Тёмный
No video :(

🔴 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 34 тыс.
50% 1

🔴#Live: MTOTO wa MANJI AJIBU KUHUSU KUWEKEZA YANGA KAMA BABA'AKE - ''TAANGALIA KAMA MSHABIKI''...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 21   
@sadikiissa7756
@sadikiissa7756 Месяц назад
Polen Sana. Allah awape subira na amlaze Mzee Mahali pema Peponi. Amiin .
@AmanaHassan-cy4fi
@AmanaHassan-cy4fi Месяц назад
Jamanii mumeonaa majibu ya Watoto wa wenzetu walivoandaliwaa... Majibu ni very technical daaa big up Mwanangu.
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj Месяц назад
Mtoto wa tajiri huyo mkuu, sio wa mchimba chumvi huyo mkuu
@AmanaHassan-cy4fi
@AmanaHassan-cy4fi Месяц назад
@@GeorgeAkasha-zx2rj Sahihi My point ameandaliwaa...
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj Месяц назад
@@AmanaHassan-cy4fi Alipewa elimu Bora mkuu na sio bora elimu kama nchi zetu hizi.
@joycerichard9274
@joycerichard9274 Месяц назад
Poleni sana watoto wa manji
@michaelmillinga5064
@michaelmillinga5064 Месяц назад
Dogo safi sana, stop investment in football, its crazy.. rebuild the economy left by your father..
@millitarybattalion7515
@millitarybattalion7515 Месяц назад
Daaa inauma sana R .I.P Manji
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 Месяц назад
Aaa😢 wandishi kwa kweliiiii ? Maswali gani mtu katoka kufiliwa na mzeee wake juzi tu! Imeniuma kwa kweli 😢 kufiwa kuskie tu
@janiafaomaa5120
@janiafaomaa5120 Месяц назад
UNAJUWA HAWA WANDISHI WA HABARI WAWE WANAFUZWA VIZURI KUHUSU TALUMA YA UWADISHI WAWE WANAJIFUZA ZAIDI KAMA HUYO MTANGAZAJI WA GLOBAL TV ONLINE NI MPUMBAVU NIMJIGA MTOTO WA YUSUFU MANJI BABA YAKE AMEKUFA HATA WIKI MBILI HAZIJAPITA UNAKWEDA KUMULIZA UWEKEZAJI WA YANGA
@AmanaHassan-cy4fi
@AmanaHassan-cy4fi Месяц назад
@@janiafaomaa5120 Mwandishi yupo sahihi 100% Ndio maana nikatoa credit kwa aliyejibu. Kiuandishi hayo yanaitwa maswali chokonozi... Huweza kuyajibu Mtu professional tu.. example Coach amekula goli5-1 Mwandishi anamuulizaa jee kwa kipigo hikii uko tayari kujiuzuruu!!?
@kyannickk2be
@kyannickk2be Месяц назад
Bora elimu na kutojiongeza kutotaka kujifunza pia kukubali kuendana na mazingira yako hata kama sio sahihi.....
@beatricejohn1659
@beatricejohn1659 Месяц назад
Yaani ni wapuuzi sana utafikiri hawajui nini kufiwa
@birianination7097
@birianination7097 Месяц назад
Yanga ilikua legacy kubwa ya yanga, swali zuri sana.
@FilbertKalembe-fy4oq
@FilbertKalembe-fy4oq Месяц назад
Sasa wewe umeumia nini mbona watanzania tunapenda matusi
@benardmassawa3599
@benardmassawa3599 Месяц назад
Tanzania
@hamisimahenge5807
@hamisimahenge5807 Месяц назад
Dogo ameandaliwa vizuri sana na majibu yake ni very technical but huyo muandishi ni hovyo kabisaaaa kwani ni YUSUF MANJI amefariki siku chache zilizopita na huyo dogo Bado yuko kwenye majonzi then huyo muandishi anamuuliza kuhusu kuwekeza YANGA, Hey Guys, kweli???????. Nadhani huyo muandishi amekosa professionalism
@user-bt6ep3yb2h
@user-bt6ep3yb2h Месяц назад
Uwezo wa kuhoji ni mdogo sana sana, kwanza alivyomjibu kuwa wao wanaomboleza kifo cha mzazi wao imehuzunisha sana.
@castromemba6311
@castromemba6311 Месяц назад
Amekataa kuwekeza Yanga. Kasema labda Simba kama hujasikia vizuri
@munyeradeogratias9342
@munyeradeogratias9342 Месяц назад
Rip msnji
@abdullahabdul9246
@abdullahabdul9246 Месяц назад
Huyu mwandishi unamuliza uwekezaji mtu katika msiba mkubwa huu kuondokewa na baba acheni maswali ya kijinga uliza maswali ya maana
Далее
Ajdarlar...😅 QVZ 2024
00:39
Просмотров 817 тыс.
AMERUDI NA KUANZA KUKERA; SI NDIO?
1:01
Просмотров 2,1 тыс.