@@phineking3911 Maneno yangu yapi? Hivi kwa uelewa wako unaamini viongozi wa Yanga wangekuwa hawajamsaini Aziz K wangekuwa busy kufanya signings zingine halafu waache mchezaji wao bora? Inakuwaje Rais wa timu kitangaza hawajamsaini Aziz wakati wanataogopa wengine kumsaini? Be uwe muelewa