Тёмный
No video :(

YAJUE HAYA KUTOKA KWA ALICIOS WA POSA YA BOLINGO, MKONGO ANAYETAMBA KWA KUIMBA KISWAHILI 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 11 тыс.
50% 1

Ni mwimbaji Alicios raia wa Congo anayeishi Kenya, amekuwa maarufu kutokana na nyimbo zake alizoimba kiswahili kupata umaarufu kama Posa ya Bolingo, Ya Nini, Mpita Njia na nyingine nyingi. Hapa amefunguka mengi kumuhusu yeye baada ya kuja Bongo.. ni yapi hayo Bonyeza PLAY hapa kumtazama.

Опубликовано:

 

25 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 29   
@Jérémih-j7g
@Jérémih-j7g Месяц назад
On est trop fière de toi Al mwana mboka❤
@sosydee3767
@sosydee3767 3 года назад
Tuko pa1 kaka wakwanza hapa nahitaji like 50tu
@esadkulovic6777
@esadkulovic6777 3 года назад
Shes my best singer akifatiwa na Juliana,nawapenda tu bure,wao na miziki yao,na nafurahi still ako kwa game na ako form,young always and beauty😘,na kiswahili kitukuzwe😊,fundi na ufundi wake😁...patamu hapo!.
@wilonjahatua2067
@wilonjahatua2067 3 года назад
nampendaga sana huyu dada ilove you alicious
@mwanajumamohammed6327
@mwanajumamohammed6327 3 года назад
Uwaga nampenda sana huyu kijana nampenda to
@erickmachua8829
@erickmachua8829 3 года назад
Nice song
@saidkaje620
@saidkaje620 3 года назад
Nimekuwa wa kwnz
@dripboy2026
@dripboy2026 3 года назад
Daaah aka kadada nakakubal sana tokea na ile nyimbo yake ya bolingo 😂😁
@emmanuellusambya7889
@emmanuellusambya7889 3 года назад
💪💪💪💪🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩Alicios!
@fighterm7708
@fighterm7708 3 года назад
She used to be my crush since the First time , I saw her with Juliana , Until now the photo of her still in my Mind. The gal like her is my panadol when am got headache. ..I love you from bottom of my heart ....dedication song: Nikikupata by Benpol.
@diwanikatayankonko2671
@diwanikatayankonko2671 3 года назад
Nampendaga saana huyu dada
@symphorienpyana1999
@symphorienpyana1999 Год назад
I am proud of you
@noahlarapho4749
@noahlarapho4749 3 года назад
Nice!!
@jafetsubi2908
@jafetsubi2908 3 года назад
Jamani
@ailamofficial6757
@ailamofficial6757 3 года назад
Ya bolingooo
@mwanaishamkindi7763
@mwanaishamkindi7763 3 года назад
😍😍😍😍
@graceamadi1096
@graceamadi1096 Год назад
Millard eh, hamna mic nyingine
@malley041tv9
@malley041tv9 3 года назад
Achia wimbo huo wasanii Wa tz mjiongeze kuweka mambo yenu ya relationship in private
@amanimlengwa9202
@amanimlengwa9202 5 дней назад
Wanamziki wa kikongo ni wasomi ndo maana wanafanikiwa kuwa na legacy zao zinadumu maana kuna vitu vinakaa kisomi zaidi.
@kasangagregory5747
@kasangagregory5747 3 года назад
ILA JAMAN AFRIKA KUNA WAREMBO MTOTO MZURI
@user-wc5hi4dg2d
@user-wc5hi4dg2d 7 месяцев назад
❤❤😂
@husseinchea5524
@husseinchea5524 3 года назад
Huyo ni mkenya mkongo
@mauricebaraka9119
@mauricebaraka9119 3 года назад
Sio mkenya mkongo bana Kenya alihamia na wazazi wake,kwa sababu Baba na Mama yake wote ni wacongo na huyo amezaliwa kongo kwa hiyo ni mkongo 💯%
@husseinchea5524
@husseinchea5524 3 года назад
@@mauricebaraka9119 mtanzania anapohamia marekani na kuchukua citizenship ya huko anakuwa Tanzanian American so huyu naye ni Congolese Kenyan...nadhani sasa umenielewa nilichokimaanisha
@mauricebaraka9119
@mauricebaraka9119 3 года назад
@@husseinchea5524 Huyo anaishi Kenya kwa pamenti hajachukua uraia wa Kenya Brother,Kama ilivyo kwa Christian Bella hapa Tanzania anaishi Pia kwa Pamenti hajachukua uraia wa Tanzania
@husseinchea5524
@husseinchea5524 3 года назад
@@mauricebaraka9119 duh! Bro mbona unashindana sana kana kwamba unamjua...kama ulikuwa hujui jua leo, huyo dada kachukua uraia Kenya hata Kidum katokea burundi pia kachukua uraia Kenya. Kuna msanii mwengine kutoka south sudan naye pia kachukua uraia Kenya anaitwa Emmanuel yeye anaimba nyimbo za injili na kuhusu Christian Bella that's another story
@danielson8673
@danielson8673 3 года назад
Cyo jux kweli😅😅😅☺😆
@husseinloyy1912
@husseinloyy1912 3 года назад
uko poa
@selemanshidda9688
@selemanshidda9688 Год назад
Wakongo wakijifunza Kiswahili hukiongea vizuri sana! Lakini Watanzania ni limbukeni! Badala ya kuongea Kiswahili sanifu unakuta wanaongea kwa kuchanganya na Kiingereza! Kama huyu anaeongoza usaili ni limbukeni. Eti anasema 'media house'; 'exclusive interview' Huyu ndie Mtanzania anaeishi Tanzania ambako ndiko chumbuko la Kiswahili
Далее
Meet Congolese artist Alicios Theluji #theTrend
21:15
Mpita Njia - Alicios ft. Juliana [Official Video]
4:07