назад
Kaka Kila la kheri kwenye pambano lako,mwenyezimungu akufanyie wepesi siku hiyo ushindi upatikane laund ya 7 bax mchezo umeisha
@hassankuka1104
@hassankuka1104 11 месяцев назад
Mwakinyooooooooooooooo
@ramadhanirashidi4175
@ramadhanirashidi4175 11 месяцев назад
Mwakinyo ana point sana huwezi kuwa na kocha 1 kila siku huwezi kujua kama anavyo fanya kiduku na yule Mzee wake kama wame funga ndoa vile
@celestinamanyilizu7403
@celestinamanyilizu7403 11 месяцев назад
Champez 🤝
@PatrkiKajanja-ew1dt
@PatrkiKajanja-ew1dt 11 месяцев назад
Champion hunabaya unaongea pwent tupu
@user-jc1zz2ok6l
@user-jc1zz2ok6l 11 месяцев назад
Champezz
@kimwelingole6090
@kimwelingole6090 11 месяцев назад
Maranyingi mti wenye matunda haukosi kupiga mawe kaka ninaimani hutashinda tu kwa huwezo wa mungu muombe mungu tu sisi watanzania hatupendani tofauti na mchi au mataifa ya wenzemtu sisi watanzania matatizo sana
@mwlpierre
@mwlpierre 11 месяцев назад
Hapo kwenye 29:20 - 29:25 nimependa maana hata Terence Crawford alipokewa na mji wake wa Omaha,Jimbo la Nebraska walimpokea kwa heshima kubwa sana aliposhinda pambano na Errol Spence Jr lakini wakati ule umeshinda lile pambano la ubingwa wa jumuiya ya madola dhidi ya Eggington hatukuona lolote
@habibuhabibu9728
@habibuhabibu9728 11 месяцев назад
Watoto wadogo toeni mahari ndoa ifungwe😊
@faakhames
@faakhames 11 месяцев назад
Mwenyezimung atakupa nguvu upate ushindi mkubwa kwa uwezo wake inshallah amin
@jeihuseni7555
@jeihuseni7555 11 месяцев назад
oya br kama uyomrugulu atajichanganya uwa tu aendekwao akalime magimbi
@GadsonEnos-gv9xe
@GadsonEnos-gv9xe 11 месяцев назад
Mwakinyo Tutandikie huyo Mkenya maana wanaleta dhalau Sana kwetu piga ikiwezekana Ua kabisa wawe na Displine wa Kenya.
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 11 месяцев назад
@user-ek2jq3xe4q
@user-ek2jq3xe4q 11 месяцев назад
🥰
@omaryrupia2631
@omaryrupia2631 11 месяцев назад
Tanga moja iyo
@hancebenitho287
@hancebenitho287 11 месяцев назад
Mwakinyo pambno la mwisho uliuz nilikubetia ukazingua.Lkn Dua utampiga Kwan una power za ajabu
@JumaKumcha
@JumaKumcha 11 месяцев назад
Pambano lamwisho alishinda we unakumbuka mavi yakale
@user-lq4sm1nr2o
@user-lq4sm1nr2o 11 месяцев назад
Champez❤
@taurehassan7399
@taurehassan7399 11 месяцев назад
Yaan cjui utamuuliza Nini acjb,na atkchokjbu utahc kbsa kwmb ypo sahh
@HassanSaid-pw8us
@HassanSaid-pw8us 11 месяцев назад
Nadhan mashabiki wa kiduku mheshambiwa mzigo ukiwekwa harusi inafungwa popote pale
@omaryamiri3175
@omaryamiri3175 11 месяцев назад
Nataman siku hiyo mpige hadi kukata puzi ili heshima iwepo zaid hata wengine
@dullahmiraji9255
@dullahmiraji9255 11 месяцев назад
Hana shida Huyo Mtoto wa kitanga Ameagaaaaaaaaaa Ndugu Fanya kweli
@saidkizota3595
@saidkizota3595 11 месяцев назад
Mwakinyo bro unajua kupigana na kuongea pia❤
@fahadalaba7710
@fahadalaba7710 4 месяца назад
💯✌
@tumainkitundu1015
@tumainkitundu1015 11 месяцев назад
Ipo siku yule mtoto wa Morogoro atapigwa kama ngoma
@hamisiokazulu587
@hamisiokazulu587 11 месяцев назад
Pamoja hassan
@user-fx2gx6fo1e
@user-fx2gx6fo1e 11 месяцев назад
Team champez
@lujuomjanja2866
@lujuomjanja2866 11 месяцев назад
Patrick umevaa nguo za jeshi wewe! ujazipeleka bado au ww mjeshi!🚶🚶🚶
@chiddybwax7749
@chiddybwax7749 11 месяцев назад
Tuweke ushabiki pembeni Mwakinyo anajua ngumi
@fahadalaba7710
@fahadalaba7710 4 месяца назад
Sana tuu💯✌
@mr.sundayjames4054
@mr.sundayjames4054 11 месяцев назад
Nini livi?anacho kitamka huyo mtangazaji?
@KahawaHouse-qt9bt
@KahawaHouse-qt9bt 11 месяцев назад
Huna baya kizazi tuko pamja mpaka tuwakalishe wote vidomodomo
@abubakarmpole4000
@abubakarmpole4000 11 месяцев назад
Mwakinyo ukimzidi tutampa kijana wetu fimbo amalize mchezo 😅😅
@ericktemu6547
@ericktemu6547 11 месяцев назад
Mwakinyo Apigwe kipigo ya mbwa koko maana anadharau sana mngese huyu
@abdallahrasi6206
@abdallahrasi6206 11 месяцев назад
Alafu unapata nn akipigwa
@katibampya8442
@katibampya8442 11 месяцев назад
Kama hujui tambo za wanamisumbwi kaa kimya, kwenye ngumi kuna mbwembwe, trash talks na ndizo zinaongeza chachu na ladha, we kaa kimya wacha atambe anavyoweza. Afu hujawahi na huwezi kumsaidia chochote, wacha aoneshe dharau anavyoweza, naww nenda kapigane kama rahisi.
@ricklandennis
@ricklandennis 11 месяцев назад
Ushasikiaga tambo za ngumi za mbele au lugha huelewi, mwakinyo hana dharau km unafatilia ngumi
@AmbakweteMwakalugirao
@AmbakweteMwakalugirao 11 месяцев назад
Wakusamehe tu. Wee una mawili, Either you're Ignorant of what boxing pomposity entails, OR You hate Tanzania, japo una jina la Kitanzania. KAONE! Unataka Mgeni ashinde mtu kwao, kisa Matambo ya Ngumi?? Kuna Bondia huwa "HAJISIFU'??. Kafuatilie vitu, acha chuki za ovyo mpaka unapoteza Uzalendo. ALI mpaka anafariki anajiita "the greatest of all times", Evander " the real deal", Tyson "Iron Mike", Fury "Gipsy King", Luicy Jr "the destroyer"; to mention the few. Na wote walishapigwa mara nyingi tu. Sasa wee Kamchaga unadhani kudundwa ngumi ni kupeana Ice Cream????. Hiyo inaitwa "Psychological Fight" ya bondia, Acha masiala, kuwa Mzalendo hata kama una chuki binafsi na mtu. Anapowakilisha Nchi ni kitu kingine.
@AmbakweteMwakalugirao
@AmbakweteMwakalugirao 11 месяцев назад
Wee kamjamaa unaudhi kweli. Yaani mtu anaimbiwa wimbo wa Taifa letu, na Bendera inapandishwa juu, afu wee uko unasali apigwee??? Wee uliwahi kuimbiwa hata wimbo wa KIKABILA kuwakilisha hata Kijiji??? KAONE!!!! , Kwanza huenda unajulikana na familia na ukoo wako tu. Nyie ndo mnafanya Tanzania iwe nyuma. Sasa mtu kama wewe ukiwa kiongozi inakuwaje, usiyejua maana ya Utanzania??? Mnaishia kuwa wapiga DEAL tu bila kuijali Taifa. NASHAURI NENDA KAUNGAME AISEE!!!
@mussacharlescharles3329
@mussacharlescharles3329 11 месяцев назад
Mwakinyo ni kama simba hapa tz ukibisha kunya tuuu
@ramamtanga3482
@ramamtanga3482 11 месяцев назад
Simba wa mbugani au pichani
@saidbakari2408
@saidbakari2408 11 месяцев назад
😅😅😅 Ongeza sauti kuna vyura hawaja kusikia😂😂😂
Далее
MSUKUMA OG KUTEMBEA NA WAKE ZA WATU
12:28
Просмотров 1,1 тыс.
Valentino Mashaka - 2005 | Striker / Tanzania
4:35
Просмотров 17 тыс.