Nyie wazee mlibeba sna hip hop ya Tanzania namchukia sana shetani aliye wasimamisha apa kati lakin pia nimependa sana hiii kitu mmerudi kwa nguvu kubwa sana ❤❤🎉 legends on the top
Weusi mko vizuri since day 1.. ilitakiwa nae Mh Nick awepo...au angefanya clip yake hata akiwa kwa ofisi then iunganishwe..Tena ingekuwa bomba saana kwakuwa tunajua Sasa hivi ni mtu wa ofisini