Тёмный
No video :(

ABEID KARUME: RAIS ALIYEUAWA AKIWA MADARAKANI, JE WALIOMUUA WALITAKA NINI KWAKE? 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 4,1 тыс.
50% 1

ABEID KARUME: RAIS ALIYEUAWA AKIWA MADARAKANI, JE WALIOMUUA WALITAKA NINI KWAKE?
Aprili 7, 1972; Luteni Hamoud Mohammed Hamoud wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWT) na wenzake wanadaiwa kumuua kwa kumpiga risasi, Rais wa Serikali ya Awamu ya Kwanza ya Mapinduzi na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Abeid Amani Karume.
Swali la kujiuliza waliomuua Karume walitaka nini kwake?
Luteni Hamoud ambaye ndiye anayepiga risasi ‘uaji’ (the fatal bullet) pamoja na Kapteni Ahmada Mohamed, Koplo mmoja wa jeshi ambaye jina lake halijulikani na raia mmoja aitwaye Ali Khatibu Chwaya nao waliuawa kwenye mapambano ya silaha nje ya tukio eneo la Kisiwandui, Zanzibar.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 8   
@ustadhsalimonlinetv.1807
@ustadhsalimonlinetv.1807 2 года назад
Kila mtu anajua amri ya kuwawa kwa karume imetoka wapi na kwa nani?
@philbertcelestin7057
@philbertcelestin7057 Год назад
La kujiuliza akina Abdulag Kasim Hanga,Salehe Sadara,Mdungi Ussi na wengine baada ya kuitwa na kuhijiwa 1967/1968 walipelekwa wapi?Ukweli haijulikani kama walipotea au walikufa.hakuna kaburi la mmoja wao mpaka leo.Walihukumiwa kifungo au kifo na mahakama?hakuna rekodi hizo.IMiaka 4 au mitano baadaye Karume aliuwawa.
@user-yy6vy4xu2s
@user-yy6vy4xu2s 3 дня назад
Mbona munamtaja Humoud tu lkn hamuwataji wengine.wapo wengi na walikuwa zaidi ya 7 wengine wameenda uliwa mji mkongwe na wengine walienda uliwa mangapwani walipokimbilia .Ajabu yenu munamtwika mzigo mtu mmoja.
@user-gd2xj3xd1b
@user-gd2xj3xd1b 8 месяцев назад
Mauwaji ya KARUME ni malipo ya duniani juu yayaleee walio uwawa wakati wa mapinduzi
@mrjaula7769
@mrjaula7769 2 года назад
Majutenti waliopigania Taifa Africa why wameuliwa hiii inatufunza nini sisi magolo wa Africa ???🌍😭😭😭😭😭😔😔😔
@abdulab6202
@abdulab6202 Год назад
Huo uwongo Abdallah kassim hanga hakuusika yeye amefari kabla ya mzee karume kufa msisimulie kitu mschokijuwa hao wote huyo saleh sadala pia amefariki kabla ya huyo mzee karume kufa
@philbertcelestin7057
@philbertcelestin7057 Год назад
Nadhani haujamuelewa msimuliaji
@bekaashbai1781
@bekaashbai1781 2 года назад
Hakuna asojua
Далее
KARUME ALIVYOPIGWA RISASI HADHARANI
12:01
Просмотров 426 тыс.
ПОЁМ НАРОДНЫЕ ПЕСНИ🪗
2:04:11
Просмотров 1,1 млн
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Просмотров 383 тыс.
Ustadh Ilunga - Wazanzibari wamjitambua Part One 1/5
34:25
KARUME SPEECH
2:17
Просмотров 113 тыс.