Тёмный

ZAKAYO AMEKUBALI KUSHUKA MTINI KWA NGUVU YA UMMA ILA BADO WANATAKA AONDOKE KABISA 

UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Подписаться 33 тыс.
Просмотров 13 тыс.
50% 1

Mpenzi mtazamaji wa IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwaafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.

Опубликовано:

 

26 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 45   
@hbdina
@hbdina 20 дней назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Kama Mtanzania nasisitiza tuachane na mikopo Hasa ya IMF na World Bank ni vyombo vya Magharibi kutunyonya/kutuweka umasikini Africa.Kumbuka ni makaratasi yao wanayaprinti tu.
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 19 дней назад
Mdeni mkubwa WA kenya ni mchina
@hbdina
@hbdina 19 дней назад
@@josephwilliam5813 Wachina sio ni hatari zaidi wako wengi Tanzania
@Maryc2G
@Maryc2G 18 дней назад
Kweli mikopo mibaya
@saivellybrutally2994
@saivellybrutally2994 20 дней назад
Ukuu wa mwafrika sasa kaka mimi natamani sana tuweze kuzitafsiri hotuba za Ibrahim traole.
@hbdina
@hbdina 19 дней назад
Tumuunge mkono Traore lakini hamuwezi kuiacha Kenya 🇰🇪 na vibaraka
@hanifahassan-sf1gg
@hanifahassan-sf1gg 19 дней назад
Ruto must go muuwaji huyu mungu asimpe amani maishani na familia yake icc Iko wapi 😭😭😭ametuliia watoto wetu
@peteremanuel2367
@peteremanuel2367 15 дней назад
Ruto mjinga sana ataziona nyakati. Watanzania tunamkumbuka Magufuli.
@krisantmwaipungu1434
@krisantmwaipungu1434 20 дней назад
Ruto must go
@Calis2451
@Calis2451 20 дней назад
Kuhusu hali ya usalama they have been warning lakini hapo wanakwepa accountability kwa sababu tayari watu wamekufa na Hilo ni lazima wa wawajibike Kisheria na Kikatiba nani katoa ruhusa ya kutumika rissasi ni commender in chief
@Kelvin-sd9gb
@Kelvin-sd9gb 10 дней назад
Ruto ajitasimini sana ktk uongoz wake
@peteremanuel2367
@peteremanuel2367 15 дней назад
Ruto akosea sana, kawakumbatia wamangharibi wakati wananchi wake hawapo. Yeye kakosea sana, hata kamtukana Putin, bila kusoma mawazo wa wananchi wake.
@Riziki-k14
@Riziki-k14 20 дней назад
Katiba ya Kenya haimruhusu raisi kuwithdraw finance Bill bali anayo mamlaka ya kureject sababu wabunge wameenda likizo ya mwezi moja kwa ivo after 14 days hio finance Bill itakuwa sheria anadanganya ulimwengu sababu anajua amekataliwa na maraisi waafrika.
@songamberetv2219
@songamberetv2219 20 дней назад
Ruto ameangukia katika kikundi cha wahuni Kagame na Museveni wakamudanganya akataka kuongoza kama nchi zao arichokisahau ni kwamba wakenya kwa haki zao ni bora uwauwe sasa ndo hayo yuko njia panda
@user-zw9oj6ej9v
@user-zw9oj6ej9v 20 дней назад
Hakushauliwa na hao, huyo ameshauliwa na manyang'au ili aweze kukopesheke na hayo ni matokeo ya ziara zake ulaya na marekani. Hapo anatekeleza maazimio ya SAP ili apate fedha!
@songamberetv2219
@songamberetv2219 20 дней назад
@@user-zw9oj6ej9v kuna manyangau weupe na weusi Kagame na M7 ni weusi
@JanethMkabenga
@JanethMkabenga 20 дней назад
Pesa nikubwa kulikosisi mbonanawakohivyo tatizo uzalendo,uaminifu,ipo siku ya Mungu❤
@Calis2451
@Calis2451 20 дней назад
Coop in Bolivia ukuu wa mwafrika tu naomba taarifa na uchambuzi
@alukweKopite
@alukweKopite 20 дней назад
Alifutaa uhusiana na Tel aviv na Washington, CIA kapanga yote
@Calis2451
@Calis2451 20 дней назад
Ruto lazima awajibike kwa kufa kwa watu yy katoa amri ya kutumika rissasi na makamo wa rais pia anamakosa taarifa za mandamano zipo state house kabla ya mandamano
@salimmalaka256
@salimmalaka256 20 дней назад
HATA PALE SIMBA SPORTS CLUB TUNAYE ZAKAYO YUKO TAYARI AULIWE KULIKO KUTOKA KITINI KWA NJAA ZAKE 😂😂😂😂😂 MANGUNGU ZAKAYO 😂😂
@user-zw9oj6ej9v
@user-zw9oj6ej9v 20 дней назад
Zakayo ni zakayo tu, uwe mrefu au mfupi, uwe mwana mume au mwanamke ni Zakayo tu!
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 19 дней назад
USA&IMF WAMEANZA UKOLONI MAMBOLEO KWA AFRIKA
@YusriAllyMuhammadahmad
@YusriAllyMuhammadahmad 17 дней назад
Huyu rutho walimwambiya na Julius malema ya kwamba ni mnazi wa marekani
@rachelwanganga939
@rachelwanganga939 16 дней назад
Wachana na wakenya, ijali inchi yako.
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 13 дней назад
Laana kutoka kwa Putin hajatumia hata week tokea amponde putin
@kichenjewillian5720
@kichenjewillian5720 20 дней назад
Naelewa ndugu
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 16 дней назад
KIMENUKA WATOTO WAMETANDA PEMBE ZOTE ZA KENYA GEN.Z 😂😂😂
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 20 дней назад
Huu ni uchochezi ,,tunahitaji amani ,,maandamano yanatosha ,,,hatutak tuuane ,sisi wote ni watoto wa BABA MMOJA
@peteremanuel2367
@peteremanuel2367 15 дней назад
Ruto hakusoma nyakati za wanachotaka waafrika sasa? Waafrika sasa huwataki tena wamangharibi na wamarekani.
@ISRAELMakoye
@ISRAELMakoye 20 дней назад
Mm
@fadhilfurahini2518
@fadhilfurahini2518 20 дней назад
Hii yote ni mipango ya USA na Ulaya kusababish machafuko Africa ili tusiendelee
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 19 дней назад
USA NDIO ilimtuma akakope china? Au kuongeza kodi?
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 20 дней назад
Ndiyo kulivyo na wana inchi wame choka
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 20 дней назад
Zakayo ni bure sana 😂😂😂😂
@GraceMashinga-be9wb
@GraceMashinga-be9wb 20 дней назад
Mwandagasiya😂😂😂😂😂
@MnyorokaAhmadSimba-wk4gr
@MnyorokaAhmadSimba-wk4gr 20 дней назад
Tatizo la luto alijifanya mwamba waafrica huwezi mzarau Putin ukawa salama
@MnyorokaAhmadSimba-wk4gr
@MnyorokaAhmadSimba-wk4gr 20 дней назад
Umechochezwa nawazungu ukajifanya mzungu sidhani kama ss wanakupigia simu msaada wao utakua kukupeleka icc ukapumzike
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 19 дней назад
Matatizo ya kenya hayahuaiani na Putin
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 20 дней назад
ACHENI UCHOCHEZI
@hbdina
@hbdina 20 дней назад
🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 Tuwekeze kwa wananchi wetu ili tukontrol maliasili zetu.Mifumo michache ya kodi inayoeleweka ili kutoa ubashirifu/rushwa/ubinasfi/matumizi mabaya ya pesa za masikini.
@neemamasudi7988
@neemamasudi7988 20 дней назад
Sasa nyie Mwanda Gasiya na Isaya mbona Kila siku Niumbeya kwa inchi za wenzenu Tanzania Sasa ndo paradizo?
@fadhilfurahini2518
@fadhilfurahini2518 20 дней назад
Hii yote ni mipango ya USA na Ulaya kusababish machafuko Africa ili tusiendelee
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 19 дней назад
Machafuko mnayaleta wenyewe mnachukua mikopo kulipa inakua shida HALAFU mnaongeza ushuru
Далее
Зачем он туда залез?
00:25
Просмотров 63 тыс.
Зачем он туда залез?
00:25
Просмотров 63 тыс.