Тёмный
No video :(

ALIKIBA AFUNIKA SHOW YA MARIOO/KAJALA WEWE NI MAMA MKWE WETU/MARIOO SASA WEWE NI MFALME WA MUZIKI 

Bongo Plus
Подписаться 71 тыс.
Просмотров 120 тыс.
50% 1

East African number one RU-vid channel for Gossips,Sports as well as Politics News owned By BONGO PLUS
KANUNI NA MUONGOZO
Tunaripoti Matukio ya watu mashuhuri katika nyanja ya burudani, Michezo Filamu na mitindo ya maisha kwa kuzingatia misingi ya uandishi wa habari hapa nchini. Kufuata misingi kwa kuripoti habari zenye uwiano na usawa ndani yake,kutokuingilia faragha ya mtu,Kujiepusha na mambo yote yanayoweza kuleta sinto fahamu katika jamii yanayoweza kusababisha uchochezi.
NB:Tuna uhuru wa kufuta maoni yasiyokuwa na maadili au yenye matusi makali.
WeAreEverywhere
#entertainment #exclusive #trending #diamondplatnumz #wasafi #ayotv #update #updatenews #udaku #gossip #mwijaku #babalevo #tanzania #kenya #manara #hajimanara #bongo #habari #justinbieber #bieber #rap #hiphop #hiphopmusic #pop #rnb #rnbmusic #exclusivenews #tmz #tmztrends #arianagrande

Опубликовано:

 

11 май 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 82   
@RobbyDejan1234
@RobbyDejan1234 Год назад
Nani macho yake makali kama yangu nimeona Ali kapanda na bastola jukwaani aliiweka mbavuni ubavu wa mkono wakuli anamkabizi mdogo wake baada ya kutoka kuongea na Dj akaja kwa mbele kajump jump kidogo kaona inamkwaza akaishikilia na mkono akamuita mdogo wake akamkabizi… Salute Alikiba..
@ahmadmaulid6388
@ahmadmaulid6388 Год назад
ila we jamaa unaangalia sana 😂
@twalibabubakar2815
@twalibabubakar2815 Год назад
FBI uko vizure it same like it true
@patrickkimaro7955
@patrickkimaro7955 Год назад
Kweli kuna kitu wanapeana
@sleymanshaffih-vj5pq
@sleymanshaffih-vj5pq Год назад
nikweli kabisa uko sahihi kuna kitu alimkabizi lakin hatuna uhakika kama kweli ni bastola ama laa.
@TygarTz
@TygarTz Год назад
Ni ela alio ichukua
@user-bd2eh4hv6o
@user-bd2eh4hv6o Год назад
Huyu jamaa kwa live band 🙌
@eliuselias8049
@eliuselias8049 Год назад
Marioo always on top,... God bless kiba🙏💯💯❤️
@josiahnaftaeli7862
@josiahnaftaeli7862 Год назад
The one and only focalist👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
@dsparrowofficial8035
@dsparrowofficial8035 Год назад
Alikiba the only Icon in Bongoflv
@januarymwingwa2962
@januarymwingwa2962 Год назад
Alijisahau kapanda na bastola asee ndomana alivyoanza kucheza akashika kiunoni akarudi fasta kukabidhi jamaa ni mnoma
@alicenice1711
@alicenice1711 Год назад
Wala hacuji kiba wetu😊
@allymbaga2162
@allymbaga2162 Год назад
Reggae vibe 💚💚💚💚 creative generation
@khalifaissa9030
@khalifaissa9030 Год назад
All time live performer!💯🙌
@mpeliakhim3770
@mpeliakhim3770 Год назад
Only one king 🤴
@ayubuissayakiliza-kg3lh
@ayubuissayakiliza-kg3lh Год назад
💚💛🧡 gd music
@Evaristebyamungucigwigwi-eh2oo
Je suis très ravie mon artiste
@BongoPlus
@BongoPlus Год назад
Whattttttttt ?
@mosesokoth3627
@mosesokoth3627 Год назад
King of kings🙌#team Kiba 4life🥰
@fransalbat1800
@fransalbat1800 Год назад
Fundi kama Fundi🔥🔥
@ZuenaAbdallah-ne6zt
@ZuenaAbdallah-ne6zt Год назад
Mambo ni kama hayo hakuna bifu ni love tu❤❤❤❤
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews Год назад
Likiba zuri❤
@joanesasalavaleriano9980
@joanesasalavaleriano9980 Год назад
King oye
@ZuenaAbdallah-ne6zt
@ZuenaAbdallah-ne6zt Год назад
Sawa King
@missmwayway4704
@missmwayway4704 Год назад
King mwenyeweeeeeeeeeee😅😅😅😅😅❤❤❤❤
@mariumbahati7155
@mariumbahati7155 Год назад
NC ❤
@simonmalale3147
@simonmalale3147 Год назад
Ile key siyo mchezo😂. Live singing ilikuwa juu.
@user-bi2fj4gx4d
@user-bi2fj4gx4d 10 месяцев назад
❤❤❤❤
@yohanemwitumba3711
@yohanemwitumba3711 Год назад
Mfalme
@manjatz7594
@manjatz7594 Год назад
Kali
@Sallycheedclassic3451
@Sallycheedclassic3451 Год назад
❤u bro
@mirajizuberi7992
@mirajizuberi7992 Год назад
Robby dejan macho yako yaneona km mm hatari
@josephfrank4446
@josephfrank4446 Год назад
King kiba
@salumuseif3324
@salumuseif3324 Год назад
Nomaaa
@youngtygamayamimusicmmc
@youngtygamayamimusicmmc Год назад
Ata reggae tunaimba dah sisi ni 🔥🔥🔥🔥🔥
@user-mo6tr3yt3m
@user-mo6tr3yt3m 7 месяцев назад
Wacha mfalm wa amani
@PrinceHome-gl6li
@PrinceHome-gl6li Год назад
🔥🔥🔥🔥
@user-zb5fi2ph7t
@user-zb5fi2ph7t Год назад
Kweli alikuwa na bstl alijishitukia akiruka itaonekana
@dicksonkazungu6037
@dicksonkazungu6037 Год назад
Bastola ingeanguka 😂 uzuri kaipeana
@assinaassina1177
@assinaassina1177 Год назад
Mansha Allah
@ayubuissayakiliza-kg3lh
@ayubuissayakiliza-kg3lh Год назад
mambo
@VinTvShow
@VinTvShow Год назад
🔥🔥🔥🎥
@ramosfally2318
@ramosfally2318 Год назад
In the name king bila fujo
@HidayaOmary-qc9sm
@HidayaOmary-qc9sm Год назад
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@gchisunga
@gchisunga Год назад
Mmmh chuma kibindoni
@richardmalenje2672
@richardmalenje2672 Год назад
Uko lily sn broo
@munam7104
@munam7104 Год назад
❤king mwenyewe
@PaiGrande5902
@PaiGrande5902 Год назад
🔥🔥🔥🔥😁
@harrietmuriithi3184
@harrietmuriithi3184 Год назад
Nimerudia mala kumi ndio nihakikishe
@one1btz
@one1btz Год назад
🙏🙏👆
@halimaamani4095
@halimaamani4095 Год назад
King kiba mfano wa kuigwa dahhh balaaa zito
@abubakarymaulidy5681
@abubakarymaulidy5681 Год назад
Nimefurhi san
@marydamakatana-dq7it
@marydamakatana-dq7it Год назад
Kiba kama kiba
@magidalenarauya4286
@magidalenarauya4286 Год назад
Mh mbona hamna kimyaaa mnachanganyana bila woga,mtadhani wanyama mbugani,Leo uko na yule kesho na huyu Tena humo humo kwenye tasnia,siwaelewi!!
@zainabumgomba7453
@zainabumgomba7453 Год назад
ZIMWI atukanwa na Miss buza kisa anakibamia ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-spRHJ_RZnKg.html
@emmanueldabali5588
@emmanueldabali5588 Год назад
🔥🔥🔥🔥
@user-dq5tc4uu9s
@user-dq5tc4uu9s Год назад
❤❤❤❤
Далее
НАША НАСЫЩЕННАЯ ПОЕЗДКА В КИТАЙ
1:32:55
4. HARUSI YA ALIKIBA DAR ES SALAAM - PART 4
42:48
Просмотров 218 тыс.
НАША НАСЫЩЕННАЯ ПОЕЗДКА В КИТАЙ
1:32:55