Dah wallah jamaa angesoma angewalaza sana maNaija sababu mbunifu sio poa ila ndo ivyo Tena naona wazungu waitikia tu sandakalawe mwenyekupata, awaelewi kitu na hapo ndo kina rema na burna wampigiapo za uso
Tena mimi ningependa aperform asubui kabisa ili wasije kuanza kulewa wasielewe.Huyu DIAMOND PLATNUMZ KNOWS THIS BUSINESS KUSHINDA WEWE UNAYESEMA KAMA KAWAIDA YAKE AMEPERFORM MCHANA.....TULIA TUTAENDELEA KUWASHQNGAZA HIVYO HIVYO MCHANA KWEUPE.HONGERA SANA DIAMOND PLATNUMZ.WALE AMBAO HATUNA ROHO YA CHUKI KWA MAFANIKIO YA WENGINE TUMEFURAHI SANA.