Тёмный

ALIKIBA AMTAMBULISHA SALIM KIKEKE CROWN TV 

Jubon Online
Подписаться 297 тыс.
Просмотров 266
50% 1

ANAANDIKA ALIKIBA KUPITIA INSTAGRAM YAKE
My Brother salim_kikeke hii ilikuwa ndoto na maono tuliyokuwa nayo muda mrefu. Wakati unafanya maamuzi ya kurudi Nyumbani Tanzania tulipata nafasi ya kuzungumza na nikakueleza kiu yangu yakutaka kufanya kazi na wewe Gwiji, Nguli na Mtaalam wa Tasnia hii ya
Habari Afrika na Dunia.
Najua Simu zilikuwa nyingi sana lakini uliona CROWN ni sehemu sahihi sana kwako. Karibu kuwa sehemu ya
Historia tunayoenda kuiandika pamoja.
Nimekuvisha Taji na CROWN Media tunaamini Hesabu zetu za Kimkakati zimekaa Sawa. Karibu sana Nyumbani
@crownfmtz na @crowntv

Опубликовано:

 

13 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
Уезжаю в лагерь
17:57
Просмотров 373 тыс.