Eng, Hersi asante kwa kutuletea majembe hatari,tusubiri tuone kama watu hawatapoteana tena, wachukue ubiingwa wa ligi majirani .thubutuuuu, labda 25-26 ndiyo wtarajie huo ubingwa
Fadlu Davis kwenda Simba washa fail kwanza si Kocha WA makombe,Ni Bora Maxime au minziro,Adolf Rishad,mkwasa,matola,mgunda,Julio,..😂 lkn fadlu kafail Maritzburg Na Pirates hamna kitu,watapigwa 8 Na yanga
Kwa hiyo we shida yako simba tu!!! Endelea kuteseka na ndoto za Alinacha tushazisoma mbinu zenu ndo maana boss karudi, Mwaka huu mwaga unga nimwage ugali, Honga Arajiga 10 million, tunahonga 15, dadadeki uto😂😂😂😂